asante sana mwalimu wangu. nimekuwa nikifuatilia mafunzo haya ya kinanda. ninakushukuru sana kwa kuendelea kunielimisha. nina ombi mwalimu. darasa letu lemifikia sehemu ya kumi na nne ambayo ni ufunguo F, nimekosa kuona funguo G, A, na B. naomba ikiwezekana uziaupload tafathali. asante sana
hongera sana mwalimu kwa kudhubutu kufundisha kwa njia ya mtandao walimu wengi wako nyuma sana katika matumizi ya hii teknolojia ni wakati wa kubadilika sasa.
Ndugu.David Mgina. .ASANTE sana kwa Somo lako... NAOMBA namba YAKO Kaka Au. e-mail yako. kwa mawasiliano ya kuna zaidi. nahitaji kujua Music kwa kweeeli
Ndiyo D ,unapatikana wpaud Ubarikiwe Sana
Nina mwanafunz ,tuwasalimian
Tuwasiliane
asante sana mwalimu wangu. nimekuwa nikifuatilia mafunzo haya ya kinanda. ninakushukuru sana kwa kuendelea kunielimisha. nina ombi mwalimu. darasa letu lemifikia sehemu ya kumi na nne ambayo ni ufunguo F, nimekosa kuona funguo G, A, na B. naomba ikiwezekana uziaupload tafathali. asante sana
Thanks sn nipe connection teacher mii natak uniweke kwa glass yako kabs nijuee mwanzo mpak mwisho...
Ok Mimi naenda kufanyia kazi nikifauru nitakuja hapa hapa kutoa ushuhuda Mwalm
Aisee somo zuri sana mungu akubaliki nasubilia somo lapili kwashauku kubwa sana
hongera sana mwalimu kwa kudhubutu kufundisha kwa njia ya mtandao walimu wengi wako nyuma sana katika matumizi ya hii teknolojia ni wakati wa kubadilika sasa.
asante
Ahsante sana ndugu kwa elimu hii Mungu akubari. Tunaomba mwendelezo wa sehemu ya tatu.
hoohhh tunapata raha ubarikiwe kakaa
Asante sana kwa somo zuri ila tunaomba ututumie sehemu ya tatu Asante sana.
Niseme ahsante kwa somo la kwanza.leo nitakuwa makin zaid
MUNGU AKUBARKI SANA MM NI MMOJA AMBAE NATAMANI MNO KUJUA KUCHEZA KINANDA NAPMBA DARASA ZAIDI KAMA HUTOJALI BARIKIWA SANA RAFIKI MWEMA
Jambo mwalimu mi nko Nairobi Kenya naningependa unifunze kinanda je tutapatana kivipi
Ninapenda sana kipiga kinanda,ninashukru sehemu ya kwanza nimefuzu
Asante Sana Mwl. Zoezi la pili nichangamoto kwangu.
Mtumishi asante kwa somo nazidi kujifunzA
Safi sana kwetu tunaojifunza kinanda
Nilivurugwa kwann unaruka nafas ahsante
Amen natamani nipite uwezo wako kaka😄😄😄😄
Niriwenza kupig kwakutumia hapa unavo erekez napiga ira sema bado mukono wakushoto bado hakujawa vizuri yan
Ahsante sana mwalim kwa somo zuri..naamini IPO siku ntajua kupiga kinanda
Napenda sana kujifunza kuzeza kinanda asante kwa hili, ok, wacha nitafute kwanza kinanda and then nita omba utaaram
Ndug me natamani sana kujifinza unapatikana wapi
Aisee somo zuri Sana
😂 😂 😂 😂 Waoooh asante
vizur san nimeipenda san
Namba ako kakaa
Ahsantee sana mkuu, nimelipenda darasa hili
asante tuko pamoja
Safi mwalimu naamin ipo siku na mm nitakujua kupiga
Ahsante Sana
nashukuru sana Kwa mafunzo haya ,natumahi sehemu ya tatu itafika jamani
Nimeelewa sana somo lako
Asante sana kwa mafundisho, tunaomba sehemu ya tatuuuuu
aminaaa❤❤
Daaaah nataman Sana kupga Kama ww
Nikupongeze sana kwa kujitolea kufundisha darasa hili zuri. Nishauri kama itawezekana ufungue group la Whatsapp
Angeanza kuelekeza keys.
Naitaji unifundishe mimi nipo dar
Nishingap garama mbakanijue
Beutiful work!!! God bless you
Uko vzuri sana kaka
❤ Music
Sunipe connection please mataka kujua mwanzo jadi mwisho
Upo sehemu gani pengine naweza kuja kujifunza live
asante nimekufuata vizuri.
Zoezi la kwanza Sawa
Nimetamani masomo haya. Napenda sana sana. Sehemu ya tatu please
Ubarikiwe sana kaka
Amen, Mungu ni mwema nimebarikiwa sana
Safi kabisa
Mtumishi ubarikiwe sana
LAKINI TUNASUBILI SEHEMU YA TATU KWA HAMU MNOOOO 🙏🙏🙏🙏🙏
Barkiwa sana
kaka kimya sana somo la 15 nakuendelea tunasubiri
Barikiwa sana mwalimu kwa moyo wako wa kujitoa
asante nimependa
Wewe uko wapi kiongoz
Nimependa mafunzo yananijenga
Nafuatilia kwa makini sana kaka tuko pamoja
kwa kweli kaka mungu akubariki kwA moyo huo
asante sana mwalimu, napenda sana kujua kukipiga hicho chomba, unapatikana wapi?
Hi magina naomba utuwekee sehemu ya tatu naona ww nifundi kabisa.
Mm nishafkaga apo na kuvuka sema niliishia kat nilkuwa nishaanza kupga wimbo ila kwasasa ntakuwa nishasahau
Naomba mamba mamba yako
iko poa sana mkuu
I wanna appreciate your nice job. Would you upload part 3 please? I am looking forward to it!!
Next
natamani sana kujua kinanada na siku nikijua nitaringa sana
Nahitaji kujuq kupiga kinanda.
Mimi nipo sehemu ya tatu lakini nakata tamaa asee du
Usikate tamaa jitahidi
kinandaa cjakinunua bado ila ni ndoto ktk ndoto zng nakipenda mno
broo ubarikiwe zoezi la kwanza tayari nakomaa na hili
Santeee
Unapatikana wp
Mwalimu asante kwa somo zuri. ila sehemu ya tatu hujatuma!!
Barikiwa
Mwalimu naomba namba yako tafadhali.
Naomba usaidizi wako kutembeza vidole ndio shida tu kwangu
Naaombe namba za mwalimu
Jitahidi ulete Muendelezo wa somo la kindanda pls
sehem ya tatu pls
Mwanafunzi atachukua muda gani kuelewa?
🎉
asante sana kaka ... naomba uweke na video zingine za muendelezo
Ndugu.David Mgina. .ASANTE sana kwa Somo lako... NAOMBA namba YAKO Kaka Au. e-mail yako. kwa mawasiliano ya kuna zaidi. nahitaji kujua Music kwa kweeeli
NAMBA yangu. 0786 460 613
Natamani sana kujua
mwalimu sehemu nyingine vipi hadi nimefika ufunguo G nimesubiri hadi sasa sioni, hapo ndo mwisho? je hizo cd nitazipataje
naomba tupate namba yako
Unapatikana mkoa gani
habari..mwalimu nauliza kupga kinanda kinahusiana na kujua nota?
Kaka sehemu tunaomba ya tatu tafadhali
I like this session
Niko pamoja na wewe Niko Kenya
Kwakweli bila mazoezi hapo, utakuwa unakilaani tuu kinands
Nice
tamu
Just like the harmonium schule by heinrich bungart
Asante kaka Daudi MUNGU akubariki
amina
najitahidi ila.nashindwaa duu mwl????????????
Yu wapi....? Kaka uko wapi...?
Huyu ndugu kapoteza...?
Nakutafuta bro...
Kaka nitakupataje nataka kuonana na wewe
Mkuu Hapo unavyoruka Code Moja ama kidole kimoja Unakuwa unaruka mikono yote au upande mmoja wa kushoto tuu????
Miko yote kkiongozi
Duuuuuuuuu wala sijaelewa
Umenifanya nitaman kujua kwa siku moja
Inapatikana wap