dah kaka mimi naitwa abdul qadir ni mfanya biashara ila kwa sisi wa zanzibar mutakuja lini ili na sisi tuweze kupata bahati zetu naifuatilia sana mr right tanzania
How can you move on within that period of time wewe hauko serious man take your time ujielewe then as per my own perspective humwamini Mungu then you lack trust wewe huwezi kuwa mume bora
Sasa unaweza kusema huyu mchawi kama wewe siyo mchawi mwenzako kalala wewe upo macho nani ataonekana ana wanga hapo kaa yaani uyu muongo jamani alafu uwezi kupata mke me siwez kuolewa namtu ambae mkewe alikuwa mchawi maana ukifikatu ndani utapigwa makofi yahewa mpaka utaludi kijiweni kwa hello siku hiyohiyo🤣🤣🤣😂 walikuwa wanashilikiana ukiendatu juwa nawewe utaanza kupiga tunguli🤣🤣🤣🤣😂😂😂 nicheke mie toto la kifipa
Mtu yoyote yule ukimuona anaongea akitoa macho kwa nguvu kwa kuangalia ujue ni mchawi awe nanamke awe mwanaume chunguzeni mtaniambia huyo kijana nimchawi
mm nampenda huyo
Jamn napenda xana Mr right
Huyu kaka ndio mwenye matatizo 🤣🤣🤣
Huyu naye kaniguza roho yaani,weh💋💋💋💋💋
Jaman nimekipenda Sana hiki kipindi wish nami nifike hapo
Nenda tuu
Tatizo viclip vyenu vifupi sana havionyeshi ukajua mwisho kama za wakenyq😢
noma sana
😂😂dishi limeyumba uyu mkaka
😂😂😂. Ipo siku mtakuja kupigwa. Maana watu wame vurugwa..😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 mchawii sio mchawii yaan Ni jinii daaaaaaah
Anaongea Kama yupo kansani
dah kaka mimi naitwa abdul qadir ni mfanya biashara ila kwa sisi wa zanzibar mutakuja lini ili na sisi tuweze kupata bahati zetu
naifuatilia sana mr right tanzania
Uko pw kaka my me pianafatiria jamani natamani nipatemwenzawangu atakaenipenda kwanzati
Mmh honger
uko sawa
🤣🤣🤣🤣mwee we mkaka etii mchawi mweee
Lenyewe bayaaa
Ivi minaomba kuuliza nikweli au wana tupiga hawa watu maan naona kama vile wadada ni walewale tu ety
Jin utalijua tu hahaha,anatoa macho bila blek
Akili yak haipo sawa atakuwa amelogwa
Kiruuu
Kaka nimekukubari
Mbona jamaa kama ametuzuga uyo iyo hadithi kaitunga anaonekana ni muongo kupindukia kiasi akataliwe na wote apo
Natakaa wimboo huuu jamanii
Inawezekana jaman
Hyo dada nifala san lbda na yy nimchawi
Jamaa anahasira huyu 😁😁
Ww unamjua
ila jamaa huyu 😂😂😂😂
👏👏👏👏👏
Mchawi n yeyee🤣🤣🤣
na bible juu😂
Hili kak vip
Kwahiyo ulienda kufanya nin sasa kwan kipindi hakijui jmn
😆😆😆Jini ilo
😮😮
Haaaa haaaaa nimecheka hili dishi
Nzuri but hamuonyeshi hadi mwisho
Ata ingekuwa mm nisingemkubali anaonekana kauzu afi mkali
Uwo kak kiyakili.hayupo sawa jaman.nikichaa
Uyu jama ni kica sana
Yani huyu mwanaume hata bule simtaki looo
Huyo huyo baba imeeejda hiyo
Daaah nchi Ngumu Sana hiii 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 unaonaje tuhame🤣🤣😂😂😂 nhi inchi noma sana ukiwa nabando utacheka mpaka mbavu zipanuke🤣😂
Haha
Mhuuuu mkubwa haya
Hauko timam
How can you move on within that period of time wewe hauko serious man take your time ujielewe then as per my own perspective humwamini Mungu then you lack trust wewe huwezi kuwa mume bora
Jackie
uyu ndo mchawi mwenyewe
😂😂😂😂😂
Uyu Jamaa ni Dish 🤣, mkali 🤣🤣 ,muongo
Anatisha walembo huyu
Amevaa na miguo ya rangi nyekundu na black yeye ndo mchawi huyo na amekaa kikatili sana
Haha
Mh uyo kaka awezi ishi na Mtoto wa wawatu
Hahaaaaa eti nae anamapoz uwiiiii
😂😂😂
Sie huyo
Kaka anaonekana jangiri au yeye ndo mchawi mwenyewe, Eti unadhani kati hao kuna niliempenda eboooooo ulifata nn sasa apo? Alafu bayaaaa😏😏😏😏
🤣🤣🤣🤣
@@yasodishonest9792 ana uzuri gani huyo hadi anatukana wanawake? Ebooooo hata mie simchangui katuuuu
Yani Kwanza anaonekana hajui kuniendo mwanamke uyo Hana Lolote
Huyu jamaa wa mchongo sana
Kabisa
Hawa wamepangwa
Adi aibu😂
Shetani akawasha taa🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂kaaa jamani daa mbavu zangu
Duh huyu mkaka ana maneno ya shombo bhana anaonekana kabisa ndio mana bahati yake mbovu
Sio kweli
Hahaha
Hivi mwisho ili kuwaje 🤣🤣🤣🤣
Sasa unaweza kusema huyu mchawi kama wewe siyo mchawi mwenzako kalala wewe upo macho nani ataonekana ana wanga hapo kaa yaani uyu muongo jamani alafu uwezi kupata mke me siwez kuolewa namtu ambae mkewe alikuwa mchawi maana ukifikatu ndani utapigwa makofi yahewa mpaka utaludi kijiweni kwa hello siku hiyohiyo🤣🤣🤣😂 walikuwa wanashilikiana ukiendatu juwa nawewe utaanza kupiga tunguli🤣🤣🤣🤣😂😂😂 nicheke mie toto la kifipa
Hahahahahaha
@@asmaarashid2890 ndoivo 🤣🤣
😁😁😁😁
Hilo lijamaa likorofiii hatar hta iyo mwanamke alikuwa na mtihan kwanza anadharau sana
Fatma Ali wajina wa nimpendae yaan majina yote cjui sura
😂😂😂😂☹️😂
😂🤣🤣🤣
Aii
🤣🤣🤣
A
😘😘😘
Shida yenu mwaweka vitu nusu
Mtu yoyote yule ukimuona anaongea akitoa macho kwa nguvu kwa kuangalia ujue ni mchawi awe nanamke awe mwanaume chunguzeni mtaniambia huyo kijana nimchawi
😄😄😄😄😄😄
😅😅😅😅
Hi
Nikweli unapata mumu mimi naitaji mume ninamiaka 34 sas
*brow hata na wewe macho yako nikama mchawi frani shem akaona akuigizie ili muachane ahahhahhaaha ila brow wee niongo sana tunakukubar sana mkuuuuuu*
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mtangazaji analo.
Watoe mrejesho basi tuonee💝💝💝🤗🤗🤗👍🌹🌹
Muongo huyu
Hahaha
Hahaha