Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Baada ya muda si mrefu kuna wanawake watalizwa na huu upuuzi.Mungu hiki ndicho kizazi chako, kirehemu BABA.
Akili yako ndo imeishia apo ila ungekuwa ni mtu wa kutafakar vzr ungjuw ata wale wa sio kuja apa Awana utofaut
😂😂😂
Jifunze kubariki nawe ubarikiwe acha kuhukumu fyuuuu
Upuuzi waangalia wa nn
😂😂😂😂😂😂
❤moyo ukipenda umependa too hauchagui umr wala kabila
Iko vizuri sana Arafa mm pia nilimpenda sana
Ulimpenda au kumtaman mana nyie wanaume uwiii
@@jescajulius8023 demu mzuri ww dogo kaokota dodo chini ya mnazi mm mwenyewe Hilo jike limenichanganya cyo poa
@@krizofrancisco5310 hahaha
Duh jike kubwa ila bonge la demu jamaa kapata jike la utulivu raha sana kusex na demu aliyekuzidi umri
Mungu awajaliye kwenye safari yenu ya maisha kuishi pamoya
Hata mmi ntakuja tanga,god bless them mwaaaa
Uko vizuri alafa mwajina wa mwangu waoooo💖""";;
Natafuta mchumba pia mm Mr right na sio utani
Mwamba kaopoa churaa qwibiii 😍😍😍🤣🤣
Kweli chura!!!
Uyu demu Yuko vzr kinyama
Na uyu mungu mnaeshirikisha kweche ushenzi ivi mna hakili ninyi
😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka Kwa sauti saaana aise wewe ni noma Sana
Naona jinsi wadada wanavyo ficha kucha na kujikuta watakatifu😋
Muhimu😂😂😂
Mweeeee 😂😂😂😂😂😂
Arafa looks smart minded and mature the lady too is ready to give her best she looks mature too mob love from Qatar iwe kheri ata mimi siku moja nimmpate umbavu wangu kutoka huko Tz
Njoo
Am here
Hata hivi huyo mwanamke ni mzuri ana shepu nzuri sura nzuri langi nzuri cheupe dawa
Gara b umetisha
Wamependeza sana
Jaman da Arafah👏👏💖💖💖
Uyo bibi anaonekana ana ongea yan anapenda anacheka adi rahaaa nimempenda bure👌👌👌
na yeye ni mtafutaji hapo
Hongeren Arafa na handsome boy wako
MSUKUMA Kazidi MisiFA mpaka warembo wameogopa ujue kuna wanawake hawapendi mwanaume muongeaji sana kama MSUKUMA kajipozea mwenyewe
😂😂😂😂
Hhhhhhhhhh jmn wasukuma nasifa mn nizidi kwakweli
Hongereni
Jaman mh ni nacho uliza hawa Watu Wana dumu kwr au ndohv hivo 2 😂😂😂😂
Kwaiyo wakitoka hapo wanacheki apya kwanza au ndio wanapitiriza kwenye mahusiano
Pisi kali sema tumbo
Ha ha ha ha ha ha ha
Eeeeeh I have nothing much to say.but love is a beautiful thing.
Kweli kabs lengo kupendana
Ss tuonyeshen na harus wakiona msiwafanyishe zinaaa tu
Siyo Sawa bhna
Jamn hii tamuu😍
Huu Dada kweli ana upendo kabx
Jamani mtwambie iyi kweli Ama ni game tu nakuigiza
Yaani Mwijaku unashiriki kuwaunganisha watu kwenye zinaa...???!! Wewe mtoto wa kiislam kwelii
Jamaa katsha san
Mashallah
Jamani nikwer au
I like the show
Nyakati za mwisho
Wooooo
Muda si mlefu wanawake watapita nyumba hadi nyumba kutafuta waume
Kabis mn kah😂😂😂
Hiii hatariii!!!
Allah Atunusuru
Uyu kasanuliwa anae pesa😅. Kwann usi imbe nenda kafurahie maisha mwenetu
Wow 😮 😮
Tafadhali Mr right naomba unijibu plz and plz
Uyo bibi kila kipindi yupo 🤣🤣
Lakini ubaya haya dumu nikwanini jamani mungu awalinde
Sem ss wanaum weusi warefu wembamba dah tunaopoa san wadada😂😂
Huku wap wanatuma sticker 😂😂
Hivi hawa wanaonaga jumlajumla au maigizo ya kipindi tu? anaejua in deep
My song naipenda,dedication to my beib
Unaitwa vipi
Kwa shairi wanaume tumo
Afu mbona kama wamependana kiukweli ukweli vile. Ni kama wameshazamiana mioyo yao au mm naona vibaya
Kwn huwa hawaoani kwli jamen 🤔
Kwani hii ni kuekti au kweli?
ivi nikwer au,mbona Mimi naona km movie
Waoooo
Mh Ila mkumbuke na kupima ukimwi jmn ohh msije kulia
Wewe umepima.
Kweli
Sauti tamu
Kweliii usiende kum bebesha kuni
Hahahahahah
Tutajieni umri wao tujue
Hivi ni kweli
Kwer hii au ni kipindi tuu
😂😂😂inataka moyo kudate na mtu aliekuzid umri
Hasa mdada amzidi mkaka
@@festakapinga9044 umeona ee
Hasa kwa mke japo ni suna
Yatima wa mapenzi tujuane😂
Hivi ni kweli au wana akiti 2
Usimsaliti kweli
Hiyo ni pw
mashsllah
Kwwni huwa ni kweli au
Na mimi ndo najiuliza?
Jamani AMI mbona haonekani
I like it
Vip kwel wanaowana ama ni show tu
Ohh...haleluya😂😂
mature
Good
Ni kwer au maigizo maana sielewi
❤
Mbna amji Na uku mikoani jamani
IRENE each day everyday
Ukitaka kuja hapo kweny kipindi nilini
Kuna watu watalia soon
arafa ana mzigo jamani dah!
Bongee la demu balaaa
Umeona dogo kaopoa kinomaaaa
jmn na mm naomba kuja kwenye kipindi utaratibu wake upo je?
Hii nayo ilishika shika
Mmtujibu msg hii inakuaga kweli ama
Nikweli sio uongo
Jamn kipindi ni kizuri tunaomba clpu ziwe ndefu
Jaman sisi mikoan huku mbona hatupati nafas hizi
😂kabisa
Sie wa Mikoani , tutawakilishwa na Wabunge wetu
Sasa hawa wanawake ndo wale wale amna kitu apa janja janja2
Mbona km mdada ni walele 🤔🤔
Nasisi tutapataje
Unawasha tv unamkuta mchumba ako anatafuta mchumba 😂😂😂😂😳😳😳
🤣🤣🤣na ww unaend kutafta
Ex
Name nataka mchumba jamanii
Weka namba yko
zigo
Afadhali kuna MTU Niko nae mtaani nae kapata MTU hapo kwa kipindi acha nishuhudie kwa macho kwanza
Huyo hajielewi kaka
Wanavaa kama vikahaba jamani
Kweli kabisa 🤣
Ukitaka kushiriki unaanza wapi Hadi ufike hapo
Unajitathmini kwanza
nataka kujua ili kushiriki hapo ni lazima kuva hizo nguo fupi
Apana wawezaa vaa mavazi ndefu,I mean long dress
.
💕💕
❤️
Baada ya muda si mrefu kuna wanawake watalizwa na huu upuuzi.
Mungu hiki ndicho kizazi chako, kirehemu BABA.