Herufi sahihi kuoana A M Y E Q I U & C O G S K W.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 52

  • @HasaniSaidi-n9z
    @HasaniSaidi-n9z 2 місяці тому +2

    Mimi subila jenaweza kuwoana na mchumba wangu abuu nyota zetu zinaendana

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 Рік тому +4

    Ubarikiwe tunakufahamu uzuti sana

  • @Eunicemarura
    @Eunicemarura Рік тому +2

    Nimependa mafundishi yako kaka asante ❤❤

  • @suzanlucas9493
    @suzanlucas9493 Рік тому +3

    Ahsante sana.. vp kama wote nyota zenu zinafanana yani moja mfano S na C kwenye ndoa na mafanikio

  • @mariamomran6144
    @mariamomran6144 Рік тому +2

    Good

  • @irenecharles6703
    @irenecharles6703 Рік тому +1

    Kaka umeongea kweli kabisa kuhusu wanaume wa herufi C

  • @consolatakhatenje6605
    @consolatakhatenje6605 14 днів тому

    Niliolewa na herufi c na mimi ni c tuliachana after 25yrs pamoja

  • @user-gp2rh9zj2w
    @user-gp2rh9zj2w 7 місяців тому +1

    Je mfano....mume wangu mm A na mm jina langu A jina nililopewa na wazazi...la ndoa nilivyo badili dini jina nikapewa lenye heruf M ...hapo naona wate moto au punda so hapo vp tutatoboa kweli

  • @sadastivu199
    @sadastivu199 Рік тому +1

    Je sayar ya upepo na upepo inafaa kuoana

  • @helenlucas2103
    @helenlucas2103 Місяць тому

    Nisaidie mm ni binti a naweza kuolewa na i

  • @mariamomran6144
    @mariamomran6144 Рік тому +1

    Ila uyo mchumba wangu mke wake ni nyota Adui herufi N, naomba ushauri wako hapo kaka yangu

  • @witheymunis911
    @witheymunis911 Рік тому +2

    Me mwanamke jina langu linaanza na w mwanaume Wang jina linaanza na A je sahihi kuwa nae

  • @alexkipepeo3611
    @alexkipepeo3611 11 місяців тому

    Kabisa tusaidie bro

  • @saidikobe1872
    @saidikobe1872 Рік тому +2

    Najuaje siku yangu bahati jina langu ni s na je kuna uhalisia gani kati ya siku yako ya bahati na kubahatisha na muda gani sahihi wa kufanya maombi ikiwa umejua siku yako ya bahati Jina langu linaanza na s nyota ni Ng’e

    • @allykk1459
      @allykk1459  Рік тому +3

      Pekua hapo clip zipo zote siku zaka kila herufi na kazi zao .

    • @allykk1459
      @allykk1459  Рік тому +1

      Angalia clip ilioandikwa itumie siku ya ijumaa

    • @saidikobe1872
      @saidikobe1872 Рік тому +1

      Sawa mwalimu nitafanya hvyo, katika watu waliofanya niielewe Elimu hii ni wewe

    • @ShukurMkan
      @ShukurMkan 12 днів тому

      Mimi jina la ni s na nimeolewa na Mt mwenye j tunaweza ish

  • @dppd4219
    @dppd4219 10 місяців тому

    Shukn

  • @sharifafatawy9874
    @sharifafatawy9874 8 місяців тому

    ❤❤

  • @gracelaizerkisyoki7279
    @gracelaizerkisyoki7279 6 місяців тому

    Kwel kaka nmeona wanawake wa herifi E hawaogop waume zao

  • @alexbukhay6323
    @alexbukhay6323 Рік тому +1

    A na A je tunaweza kuoana doctor

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому

    Kwel kaka yangu alitakaga kujiuwa naye ni k

  • @giftfungo1404
    @giftfungo1404 Рік тому +4

    Kundi la UPEPO nikimpata kundi la UPEPO yaani, G kwa G, au S, W, C, O, &K. Kuna Tatizo Kaka?

    • @jumafundi3133
      @jumafundi3133 Рік тому +2

      Kama mimi mtarajiwa wangu ni k mimi ni s sasa hajazifafafanua hizo herufi

    • @giftfungo1404
      @giftfungo1404 Рік тому

      @@jumafundi3133 Ndio, Brother azungumzie pia Kama Kuna athari ya kuwa kwenye mahusiano watu mliopo kwenye kundi Moja (UPEPO) ,G, S, C, O, W, K

    • @jumafundi3133
      @jumafundi3133 Рік тому

      @@giftfungo1404 pengine atafafanua maana nilazima azifafanue ainazote za nyota na frufi kwa herufi

    • @salomeraymond2051
      @salomeraymond2051 Рік тому

      kun seem nlisikiliza et walisem sio sahihi

    • @jumafundi3133
      @jumafundi3133 Рік тому

      @@salomeraymond2051 sehem ganihio ili tupate uhakika.

  • @dynessmsigwa5129
    @dynessmsigwa5129 Рік тому

    Je g na d wanaweza oana na wakawa na mafanikio na ndoa yao ikawa haina migogoro

  • @vickykwembe5842
    @vickykwembe5842 Рік тому

    Nimefanya utafiti sana unayoongea yote yanatimilika na jina la pili yaani la dini.yaani kama mtu anaitwa s jina lautoto lakini unayoyapitia ni ya herufi t ambalo ni jina la pili

  • @aash4145
    @aash4145 Рік тому

    Yani jina uliloaziniwa

  • @AhamedSeif
    @AhamedSeif 4 місяці тому

    Nyota ya upep0 na upep0 nini kinatokea mkiwa wachumba.

  • @kabwefrancine99
    @kabwefrancine99 7 місяців тому

    kaka sasa c na k nayo

  • @aash4145
    @aash4145 Рік тому

    Kama muislam jina uliloaziniwa,, kama kiristo maana yake jina ulilopewa ukiwa mdogo,,

  • @user-xz9bb4mi5l
    @user-xz9bb4mi5l 4 місяці тому

    Je s na c wanaweza kupona?

  • @muddimjanjile3580
    @muddimjanjile3580 Рік тому +1

    Mm mchumba wngu herufu yke n mm mwanaume m apo vp

  • @vickykwembe5842
    @vickykwembe5842 Рік тому

    Sasa unasema kuwa jina linalosemwa ni lile la kwanza kuitwa ila mbona tumefanya utafiti jina hili la pili la dini ndio linaendana haswa na unayoongea??

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 Рік тому

    J na c zinaendan au ni uadui

  • @sfiaalanazi5479
    @sfiaalanazi5479 Рік тому

    Kakangu nisaidie tafadhali usinipuze mm ni M na wangu ni A je tunaeza owana kweli??? 🤔

    • @allykk1459
      @allykk1459  Рік тому

      Fuatilieni hapo majibu yanakuja

  • @Msafiri-kj2km
    @Msafiri-kj2km 11 місяців тому

    M na M hapo vipi

  • @mariamomran6144
    @mariamomran6144 Рік тому +1

    Kaka Ally mimi ni M na mchumba wangu ni A apo vipi?

  • @LeahMadimilo
    @LeahMadimilo 11 місяців тому

    Sorry je sayari ya Moto na Moto