Herufi G,S,kazi zinazo weza kukupa mafanikio.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 61

  • @SesiliaMorice
    @SesiliaMorice 26 днів тому +1

    🙏🙏🙏❤️nimejifunza sana asnte

  • @sheykhansheykhan
    @sheykhansheykhan Рік тому +3

    فتح الله وزد عليك علما الذي ينفعنا في الدنيا والآخرة.

  • @samiasaidmuya5849
    @samiasaidmuya5849 2 роки тому +2

    Asante kaka ally... ubarikiwe sana

  • @salmasaid1521
    @salmasaid1521 Рік тому +2

    Asante kaka kwa ufafanuzi nimekuelewa ubarikiwe

  • @suzanalusana1967
    @suzanalusana1967 Рік тому +3

    Very nice

  • @SamweliMwashilindi-fq1me
    @SamweliMwashilindi-fq1me 8 місяців тому +1

    Mtafit nimekuerewa sana mungu akulinde❤❤

  • @salmasaid1521
    @salmasaid1521 Рік тому +3

    Asante kwa ushauri ubarikiwe sasa napunguza kupenda 😄 😄 🤣 maana duh kama umejua kiundan mwangu

  • @shamsaalrahbi5573
    @shamsaalrahbi5573 2 роки тому +2

    Thank you kaka ubarkiw

  • @giftfungo1404
    @giftfungo1404 Рік тому +2

    Shukrani Brother be blessed 🙏

  • @ShaniNalumba
    @ShaniNalumba 6 місяців тому +2

    Salut sana bro!!!!

  • @gervasshija9299
    @gervasshija9299 2 роки тому +4

    Majina yap ya kiume yanayo anza na heruf G?

    • @JacklinaMtei
      @JacklinaMtei 2 місяці тому

      Godfrey, Goodluck,Gwajima,Godson,Godwin,

    • @NachaKing-nj7cp
      @NachaKing-nj7cp Місяць тому

      ​@@JacklinaMteigaudes gamondi gasipa

  • @user-wq1sp7kh5k
    @user-wq1sp7kh5k 10 місяців тому +3

    herufi S na S zinaendana

  • @safinahanga476
    @safinahanga476 Рік тому +2

    Nakupenda dr duuuuh...ni uyu MIMI SASA mama la mama😂😂

  • @saidajuma6686
    @saidajuma6686 2 роки тому +2

    Asante

  • @gilbertjohn5117
    @gilbertjohn5117 Рік тому +3

    😂😂ila hii video nairudia sana dah akina G huyu broo kaongea kama vile Yuko kweny maish yangu😵

  • @MerlinaKubadesha
    @MerlinaKubadesha Місяць тому +1

    Je kaka NG'walu yupo kundi gani???

  • @SifaSanchging
    @SifaSanchging Місяць тому +1

    Ukisema humri mudogo hunamaanisha myaka ngapi???????

  • @SalimMwangauri
    @SalimMwangauri 3 місяці тому +1

    Kwa sasa nashauriwa ni watu wengi nisimamie kitu cha muwakilishi wadi mana mimi nkiingia kwenye makundi najikuta napewa tu uongozi.kwa sasa nashauriwa kusimamia kiti cha uwakilishi wadi.je naweza kujaribu uchaguzi ujao

    • @allykk1459
      @allykk1459  Місяць тому

      Ndio ni sehemu ya kazi yako

  • @SiwemaSalim-w7c
    @SiwemaSalim-w7c 7 місяців тому +1

    Mtafiti mm naitaji kujua mm ni erufi s napia nko na ndevu chache naomba unisaidie nijue niko fungu gani

  • @salehbinkhamis1597
    @salehbinkhamis1597 2 роки тому +4

    Brother kwa Kweli ume busa kwangu so na hitaji kuongea na wewe brother sorry

  • @djyondergigi1027
    @djyondergigi1027 Рік тому +1

    A aleikum na Kama washughulika juu ya biashara Kama cafe restaurant
    Ama kufanya kazi ya matatu ya kununuwa gari kufanya kazi nalo 😊

  • @Sisopotashiumz
    @Sisopotashiumz Місяць тому +2

    Wee jamaa jiniaz saana

  • @mamaabduli7792
    @mamaabduli7792 Рік тому +1

    Niukweli

  • @user-vq2hl4jp1j
    @user-vq2hl4jp1j Рік тому +1

    Kaka ally tunaomba utwambia pia siku Gani mbaya kwetu sisi S na G maana kwamfano mimi Kila ikifika jumatano naonaga kama ni mbaya kwangu kwasababu kunakuwa kunatokea mambo mengi mabaya sometimes nakuwa naumwa yani ki ufupi inakuwaga siku mbaya kwangu sasa sijajua shida ni nini?

  • @shamsiarashid4015
    @shamsiarashid4015 2 роки тому +1

    Asant kk

  • @SalimMwangauri
    @SalimMwangauri 3 місяці тому +1

    Mimi nina herufi s manake naitwa 'SALIM' lakini ki ukweli nimekuwa mwalim wa PTA lakini walimu wananiona kana kwamba mimi nlienda course lakini sikuenda

  • @SalhaShaibu
    @SalhaShaibu 8 місяців тому +1

    Mimi naiwta salha shaibu hapa nilipo sio seem sahihi niktamka ayo maneno Haina shida nipo omani shukurani

  • @siahmtui8003
    @siahmtui8003 20 днів тому

    Pete hii naipata wap na kuitengeneza wapi

  • @sophiakimaro9203
    @sophiakimaro9203 Рік тому +2

    Nahitaji hyn pete nisaidie tafadhali

    • @allykk1459
      @allykk1459  Місяць тому

      Unaweza kuja au ukajiandalia mwenyewe

  • @sumaiyyahsaid555
    @sumaiyyahsaid555 2 роки тому +1

    Naomba namba zako cm nashida ya kunitengezea iyo Pete, naitwa Sumaiyyah,

    • @allykk1459
      @allykk1459  2 роки тому

      Namba zipo hapo 0765559042

    • @sumaiyyahsaid555
      @sumaiyyahsaid555 2 роки тому

      @@allykk1459 asante

    • @stevenmwakitalu9992
      @stevenmwakitalu9992 2 роки тому

      Nimeelewa kaka @Ally kk
      Nilikuwa na ombi
      Je, NAWEZA ENDANA NA HERUFI GANI KINDOA YAANI MWANAMKE WA KUISHI NAE??

    • @allykk1459
      @allykk1459  2 роки тому

      Majibu yapo hapo kwenye cahaneli yangu tafuta utapata majibu yote hapo

  • @user-cr3vs5bg5g
    @user-cr3vs5bg5g 2 місяці тому +1

    Herufi S ni ya ainagani kwa mfano ng'e

  • @gilbertjohn5117
    @gilbertjohn5117 Рік тому +2

    😅umeongea kwel bro Mimi nacheza namba 7 uwanjn na tangu naanz kuchez mpira sijawah kubadili namb Saba na jeaz navaa 7 na majeruh ni mengi sana apa yenyewe Nina majeruh na ninaumia ovyo uwanjn 😅😅🤣🤣🤣🤣

    • @gilbertjohn5117
      @gilbertjohn5117 Рік тому

      Kweny G hauja kosea umeongea na ndo naishi ivyo ivyo

    • @allykk1459
      @allykk1459  Рік тому +1

      Asante pia pole kwa majeraha

  • @salomeraymond2051
    @salomeraymond2051 Рік тому +3

    Mimi ni S nipo chuo nasomea mambo yanayohusiana na usafirishaji kwa ujumla vp hapo Kaka?

  • @Nancy-vl5kk
    @Nancy-vl5kk Рік тому +1

    Nauliza. Ni. herufi. Ya. Kwanza. Ya. Jina. Ya. Pili. Hau. Jina. La. Kwanza

    • @allykk1459
      @allykk1459  Місяць тому

      JINA LILILOKULEA LINAVYO TAMKIKA HERUFI YA KWANZA NA BAAZI NI ZAMBELE LAKINI NIME FAFANUA

  • @salamoman9375
    @salamoman9375 Рік тому +1

    Hizo Pete unazo

  • @HalimaHalima-cx5jo
    @HalimaHalima-cx5jo Рік тому +1

    Kaka,,Je,mwasiti,yupo,kundi,gan?