S na S, A na A, M na M na nyinginezo zikikutana kwenye ndoa nini kitakuwa.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @JumasalumRamadhan
    @JumasalumRamadhan 3 місяці тому

    Mungu
    Akupe
    Maisha
    Mareff
    Uzd
    Kutufahamisha
    Zaid

  • @Mosesy_Bright
    @Mosesy_Bright 9 днів тому

  • @zamanjohn4612
    @zamanjohn4612 11 місяців тому +1

    Kabisa unachambua vizuri

  • @SabinaKibena
    @SabinaKibena Рік тому +1

    Mungu azidi kukupa maisha mlefu Sana kaka ally

  • @thedepartment8391
    @thedepartment8391 4 місяці тому +1

    Nicknames amabazo hutumika sana, kuna uwezekano mtu kuhama kutoka kwa nyota yake ya jina halisi la ID hadi kwa hii ya nickname?

  • @GetrudeEpafras-vy4un
    @GetrudeEpafras-vy4un 11 місяців тому

    Mungu akubalik sana

  • @bravoh1705
    @bravoh1705 Рік тому

    Shukrani kaka

  • @AMBROSIJOSEPH-qc7xo
    @AMBROSIJOSEPH-qc7xo 2 місяці тому

    Dah mzee unayoyasema yapo

  • @bernardabedi9972
    @bernardabedi9972 Рік тому +1

    Tunaitaji utafturiye erufi p na n b

  • @VailethEvarist-e7m
    @VailethEvarist-e7m 6 місяців тому +1

    Je majina yenu mkipega ikabaki 0

  • @user-vq2hl4jp1j
    @user-vq2hl4jp1j Рік тому

    Sawa kaka tumekuelewa🤍🙏

  • @SalambaPetro
    @SalambaPetro 8 місяців тому

    Kaka salamba na aisha je zinaedana

  • @Amina-dn1dr
    @Amina-dn1dr 11 місяців тому +1

    Mfano mie ni mwanamke nyota yangu ni punda .tatizo linakuja kila mwanaume anae kuja ni nyota ya mashuke.nishakataa saaana na umri unaenda sijawahi pata mwanaume tunae endana nae kinyota je nifanyaje niwakubali hao mashuke au nifanyaje naomba ushauri wako

    • @Janethnigeria
      @Janethnigeria 6 місяців тому +1

      Olewa tu hakuna kinachoshindikana Kwa MUNGU yeye ndio anaweza yote muombe MUNGU songa mbele olewa dada Ang nimekupenda bure swali nzur

  • @VailethEvarist-e7m
    @VailethEvarist-e7m 6 місяців тому

    Namba 1 kwa ndoa inamaana gani au namba 0

  • @MwanakomboWaziri
    @MwanakomboWaziri 6 місяців тому

    Naitwa mwanakombo Omar nimezaliwa 15,5, nyota yangu niipi

  • @SimonLazaro-mv5mk
    @SimonLazaro-mv5mk 4 місяці тому

    Mm Nina mke saidanti na mi ni simoni vp tutapata mali

  • @mwanakomboomari1145
    @mwanakomboomari1145 6 місяців тому

    Mwanakombo

  • @charlesjoseph2934
    @charlesjoseph2934 4 місяці тому

    Naitwa Charles na mke anaitwa Mariam jee tunaendana kinyota?

  • @AminaSuleiman-s7y
    @AminaSuleiman-s7y 9 місяців тому

    A na s zinaendana?

  • @BakariChimako-gq6st
    @BakariChimako-gq6st 5 місяців тому

    Nataka kujua mwenye m anafaa kuoa mwanamke wa erufi gani

  • @CeciliaNdagala-ov8ty
    @CeciliaNdagala-ov8ty 5 місяців тому

    Kaka mim ni S na mume wanngu ni A je,tunafanan

  • @joeloileoile4786
    @joeloileoile4786 10 місяців тому

    Stephen na Sarah ndoa inanza vizuri inafika wakati invunjika shida ni iko wapi?

  • @LovelyGeyser-zu4gy
    @LovelyGeyser-zu4gy 6 місяців тому

    je z na s zinaendana naomba unisaidie

  • @joeloileoile4786
    @joeloileoile4786 10 місяців тому

    S na m ,h mbon hio ndoa inavunjika,?

  • @VailethIsack
    @VailethIsack Рік тому

    Jina Said hiyo ni D au S?

  • @VailethEvarist-e7m
    @VailethEvarist-e7m 6 місяців тому

    Namba 1 kwa ndoa inamaana gani au namba 0