Huyu ndio Mwanamke aliyemmudu sana Mwalimu Nyerere

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 2 дні тому +4

    Sijui mengi ya Siti biti Sadi. Lakini jina lake nalikumbuka sana. Nikiwa kijana tulikuwa na msemo usemao;
    Siti biti Sadi kama si sauti ungekula nini leo. Shukrani kwa Elimu.
    Bibi Titi awe kwenye historia ya nchi hii na Oscar Kambona. Hawa ni kati ya mashujaa wakuu wa nchi hii.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 7 годин тому

    Wahenga waandishi mupewe maua yenu. Hongera mzee wetu.

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw День тому +1

    Allah akulipe mzee wetu Wazungu walimtuma nyerere awafute kwa maksudi lengo ni kupoteza nembo ya kuonekana kwamba hii nchi ni ya kiisilamu ndio maana wakamuandikia historiya ya uongo ya kuzua

    • @raymondjohn3798
      @raymondjohn3798 День тому

      Sio nchi ya kiislam,tuna tamaduni zetu kama waafrika,uislam ,ukristo Ni tamaduni Za kigeni,hivyo kwangu haina maana yoyote.

    • @frimatuslupimo2031
      @frimatuslupimo2031 День тому

      Nchi hii ni ya wote, wenye dini na wasio na dini.

  • @saidikobossa7489
    @saidikobossa7489 2 дні тому +2

    ALLAH Akuweke, kisima cha Simulizi za kihistoria ambazo hatuzipati mashuleni.

  • @zulfikakalumba1977
    @zulfikakalumba1977 День тому +1

    Shukran sana Mzee wetu

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 День тому

    Asante sana , Mzee Mohammed kutuelimisha. Nimefurahi na kusikitika pia. Tufanyeje ili tuishi kama zamani ambapo tulikuwa wamoja na wenye kuheshimiana?

  • @Mfundo272
    @Mfundo272 2 дні тому +1

    Ndugu Mohammed Naomba namba zako za cm please mm naitwa Mfundo from Germany

  • @JovinMwombeki
    @JovinMwombeki 15 годин тому

    Wanawake kila mara wamekuwa wakilalamikia mfumo dume si kweli wanawake wenyewe walikuwa hawajihamini kama bibi titi muhamed alikuwa anaweza kusimama mbele ya wanaume eakaweza kumsikiliza wakati wa kutafuta uhuru na wanaume hawakumbeza hata siku Moja vipi wanawake mwalahani kuwa wanaume Wana mfumo dume sio kweli wanawake wenyewe walijidharau na tabia ya kusodoana Hadi Leo tabia hiyo ipo na kitojiham ini waache kusi ngizia mfumo dume

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw День тому +1

    Kweli kaka huko Shuleni kwenyewe wakijitahidi kujua hiyo history basi wanaanzia kwa nyerere wakati nyerere mwenyewe kuna wajanja waliompokea mjini

    • @frimatuslupimo2031
      @frimatuslupimo2031 День тому

      Hao wajanja walishindwaje kudai uhuru mpaka Nyerere akawaongoza?

  • @raymondjohn3798
    @raymondjohn3798 День тому

    Kambona ,Na Bibi Titi nawengi inatakiwa wajulikane,kuwe na Historia yao

  • @abdulrahmanshamba5192
    @abdulrahmanshamba5192 День тому

    Asante sheikh

  • @antarsangali4456
    @antarsangali4456 День тому

    Mchango wa kalamu yako katika uandishi wa historia ya Tanganyika sheikh Mohamed Said haukadiriki. Umefanya utafiti wa kutosha na wenye kina usio na shaka ambao haupingiki

  • @autoimmunesecurity2140
    @autoimmunesecurity2140 День тому

    Huyu bwana anamchukia Nyerere.?

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 День тому

      Hajamchukia na wala hamchukii ispokua anaeleza yale yalojiri kosa kubwa lilitokea ni kwa miaka mingi kuonesha Kua ni Nyerere peke yake ndio aliofanya harakati za uhuru kitu ambacho si kweli Huyu ndio anaweka wazi wa yale yalioachwa kusemwa

    • @froma3732
      @froma3732 День тому +1

      Ukweli unauma ukiwekwa wazi ndio inakuwa Anamchikia