PASTOR EZEKIEL ASIMAMISHA MJI WA MWANZA CCM KIRUMBA KUKAGUA UWANJA KWA AJILI YA MKUTANO WA TAR 24
Вставка
- Опубліковано 27 сер 2024
- Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
UA-cam : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...
TANZANIA 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 YOU'RE BLESSED JESUS HAS VISITED YOU THROUGH EV.EZEKIEL & PASTOR SARA SEVERALLY DO NOT HESTITATE TO RECEIVE HIM ❤WE LOVE YOU SO MUCH ‼️🙏
Tanzania naona baraka zikimwagika huko,mungu usisahau kunibariki ukibariki wengine na familia yangu yote blessing na vic wote na mamayao ma pia mtumishi wako Ezekiel amina.. from Kenya 🇰🇪
I connect myself, my family and my husband kwa ibada itakayo fanyika Tanzania, tuzingire na damu yako Yesu christo. Tulinde, tubariki, tufanyike baraka kwa jina la Yesu christo 🙏
Pat is Ezekieli is so loved by Tanzanias..may God bless you daddy..watching from 966
Wow nice welcoming❤❤❤❤mungu unapobariki watanzania nasi Kenya usituache
Following from Nairobi Kenya,may God bless you all.🙏🙏🙏
Amen Amen Amen baba yangu mungu hakutiye katika kazi yake. Na hufunikwe kwa damu ya yesu skriste Amen 🎉🎉🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇧🇻🇧🇻
Mungu akuongoze katka njia upitao mtumishi wa mungu Ezekiel
My dad in Tanzania, am ever happy, through your hands God has saved me.
Mungu barikibaba yetu tanzania asante kwa kufika huko
@elmeldahke mungu nashukuru Tanzania ibarikiwa amina
Asante Mungu kwa kazi njema za Mtumishi wake Pastor Ezekiel❤Mlinde na kuikomboa Tanzania kupitia Kigali ulichoachilia kwake🎉❤
Haleluya watumishi watanzania mungu azidi kumu
Mungu minashukuru kwaajiri ya taifa langu la Tanzania na Asante nikwasababu ya upendo wako kwa taifa langu ninaomba neema na baraka watakazo zipokea Jiji la mwanza kupitia maombi ya mtumishi wako Ezekiel nami nibarikiwe kwajina la yesu Ameen
Mungu wa madhabahu yangu newlife naomba unipe kibali na nyota ya ufanisi maisha yangu yabadilishwe na wewe bwana
Karibu sana mwanza baba utuhudumie kama roho mtakatifu alivyokuamuru
Baba karibu sana Tanzania tunakupenda watoto wako baba nakuomba uchukue magonjwa yanayonitesa mimi na familia yangu umkabithi Yesu Amina
Amen,,viogozi wa kenya walidharau injili yko,,,bila kujua kuna inji ctakuitanji zaidi kama mwanza,acha Mungu aitwe Mungu Pastor ubalikiwe
One of the best presidents pastor in the world we love you so much EV Ezekiel my spiritual dad may almighty God be with you every day every where
Mungu pia naomba huo mkono nibarikiweAmen
Mungu akubariki Baba yangu kufika nyumbani mwanza neema ya kristo itawale mwanza mimi niko Marekani kwasasa Bwana Yesu akutumie Baba watu wa mwanza wakombolewe wote
Servant of most high
Mwanza you are already blessed
Amen ,mungu akupe ulinzi na aongeze majeshi wengi kwako ukiwa mwanza Amen
Ameeeen napokea babaangu
Baba mungu bariki kazi yangu
Amen
Pastor mungu akubariki zaidi uzidi kueneza neno lake kwa wingi
NAMI napokea hizi baraka kutoka baba yetu
Karibu na Kagera
Pastor pls come back to kitengela. Rains or no rains we are ready. I really miss it. Come back. Am jealousy waiting for the day.
Mungu bariki maisha yangu
Ameni ameni karibu baba🙏
Karibu sana tanzania mchungaji
🎉Ameeeeen Ameeeeeen mungu tu
Rita aki mungu nimzuri sana asidi kukuongoza hata kama wanakupinga vita ya mungu ni ya mungu tu akisema anatenda hakuna wakupinga yote yawezekana kwa
Tz mbarikiwe sababu mlikaribisha baba wetu wa kiroho
WAU nakubali AMEN 🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏😎
Najiconet kwa hii madhibahu ya mwanza opamonja na wayoto wangu wapoke nyota kilumba ukomboe watoto wangu
Ameni
Karibu sana
Asante mtumishi, mimi nipo Dar nataka nifike hapo Mwanza kwa maana nimerogwa kisawasawa na wachawi wamenambia nitamaliza makanisa yote na sintapona
Mungu tenda hata kwangu
❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
How l wish l be there
Na sisi majumban tuaisaueke jion ya leo
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Karibu Tanzania
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Amen Amen Amen
Madhibahu yangu ya newlife ibalikiwe wapone ,wafunguliwe
Mungu kumbuka wenzetu bako mu Kamp nyarugusu
Nani kama Mungu pasipo yeye mwanadamu hawezi 🙏🏻
Amen amen amen
Baba batiki watoto wangu biashara
Huyu mchungaji hata manyoka nyoka
Akika nilipona na nitahuzuzilia mpa tareh28
Amani
Ama kwa kweli Nabii hapendwi kwao,,huku kenya ata hatumuoni ni mtumishi wa yaan tunamuona tu km mtu wa kawaida 😢
Aimidiwe
N
Chanel gani tuangalie kwenye Tiv😳😳😳
WORLD EVANGELISM TV
Tuone kama mtayapata hayo magari sasa
Watapata
Faith n kila kitu dear ukidoubt ukakaa n Imani huponya Imani hubariki ukiamin mungu yawezekana
We nawe watumika
Sasa kama kilakitu ni yesu ndio anafanya swali ni jee?? Mungu kazi yake nini ????????
Akitoka Mwanza mfuatilien kama mtamsikia akivuma tena. Amekanyaga jiji la Mfalme Zumaridi hiyo nguvu anayo wadanganya watu imefungwa tayari kwa jina la Zumaridi
zumaridi Mungu wako hahaahaa
Yaan utasubiri sana huyu sio kama huyo unaemwabudu..
Zumaridi ndie nani jamani...Mimi mkenya na simfahamu uyo zumaridi... pastor Ezekiel ni international pastor, sio pastor wa vibanda kama huyo zumaridi wenu😂😂😂😂
Zumaridii kipepo hako hamtakasikia tena
Wewe acha ujinga mungu atak bwebwe yadunia acha duniani.
Amen
Amen Amen Amen
Ameni
Amen
Amen
Amen