Asanteni sana mungu awabariki tunaomba mtuandalie movie nyingine nzuri na kali sana kama au zaidi ya last card wanao ungana nami gonga like hapa🎉❤🎉❤🎉🎉🎉
Tunashuru sana mungu awajaliye kwenye kazi zenu nawapenda sana mlicheza vizuri sana hamja wahi kuniangusha hâta Siku moja karibuni kwetu Burundi rumonge tunawakubali sana
Wah kazi nzuri sana Kwa kweli last card n kipindi kilikuwa kitamu sana wap likes kw wenye tuliaza mwanzo Ady final much love ❤❤❤❤ kw KP na zebuu pia WA husika wengne kazi zuri sana
Kazi nzuri saana teena saana jamani, Mungu awabariki piya awape ujuzi zaidi saana. Nimewafuatiliya tangu mwanzo hadi mwisho, naomba likes zangu za Final jamani
Kp jaman hizi move zako zote natazama sijakosa hata moja ya kwanza binti nyoka,ya pili benzema ya tatu mzee wa giza ya inne dada na kaka naya tano last card sote nilianza mwanzo hadi mwisho lakin hata hunipi like zangu na mm kma wenzangu nawapenda sana mungu awajalie vipaji vyenu inshallah 😢😢❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Team kp na zebuu tunawapenda sana ...ila namupenda sana shey shey kwakweli anajuwa kaz yake yupo serious sana namupenda muze likoma na diboz kwakweli mupoke mauwa yenu 🎉🎉🎉 Norah hongela sana nipo south africa asanteni
Yani nimekuwa wa kwanza alafu bando linakata wakati nmeonywa simu iwe na bando...... nmekimbia dukani kama chizi..... cwez kosa uhondo jamani.... aya dondosha like basi kma unakubaiana nami..... Mauwa yako kp 🎉🎉🎉🎉
Yandio inafikia bazuri ati imeisha waaa kp tutafutie ingine kali kapiza tunakupenda. Nakufwatilia kila movie nikiwa saudi arabia❤❤❤❤❤ sheillah nipe like zenu jamani nyite mwaaaaaaaaaaa
Number one leo ni mimi ❤❤❤❤❤ nipeni likes zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu FROM CONGO Drc
Walai nimefurahi pia mm congratulations nolaa KAZI nzuri sana 💞 nawapenda sana pia kp, zebuu na shila wako poa sana 💞 na likoma pia na shulac keep it up the good work ❤❤❤❤❤
Hongeleni sana wapendwa. Pokea salamu zangu kutoka Burundi . Ndabakeje cane vyimva mutima. Ntamajambo mbona nokoresha mukuvuga uburyo mwampimbaye muburyo mwakinye neza . I love you all .keep it up my brothers and sisters u Did well . Nawatakia ALL THE BEST
Malgré tout je vous aime j'ai commencé la série dès le début une film qui donne la solution des problèmes qu'on donne à quelqu'un qui n'est pas intéressé je vous suive encore No stress Ntare7 à Bujumbura Burundi❤❤❤❤❤
Asante Sana KP nimefurahia sana kuwatch kipindi hiki na nimependezwa nayo mungu azidi kuwapa baraka na nguvu ya kutuandalia kipindi ingine tamu kama hii shukran Sana❤️❤️❤️
Aya finally lakini siyo mwisho najua utaleta tena kitu yamoto kama hizi (binti nyoka)(wamangushi)(na rast ♦️♠️ nawakubali wote mnao shilikina nao nawatakia maandalizi mema ya kp na kundi lote from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 penda sana 🎉🎉🎉
Wooow so amazing!❤enyewe nmefuatilia mpaka nkaiona hio last card pia...with very big life lessons which i can't explain them all...kila mmoja wenu ameper4m vizuri...haswa "Sheyshey"-you deserve to be a Mwanasheria"...(napenda ujasiri wako na utendakazi wako)..pili "Zebuu na kp"-mmenifunza mengi kuhusiana na mapenzi na jinsi ya kuteteana kwa kila hali..hata mi natamani nipate mume ambaye tutacheza naye na kudefend each other kama nyie..nawapenda...Norah-gd job ulikua unamhelp Kp kwa kumficha.Dar kid good job..Dibozi gd job bt next tym be very keen ..Suraj & Likoma..pia gd job..please leteni new episode twaingoja sana...❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉congratulations to you all..watching from Kenya Bungoma County 049.
Hongera sana kp na kikosi chako kwakwel mumefanya vzur kwenye hii Last card nimekua nanyi tangu mwanzo adi mwisho kwakwel mpo vzur sana Mungu azidi kuwaongoza katika kazi zenu Much Love from Kenya 🇰🇪❤️❤️
tulio fatilia last card kwanzia episod ya 1 hadi final oyeeeee ushind kwa kp noraty zebuu mrs shei shei na dar kid oyeeeee tupeni nyingine basiiiiiii ilove you to remeber
Aki mbona hii episodes imeisha,,,,nimeenjoy sana hii video kwa hakika nawaoenda hawa wahusika wa hii video mojawapo kp na zebu nawapenda sana,,,,,,napenda video zenu na Mungu Awabariki pia
Wa kwanza leo nipeni likes zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩💯♥️💯♥️💯♥️
Appreciate Sana kp nawakubali Sana, unajuwa movie zenu uku mtaan znakubalika sana cc wenye library tunajipiagia hela tu kazi nzuli Sana mungu awajalie uzma, mtuletee chuma kingne chamoto 👍
Kazi nzuri sana appreciate kwa agent x ,ms Shei Shei Zebu , Mr Diboz mzee likoma ,Dar kid na suraja hakika mmetufanya tujenge furaha na matumain pasipo na njia ,,by next time tunahitaji kazi nzur kama hii.
Hongereni sana Tamthilia hii naweza sema ni moja ya tamthilia bora hasa kwa upande wa Cyber security, mmeweza kutoa mafunzo kama yaliyopo katika movie ya Beekeeper. Pili ni tamthilia yenye maudhui makubwa ya kijasusi na kipelelezi, mmejitahidinsana kuonyesha viwango vya juu ya upelelezi na tumeona jinsi idara ya Usalama wa Taifa imavyokuwa na mamluki ndani yake Pia, mmeonyesha namna vipaji adimu vinavyofanya kazi, tumeona familia ya Likoma ilivyodili na majasusi na hata kuwashinda, mategemeo, kama ikija season tu, basi tunatarajia kuona kuwa mzee likoma alikuwa jasusi mbobezi. Hongereni sana sana sana
Hakika mnaweza , mmetufundisha meng sana ikiwemo uvumilivu ndy iliyobeba apo, na usimdharau mtu usiyemjua iliyokuwa kwa bhn nora haikuwa rais kuaminika ila imekuwa imekwisha vizur sana❤️❤️,tupo p1 nanyi mtuandalie kingne kigongo kushinda hii like zenu kama mnaipenda hii tm ya kp na zebu
Safi sana tunashukuru Sana Mungu aendeleye kuwaongezeya nguvu tumejifunza mengi kupitiya last card kisai akuna kisecho fika mwisho Léo mabaya yako yameonekana hazarani nawapenda Sana Mimi Niko Congo Bukavu
Jamani munikunbuk namimi hata like10basi from Burundi 🇧🇮
Asanteni sana mungu awabariki tunaomba mtuandalie movie nyingine nzuri na kali sana kama au zaidi ya last card wanao ungana nami gonga like hapa🎉❤🎉❤🎉🎉🎉
nyie nimafund kp shei shei nola na bos wala nola IT mpo good san metish nimemaliza faino sas 2nasubili chuma kingini kwaichi last card mko saf
Asante Sana nimeipenda last card mmefan vzr
William morning does Michigan University
@@asumaniangabe best bongo movie i have ever watched
Mim sio wa kwanz ila naomba like mbn mm ni mfatiliaj mzurii tuu hamnipei hata hzo like..
Kiukweli movie ni nzuri sana Kwa tuliofuatilia kuanzia mwanzo sheyisheyi,kp na zb pokeeni maua yenu nimependa sana mlivyocheza♥️♥️♥️♥️
Jamani patapoyaa mmakwenda mno slow.. toeni episode haraha hataka kama
wengiaane
Tunashuru sana mungu awajaliye kwenye kazi zenu nawapenda sana mlicheza vizuri sana hamja wahi kuniangusha hâta Siku moja karibuni kwetu Burundi rumonge tunawakubali sana
Wah kazi nzuri sana Kwa kweli last card n kipindi kilikuwa kitamu sana wap likes kw wenye tuliaza mwanzo Ady final much love ❤❤❤❤ kw KP na zebuu pia WA husika wengne kazi zuri sana
❤❤❤❤❤❤
Very creative story indeed .
Really appreciate much love from saudia Arabia like zangu ata mbili jamani ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Noraumefanyakazinzuri
Kazi nzuri saana teena saana jamani, Mungu awabariki piya awape ujuzi zaidi saana. Nimewafuatiliya tangu mwanzo hadi mwisho, naomba likes zangu za Final jamani
Kp hongeraa sanaaa
Congratulations sheila dad kid zebu na kp suraji na likoma na dabozi good good love you guys 🎉🎉❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰next please nisiboeke akiiii😮
Hongera norah wewe ni jasir sana ❤❤❤ big up shey sheila kwa kuimaliza game HONGERA ZENU KP NA ZEBUU FAMILY ❤❤❤❤❤ LOVE YOU ALL
Aliyefulahishwa 🎉na game ya nolla na zebuu njoni hapa😂 congratulations 🎉 for this movie kp🎉
Nipo pamoja nanyi
Kp jaman hizi move zako zote natazama sijakosa hata moja ya kwanza binti nyoka,ya pili benzema ya tatu mzee wa giza ya inne dada na kaka naya tano last card sote nilianza mwanzo hadi mwisho lakin hata hunipi like zangu na mm kma wenzangu nawapenda sana mungu awajalie vipaji vyenu inshallah 😢😢❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wamangush je
Umesahau wamangushi mwaya🤣🤣
Na wamangushi pia
Wao NAWAPENDA jamni kp na zebuu
Nyingine wamangushi umesahawu
Woooo nmewahi jmooon ambao walikuw wamemisx kumuona xxxx weka like zenu
Npen like zang tok ianz leo ndo nacomment kw furaha ya hal ya juu big up kw mafunzo mnayotoa mungu awazidishie team kp amiin🎉 chukuen maua yen🎉
Kazi mzuri kabisa.
Heko kutoka humu kenya 🇰🇪.
Mpewe TUZO kwa hii jameni.
Tutazidi kuwafuatilia
Yaan nimeisubiili kwa hamu sana dahh waoooo very nice naomben like jamn hata kumi
Mim ni mvivu wa kucoment, lakn kwa hapa hakika ukweli usemwe tu mmeupiga mwingi, HONGERENI🎉🎉🎉
Wapewe maua yao😊
Wa Kwanza Leo naombeni likes zangu, last card family, all the way from cape town South Africa
😊😊😊😊😊😊😊😊
wapenzi wanhii movie bongo uya last card nipeni like km mmeipenda sn km mm mtoto wa hapa inchini burundi
Kicheko chako kinakera kisai from kenya like ata tano ata japo nmechelewa
Walai anaboo
Kweli kabisa
Anaboa sanaaa
Mm hua ananiboo sana na kicheko alafu ako na kelele nyingi mno, hua nafurahia akishindwa mwisho wa filami
Waoooo ime pamba moto tulio kuwa tuna isubiria kwa hamu gonga like apa ❤️❤️❤️❤️❤️
Team kp na zebuu tunawapenda sana ...ila namupenda sana shey shey kwakweli anajuwa kaz yake yupo serious sana namupenda muze likoma na diboz kwakweli mupoke mauwa yenu 🎉🎉🎉 Norah hongela sana nipo south africa asanteni
Hakika mnajitahid sana kuwa wabunifu
Kaz nzuri sana
I like your love story
Waaah nice job nimekuwa nikifuatilia hii kipindi toka mwanzo mpaka leo hii ni mwishowe❤❤❤❤❤much love
ndio naendelea kufwatilia vipindi na michezo yenu,,nashukuru na kuwapenda sana toka Kenya,hakika tunajifunza mengi pia na muendelee kuact ❤❤❤❤❤
Hongereni kwa kazi yenu nzuri nyote mulio husika, mungu awazidishie maisha marefu ili muendelee kutupa mafunzo mengi na mengi, Chukueni mauwa yenu
Norah karata yako leo umeicheza vizuri sana kuliko karata zengine kama unakubaliana na mm gonga like hapa
Aise nafuraiya sana eri kwisho kuliko kwazo❤❤❤
Good job my siz ❤❤
Yani nimekuwa wa kwanza alafu bando linakata wakati nmeonywa simu iwe na bando...... nmekimbia dukani kama chizi..... cwez kosa uhondo jamani.... aya dondosha like basi kma unakubaiana nami.....
Mauwa yako kp 🎉🎉🎉🎉
😂😂😂
😃😃😃😃
😂😂😂😂
Watu watumia wifi siku iz we upo mwaka gan 😂😂😂
NiAye kwe ukonafata ❤❤❤❤❤
❤❤❤❤wow! Hatimaye tangu mwanzo hadi mwisho. Nipeni hata like moja ya bundle jamani,Alafu Norah alivyokuwa akikonyeza jicho 😘😂😂
Salute c* Nora hakika nafurahi kuona uhalisia hakika mwomba MUNGU hachoki Nawapenda 💗💗💗
Tuliokua tunaifatilia last card kuanzia episode ya kwanza mpaka finally Leo tujuane🎉🎉❤❤❤❤
Mimi hapa
Tuko tele tulikuwa tukiikosa twaumwa 😂😂
Niko hap
Nipo hapa
Nko hapa
Km una penda agent xxx (Norah) pita n like kaupiga mwingi km mfanyakazi n mpelelelezi 🎉🎉🎉
uhakika
Yani ni tamu mnoo jamani .
Nmempenda sana (Norah) 🎉🎉🎉
Inawaka😢😢😢❤❤❤
Good job
Yandio inafikia bazuri ati imeisha waaa kp tutafutie ingine kali kapiza tunakupenda. Nakufwatilia kila movie nikiwa saudi arabia❤❤❤❤❤ sheillah nipe like zenu jamani nyite mwaaaaaaaaaaa
hii move inafundisha sana jamani haki kwa binadam ni jamb la muhimu sana kama mnakubaliana na mimi tia like ata mbili apo
Hongereni sana kwa higizo hii lenye viwango viwango vya juu kabisa na inafurahisha kabisa.
Mungu azidi kuwapa ujuzi zaidi.
Number one leo ni mimi ❤❤❤❤❤ nipeni likes zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu FROM CONGO Drc
One of the best series in this year, congratulations team kp ,kp you deserve it 👏👏keep it up broh coz you can
I appreciate your work team Kp 🎉🎉🎉🎉 good job we are waiting for binti nyoka season 2 may ALLAH bless you abundantly 🙏🙏
Walai nimefurahi pia mm congratulations nolaa KAZI nzuri sana 💞 nawapenda sana pia kp, zebuu na shila wako poa sana 💞 na likoma pia na shulac keep it up the good work ❤❤❤❤❤
Nola hongera sana kp sheishei kazi nzuri zeb pamoja na dar kid kwanza mlio ifanya
WA kwanza jamani wenye tumemaliza last card gonga like apa
❤
Hongereni sana..
Hongeleni sana wapendwa. Pokea salamu zangu kutoka Burundi .
Ndabakeje cane vyimva mutima. Ntamajambo mbona nokoresha mukuvuga uburyo mwampimbaye muburyo mwakinye neza .
I love you all .keep it up my brothers and sisters u Did well . Nawatakia ALL THE BEST
Malgré tout je vous aime j'ai commencé la série dès le début une film qui donne la solution des problèmes qu'on donne à quelqu'un qui n'est pas intéressé je vous suive encore No stress Ntare7 à Bujumbura Burundi❤❤❤❤❤
Dah hakika nimejifunza vitu vingi sana walio jifunza kama mm mko kweli ❤❤❤❤❤❤
Best African movie ever...
Ingekuwa na subtitles za English ingekuwa one of the best duniani.
Team last card, that's big for u..
Bravo bravo bravo
Kazi nzuri sana😂😂😂😂😂 ningependa isiyishe .pole san kisai unakoma.tena una roho mbaya . Nola agonge 🤜🤛 ❤❤❤❤❤ .
Asante Sana KP nimefurahia sana kuwatch kipindi hiki na nimependezwa nayo mungu azidi kuwapa baraka na nguvu ya kutuandalia kipindi ingine tamu kama hii shukran Sana❤️❤️❤️
Aya finally lakini siyo mwisho najua utaleta tena kitu yamoto kama hizi (binti nyoka)(wamangushi)(na rast ♦️♠️ nawakubali wote mnao shilikina nao nawatakia maandalizi mema ya kp na kundi lote from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 penda sana 🎉🎉🎉
Kp nakubali unajitahdi xan mungu akubalik katka kaz zko🙏🙏🙏🙏
Wooow so amazing!❤enyewe nmefuatilia mpaka nkaiona hio last card pia...with very big life lessons which i can't explain them all...kila mmoja wenu ameper4m vizuri...haswa "Sheyshey"-you deserve to be a Mwanasheria"...(napenda ujasiri wako na utendakazi wako)..pili "Zebuu na kp"-mmenifunza mengi kuhusiana na mapenzi na jinsi ya kuteteana kwa kila hali..hata mi natamani nipate mume ambaye tutacheza naye na kudefend each other kama nyie..nawapenda...Norah-gd job ulikua unamhelp Kp kwa kumficha.Dar kid good job..Dibozi gd job bt next tym be very keen ..Suraj & Likoma..pia gd job..please leteni new episode twaingoja sana...❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉congratulations to you all..watching from Kenya Bungoma County 049.
MSINISAHAU NAOMBA NA MI MNIPE LAST LIKE ZANGUUUUU
Wakwanza Leo from tz like zenu jaman
Hongera sana kwa kazi nzuri kp na Zebuu pia Norah umeicheza vizuri sana next tuletee binti nyoka season 2 much love from Kisii 🇰🇪 💪💪💪💪💥💥💥
Jaman tusizalauliane kwakumjua mtu kwa mda mfupi akili kumkichwa gonga like zakutoshaa!!
Hii movie ni baraa Hawa watu wameiunda kiundani Zaid yaan kp na timu yako mnajua mpaka mnakera sichoki kuwaangalia🔥🔥🔥🔥🔥💯
Norah courage bien👍 joué félicitations🎉🎊🎉🎊
Hongera sana kp na kikosi chako kwakwel mumefanya vzur kwenye hii Last card nimekua nanyi tangu mwanzo adi mwisho kwakwel mpo vzur sana Mungu azidi kuwaongoza katika kazi zenu Much Love from Kenya 🇰🇪❤️❤️
Last card ♦️ in last episode
Man from no where I need some like
Mm naona nitakua wa mwisho lkn movie ni nzuri inatia hamasa ya kutokukataa tamaa pull up kazi nzuri nanyi msikate tamaa kutupa vitu vizuri 🇹🇿
Waa hapa Nora amecheza poa kweli, I say congratulations 12:03
Waooow mashallah Mashallah Mashallah nimefurahi toka mwanzo had mwisho hongera sana kwa kazi nzuri mungu awazidishie ❤❤❤❤❤❤
nakukubal sana shey shey
Final episode ilikuwa fantastic sana🎉Nina hakika mwisho wa utamu ndiyo mwañzo wa vitamiu❤❤❤❤❤❤❤❤
Leo si wote wakwanza chefuu,Nora apewe like zote
🎉🎉🎉 Norah hongera sana dasa🎉🎉🎉♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️na wapenda Sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉kwa hakikaa kp una kipaji kikubwa Sana 😁 hongereni Sana hamjamaliza vibaya🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
❤❤❤❤❤❤❤❤
Watatu leo alaf ni episode ya mwisho naombeni like jamn ata 10 tu sijawah pewa like tangu last card inaisha❤❤❤❤
Tamu xannaaa
@@marianachumbageni-v3r kp umeua
Tuleteeni Binti nyoka
❤
@user-sr😊😊😊😊😊😊😊4fm9dc1p
Jamani da kid pia apewe hongera Na mzee likoma na ank surag wote hongereni love you xxx🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Likes zangu bado Niko , watching from Zambia ❤❤❤❤
tulio fatilia last card kwanzia episod ya 1 hadi final oyeeeee ushind kwa kp noraty zebuu mrs shei shei na dar kid oyeeeee tupeni nyingine basiiiiiii ilove you to remeber
I have like this movie jamn ❤❤❤
KP na jeshi lako pokea 🥀🥀🥀🥀 Kwa ajili ya kazi yenu safi.
Nora god job congole kweli umecheza vizuri sana
Waooh congratulations u all kweli baada ya dhiki Ni faraja❤❤I salute you all , Norah wewe Ur more the best ♥️♥️♥️
Leo nimewai wa kwanza hahahaha aya tusalimiane team furus team kupambana team WiFi team kazi kazi 🔥🔥 big up KP ❤❤❤❤
Aki mbona hii episodes imeisha,,,,nimeenjoy sana hii video kwa hakika nawaoenda hawa wahusika wa hii video mojawapo kp na zebu nawapenda sana,,,,,,napenda video zenu na Mungu Awabariki pia
Jaman nataman Tena nawasalimia group lite pokeen Salam zang kutoka mwanza town napatikana isamilo lete nyingine kp na zebuuu nawapendaaaa😢😢😢😅😅😅😅
Mi wakwanza leo kp bigap sana🎉🎉🎉
Wa kwanza leo nipeni likes zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩💯♥️💯♥️💯♥️
Sitachoka kurudia hii episode kwakweli imenifurahisha sana❤❤❤❤🎉
Nimefrah Sana kuangalia hii story nzur sanaaa hongeren kp na zebuu mnakipaji Mungu awalinde
Mashallah kazi nzuri Ahsanteni sana tuna subiri kitu kipya chengine sasa kama ulivyo sema kp kwamba hakuna kulala ni kaz tu swabra from zanzibar
Ongera sana kp kwa kazi nzuri tulikuwa tumesubiri last card kwa hamu sana
Wakwanza Jaman nipeni like zangu from Burundi 🇧🇮🇧🇮
❤❤❤ unyamaa mwingi sana honger San nor nip like zang
Kazi nzuri kabisa yani mimi mapenzi ya kp na zebuu ndo yana ni kosha miye paka na tamani jamani
Jamani uwongozambi achatu niseme kisai sijampenda hata robo mungu anisamehe kwailibhua nampenda akiwa kwenye sekta ya ugangatu
Hata Mimi sijawah kuomba like ila Leo naomba maana huko fb nilitabiri kwamba itakuwa ya mwisho 🤣🤣🔥🔥🔥
Nasukur
Vp itaendereya jamani
😅yo
Uyooo😅
Naona mnapika daku team furus eeeee mie nimewai leo nipeni mauwa yangu mapema Ex Ex Ex❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
🌷
🌷🌷🌷❤️♥️♥️
Hohohohohoho norah basi agent hohohhoho kazi nzuri sana bg up kwenu mpo vizur
Enchanté mai cher frère Un sœur merci ku maonyo kazi njema, tulikuwa nawafuata 5juya5 toka congo drc goma asante kwa kazi
Appreciate Sana kp nawakubali Sana, unajuwa movie zenu uku mtaan znakubalika sana cc wenye library tunajipiagia hela tu kazi nzuli Sana mungu awajalie uzma, mtuletee chuma kingne chamoto 👍
Hii ndio tulikuwa nangoja hongera kwa kazi nzuri
Pls kp ombi lang kwenu km hii move imeisha bs Msichelew kutuletea tamthilia nyngn mpy🙏🙏🤝🤝🤝
Kazi nzuri sana appreciate kwa agent x ,ms Shei Shei Zebu , Mr Diboz mzee likoma ,Dar kid na suraja hakika mmetufanya tujenge furaha na matumain pasipo na njia ,,by next time tunahitaji kazi nzur kama hii.
Hongereni sana
Tamthilia hii naweza sema ni moja ya tamthilia bora hasa kwa upande wa Cyber security, mmeweza kutoa mafunzo kama yaliyopo katika movie ya Beekeeper.
Pili ni tamthilia yenye maudhui makubwa ya kijasusi na kipelelezi, mmejitahidinsana kuonyesha viwango vya juu ya upelelezi na tumeona jinsi idara ya Usalama wa Taifa imavyokuwa na mamluki ndani yake
Pia, mmeonyesha namna vipaji adimu vinavyofanya kazi, tumeona familia ya Likoma ilivyodili na majasusi na hata kuwashinda, mategemeo, kama ikija season tu, basi tunatarajia kuona kuwa mzee likoma alikuwa jasusi mbobezi.
Hongereni sana sana sana
Hakika mnaweza , mmetufundisha meng sana ikiwemo uvumilivu ndy iliyobeba apo, na usimdharau mtu usiyemjua iliyokuwa kwa bhn nora haikuwa rais kuaminika ila imekuwa imekwisha vizur sana❤️❤️,tupo p1 nanyi mtuandalie kingne kigongo kushinda hii like zenu kama mnaipenda hii tm ya kp na zebu
Naomben na mim maana tangu last card ianze cjawah kuwaomba like mnipe jaman kwa moyo wa mungu
Duu Yan Hadi unamshilikish mung utafikl hizo like ni chakula
Kwa kwel kisai anajua kuigiza sana huyu jamaa n nomah sana
Wa kwanza jaman leo nipeni like zangu wapendwa, kaz nzur sana wapenzi wetu from Kenya 🇰🇪
Merci kufata
Dar kid ,ah excellent,n for you agent x,wavutia sana,zebuu the beutiful one napenda movie zenu sana,patrick munguti Nairobi kenya