RUDISHA NYUSO ZA FURAHA KWA WANA RUFIJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Sheikh Walid A. Omar Kawambwa akiwa Wilayani Rufiji kutoa Msaadaa na Kujumuika na Baadhi ya wajumbe Kuwafariji wahanga wa Mafuriko akipokelea na Mwenyeji wao Mkuu wa wilaya Meja Edward Gowele

КОМЕНТАРІ • 12

  • @hassanmakame
    @hassanmakame 4 місяці тому +1

    Maashallah....mambo mazuri hayo...Baarakum Allah

  • @mariamally8548
    @mariamally8548 4 місяці тому +1

    Walid upo vizuri mno unajua kuongea sana na kuivuta hadhira nyoyoni mwa watu Allah akulinde kwa kila jambo

  • @HadijaSudi-ep9kq
    @HadijaSudi-ep9kq 4 місяці тому

    MashaAllah

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 4 місяці тому

    MashaAllah ❤❤❤
    Mungu atawalipen kwa hilo

  • @seifathumani4339
    @seifathumani4339 4 місяці тому +1

    Hakika allah atawalipeni nyote mlioshiriki kwani ni jambo kubwa mmelifanya ktk kuwapa faraja wana rufiji Allah awabariq inshaallah

  • @user-jj8hs2kc4z
    @user-jj8hs2kc4z 4 місяці тому

    Mwamba huyu...mola akuhifadh mwamba wetu sheikh walid

  • @hidayakhamis936
    @hidayakhamis936 4 місяці тому +1

    Shekh Walid Alhad mfano mwema wa kuigwa

  • @mariamally8548
    @mariamally8548 4 місяці тому +1

    Salam tatu kwa wakati mmoja bwana yesu asifiwe,tumsifu Yesu kristo itikieni tu kwani kuna ubaya gani wasuwahili walisema pumbavu likipumba pumbanalo maana hapo nyote ni waislam kwanini lisalimie hivyo