Poleni sana WATANZANIA wa Fufiji tunaimani naserikali yenu yenye sifa ya usikivu itaonyesha UMAHIRI WAKE wa utukufu wa kuwalinda wananchi bila kuchelewa Mungu awape ujasiri muwezekumudu mtihani unaosababishwa na miundo mbinu ya walioaminiwa na TANZANIA 🇹🇿
Poleni sana ndugu zetu Watanzania,sikujua hali ni mbaya vile navyoona.Watu wa muto rufiji wanahitaji usaidizi kuokoa maisha ya watu.CCM wako wapi?Nimesikitika sana nikiwa hapa Nairobi.
John Pambalu ameongea point kanakwamba asiyezingatia lazima atakuwa na utaahire wakijinsia kupuuzia ufafanuzi bayana wa dhiki waliyo zushiwa na wataalamu walioaminiwa na Taifa hakika ni JANGAKUBWA LA KITAIFA LINATAKIWA KUTANGAZWA KIMATAIFA NA SIKU ZA USONI WATADHARILIKA WA WALIOZUWA MAHANGAMIZI HAYO YA WANANCHI WAO 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Rufiji ndo nyumban mm nimezaliwa Zanzibar naishi Canada poleni jamaa zangu serekali ya tanzania inaubaguzi kwa sababu rufiji wananchi wengi wapinzan lakin naiyomba serekali iwasaidie nao pia watanzania
Polen sana nduguzetu Kwa majanga..tunajuwa serikali imewatelekeza na Haina hamu ya kuwasaidia wanacho juwa wao ni kukata 2000 Kwa ajili posho zao ziongezeke..
Jamani mbona SASA miradi mingi mipya inaleta maafa, maana huku Morogoro kihonda lukobe na kihonda SGR imetuathiri sana kwa mafuriko makubwa ya hatari sana, ni kweli reli tunahitaji lkn yaliyotokea ni hasara kubwa kwa sisi maskini na tumeharibiwa maisha, wekeni watu makini ktk miradi wasiowaoga kutumia taaluma yao😮
Ahsante kwa Ushauri wenu Chadema, ila Serikali iko makini, ila nasikitika kuona Wazee wetu wanakuwa Vibaraka wa Chadema, lakin Wana Rufiji ni watu waelevu pia tuna Imani na serikali yetu. Poleni Muhoro Serikali iko pamoja na Ninyi. KAZI IENDELEE.
Hebu acheni siasa, Mbunge wa Upinzani kazi yake ni kula posho tu, majukumu yote ni kwa Serikali iliyopo madarakani. madarakani. Kama hoja yako ni sahihi hawa ni CHADEMA hao CUF wako wapi?
Acha siasa za maji taka, wale waliotwambia bwawa halitajaa kwa miaka 5 kwa kuharibika ikolojia. Mbaraka Mwinshehe aliimba wimbo wa kuwapa pole wanarufiji. Maana yake hii hali hutokea.
Nchi kalijia za kiarabu hl tete ht kz na mashuleni hakuna kwnd,dubai mpk ndege zinasombwa na maji hakuna usafili wa anga, mungu anafanya maajabu yake mn yy ndo mwny dunia na vilivyomo ndani
Kikubwa tumuelekee mungu kumuomba atusamehe makosa yetu tatizo laana imezidi hasa ya ulawiti acha kuilaumu serikali serikali binadam kama wewe muelekee mungu kwa duwa😂😂😂😂
Mchungaji au kiongozi wa kiimani sijui msimamo na lugha uitumiayo kueneza chuki kwa watu. Arusha na baadhi ya mikoa mafuriko yapo je yamesababishwa na nini aueleze Umma. Ni kweli kila taasisi za kidini ziwe na usajili hii nitatizo kuwa na kauli zenye utata kutoka kwa kiongozi kama hawa Mungu ibariki Afrika
Mazingira magumu yanayo wakabiri Wakazi wa Lufiji Selikali inajukumu LA moja kwa moja kuhakikisha maisha yana nusuliwa.Maji kumbe yamefunguliwa na tanesco? Basi kama kuna atakaekufa au kujeruhiwa basi taasisi husika iwajibike.
Janga la ushoga na madawa ya kulevya ambalo linaharibu vijana wetu wengi mbona hawalisemi hawa. Wamekimbilia mafuriko ambayo yapo kila mahali na ni nje ya uwezo wa mwanadamu.
Mwanasiasa akikwambia usiku mwema, toka nje kaijiridhishe je ni kweli ni usiku or mchana, hao hao wanataka umeme wa kudumu, hao hao wanasema bwawa limesababisha mafuriko wakati mafuriko hayo yaliwahi tokea hata miaka ya nyuma kabla ya hilo bwawa so hawa ndugu zetu wawe na kiasi
Wewe askofu uchwara tukio kama hilo lilitokea mwaka 1978 muulize Mbaraka mwishehe aliliimba tukio hilo ingia UA-cam utapata je kulikuwa na bwawa? Acheni siasa kwenye maisha ya watu bwana
Anauwezo wa kuahidi magori kwa milioni kumi kwa kila gori kwenye mafuriko hakuna ahadi iliyo tolewa mpaka sasa,. Na hii ndiyo serekali ya ccmu na uongozi wake!
Mafuriko yapo kila kona jamani,huku Arusha ni bwawa pia??kabla ya Bwawa Rufiji ilikuwa ikifurika kila mwaka,nafikir ni namna tu ya serikali kuwasidia wananchi hasa malazi na chakula kwa iki kipindi cha mvua.Mvua ni nyingi jamani, Arusha magari yanasombwa pia
Poleni Sana wanarufiji ndugu zetu watanzania, Mungu akawe faraja yenu, eee Mungu wasaidie ndugu zetu
Poleni saana ndugu zetu
Wewe ni kiongozi WA Imani tumia nafasi yako vizuri
Poleni sana WATANZANIA wa Fufiji tunaimani naserikali yenu yenye sifa ya usikivu itaonyesha UMAHIRI WAKE wa utukufu wa kuwalinda wananchi bila kuchelewa Mungu awape ujasiri muwezekumudu mtihani unaosababishwa na miundo mbinu ya walioaminiwa na TANZANIA 🇹🇿
Kwenda huko
Poleni sana wakazi wa Rufiji
Poleni sana ndugu zetu Watanzania,sikujua hali ni mbaya vile navyoona.Watu wa muto rufiji wanahitaji usaidizi kuokoa maisha ya watu.CCM wako wapi?Nimesikitika sana nikiwa hapa Nairobi.
Poleni sana ndugu zetu mungu aweke mkono wake
Poleni Sana wataniwangu wandengeleko mjekuishi Lindi kamaitawapendeza
Poleni sana ndugu zetu ,tutachangia na pia nahisi serikali itatia mkono wake na kuwaokoa na hali hiyo.
Poleni wapendwa wetu mungu awatie nguvu sana na kuwasaidia na maafa hayo
Nashukuru chadeema mmenifunzaa jambo mimi
Hatari sana
Jamani poleni sana ahaaa
Subhanna Allah 😭
John Pambalu ameongea point kanakwamba asiyezingatia lazima atakuwa na utaahire wakijinsia kupuuzia ufafanuzi bayana wa dhiki waliyo zushiwa na wataalamu walioaminiwa na Taifa hakika ni JANGAKUBWA LA KITAIFA LINATAKIWA KUTANGAZWA KIMATAIFA NA SIKU ZA USONI WATADHARILIKA WA WALIOZUWA MAHANGAMIZI HAYO YA WANANCHI WAO 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Rufiji ndo nyumban mm nimezaliwa Zanzibar naishi Canada poleni jamaa zangu serekali ya tanzania inaubaguzi kwa sababu rufiji wananchi wengi wapinzan lakin naiyomba serekali iwasaidie nao pia watanzania
Jamaa ameongea point sana
Innalillahi wainnailayh rajiuun, polen sana ndugu zetu wa Rufiji Mungu awasimamie awpe faraja
Poleni sana mungu awape nguvu
Tunamshukuru mama yetu kwa kutuletea mafuriko
Kkkkkkkkkkkk
Kwa mara ya kwanza nimebahatika kusikia mtu amekufa huku anaongea 😅
Hahahahahahaha
@@MathewNathan-yb2bz wewe unacheka badala ya kumwelewesha?Huko kufa anakozungumzia huyo mama ni kupoteza kila kitu
Polen sana nduguzetu Kwa majanga..tunajuwa serikali imewatelekeza na Haina hamu ya kuwasaidia wanacho juwa wao ni kukata 2000 Kwa ajili posho zao ziongezeke..
Ahhh
Poleni sana ndugu zangu hii selikali
Askofu anatiririka balaaaaaaaa,hahahahahaha
Hizo ni siasa kwenye maisha ya watu acheni siasa kila sehem
Hii ndiyo tatizo la serikali kwa maana ya mamlaka kubaka taaluma za watu
Mungu awatetee mwenyewe poleni wapendwa mama tino nipo dar
Jamani mbona SASA miradi mingi mipya inaleta maafa, maana huku Morogoro kihonda lukobe na kihonda SGR imetuathiri sana kwa mafuriko makubwa ya hatari sana, ni kweli reli tunahitaji lkn yaliyotokea ni hasara kubwa kwa sisi maskini na tumeharibiwa maisha, wekeni watu makini ktk miradi wasiowaoga kutumia taaluma yao😮
Jamani tuache siasa serikali ifanye lake maana naona watu wako kifitina zaidi
Hapo tu ndio mnaponifurahisha CHADEMA hii mmefanya kitu cha maana sana
Kipi????😊😊😮
Duu poleni saana
Sasa mm kweli natoa pole sana.lakini hata zipigwe kelele kiasigani hakuna kitakacho tokea.serikali haiwajibiki kwa mtu yoyote.
Ahsante kwa Ushauri wenu Chadema, ila Serikali iko makini, ila nasikitika kuona Wazee wetu wanakuwa Vibaraka wa Chadema, lakin Wana Rufiji ni watu waelevu pia tuna Imani na serikali yetu.
Poleni Muhoro Serikali iko pamoja na Ninyi.
KAZI IENDELEE.
Daah!!Yaani nchi inajiendea tu kama serikali haipo..
Lailahailaa Allah,wasaidie,
Overflowing hiyo ,
Poleni,huo ni mtihani,utabidi kutafakari
Subuhanallah
Ee mungu uwarehem wenzetu hawana ht chakula
Jamani msaanda had chadema kusaidia sio mpaka vyama maana niujinga wa chama sio mjingambe saidiatu
Poleni sn umeme wenyewe uko wp unakatika muda wote ufika wakati sasa serikali mkubali ushauri wa wananchi msijione nyinyi wajanja sn
Hili jimbo lipo CUF CCm hawqwezi kwenda huko wanawashikisha adabu wanarufiji ndiyo siasa zetu za maji taka,
Hebu acheni siasa, Mbunge wa Upinzani kazi yake ni kula posho tu, majukumu yote ni kwa Serikali iliyopo madarakani. madarakani. Kama hoja yako ni sahihi hawa ni CHADEMA hao CUF wako wapi?
Poleni sana Wana rufiji
Poleni sana ndugu zangu selikali yetu inajali matumbo yao tu
Kwan NYIE ndio mna mafuriko tu huko
Changamoto kubwa sana
SERIKALI
Arusha kuna mafuriko makubwa, Morogoro kuna mafuriko zaidi hata mashamba ya ufuta na mpunga yameharibika. Chadema mnazungumza vibaya. Tokeni huko.
Poleni sana wanarufiji
✌️👊👍.
Mbunge alishafika huko bibi acha kutumika kisiasa hiyo ni mitihani ya mungu
Asnt mwamchum
Maji yakijaa hayahitaji kufunguliwa mlango. Maji yameongezeka acheni kufitinisha wananchi na Serikalini.
Mvua hipo dunia nzima sio tanzania 2 ni mipango ya mwenyezi Mungu
Two wrongs does not make it a right
tanesco jengeni ukingo mkubwa na mpana ili maji yanayofunguliwa yasiharibu makazi na miundo mbinu isihari iwe
Poleni nawapa pole nyamtambo
Wabunge hasa waupinzani enzi hizo walitoa taahadhari kuhusu bwawa hawakusikiwa wala kusikilizwa
Acha siasa za maji taka, wale waliotwambia bwawa halitajaa kwa miaka 5 kwa kuharibika ikolojia. Mbaraka Mwinshehe aliimba wimbo wa kuwapa pole wanarufiji. Maana yake hii hali hutokea.
Mungu yu p1 nanyi, 😂
Tuwe wakweli
Kwani wananchi wenyewe mnashindwaje kujiongeza mpaka serekari ifike mahala sisi wenyewe tujiongeze
Kwaniwe ulipo umejiongezaa au umeshba mihogo humujui mwenyeshd
We ni Askofu acha siasa,lenga point
acheni kupotosha
Uzembe wa serikali ya ccm wananchi muikatae CCM mpaka mfe muone Sasa kuwa ccm nichama feki
Maji yakizidi unga hakuna wa kulaumiwa! Tuache siasa.
😂😂😂poleni Sana wanarufiji kwa garika iliyo wakuta, ni Mimi chief papii Fred mwakyelu mwanaharaki Chadema Mkoa was Mbeya kyela kata ya kyela mjini .
Acheni siasa towenimisaada msipige kampeni
maana yake nn yote haya..huu ni uchochezi
waitwe na watoe ushahidi kwa wanayoyasema vinginevyo ni uchochezi
mwendawazimu
Chadema mwambieni huyo mtumishi wenu azungumze kwa akili analeta lawama za kisiasa ktk mambo serious
Hilo Jambo la mafuliko chama Cha mapinduzi liwajibike Kwanza serikali yenyewe imekaa kimyaa huu ni uwaji ccm aina huruma
Mbona mlipokua hakuna mafuliko mlikula mnakula Manisha vzr Leo mnalaumu serikari halafu kama mliyajua haya nyie chandema mgesema wakati linajengwa
Askofu kaenda kuchonganisha tu maasko wa mchongo wamejibanza chadema ndo kunawaumini wao
waache hizo tatizo sio bwawa tatizo huu mwaka mvua ni nyingi..na TMA WALISHASEMA KUWA HUU MWAKA MVUA NI NYINGI
Nchi kalijia za kiarabu hl tete ht kz na mashuleni hakuna kwnd,dubai mpk ndege zinasombwa na maji hakuna usafili wa anga, mungu anafanya maajabu yake mn yy ndo mwny dunia na vilivyomo ndani
Wewe unayejiita askofu nenda ukahubiri injili achana na siasa first hujui chochote pimbi wewe kwataarifa yako hao walishaambiwa wa hame hilo eneo sio salama kwao acha ropoka ropoka jombaa
Tatizo lipo lkn tuwe wakweli tunaposema serekali haijsfika mh Mbunge tulimuona huko,Mkuu WA Mkoa,mawaziri WA kisekta kikubwa ni uvumumilivu na kumuomba mingu
Na hizo energy drinks ni msaada?
Msomera,wametelekezwa, mgodini risasi kuua,mafuriko bado Uranium Namtumbo tutaipata makansa yataenea.
Kikubwa tumuelekee mungu kumuomba atusamehe makosa yetu tatizo laana imezidi hasa ya ulawiti acha kuilaumu serikali serikali binadam kama wewe muelekee mungu kwa duwa😂😂😂😂
Watu wanaomba msaada maji yameingia kwenye nyumba zao, we unawaongezea matatizo kwa kutema cheche.
Mchungaji au kiongozi wa kiimani sijui msimamo na lugha uitumiayo kueneza chuki kwa watu.
Arusha na baadhi ya mikoa mafuriko yapo je yamesababishwa na nini aueleze Umma.
Ni kweli kila taasisi za kidini ziwe na usajili hii nitatizo kuwa na kauli zenye utata kutoka kwa kiongozi kama hawa Mungu ibariki Afrika
Mbona serikali ipo kimya hilo si janga kabisa
Mazingira magumu yanayo wakabiri Wakazi wa Lufiji Selikali inajukumu LA moja kwa moja kuhakikisha maisha yana nusuliwa.Maji kumbe yamefunguliwa na tanesco? Basi kama kuna atakaekufa au kujeruhiwa basi taasisi husika iwajibike.
Janga la ushoga na madawa ya kulevya ambalo linaharibu vijana wetu wengi mbona hawalisemi hawa. Wamekimbilia mafuriko ambayo yapo kila mahali na ni nje ya uwezo wa mwanadamu.
Hii sio mara ya kwanza kutokea mafuriko Rafiki,1964,1974,Karibu miaka yote yanatokea kutegemea wengi wa mvua acheni ujinga wenu
Mwanasiasa akikwambia usiku mwema, toka nje kaijiridhishe je ni kweli ni usiku or mchana, hao hao wanataka umeme wa kudumu, hao hao wanasema bwawa limesababisha mafuriko wakati mafuriko hayo yaliwahi tokea hata miaka ya nyuma kabla ya hilo bwawa so hawa ndugu zetu wawe na kiasi
Mmatema checked vipi pelekeni msaada sio kuuza sura huko!
Yani tuseme TU lile bwawa tuliondoe Yale maji yote yataekekea wapi askofu mshamba
Mchungaji acha uchonganifu tafuta ni jinsi gani tatizo litaliwe
Hapo wamebugi kwa kweli hizo mbegu watazila?au wanapanda wapi?
Sasa si Muhame njoon njombe uku laha fulu milima tulim viazi na palachich
Sasa nyinyi machizi mmeenda kufanya nini ningekuwe
Wewe askofu uchwara tukio kama hilo lilitokea mwaka 1978 muulize Mbaraka mwishehe aliliimba tukio hilo ingia UA-cam utapata je kulikuwa na bwawa? Acheni siasa kwenye maisha ya watu bwana
Anauwezo wa kuahidi magori kwa milioni kumi kwa kila gori kwenye mafuriko hakuna ahadi iliyo tolewa mpaka sasa,. Na hii ndiyo serekali ya ccmu na uongozi wake!
Basi Chadema hapo washadandia madam! Wazee wa kukurupuka!😂😂
Askofu mwanamapinduzi Acha upotoshaji.
Serikali ktk kijenga bwawa Hilo ilikuwa na Nia njema tu
Ccm hoyeeee
Huyu ni mchochezi na huku Ruvuma kuna mafuriko nako ni bwana la nyerere pumbavu kwani hauamini km mungo yupo
Mafuriko yapo kila kona jamani,huku Arusha ni bwawa pia??kabla ya Bwawa Rufiji ilikuwa ikifurika kila mwaka,nafikir ni namna tu ya serikali kuwasidia wananchi hasa malazi na chakula kwa iki kipindi cha mvua.Mvua ni nyingi jamani, Arusha magari yanasombwa pia
Nyie hamna pesa ?mnalaumu mbona nyie mko huko hamjafanya chchte
Watengeneze mabwawa mengine kwa ajili ya kilimo kingazi
Chadema nao watoe msaada
Mjinga wewe kwani chedema ndo wanaokusanya kodi