Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kulea, kupalilia na kukitunza kitalu cha watenda kazi katika shamba la BWANA! Hongereni sana mapsdre, mababa zetu katika kanisa zima watoto ambao ni uzao wa Seminari Kuu Kipalapala. Seminari ya Kipalapala ni tunu ya Kanisa!
Tufikie kilele kwa amani. Amina