Padre Kamugisha: Usipendezeshe kila mtu we si pesa/Ukweli ukiuzika utafufuka/ Usiogope kusemwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 бер 2021
  • Ni mafundisho ya Juma la tatu la Kwaresima mada ikiwa KUSEMWA NI MTIHANI , ni sehemu pili ya mafundisho haya . Mafundisho haya yametolewa na Paroko wa Parokia ya Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Dkt Faustine Kamugisha katika Kanisa kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Bukoba. Mafundisho haya hutolewa kila Ijumaa baada ya njia ya msalaba.Mada ikiwa ni Kusemwa ni mtihani, Usijali ni wangapi wanakusema endelea kufanya jambo zuri katika jamii.
    www.radiombiu.co.tz
    #RmSautiYaFaraja

КОМЕНТАРІ • 84

  • @monicajohn5578
    @monicajohn5578 5 місяців тому +2

    MUNGU akupe maisha marefu ili uendelee kutuletea mafundisho ya kutujenga kiimani na kiroho 🙏🙏

  • @martinamturano2152
    @martinamturano2152 2 роки тому +4

    Asante Sana Fr. Kamugisha. Mama yangu mzazi alikuwa mtu mwenye kusali Sana mpaka watu wakawa wanamwita mchawi. Hata mapadri wawili waliokuwa Parokiani walifikia kumnyima Sakramenti na kumnyima huduma muhimu za kikanisa. Lakini baada ya miaka kadhaa kilichowakuta mapadri hao 2 waliomnyanyasa Mama yangu kwa kumwita mchawi ni balaa. Mmoja alikufa kwa ajali mwingine alifukuzwa mpaka leo hii ana manga manga mtaani. Miungu aendelee kukuinua na kutundisha

  • @ciamallya8356
    @ciamallya8356 3 роки тому +6

    Baba nabarikiwa sana na mafundisho yako natamani ungekuwa katika parokia yetuu

  • @anglevicent4299
    @anglevicent4299 3 місяці тому

    Mungu akubariki sana Fr. Uwe na afya njema na akutangulie ktk utume wako.

  • @Sangaligospel
    @Sangaligospel 3 місяці тому +1

    Barikiwa padri kamugisha nabarikiwa na mahubiri yako yamenipa ujasiri na nguvu yakusongambele

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 3 роки тому +4

    Kwa kweli Father huyu asije akahamishwa Kagera maana vionjo vyake vya Kihaya vinaongeza uelewa wa mafundisho yake. Very gifted.

  • @MrTitopaul
    @MrTitopaul Місяць тому

    Father Kamugisha, baraka za Mungu ziendee kukaa juu yako. Mafindisho Yako ni mazuri sana❤

  • @anglevicent4299
    @anglevicent4299 3 місяці тому

    Asante baba ubarikiwe sana.

  • @filbertdominiki7965
    @filbertdominiki7965 10 місяців тому +1

    Mungu wa mbinguni aendelee kukupa nguvu katika utumishi wako na kukulinda dhidi ya mwovu shetani

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 4 місяці тому

    Father wangu machachali sana huyu 🙌🏽🤩😇

  • @lucyslivin5354
    @lucyslivin5354 2 місяці тому

    Ubarikiwe sana baba

  • @lucyfrancis1614
    @lucyfrancis1614 3 роки тому +8

    Mungu akubariki Sana father kwa mafundisho yako mazuri

  • @hildamgaya9042
    @hildamgaya9042 4 місяці тому

    Tunawahitaji watumishi kama nyie mnaokoa roho za watu zifikie wokovu ,,,,hakika Imani yetu inakuwa father Mungu akujalie maisha marefu

  • @MarysianaPeter
    @MarysianaPeter 3 місяці тому

    Fr barikiwa mno

  • @StanuleDeus
    @StanuleDeus 28 днів тому

    Fr mungu anamakusudi yakukuweka kwenye utume wa
    Wa kichugaji Ili kusaidia jamii

  • @alphonsinepibouleau7157
    @alphonsinepibouleau7157 Рік тому +1

    Ubarikiwe saaaaana Baba Padre wetu

  • @cecilialucas7655
    @cecilialucas7655 3 роки тому +4

    Padre wewe ni Hazina kubwa kwa kanisa ubarikiwe sana

  • @paulomwalimu6731
    @paulomwalimu6731 3 роки тому +2

    Nimekuelewa sanaa padre kamugisha MUNGU akubariki sana

  • @agnesshayo9371
    @agnesshayo9371 3 роки тому +3

    Asante sana Padri Dr. Kamugisha Mungu aendelee kukutumia, maana unaponya wengi Baba🙏🤝

    • @malaikapendo5560
      @malaikapendo5560 3 роки тому

      Mungu alipe afya iliuponye wengi

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 11 місяців тому

      Ukiona mtu ana waaminisha wafuasi wake waamini kuwa yesu ni MUNGU au MUNGU NI MMOJA KATIKA NAFSI TATU au watu wamuabudu yesu ujue mtu huyo anakuongoza njia ya kwenda MOTONI kwani mwalimu mkuu wa habari za MUNGU katika INJILI NI YESU, NA YESU HAJAFUNDISHA HATA MARA MOJA, REJEA BAADHI YA MAFUNDISHO YAKE KWA MSAADA ZAIDI:
      MATHAYO 4:10
      MATHAYO 15:24
      YOHANA 5:30-40
      YOHANA 17:3
      YOHANA 20:17
      LUKA18:18
      MARKO12: 28
      WAEFESO 4:4
      TIMETHEWO 6:16

    • @desderipatrick8392
      @desderipatrick8392 9 місяців тому

      ​@@istambulahmed6664Ondoa ujinga wako hapa

  • @imahsumaye2765
    @imahsumaye2765 2 роки тому +1

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @cosmasemmanuel8351
    @cosmasemmanuel8351 8 місяців тому

    Ubalikiwa

  • @hozzahh5597
    @hozzahh5597 2 роки тому +2

    Huu ndio umisionari wa kweli asante sana father Mungu akupe uhai uishi miaka mia moja ili watu waokoke

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 11 місяців тому

      Huwezi kusalimika au kuokoka bila kuamini kuwa MUNGU NI mmoja tu wapekee na wakweli na yesu ni mwanadamu aliyetumwa na MUNGU kisha kumuamini yule aliyekuja baada ya yesu ambaye ni mtume Muhammed saw ambaye naye pia ni mwanadamu.

    • @desderipatrick8392
      @desderipatrick8392 9 місяців тому

      ​@@istambulahmed6664Ondoa ujinga wako hapa

  • @FrutunatusMuyango
    @FrutunatusMuyango Місяць тому

    Wakora baba omukama akwemere kasinge omukigambo kyantaha

  • @MgunyaAbraham-oc2rp
    @MgunyaAbraham-oc2rp 10 місяців тому

    Padre unanibariki sana ningekuwa karibu ningekuwa nakuja kusali unapotumika

  • @mwaminishabani5713
    @mwaminishabani5713 3 роки тому +2

    Mwenyezi Mungu akubariki sana Farther kwa mafundisho yako Mazuri🙏

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 11 місяців тому

    Baba nashukulu sana umenifumbuq macho asante baba padri

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 2 місяці тому

    Amina kuwa

  • @marympemba1829
    @marympemba1829 3 роки тому +1

    Asante sana padri umenifundisha Kitu

  • @eliasbufula2482
    @eliasbufula2482 Рік тому

    Father Mungu wa mbingu na nchi aendelee kukukumbuka.

  • @hellenmmanga2234
    @hellenmmanga2234 9 місяців тому

    Naomba apewe uhamisho aletwe arusha🎉itapendeza mno

  • @merinajoel4362
    @merinajoel4362 3 роки тому +1

    Barikiwa sana padri

  • @justaatugonza
    @justaatugonza 7 місяців тому

    ni kweli father mungu akuzidishie karama yako tuendelee kufarahia

  • @hildamgaya9042
    @hildamgaya9042 4 місяці тому

    Amina

  • @user-jd4bh2yr6l
    @user-jd4bh2yr6l 11 місяців тому

    Mungu akuweke father

  • @user-nx1kw2uc9t
    @user-nx1kw2uc9t 19 днів тому

    Aminaa

  • @user-zu7mc9zh6z
    @user-zu7mc9zh6z 3 місяці тому

    Huu ni umissionary wa kweli

  • @jacquelineshirima4017
    @jacquelineshirima4017 2 роки тому +1

    Tumsifu Yesu Kristu Father, Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri, ninaomba namba zako za Simu Father

  • @vincentmusisi3127
    @vincentmusisi3127 3 роки тому +1

    Nashukuru mahubiri ya pandri mazuri sana.

  • @dickisonbalinkebela6099
    @dickisonbalinkebela6099 2 роки тому

    Asante izidi kubarikiwa🙏🙏

  • @sofialinus8241
    @sofialinus8241 3 роки тому +1

    AMINA 🙏 nabarikiwa Sana

  • @olandokambalage7893
    @olandokambalage7893 2 роки тому

    Baba Mimi naomba mungu uhamishwe bukoba uletwe Tanga tutabarkiwa sana

  • @benyymgedzi6489
    @benyymgedzi6489 3 роки тому

    Mungu akubaliki Padre kàmgisha

  • @paulasuvi584
    @paulasuvi584 3 роки тому +4

    Thanks a million fr.

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 3 роки тому +3

    Ameeeen baba

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 2 роки тому

    Asante father

  • @danstanpanga8490
    @danstanpanga8490 8 місяців тому

    Ukweli utafufukaa....daaah ujumbe mzito sana

  • @GodfreySamson-py7jt
    @GodfreySamson-py7jt Місяць тому

    Amee

  • @mselumonica3046
    @mselumonica3046 3 роки тому

    Father nimekuelewa sana kweli mti wenye matumda unapigwa mawe

  • @davidivisent5034
    @davidivisent5034 2 роки тому

    Amin

  • @suzankamguna
    @suzankamguna 2 роки тому

    Amen

  • @AwaichiSaxton-rl6ig
    @AwaichiSaxton-rl6ig Рік тому

    Amen🙏🙏

  • @user-jd4bh2yr6l
    @user-jd4bh2yr6l 11 місяців тому

    Amina mtumishi umenibariki😅😅

  • @eutropiachami2492
    @eutropiachami2492 3 роки тому +3

    Mungu azidi kukupa maisha marefu padre..🙏🙏

  • @benyymgedzi6489
    @benyymgedzi6489 3 роки тому +1

    Kwa kweli màhubili ya ukweli kabasa

  • @Fabianmawazo
    @Fabianmawazo Рік тому

    amena nawapata nikiwa kenyab

  • @CosmasEmanuel-lo1ti
    @CosmasEmanuel-lo1ti Місяць тому

    Jaman huyu fadha anakalama kubwa Sana sijui kama anatembeaga namkalibisha Sana songea huyu fadha

  • @deusfabian7498
    @deusfabian7498 2 роки тому

    Mungu akupe nguvu father

  • @user-qq6vg8js8q
    @user-qq6vg8js8q Рік тому

    Mi naomba utembee na mikoani nakukalibisha MTWARA,Baba

  • @marymary8313
    @marymary8313 2 роки тому +1

    Amen 🙏

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 2 роки тому

    Asante.mtumishi

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 11 місяців тому

    Namshukuru MUNGU kunijaalia kuwa muislam, na namuomba MUNGU anijaalie niwe miongoni mwa wale watakaokufa hali yakua ni waislamu, na yesu hakuwa ila alikuwa MUISLAMU na aliwalingania wafuasi wake kuingia katika uislamu, na uislamu ni kushuhudia kuwa MUNGU ni mmoja tu wapekee na wakweli na kushuhudia kuwa yesu ni mtume wa MUNGU , kwa kusema haya na kuyaamini kipindi cha yesu unakua tayari umeshaingia katika uislamu, kadhalika kipindi cha musa ,nuhu, lutyi, ibrahim, na kila aliyetumwa na MUNGU katika ZAMA zake, na kwakipindi hiki ili uingie katika uislamu inakuoasa kuamini kuwa MUNGU NI mmoja tu na mtume Muhammed saw ni mtume wa MUNGU aliyetumwa kwajili ya watu woooote na ndiomaana lugha yake ikawa moja dunia nzima.

    • @beatricemwita4380
      @beatricemwita4380 Місяць тому

      Sasa ndugu muislam kwenye mafundisho ya wakristo umefata nini? Huoni channel za mashekh na ostadh, mpk umekuja huku kusikiliza maana yake unabarikiwa hivyo fuatilia yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo

  • @fredreque3767
    @fredreque3767 2 роки тому +1

    Thank you Jesus praise Jesus

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 11 місяців тому

      Ukimwamini yesu kwa asilimia Mia nilazima utakuwa MUISLAMU.

    • @desderipatrick8392
      @desderipatrick8392 9 місяців тому

      ​@@istambulahmed6664Ondoa ujinga wako hapa

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 2 роки тому

    Aaahmean

  • @davidkazoya8629
    @davidkazoya8629 3 роки тому

    Wanshekya ezakundailemu

  • @florabenard5504
    @florabenard5504 10 місяців тому

    Baba tumekumiss Bunju nondo unazo zitoa tunazimiss sana rudi tena uje utupe madini

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 4 місяці тому

    Hiyo imekaenda baba

  • @Ruchanwa
    @Ruchanwa 3 роки тому

    Askofu

  • @paulomilinga4965
    @paulomilinga4965 Рік тому

    Fadha mafundisho yako yalinitoa zambin