SHEKH: MSELEM WA UAMSHO NILIHOFIA KUTOA TALAKA NIKIWA GEREZANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • #AdilAbdallah #DarsaLaShekhShahran
    Karibu ujiunge nasi Adil TV. Adil TV nikituo kinacho onyesha Video tofauti kama vile Move,Tamthilia,Qaswida,Comedy Clip,Show n.k Ili kujiunga nasi bonyeaza SUBSCRIBE ili kupata video mpya kila tunapo ingiza. Pia weka komenti zako katika video hii. Napia TUNATANGAZA BIASHARA YAKO tupigie 0774 362 246

КОМЕНТАРІ • 80

  • @shafiikhamis2336
    @shafiikhamis2336 3 роки тому +10

    Woow...woow...fantastic speech..
    #SheikhMsllembinAlly...ni mmoja kati ya masheikh ambao Allah kawatunuku ufasaha wa mazungumzo...lafudhwi inayo wasilishwa huaga imenyooka...
    Mengi tunajifunza kupitia kwake..Allah akuruzuku umri mrefu wenye kheir nawe uzidi kutupa mafundisho sahih...polen na mitihan kwa ujumla wake

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 роки тому +3

      Kama hujamuelewa sheikh mselem. Humumuelewi mtu mwwngine tena

  • @samwelbunzali1914
    @samwelbunzali1914 3 роки тому +6

    Nakupenda Sana shekh mselem bin Ally kwa niaba ya Allah hakika ww ndo mlisi wa Mtume Muhammad. Sws:

  • @abdallasaleh2303
    @abdallasaleh2303 3 роки тому +7

    Allah atufanyie wepesi Sisi na masheh wetu wote waliopata mtihani huu na kuekwa jela Allah awape subra na awajaze Imani zaidi Insha'Allah kher.

  • @abdallahmaseta3482
    @abdallahmaseta3482 3 роки тому +12

    The golden voice Mselem bin Allii

  • @preetyfaykassim3577
    @preetyfaykassim3577 3 роки тому +6

    Allah atujaalie tukakutane na kipenzi chetu kiongoz wa umma ktk furaha kama hiviii

  • @mchangahamoud4551
    @mchangahamoud4551 3 роки тому

    Masheikh wetu njoo na Pemba mukisha pumzika na sisi tutowe michango yetu

  • @hamedyahya9846
    @hamedyahya9846 3 роки тому +4

    Masha Allah sheikhe mselem jazaka llaahu kheiri

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 3 роки тому +2

    Wallah tunashukuru Allah
    Kwa kutolewa masheikh zetu

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 3 роки тому

    Shekhe karibuni uraiani mungu hamtupi mjawake mmetoka sasa lile lisheitwani lililo wafanyia hivi allah alipelekee moto kule kule lilipo inshallah

  • @issaame3591
    @issaame3591 3 роки тому +1

    Poleni sana mashekhezetu Mungu atakulipeni zaidi cc zetu dua tu ALLAH bless you

  • @fadhilikawambwa1586
    @fadhilikawambwa1586 3 роки тому +2

    kila nikiona hawa msheikh najiuliza walowafanyia haya kwa sasa wakiwaona hawa watu wanajisikiaje?mlofanya unyama huu tubieni sana hakika mkichelewa mnaadhabu kali sana siku ya kiama.naongea kwa uchungu sababu inauma sana.kibaya zaidi watawala wa wakati huo wote walikuwa waislamu.inauma sana.poleni sana masheikh wetu.maumivu yenu ndio yetu.

    • @albaharyhaji8231
      @albaharyhaji8231 3 роки тому

      Walikua wamezaliwa na wazazi waislam ila wao hawakua na uislam kabisa sababu muislam wa kweli ni yule ambae muislam mwenzake atasalimika kutokana na ulimi wake na mikono yake

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 3 роки тому +3

    Tunaomba kuwe na ratiba ya masheikh kutembelea miskiti katika hili la KUSALIMIA. Inaweza kuongeza hata michango ya watu kwa hilo. Watu wengi wanaweza kuenda eneo ambalo limetangazwa kuwa masheikh watakuwepo.

  • @becks3898
    @becks3898 3 роки тому +1

    Allah atufanyie wepesi kwa kila mitihani inayo tukuta na atulinde na atukinge na kila shari.

  • @daatyabdul652
    @daatyabdul652 3 роки тому

    shekhe wangu kipenzi
    Allah akuifadhi na akulipe

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 3 роки тому +2

    MaashaAllah shekh wetu nuru imerudi Alhamdulillah

    • @suleimaniddi3754
      @suleimaniddi3754 3 роки тому

      As.w tunaitaji no za sim

    • @Rukaka_jr
      @Rukaka_jr 3 роки тому

      @@suleimaniddi3754 no za nani ndugu

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 роки тому

      Naam Nancy

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 роки тому

      Mchango huo uendelee na tuko pamoja na sie tuliiko mbali zitakuja kwa wahusika maana ni wajib wetu sote

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 роки тому +1

      Nimekupenda mhamasushaji Allah akuzidishie msimamo na wa kuwasimamia mpaka Allah awasimamishe kwa miguu yao YAARABIY

  • @idrisashaka5881
    @idrisashaka5881 3 роки тому +2

    Mashaallah shekhe wetu Allah atakujaalia kila la heri

  • @pilabiliani9394
    @pilabiliani9394 3 роки тому +1

    Mimi mwenzenu huyu sheikh mselemu hua namuelewaga Sana 🙏

  • @preetyfaykassim3577
    @preetyfaykassim3577 3 роки тому +3

    Mashallah machoz yanatutoka wallah😭😭

  • @rashidmkwinda23
    @rashidmkwinda23 3 роки тому +5

    Ziwekwe namba za simu au ifunguliwe akaunti watu wafanye muamala yao watabaruku

    • @suleog
      @suleog 3 роки тому

      ACOUNTS IPO

  • @hassansaid4034
    @hassansaid4034 3 роки тому +1

    Tunakuelewa sanaa shekh wetu Allahh ukupe subra zaid na zaid

  • @abdallahmaseta3482
    @abdallahmaseta3482 3 роки тому

    wallah napenda tafsir zako za Qur'aan Allah akupe nuru dunian na akhera

  • @mustaphahaji3959
    @mustaphahaji3959 3 роки тому

    Allah atupe kher inshaallh

  • @nurdin.mndeme3447
    @nurdin.mndeme3447 3 роки тому +1

    dah huyu Sheikh huyu ' Allah amueke sana aise

  • @abdallahrajabu4401
    @abdallahrajabu4401 3 роки тому

    Wallahi huko kwa Allah kutakuwa Kuna mazito makubwa na majuto hayana mfn wallahi tutashuudia

  • @majidimussa8678
    @majidimussa8678 3 роки тому

    Allah akupen sbra mwalim Wang💔

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 3 роки тому

    Waalaikum msalam Warahmatullah Wabarakatuh

    • @khamisjuma5481
      @khamisjuma5481 3 роки тому

      Waaleykum salaam warrahmatullah wabarakaatu Allah karim

  • @sabirabdalla2226
    @sabirabdalla2226 3 роки тому

    Darsa la ibrahim igula

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 3 роки тому

    Allahumma ameen

  • @hanifarajab9006
    @hanifarajab9006 3 роки тому

    Allah Akbar 🙏

  • @saadikibinjazaa1511
    @saadikibinjazaa1511 3 роки тому

    Mash Allah

  • @rehemamnatende400
    @rehemamnatende400 3 роки тому

    Mashaallah

  • @njozyangu8454
    @njozyangu8454 3 роки тому +1

    Asallamu alykum jmn towweni no nas tuchangie hili msipuuzie wa msichukuwe mda mwingi

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 3 роки тому

    Salallahu Alaihi Wasalam

  • @jumasalum2677
    @jumasalum2677 3 роки тому

    Allah Kareem

  • @hayramswalehe4976
    @hayramswalehe4976 3 роки тому +1

    Ninapendekeza mngeritaja namba zakuwatumia pesa maana hili ni jukumu letu sote waislam sisi tuko mbali jamani na tunahtaj kuwachangia

  • @mohdmbarouk8465
    @mohdmbarouk8465 3 роки тому

    Hakika tumependa tupate faida tena ktk darsa zake

  • @cheshareisah708
    @cheshareisah708 3 роки тому

    Naomba number ya kutuma mchango ya voda plz

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 3 роки тому +2

    Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
    Kwa Sisi tuliopo nchi za nje
    Tunaweza vipi kuchangia sadaqa zetu??🙏

    • @salimsuweid1499
      @salimsuweid1499 3 роки тому +1

      Upo uongozi maalum kwa ajili ya kuwachangia hawa mashekhe

    • @MasoudKhamisAlBimani
      @MasoudKhamisAlBimani 3 роки тому +1

      +255 777 477 101, +255 713 797140
      Unaweza kuwachangia kupitia kwa namba hizo… jina Salma Said anakusanya michango ya Masheikh na kuiwasilisha afisi za Jumiki

  • @nak3477
    @nak3477 3 роки тому

    Daaa walituzulmu sana miaka tisa tumekosa din kubwa

  • @ukwelinauwazitv2615
    @ukwelinauwazitv2615 3 роки тому +1

    Hii ni Zaid ya ufahamu mchambuaji mwenye kufanya mnyambuliko wa fasiri ya maneno

  • @whitebridge-qv5jx
    @whitebridge-qv5jx 3 роки тому

    Sjui hao waliodaiwa talaka walizitoa ?

  • @jamalmshenga1851
    @jamalmshenga1851 3 роки тому

    TUNAZIKUMBUKA ZILE SIKU ZA MADARASA YAKO

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 3 роки тому

    Hii nchi ya wote, mkianzisha hizo mambo za jihad mtapotea tu, baki na dini yako na baba ako na family yak ka mmechagua, mtuache tule raha nchini kwetu msituletee ishu za msumbiji, hamtabak salama na msifikir hatuwez,tukiliamsha hamtaamini

  • @ammaryassir8662
    @ammaryassir8662 3 роки тому

    Maneno mazito kwakweli sheni na wenziwe hawapaswi kusamehewa kabisa tumuachie Allah atawalipa hapa hapa duniani

  • @whitebridge-qv5jx
    @whitebridge-qv5jx 3 роки тому

    Mh

  • @rahimusaid8690
    @rahimusaid8690 3 роки тому

    Daru hill m

  • @kuchimillionaire6683
    @kuchimillionaire6683 3 роки тому

    Sasa mtulie masheikh. Acheni mahubiri ya chuki, mnasikia?

    • @namanga9786
      @namanga9786 3 роки тому

      Insha allah Tanzania inchii ya kislamuu

    • @ummuhaula1848
      @ummuhaula1848 3 роки тому

      Mahubiri gani ya chuki yaliyosababisha wawekwe ndani kwa muda wote huo?

  • @preetyfaykassim3577
    @preetyfaykassim3577 3 роки тому

    Na tuliokua mbali na tunataka kuchanga tufanyeje

    • @alawisoud665
      @alawisoud665 3 роки тому

      Upo wp

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 роки тому

      UPO WAPI HABIBTY

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 роки тому

      Kwa Salma Said Zanzibar wa DW

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 роки тому

      Allah akuzidishieni subra na awang'arishe nyuso zenu na atawafunguwa zaidi na kufuzu fauzan adheem a

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 роки тому

      Tumelia tumuomba Allah kwa dua mlotufundushi wenyewe Alhamdulilah Sheikh wetu mpenzi.