Prof. MBARAWA NDANI YA KICHWA CHA TRENI CHA UMEME, AKAGUA MAJARIBIO | “TUTAFUNGA NA MABEHEWA”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 32

  • @t1910j
    @t1910j Рік тому

    Ni ngumu sana kufurahisha watu wakati wote. Watalalamika tu kila wakati na kwa kila jambo. TRC mnafanya kazi nzuri. Heko ✅ 🥳

  • @mmarandu2417
    @mmarandu2417 Рік тому +4

    We miss you JPM. Hizi ngonjera zisingekuwako hadi leo hii. RIP JPM.

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 Рік тому +2

    Hili zee ndio lilitengeneza mchongo wa bandari kwa mwarabu?

  • @abdulyabdunuru1476
    @abdulyabdunuru1476 Рік тому +5

    Mnatuzingua bhana ahadi Kila siku bwana Toka lini jaman kama imekamilka si mluhusu kazi ianze nini kinasubiliaa hii nyimbo ya TREN kuanza Kaz toka2022 jaman 😢

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 Рік тому +2

    Tunataka kichwa cha mchongoko...hatutaki utapeli huo...magu hajaweka orda ya vichwa vya aina hiyo

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 Рік тому

      Hicho ni kichwa cha mizigo bandugu ulishawai kuona wapi treni ya mizigo imechongoka?

  • @abubakarishariff8489
    @abubakarishariff8489 Рік тому +1

    Treni iko mombasa mpaka Nairobi nyinyi mnatuzingua watanzania

  • @curty920
    @curty920 11 місяців тому

    I am Kenyan and I would wish to request for the TZ gov't and ours to construct a line from Nairobi to Dar esalaam and later to other regions in Tz as well

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 Рік тому +1

    Mbona kiko kama kicha cha kutumia diesel?

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 Рік тому +1

    Kila Leo mnatest vichwa tu,Lini mtajaribu kutest kichwa pampja na mabehewa yake

  • @abubakarishariff8489
    @abubakarishariff8489 Рік тому +2

    Tulikubariana reli mpaka Dodoma mbona sasa imeishia morogoro watanzania mmezoea kutufanya kama wapumbavu sio?

  • @salvatorybakilana2378
    @salvatorybakilana2378 Рік тому +1

    Mtangazaji vaa safety gears

  • @saeedally268
    @saeedally268 Рік тому +2

    Kichwa cha hovyo cha kizamani angekuwepo magufuli angekileta cha kisasa

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 Рік тому

      We unajali uzuri wa kichwa au speed? kwanza hicho ni kichwa cha mizigo sasa ulishawai kuona watu treni ya mizigo ina kichwa cha mchongoko?😊

  • @starjay3052
    @starjay3052 Рік тому +1

    nauli zitakua bei gani

  • @karimkinwary4668
    @karimkinwary4668 Рік тому

    Si mlisema December mnaanza safari dar moro kwa nini January mwishoni sabubu kuu ni nini
    Ahadi za uongo kila siku

  • @salehsimba5306
    @salehsimba5306 Рік тому

    Hivi vinajengwa au vinatengenezwa?

  • @salehsimba5306
    @salehsimba5306 Рік тому

    Mwisho wa January tena?!!! 😂😂😂😂😂

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 Рік тому

    Lkn mbona ujenzi WA hii reli unasababisha mafuriko he mainjinia hawakuhusishwa, Maji Yana furika majumba yanabomomka Kihonda na kilosa Morogoro, hii hadara atalipa Nani, ni Julio badala ya furaha, he hawakupima nguvu yabmaji kukadiria uwingi wa Maji na makaravati, wahusika wachukuliwe hatua tumepata hasara

  • @timamulituto
    @timamulituto Рік тому

    Mmbona kibaya kichwa chenyewe

  • @sajdashariff
    @sajdashariff Рік тому

    IPO siku itaanza tuu haya 2030

  • @yasiniswedi8835
    @yasiniswedi8835 Рік тому

    Tumepigwa mbona kinafanana nahiki kichwa cha leli ya zamani? Hknatofautikabisa jpm

  • @vintagemusicgroup9236
    @vintagemusicgroup9236 Рік тому +1

    Hivi nyie mna matatizo gami, kila siku ni story za kichwa tu, ila safari hazianzi

    • @salehsimba5306
      @salehsimba5306 Рік тому +2

      Au labda wanapeleka mbele ili ifikie wakati wa uchaguzi iwe Sehemu Ya kuombea kura kwa wananchi

  • @starjay3052
    @starjay3052 Рік тому

    mana vitengo vya kazi vote mmewapa watoto zenu wala atujawasikia mkitangaza ajila ila umetuonyesha walio itimu mafunzo ya kuudumia watu

  • @ombenikweka7222
    @ombenikweka7222 Рік тому

    Mpaka uchaguzi ukaribie ndio ianze

  • @m.e.ssofttech2806
    @m.e.ssofttech2806 Рік тому

    Vichwa vilivyobaki view na spidi ya 360km/h

  • @ibrahkimesu2402
    @ibrahkimesu2402 Рік тому

    Yaani JK na yalr malori anayoyanunua kupitia GSM, unatarajia kuna siku yarafanikiwa huku? Hii wataihujumu tu. Tangu mwenye maono yake wamuondoe, tunaona tu jinsi mnavyotuzingua huku mnajifanya kama kuna ishu yoyote ya maana mnaifanya. Majambazi waua nchi tutawaangalia tu

  • @yasiniswedi8835
    @yasiniswedi8835 Рік тому

    Mbona kichwa chenyewe kimefanana na vichwa vya treni yaleliyazamani ?ambayo hayana spdi jpm lala salama

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 Рік тому

      Hicho ni kwa ajili ya mizigo ndugu na kina speed kubwa kuliko vile vya zaman

  • @homeboybeyondtheborders4935

    Mimi binafsi nataka nione kila kitu kinafanya kazi ndo hvyo