Shukran dear nimejaribu mashaallah mashaallah imetoka perfect Allah akulipe kheri nyingi kwa kutupa mafunzo hatuna chakukulipa ila tunakuombea. Hatusubiri tena halua kutoka Zanzibar 🤪
Salha Abdallah shukran dear♥️.,uwanga ni starch ya aina yoyote.,kwaiyo mimi hapo uwanga niloutumia ni wa muhogo😃 hivo ukipata uwanga wowote haina tatizo lakini labda itatofautiana kwenye kuvutanaa tu
Naomba nijibu, corn flour ni unga wa mahindi ( unga wa ugali/ unga wa sembe)hivo haluwa haitatoka Na corn starch ni starch ya unga wa ugali hivo itatoka ila itakuwa haivutiki halua yake so nzuri, Tapioca starch ni starch ya unga wa muhogo, na ndo nzuri hasa ipo recommended kwa halua. Ahsante kama nimekosea nipo tayari kukosolewa.

Stachi ukienda kununua utasema unaomba stachiota, ni unga wa mhongo ndiyo stachiota,? Au naimba ufafanuzi kidogo samahani na, hongera kwa mapishi bora kabisa
Mmmhh..weyyehh!! bibiye..utaningowa meno kwa utamu! Impikwa kwa penzi!Tabarakallah
Ma sha Allah, halwa iko sawa
Bismillah mashaallah mashaallah thanks for sharing 🤗I’ll try Inshaallah 🥰
MashaAllah👌💖💖💖😍
Haluwa umeipika vizuri
Asante 🙏❤kwa ku share
Your Recipe
Jazaaka Allahu kheri
🤲❤
Sister
Mashaallah pishi zuri la nyumbani, shukran wajazakallahu lkheir habibty 😘🌹
Mashallah Allah akuzidishie upendo ulio nao wakutufundisha
Mashallah good exeplaination thankyou sister
Jamanii tamu mashaallah😂😂❤jazaka allah 8:59
Masha Allah yummy nimejarib imetoka nzur tamu shukran habbty.
Maa shaa Allah tabarakah Llah nice work keep up daspirit en let da videos keep flowing in shaa Allah
😋 😋 😋
Thanks nimeelewa ahsanti Allah Akubariki
Shukran dear nimejaribu mashaallah mashaallah imetoka perfect Allah akulipe kheri nyingi kwa kutupa mafunzo hatuna chakukulipa ila tunakuombea. Hatusubiri tena halua kutoka Zanzibar 🤪
Wow
Congratulations
MashaaAllah.....very nice
Shukran Suhayfa.Maa shaa Allah nimependa recipe.Allah Akubarik.
Mashaallah mashaallah leo nimeijaribu wallah ajaaaab shetani kataja jina😃😃Allah akubariq
Mashalallah ❤😂
Mashaallah sija jaribu lakini umeni inspire kweli inshallah nita jaribu thanks for sharing
shukran kwa kutizama my dear
Masha Allah. Nzury Masha Allah
Jamanii tamu mashaallah😂😂❤
Aki si unapika... weuuh. New subscriber.
Masha’allah really nice. Well done
Mashaa Allah kweli tumefaidi look delicious 😋😋
MashaAllah MashaAllah Allah barik
Mashallaaaah..... Imependeza sana. Thanx Habibty
afwan dear
Masha Allah..Allah akulipe kila la kher..Aamin
amiin yaarab
MashaAllah ALLAH akuzidishie ujuzi zaid na zaid
Mashaallah shukran habibty lakini unga wa tapioca naipata wapi jamani
MaashaAllah hii nataka nijaribu siku nikipata mda
Mashaallah. Thank you very much
Wow mashaallah
Asante sana dear Inshaallah leo nitaipika wkt vifaa vyote nnavyo
Nitajaribu kupika انشالله
mashaAllah, yaonyesha tamu
mashaAllah nikuulize hiyo haluwa ni ya kiasi gani
Ma sha Allah ma sha Allag 😍😍😍👏👏👏👌👌👌
MashaAllah yummy 😋 the best halwa
Haluwa yako ni nzuri sana mashaallah
shukran baaa
Mashallah saana
MashaaAllah
Mashallah,,nimeipenda sana
ماشاءالله تبارك الله تسلم ايدك
Masha allah
MashaAllah
Ma shaa Allah
Mashaallah nice ahsante
Nimejaribu na unga wa uwanga pia haijavutika
Suhayfah unasema corn starch sio unga. Ha naipata wapi hiyo. I like halwa jmn tena ya Pemba taaamu balaaa
haluwa mashaallah kma ya kikwetu pemba😋😋😋😋😋😙😘
Asante sana kwa hii recipe. Kama sina rose water, naweza tumia nini tafadhali?
MashaAllah MashaAllah baby
Masha Allah👍
ماشاء لله
Maashallah
MASHAA ALLAH
Jamani kweli au nimepagawa! Nasikia harufu ya halwa ninavyotizama hii video, au akili yangu tu(lol) yaani na enjoy kweli.
Mashallah
Mashallah pambeee sana Allah akulipe kheri vipi unaweza kutumia sukari nyeupe maana nataka nijaribu sasa hivi ila sina brown sugar
yes unaweza lakini haitatoka rangi nzuri my dear
Mashaa Allah nimejaribu imekuja nzuri sana mashaa Allah. Wapi tukutumie marejesho?
Hyo starch inakuwaje
Iko fresh tu na inavutika km haluwa zakawaida.
Mashallah mashallah
Halwa safi sana Maashallah😋😋😍
mashallah hbbbty suhayfa allah akubariq
amiin yaarab shukran dear
Shukran habibty mashallah
afwan habbty
Mashallah❤️
Mashallah 😍
thnk u dear
A.aleykum
Naomba kujua uwanga nitaupata wapi @suhayfa food
MASHAALLAH 👌
Mashallah 👌
loved it
Mungu akubariki dada
Mashaallah nice
Hi nimejaribu halwa nzuri sana mA shaa Allah.
Nimetumia corn starch vipimo sawa ila imekuwa ngumu na haijavutika inakatika bila kuvutika, Kwanini ??
Pole sana dear..ndocmana nilisema hio tapioca starch ndio parfect kwa halwa😊..ile corn starch utapata tu ladha ya halua lkn haitavutana kama hii
Mashaa Allah ❤️
MashaAllah 😍😍😍😍
I was always wondering what is halwa made off .... Thanks a lot
u r welcome dear
Masha Allah Dada ake
thnk u dear
Nzuri masha allah . Ila mi sipendi haluwa nyeusi je lazima kutia majani ya chai?
sio lazima kipenz..unaweza ukaweka rangi tu
Inshallah nikijua mbona nitajiajiri
Mashallah dear 😍 tunaomba utufundishi kutengeza ladu zakihindi zile za orange
inshaallah dear..
Aslm Alkm what's the total cooking time ya haluwa?
😋😋
Shukran😋
Assalamualaikum,
MaashaAllah very nice recipe.
How long this halwa we can use it sister at a same texture ?
Shoukra habibty wng no yko
aunt sauti zidisha hatusikii
Kama mtu hapendi samli unaaeza weka tu mafuta?
👌
Can you use corn flour to make ?
hongera my lkn huku znz huo unga haupatikani jee nitumie unga wa uwanga itavutika au laa
Salha Abdallah shukran dear♥️.,uwanga ni starch ya aina yoyote.,kwaiyo mimi hapo uwanga niloutumia ni wa muhogo😃 hivo ukipata uwanga wowote haina tatizo lakini labda itatofautiana kwenye kuvutanaa tu
shukran my
Asante sana ntaijaribu inshaallah
Ushafika 10k followers insta
Hii tapioca starch ni unga wa muhogo wowote au unatofauti?
Je naweza kutumia unga wa conflower ?
Was asking kama I can use corn starch
😋
Maa shaa Allah yummy je corn starch lazma kuweka au km nina corn flour inawezekana?
Naomba nijibu, corn flour ni unga wa mahindi ( unga wa ugali/ unga wa sembe)hivo haluwa haitatoka
Na corn starch ni starch ya unga wa ugali hivo itatoka ila itakuwa haivutiki halua yake so nzuri, Tapioca starch ni starch ya unga wa muhogo, na ndo nzuri hasa ipo recommended kwa halua. Ahsante kama nimekosea nipo tayari kukosolewa.

Thanks so much mamie 👌😋😋😋
sweets
Shukran xn Mimi tumia uranga itoki vzr habibty naona starch feki
Naomba kuuliza. Kikombe ulichotumia kupima sukari ndio hicho hicho umetumia kupimia maji?? Nijibuni wapendwa
mimi nimefanya kikombe au glass inategemea kitu unachopimia vyote sawA
Cornflour huwezi kutumia kwa haluwa
Stachi ukienda kununua utasema unaomba stachiota, ni unga wa mhongo ndiyo stachiota,? Au naimba ufafanuzi kidogo samahani na, hongera kwa mapishi bora kabisa
Ndio unga wa muhogo
Unga wamuhogo ule wakutengeneza majumban Una fa a?
hapana sio unga wa muhogo ni starch ya muhogo
Daa naikiwa huna rose water niweke maji yakawaida
Hapana dear usiweke maji..kama huna sio lazima kuweka rose water
@@SuhayfasFood ok thanks sis