Tandoori Chicken without oven|Kuku wa sekela bila ya kumchoma Na oven|Suhayfa’s Food

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 75

  • @SuhayfasFood
    @SuhayfasFood  3 роки тому +8

    Happy new year my dears🎉🎉

  • @ShunasKitchen
    @ShunasKitchen 3 роки тому +13

    Very simple yet delicious 😋 Thanks for sharing 😙😇

  • @twaflebasmer494
    @twaflebasmer494 Рік тому +1

    MashaAllah

  • @swabrinasalimsadiq3786
    @swabrinasalimsadiq3786 2 роки тому

    mashaallah nyc thnx for sharing

  • @fatma83ify
    @fatma83ify 3 роки тому

    Mashaallah mashaallah

  • @natramohamed8233
    @natramohamed8233 3 роки тому +1

    Masha allaah yummmy yummmy 😍👍

  • @khadija87ibrahim80
    @khadija87ibrahim80 3 роки тому

    Maa shaa Allah TabaarakaLlah

  • @habibarajabkiriwacho5921
    @habibarajabkiriwacho5921 Рік тому

    Wow

  • @aishanassor8130
    @aishanassor8130 3 роки тому +2

    Masha Allah utam utammmmm
    Allah ausalimishe mkono wako 👌

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  3 роки тому

      Allahumma amiin yaarb💞shukran ☺️

  • @maryamkhamis9493
    @maryamkhamis9493 3 роки тому

    Mashaallah shukran habbty

  • @MunaMuna-tn3go
    @MunaMuna-tn3go 9 місяців тому

    Shukran

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo Рік тому +1

    ❤❤

  • @salimsalimali8285
    @salimsalimali8285 3 роки тому +1

    MaashaAllah, ahsante sana kwa mafunzo yako yaani unafahamisha vizuri hata Sisi wengine wenye vichwa vigumu kufahamu basi tunafahamu, Allah akulipe kheir inshaAlah, Aamiin.

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  3 роки тому +1

      Oohh shukran sanaa 💗.,and Allahumma amiin yaarab Allah ataqabbal du3aa yako😊

  • @binthamed2841
    @binthamed2841 3 роки тому +1

    Mashaallah😋😋😋yummy

  • @masumajanmohamed1837
    @masumajanmohamed1837 2 роки тому

    Excellent , Maurice sana

  • @tumaomar8999
    @tumaomar8999 3 роки тому

    MashaAllah
    Shukran sis

  • @hermandemello2200
    @hermandemello2200 2 роки тому

    Wow love this chicken sekela recipe n supper results I'm pleased and happy watching ur post from Tanga Tanzania.

  • @salmaalnaamani2786
    @salmaalnaamani2786 3 роки тому +1

    Mansh'Allah nice recipe and simple we missed you too

  • @RukiaLaltia
    @RukiaLaltia 3 роки тому +6

    Welcome back darling 🥰🥰🥰😘🎉🎉happy new year .

  • @staher108
    @staher108 3 роки тому +3

    Welcome back habibty. Good to see you back on track. Missed you! MashaAllah ntajaribu hii leo. Thnx ❤

  • @asmaomar1471
    @asmaomar1471 3 роки тому +1

    mashallah

  • @MrMichisalim
    @MrMichisalim 3 роки тому +1

    Mashallah kwa kuku wa kiswahili jee anaweza kuwiva au mpk nimpige mchemu kidogo

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  3 роки тому

      Sijawahi kutry kwa kuku wa kienyeji.,but i hope ukimchemsha kidogo atakuwa yupo ok tuu inshaaAllah☺️

    • @MrMichisalim
      @MrMichisalim 3 роки тому

      Shukran habibty

  • @suhailrajab8643
    @suhailrajab8643 3 роки тому +1

    Mashallah

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban 3 роки тому +1

    Happy new year habibty MashaaAllah napenda sana hio paste yako😋😋 mm hua naongeza na tui ya azam wallahi hua tamu ajab pia asante kwa ujuzi❤️ sijawahi roweka kuku hivi.. Pia nitajaribu

  • @ashayummy2299
    @ashayummy2299 3 роки тому +1

    mashaallah kuku wazuri sana

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 3 роки тому

    Masha Allah mamy pambe hatari

  • @verynicethifilmnuur1alrahb887
    @verynicethifilmnuur1alrahb887 3 роки тому

    Mashaallah nimeipenda

  • @faridahjumanne7773
    @faridahjumanne7773 3 роки тому +1

    Wow welcome back baby, Happy New Year all the 2021

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  3 роки тому

      Aaww thnkk u love😍.,happy new year to u too sweetie🥰

  • @faizaahmed6282
    @faizaahmed6282 3 роки тому +2

    Mashaallah shukran hbbty yammy😋

  • @radhiahamdoun9584
    @radhiahamdoun9584 3 роки тому +1

    shukraan habibty tunawapenda Allah awalipe khery zenu.amiin

  • @suzanrita2734
    @suzanrita2734 3 роки тому +2

    This is Absolutely Beautiful!!!
    Pls, list the ingridients both in English and Kiswahili for ease of proper understanding for non Swahili speakers. Thank you

    • @lolajohn
      @lolajohn 3 роки тому +1

      Check Discription you will see ingredients

  • @sophiaabeid2471
    @sophiaabeid2471 3 роки тому +1

    Hello, great recipe. Huo mkaa unaitwaje?

  • @maryamahmed3409
    @maryamahmed3409 3 роки тому

    😋😋😋

  • @aidaabdul4633
    @aidaabdul4633 3 роки тому +1

    Mashallah nimependa habibty mbona umepotea sanaaa

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  3 роки тому

      Asante kipenz😊.,pirika tuu za hapa na pale hivyo nikashindwa kurudi tena kwa wakati niliotegemea😊.,inshaaAllah Allah atupe uhai nimerudi tena kuwa nanyi😍

  • @picksdelightfulkitchen2420
    @picksdelightfulkitchen2420 3 роки тому +1

    Well come back girl

  • @gabrielgabito4197
    @gabrielgabito4197 3 роки тому

    Fungua restaurant utanoga sana mama

  • @kautharsaid4133
    @kautharsaid4133 3 роки тому

    Thank you

  • @huzlayfathamad4215
    @huzlayfathamad4215 3 роки тому +1

    napenda mapishi yako madhaallah mpka voice yko😙😘😍

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  3 роки тому

      🙈aww thank u hun😍

    • @huzlayfathamad4215
      @huzlayfathamad4215 3 роки тому +1

      😗😗😗😗😗😘😘😘😘😍😍😍😍😚😚😚😚😚😚

  • @kmnanamora
    @kmnanamora 3 роки тому

    Asante kwa resipi leo namroweka. But kwanini anarowekwa kwa maji na chumvi,? Nataka kujuwa hikma yake😊

  • @sarahfrancis6057
    @sarahfrancis6057 2 роки тому

    Kuku wa kienyeji pia unampika hvyo bila kuchemsha kwanza?

  • @twahirayub3897
    @twahirayub3897 2 роки тому

    Kijiko cha kupakaza ni how much

  • @a.856
    @a.856 3 роки тому +2

    Wlcm back dear thx alot👍

  • @rommy78zahor63
    @rommy78zahor63 3 роки тому +1

    Uko Wapi Habibty Usipotee Tena Vyakula Vyako Vizuri TULETEE

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  3 роки тому

      Aaww sitawaacha tena my dear🥰.,shukran saana

  • @seifmohamed836
    @seifmohamed836 3 роки тому +1

    Huo moshi unapatikana wapi na jina lake unaitwaje ? Najeee kwenye mandi unatumika huo huo pls nijibu

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  3 роки тому

      Unaweza kutumia mkaa wa aina yoyote kupata huo moshi, and yes unaweza kufukiza kama hivi kwenye mandi isopokuwa kwa mandi utaweka ganda la kitunguu maji badala ya hicho kibaluli..i hope hii itasaidia😊

  • @hanifasaid6170
    @hanifasaid6170 3 роки тому +1

    Hizo mbegu za kotmir ss nazpata wap

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  3 роки тому

      Utapata maduka ya viungo vikavu.,na kama utakosa basi unaweza kuweka kotmir fresh tuu kwenye maji lakini wakati wa kumtoa kuku hakikisha unayatoa majani yote kwenye kuku☺️

  • @tiffahofficial2715
    @tiffahofficial2715 3 роки тому

    Sukar inasaidia nn kweny kuku nahitaji t kujua

  • @fatmaseif8238
    @fatmaseif8238 3 роки тому

    Mashallah