MATESO YA FAMILIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024
  • Isaya 40:24
    Naam, hawakupandwa; hawakutiwa katika ardhi kama mbegu; naam, shina lao halikutia mizizi katika ardhi; tena awapuzia tu, wakanyauka, upepo wa kisulisuli wawaondoa kama mabua makavu.
    Mwandishi hakatai kuwa kuna watu wamepandwa lakini hawana mizizi,yaani hawakuingizwa chini ya ardhi ili wapate mizizi.Kwa mfano wa mti usio na mizizi kuangushwa kwake inakuwa ni rahisi sana.
    Biblia inaendelea kusema kuwa, "Shina lao halikutia mizizi..."
    Hii ni lugha ya kiroho,yaani ni kweli mti ni mkubwa na umesitawi lakini hauna umaana(useless),maana hata kwa upepo tu huu mti utaanguka.Yaani watu hawa hata wawe wanaonekana wamefanikiwa kwa kiasi gani katika ulimwengu wa mwili lakini adui akiwaangalia katika ulimwengu wa roho anawaona ni sawa na bua,akitaka kuwaondoa muda wowote kwenye hizo nafasi walizopo. Shetani akiwa na uhalali wa kukushikilia anaweza akakuacha ukaanza jambo,iwe kazi,biashara,ndoa n.k kwa sababu anaujua wakati ambao atautuma upepo na kukutoa kwenye hiyo nafasi.
    Anachokifanya adui, anatafuta kukupiga sehemu ambayo akikupiga hiyo sehemu mpaka uweze kusimama tena, inakugharimu sana na itakuwa imekuingiza kwenye aibu sana.
    Ndio maana ni muhimu sana kabla mitego haijateguka tuhakikishe tumeitegua.
    #PastorSunbella#Mateso#Familia

КОМЕНТАРІ • 13

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 Рік тому +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    YESU AHSANTE

  • @peterngulili7301
    @peterngulili7301 Рік тому +1

    Amen

  • @neemasaidisaid1791
    @neemasaidisaid1791 2 роки тому

    Amen amen amen asante yesu kwakunipa mtumishi wako huu ujumbeee. Ili tufunguke

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    Amen amen amen Daddy

  • @yama_virginhairthequeen1065
    @yama_virginhairthequeen1065 2 роки тому +1

    Nnashida Sana ya kumuona huyu mchungaji the day I will put my feet in Tanzania there will be no rest till is done..

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 2 роки тому

    Koo zetu hivo Sana Kuna siku nilimuliza maswala hayo alishindwa kunijibu akasema nimefikilia nini.kikweli ninafwatilia wachungaji ninapata neno Kila siku Asante kwa wachungaji kwa kutuelimisha asanteni Sana niwachache wanaharibia sifa zenu.

  • @silvatondayizeyendayizeye7874
    @silvatondayizeyendayizeye7874 2 роки тому

    Bwana yesu asifiwe Jamani Munisaidie namba ya pasta Sanbella niko Burundi naitaji kuongea naye

  • @clementkigelulye7915
    @clementkigelulye7915 2 роки тому

    Mwenye sikio na asikie maneno yenye utukufu juu ya utukufu.

  • @zulfakondo4003
    @zulfakondo4003 2 роки тому

    Mtumishi nahitaji kuongea na wew Niko kagera nimetafuta namba kanisani kwako nimekosa

  • @baltazalmsele1156
    @baltazalmsele1156 Місяць тому

    No za simu tunaomba

  • @marifundi1074
    @marifundi1074 2 місяці тому

    Amen