MWANAUME TAHADHARI SANA, USIMPE MKE WAKO SIRI HIZI, UTAJUTA||SHAIKH ABDALLAH HUMEID

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 137

  • @muadhMuhammad-g5t
    @muadhMuhammad-g5t Місяць тому +1

    wallahi nampenda shek abdallah kwaajili ya allah kwakuonge maneno yaliyo nyooka kabisa allah akulipe kila la kheri.

  • @abdykarimnaz5379
    @abdykarimnaz5379 5 днів тому

    Allah akuhufadhi sheikh Abdallah humeid.. Unatuelemisha vyema sana

  • @abuuamri
    @abuuamri 3 місяці тому +4

    Ukiona unapinga hayaa maneno ya sheikh jua hujaoa au la ndoa yako ina miezi au unamke mmoja tu❤

  • @abdallaabdulrahman1749
    @abdallaabdulrahman1749 3 місяці тому +2

    Uko sahihi sheikh, mashallah 🙏🙏🙏

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 3 місяці тому +3

    Shekh kabisa nakupa pugezi mashaallah👍👍

  • @OffcialKp
    @OffcialKp 17 днів тому +1

    Mmmhhhh inategemeana na mwanamke sheikh

  • @OthmanhajiMwalim
    @OthmanhajiMwalim 3 місяці тому +3

    Kweli shehe!! Kwa hili umesema kweli.. Allah akupe afya

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel 3 місяці тому +4

    Sheikh unayoeleza ni kweli kabisa. Nasaha muhimu sana hiyo ila kwa wanaopinga watayaona. Ni kweli siyo wanawake wote lakini ni asilimia ndogo sana waliojaliwa kuwa sawa.

  • @MauaAbubakari
    @MauaAbubakari 2 місяці тому +2

    Suala Hilo ni hulka za watu SI wanawake tuu hata wanaume wapo wa namna.. Ninacho amini ni kauli ya mtume kuwa hawajuti wenye kushauriana.. wanandoa wanaendesha maisha Yao Kwa kushauriana bila kusahau suala la kiuchumi Allah huwa anatia baraka na Kwa taufiiq yake wanafanikiwa. Muhimu mtu atafute mume au mke mwenye tabia njema na mwanaume asisahau kuwa yeye ndie kiongozi wa familia.

  • @Jamalkishangu
    @Jamalkishangu 3 місяці тому +2

    Upo Sahihi sana Sheikh.

  • @burhan_dumalo
    @burhan_dumalo 4 місяці тому +5

    sheikh umeongea point sana hapo
    respect👏👏👏

    • @binbakrii751
      @binbakrii751 3 місяці тому +1

      Wapo baadh hizo tabia wanazo

  • @mpogonm5203
    @mpogonm5203 4 місяці тому +2

    Umetisha baba nateseka mm uku mtahanii nahayooo maisha

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 4 місяці тому +3

    Alhamdulillah. Nasaha hizi nilizipata mapema sana kutoka sheikh. N bado nazifanyia kazi . Yaan ni raha ssna . Mwanamke hapaswi kujua kila kitu

  • @mzulunatal8062
    @mzulunatal8062 3 місяці тому +1

    Sheh upo sawa kabisa. Mwanamke akijua tu kipato chako atahakikisha unamaliza ndo awe na amani

  • @SalimFondo-s6i
    @SalimFondo-s6i 2 місяці тому +1

    Kweli sheikh Mimi nakuunga mkono Kwa hilo

  • @SeifMassoud
    @SeifMassoud 3 місяці тому +2

    Ni kweli lakini wanatofautiana,, wengine wako na roho nzuri na za imani kabisa

  • @AmirliAmirli-p1z
    @AmirliAmirli-p1z 3 місяці тому +1

    Nataman kuchangia lkn bado sijaingia kwenye ndoa siwezi kusem chochote zaid ya kusem Allah atujalie kheri na baraka ktk maisha yetu. Yarabbi nipe mke mwema.........

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 3 місяці тому +2

    Nikweli kabisa wengine wanamaslai binafsi..

  • @MauaAbubakari
    @MauaAbubakari 2 місяці тому +1

    Wadhanieni wanawake dhana njema na wanapokosea ni viumbe muwape nasaha na makosa ya baadhi yasivalishwe wote tujue ya kuwa Hawa wanawake ni ktk madhaifu wawili na ishini nao Kwa wema japo kuwa Wana madhaifu pia wame wao japo ni kidogo.

  • @muadhMuhammad-g5t
    @muadhMuhammad-g5t Місяць тому

    kweli kabisa

  • @LatifaChebet
    @LatifaChebet 3 місяці тому +2

    Ukweli kabisa shekh

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 3 місяці тому +2

    Bila shaka sheikh yamemkuta au aamekutana na kesi hizo

  • @ZakariaBoy-fv3kh
    @ZakariaBoy-fv3kh 4 місяці тому +6

    Darsa mashallah chocolate kabisa ❤ alhamdhulilah maneno mazuri

    • @Nuruyasunnah.official_tv
      @Nuruyasunnah.official_tv  4 місяці тому +3

      hahhaha akhy umezid
      eti chocolate kabisa hahhaha
      sawa shukran sana akhy

    • @ZakariaBoy-fv3kh
      @ZakariaBoy-fv3kh 4 місяці тому +3

      @@Nuruyasunnah.official_tv walai tena akhi hakuna kitu kizuri kama chakula cha moyo 😂 huo wasia mpk watoto wangu inshalaah nitawahusia

    • @jmbwambojr-zj2gq
      @jmbwambojr-zj2gq 4 місяці тому +2

      hatareeeeee😂😂😂😂😂

  • @aljalilatiba9873
    @aljalilatiba9873 4 місяці тому +3

    Ni kweli nakubali maneno ya shekh

  • @AbubakariBoga
    @AbubakariBoga 3 місяці тому +1

    Masalaf Tumeelewa....kama haukubali Allah akuongoze

  • @lusupi
    @lusupi 3 місяці тому +2

    Kweli kabisa mimi imenitokea na ikawa sababu ya kuachana na mke wangu

    • @Nuruyasunnah.official_tv
      @Nuruyasunnah.official_tv  3 місяці тому +2

      pole sana Kakaangu, Allah akufanyie wepesi kwenye maisha yako na katika mambo yako

  • @SumaiyaMoha
    @SumaiyaMoha 3 місяці тому +9

    Sheikh sija kubaliana na mazungumzo haya angalau unge sema baadhi ya wana wake sio wote, wangapi twa wajua wame wa inua waume zao ki biashara ki maendeleo na hata kushika majukumu yote ya nyumbani kwa sababu mume ka poteza kazi na hakuna mtu ata jua kuwa huyo mume hana kazi. Hiyo uta fiti bado hauja fanya kwa uzuri shekhe wetu.

    • @alybinmana6197
      @alybinmana6197 3 місяці тому +3

      Mwalimu isije kuwa amekugusa naona walalamika 😂 vumilia tyu hakutaja baadhi Kwa sababu ni Kwa asilimia kubwa

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 3 місяці тому +1

      Kweli Mimi yamenifika

    • @allyrashid3732
      @allyrashid3732 3 місяці тому

      mwanamke akijua kila kitu ht mke wa pili utaogopa kuo a

    • @salumkaisi4907
      @salumkaisi4907 3 місяці тому

      Ni kweli she mwanamke ukimpa biashara umemuuza na yeye na siyo biashara tu hata akiwa mfanyakazi hapana ila kama umpendi unaweza kumruhusu mimi hapana

    • @omarishabani5249
      @omarishabani5249 3 місяці тому +1

      Sheikh kasema kweli hii ni amri ya Allah yeye kafisha ujumbe tu.mwanamke ni wanyumbani tu ndio Sheria kwa Wanao radhi kwa Allah.sisi tulio wengi kwa Sasa tunahangaika na Dunia tu

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 3 місяці тому +2

    Mimi yamenifika hayo sheikh wangu. Mpaka mda huu najuta na baaada ya kuachana nae aliwafiata wale matajiri waliokuwa wakinisaidia akanilitia fitna. Katika duka alichukuwa pesa akipeleka kwao duka likafilisika.

    • @KhamisiOmari-yo7jx
      @KhamisiOmari-yo7jx 3 місяці тому +1

      Wakati wakuowa hukutazama.mlango kama tulivo funzwa kwa dini ulitazama urembo na shape inaonekana huyo mwanamke Hana Imani ya dini sbb mwanamke katika Kuna amri Moja wapo ya kuhakikisha analinda Mali ya mumewe na kua muaminifu akiwa mpigaji anaeza hata ambukiza watota wakawa wapigaji assalam aleykum.

    • @abuhsanono4392
      @abuhsanono4392 3 місяці тому +1

      Asalam alaikum w.w Kauli ya sheikh nzuli sana amewahusia ukitaka kuowa usio owe kwake kwajili mke wake hana madili na watoto amesha wambukiza
      Sio kila mwenye yiko ktk mimbali anasrma ukweli tumia akili Quran:muminati,salihati,azakilati,swabilati......mifano mingi tumiyeni akili Wal quran

    • @mrok284
      @mrok284 3 місяці тому +1

      😂😂 nacheka uchungu. Inaumaaa!

  • @AbuuMusa-h3m
    @AbuuMusa-h3m 3 місяці тому +4

    Ukiona hivyo ujue haujampata mwanamke mfano wabikhadija pole shekhe

  • @IsmailIbrahim-uu9xx
    @IsmailIbrahim-uu9xx 3 місяці тому +1

    Ukweli

  • @AmirAmour-tx1ws
    @AmirAmour-tx1ws 3 місяці тому +5

    Hahahahaha , sheikh tupe ushahidi wa hilo na kama huna basi liache kwa wanaume wenye mbavu lkn kwa wanaume legelege hilo wazo linawafaa , mke mwema ni mke mwema aliekosea kuoa asifundishe mawazo yake ya ndani mwake kwa watu wote

  • @KhamisiOmari-yo7jx
    @KhamisiOmari-yo7jx 3 місяці тому +4

    Wanawake walifanya biashara hata mke wa mtume saw.hadija mtume saw kampata kwa biashara.mwanamke mbovu ni mbovu tuu hata akawa ndani yanyumba hapo hapo yua kandamizwa kwa nyumba. mwanamke jambo la muhimu ni kumuogopa ALLAH sbb mume pia aeza akafa na ile biashara kama.mke alikua hakuijua basi biashara itakufa na familia itaangamia na yule mke atabakia kua ombaomba.hapa sio uarabuni wajane wanasaidiwa fafanua tawhidi kwa kina sheikh..

    • @SalimDahungamshahara
      @SalimDahungamshahara 3 місяці тому

      Khadija usimfananishe na wak wa zama zetu yule alikuwa mke wa pekee mpe kazi mkeo awe ni tajir kuliko ww utaelewa haya wengin tumeyaona broo na ni balaa lililowapata weng ktk wanaume

  • @ahmadikabezi5425
    @ahmadikabezi5425 4 місяці тому +8

    Hili lina ukweli 50% na si kweli 50%
    Mwanamke mchamungu hata akijua pahala zitokazo pesa za mume au ni kiasi gani apatazo hawezi kufanya hayo yasemwayo na Sheikh.
    Kuhusu kuuliza wazee hilo usemalo kwamba ni kweli au si kweli na wao wakasema kuwa ni kweli sio sababu ya kuonesha usemalo ni kweli 100%
    Wazee wamesema mengi mno kuhusu ndoa na wanawake.
    Hivi mwanamke mchamungu anaweza kukukataza usimuhudumie mama yako hali yuwajua kuwa hilo ni katika wema.

    • @abuu_rashid
      @abuu_rashid 4 місяці тому +4

      lakini hapo sheikh kataja kwa wingi wala haimaanishi ni wanawake wote na wala sheikh mwenyewe hajasema kua ni wanawake wote

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 4 місяці тому +2

      Hao wachamungu bado mapungufu hayo yapo
      Ikitaka ujue hilo fanya mathna uone uchamungu wake

    • @yunusimchala6569
      @yunusimchala6569 4 місяці тому +3

      Huyo mcha mungu mwambie nataka kuoa halafu usikie majibu yake

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 4 місяці тому +3

      ## Ahmadi Fanya basi uje uone, mpe habari zako zote, na biashara zako msimamizi awe na yeye, kisha mwambie kuna mwanamke kuleee naongeza wapi, kisha wa tatu na w4, uchamungu utauwona.

    • @abuu_rashid
      @abuu_rashid 4 місяці тому +2

      @@ahmadikabezi5425 wewe unaonekana hutujui sisi wanawake
      na ungejua usingesema hivyo

  • @YasiroMunga
    @YasiroMunga 3 місяці тому

    Ukweli sheikh nkuunga mkono Asilimia mia.

  • @aziziabdul9378
    @aziziabdul9378 3 місяці тому +3

    Mke utamjuza tuu sehem unapopata pesa au unapohifadhi lakin usimjuze unachokipata au unachokihifadhi.

  • @muhammad-Swaabir
    @muhammad-Swaabir 3 місяці тому +2

    Sheikh wafaa ufanye bahthi yako kwa makini

  • @jmbwambojr-zj2gq
    @jmbwambojr-zj2gq 4 місяці тому +3

    1:42
    1:42 😂😂😂😂 she is your partner 😂😂 maa shaa allah shekhe humeid kwa ukumbusho

  • @jmbwambojr-zj2gq
    @jmbwambojr-zj2gq 3 місяці тому +3

    hamani shekhe kasema hii ni kwa maslahi yenu wala si kua anawanyanyapaa wanawake tumieni akili na msi-comment ujinga

  • @MbagaraMapunda-h8t
    @MbagaraMapunda-h8t 3 місяці тому +4

    Iyo inatokana na tabia ya mtu, mbona wanaume wengine huifadhiwa pesa zao na wanawake na hazitumiwi hovyo? Shekh sema baadhi ya wanawake sio wote wako hivyo umetukosea wenye Imani zetu.

    • @Jamalkishangu
      @Jamalkishangu 3 місяці тому +1

      Sio wote lakini idadi ya wanawake wenye hali anayo izungumazia Sheikh ni kubwa.

  • @abubakarishame2624
    @abubakarishame2624 3 місяці тому +1

    Mtu yoyote akijua mshahara wako nirahisi kukuhesabu sawasawa.. mimi nilijua mshahara wa kaka yangu basi kila nikiwa na shida ya fedha najua anayo atanipa siku nyingine anasem hana namuuliz pesa zote unapelek wapi anasema majukum nimengi aaaah namwambia mengine kaka nikaanz kumpigia hesabu. Akasem bro kuwa uyaone.

  • @FatuNahimana
    @FatuNahimana 3 місяці тому +4

    Wafundisheni watu tawukhiidi wa mjuwe allah acheni porojo

    • @Nuruyasunnah.official_tv
      @Nuruyasunnah.official_tv  3 місяці тому +2

      sawa, lakini kama kuna walimu ambao wanafundisha tawhiid sana basi na sheikh Abdallah humeid yumo katika hao walim
      hata hivyo huu ni ushauri tu ukitaka chukua, hutaki acha
      Allah akubarik

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 місяці тому +9

    Mm nakupingaa
    shekh wangu mke wangu anajua kila kitu lkn alhamdulillah!
    Lbda ukisema kwa mke asiyekuwa na imani'
    maana kuna kusoma dini na ımani vitu viwili tofautı kabsaa, na wengi ktk wanawake ni wazuri ktk kusoma lkn iiman 00 , Ndıo! haya unayoyasema ww'..
    lkn,
    mwanamke mwenye iimani ya sawasawa! unapata mshahara mnakaa mnapanga mnagawa
    hıkı chakula hıkı sadaka zaka n.k.....Tena yy ndiye anakuhimiza juu ya kutoa sadaka kuwasaidia ndugu zako n.k..,
    Na ukimwambia sina anajua kweli huna! maaana ulıkaa naye pamja mnapanga ..
    Lkn ukimfücha na huku anajua unafanya kazi ndıoo utatengeza balaaaa mtupu!
    Fanya tena research shekh wangu! hii imefeli kias chake! it's dpend on woman to woman
    wewe umegenaralise!
    kitu ambacho cıo sahıhı!

    • @wardat_kessy
      @wardat_kessy 4 місяці тому +5

      wewe ndo hutujui sisi wanawake
      na wala shekhe hajasema kua wote wapo hivyo
      ula Allah katusifia kua vitimbwi vyetu ni vikubwa
      bora ufiche kakaangu

    • @aljalilatiba9873
      @aljalilatiba9873 4 місяці тому +3

      MIMI NAKUBALIANA NA SHEKHE

    • @HajiMororo
      @HajiMororo 4 місяці тому +4

      ww unamuogopa mkeo akhy

    • @SwabihaAhmed
      @SwabihaAhmed 4 місяці тому +1

      huyu jamaa povu lamtoka kumpinga shekhe kisa mkeo hahahah shekhe hajasema wanawake wote nahata wewe muombe Allah tu ndugu kama yupo hivo mkeo na uombe hali isiybe nawala usihukumie kua watu wengine wwwwote wake zao hawana imani wewe ndio mke wako anaimani nawanao fanya hivo hawana iimaani sivyo ndugu,nahisi kua kwakua elimu yako nayo yadini nichache ndio maana waoata shida sana ktk kuzungumzia jambo kiujumla wake, wewe mshukuru Allah na umtake msaada Allah kwahilo kama waona mke wang mwaenda vzr kwenye biashara basi Ongeza dua narudia tena ongeza dua wala sio tuhuma kwawengine kua hawana imani😊

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 4 місяці тому +2

      Ujui tu unachokiongea ungenyamaza au usikilize vizur

  • @asiliyetuafrika9542
    @asiliyetuafrika9542 3 місяці тому +1

    7:26 7:28

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 3 місяці тому +3

    C kweli hapa sheikh c wote

  • @sadikiissa7756
    @sadikiissa7756 3 місяці тому +4

    Haya ndo mafunzo tunayoyataka.
    Tunataka mafunzo kuhusu dini yetu na nasaha za jamii zetu.
    Hii ni bora zaidi kuliko kila siku kurushiana madongo na mizozo isiyoisha.

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 3 місяці тому +2

    Mimi kwa huku kwetu zanzibar cjazickia kec kama hizo ina maana c wanawake wote inategemea na tabia aliyotoka nayo kwao sheikh ucwahukumu wote kama wanawake wote wako hivyo

  • @shukurumustafa6792
    @shukurumustafa6792 3 місяці тому +1

    Swadakta mi imenitokea sasa hivi najuta mke kumpa biashara maana kibuli kilizidi hadi sasa mke sina

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 3 місяці тому +2

    Kuna wanawake wanaamini waume zao hadi kuzikana na kuna wanawake wako kwa ajili ya mali tuu na hawa wengi katika jamii flani kwa mfano sana wanahusishwa wachaga lakini cna uhakika na hili na watu wa tanga nackia tu cna uhakika pia ila kwa kwetu zanzibar kec hizo cjackia kabisa kusema ukweli

  • @SalimDahungamshahara
    @SalimDahungamshahara 3 місяці тому +1

    Ni kweli sheik tena ukimpa kazi akawa na pesa nyingi kuliko mume heee ni balaa wanawake wa zama za leo zama za haki sawa aliyeweza ni bi khadija tu

  • @mibnabubakr
    @mibnabubakr 3 місяці тому +1

    Uzushi wa Mawlidi: Sh Muhammad Sharif
    ua-cam.com/video/gsJ3Wc-K_q0/v-deo.html

  • @BakariHamisi-p6b
    @BakariHamisi-p6b 3 місяці тому +1

    Sio wanawake wote ostadhi, ni baadhi tuuu

  • @jmbwambojr-zj2gq
    @jmbwambojr-zj2gq 4 місяці тому +3

    hii tabia ni kweli dada zetu wanayo
    nashangaa baadh wanasema si kweli, hivi hao wanao bisha wanawajua wanawake????
    Eti kwa sababu anaona mke wake anamsaidia kidogo anahisi kua huyo mke anaweza kuvumilia maisha yote
    shaur yako

    • @abuhsanono4392
      @abuhsanono4392 3 місяці тому +1

      Ulisoma uwisilamu lkn uwukuelewa nando shida yiko ktk Jami kama sio hajidja binti khuwayilidi soma ulewe kama Allah haja kuzawadiya mke hata. Uwe na magali,pesa,magorofa hata pepo kuyipata utkua shida

  • @MauaAbubakari
    @MauaAbubakari 2 місяці тому +1

    Ni haki ya mke kujua chumo la mumewe kama jambazi hapo vipi? Au kama anachukua riba inakuaje? Vp wanaume wako wanapaswa kujua Pato la mkewe? Sbb pia wapo wanawake Allah kawaruzuku na kawakunjulia rizk kweli kweli?

  • @suleimankindy6465
    @suleimankindy6465 3 місяці тому +2

    Shk haya ni mawazo yako? au kuna mzizi wa Elimu ya Mola wetu na Mtume wetu ?
    ikiwa utaelewa kwa undani hili swali langu basi natarajia utagundua kasoro ya "wazo" lako

    • @burhan_dumalo
      @burhan_dumalo 3 місяці тому +1

      kwani mola alipo sema kua wake zetu ni maadui maana yake ni ipi??
      na huu just ni ushaur ndugu yangu
      kama wewe mke wako hayupo ivo, basi mshukuru allah na kama hayupo ivo basi maneno ya sheikh ni ya kweli
      na kwa asilimia kubwa wanawake wapo hivyo

    • @allyrashid3732
      @allyrashid3732 3 місяці тому

      Qur' an inasema hakika ya vitimbi vyao ni vikubwa. sasa Sheikh anadadavua tu kwa faida

    • @ShafiiYusuph-nv7ti
      @ShafiiYusuph-nv7ti 3 місяці тому

      Tena Mtume SWALALLAH ALAYHI WASALLAM anasema Imeangamia jamii yenye kumtawalisha mwanamke katika mambo yake

  • @IddiHasani-vq4rd
    @IddiHasani-vq4rd 17 днів тому

    Kama huamin uliza walio fanya hiyo miamla

  • @wardat_kessy
    @wardat_kessy 4 місяці тому +3

    naona wengi mnabishia anachosema sheikh
    lakin kama utayazingatia basi utakuta ktk 100% ni 2%--4% ya wanawake wanaweza kua wacha mungu na wakawasaidia waume zao
    wewe unaebisha hutujui sisi wanawake ndo mana unabisha ujinga tu

  • @zureashomari2408
    @zureashomari2408 4 місяці тому +6

    Kweli maana Kuna wanawake masheitwain haswa... kaingia kwenye ukoo kufilisi nakutaka kutawala laanakum wallah

  • @MauaAbubakari
    @MauaAbubakari 2 місяці тому +1

    Je mtume s.a.w aliishi hivyo na wakeze?

  • @abbasmungia266
    @abbasmungia266 3 місяці тому +1

    Hizi ni busara na pia zipo sahihi, sio lazima zitoke katika hadith au kitabu fulani

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 3 місяці тому +2

    Fanya uchunguzi wa kutosha halafu utaona kama mambo yako hivyo ama laa

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 4 місяці тому +4

    Wanaeake wa kiswahili hao 😅😅

    • @alybinmana6197
      @alybinmana6197 3 місяці тому +1

      Wakiarabu nawahindi ndio kabisa husubutu ata kuongeza mke na angalia matajiri wangapi wana wake zaidi ya mmoja na uwezo wanao hawasubutu

  • @SaudaMahmoud-yf4zb
    @SaudaMahmoud-yf4zb 3 місяці тому +1

    Sheikh muongo

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 4 місяці тому +4

    kuna dalili ktk hilo kutoka ktk kitabu na sunnah,au hayo ni nasaha kutoka kwa akili yako?

    • @abuhsanono4392
      @abuhsanono4392 3 місяці тому +1

      Alisoma bila kuelewa tumieyeni akili watu watahalibu ndoa zao mke mwema nizaidi yazawadi kutoka kwa Allah
      80% wengi wake zao wabovu kimadili

  • @salmakitenge7341
    @salmakitenge7341 3 місяці тому +5

    Bora na mwanamke naye amiliki mali yake maana mwanadamu akiombwa hukasirika

  • @shanizuberi7984
    @shanizuberi7984 3 місяці тому +2

    Sheikh utakua unamnyanyasa mkeo ndani khaaa jamani

    • @Mustapha2024Kawanda
      @Mustapha2024Kawanda 3 місяці тому

      Akili huna.. Inaonekana wew unahila haswa nyumban kkwenu

    • @ShafiiYusuph-nv7ti
      @ShafiiYusuph-nv7ti 3 місяці тому

      Aya zimetahadharisha na Mtume kutahadharisha juu ya hilo yupo sahihi Nenda kasome

  • @Donn-x7e
    @Donn-x7e 3 місяці тому +1

    Unayosema sio ya kweli sikubaliani na wewe hata Asili Mia 5

    • @ShafiiYusuph-nv7ti
      @ShafiiYusuph-nv7ti 3 місяці тому +3

      Mtume Swalallah alayh wasallam amesema imeangamia jamii yenye kumtawalisha mwanamke ktk mambo yake

    • @rajab2741
      @rajab2741 3 місяці тому

      Kamuambie wakwako uone

  • @AshaYasiniKilenza-rs2oq
    @AshaYasiniKilenza-rs2oq 3 місяці тому +1

    Maana yake hapo nikusema hakuna wanawake wachamungu wanaweza kuwa na huruma na wazaz wa waume zao . Hapana