QASWIDA Zanzibar heroes

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • facebook web.facebook.
    instagram www.instagram.com

КОМЕНТАРІ • 143

  • @RehemaSalim-d3g
    @RehemaSalim-d3g 8 місяців тому

    Natoka kenya.nimeipend sana hii qaswidah.mashaallah hongereni sana.nyny mnao watia Hila we ukiambiwa ufanye hivyo utafny au kuimba utaeza.acheni kubwaga vipaji vya wwnzenu.wivu wenu pelekeni kwngine.mhhh ovyooo.hongereni sana Zanzibar heroes.achaneni na hao vidudu upele wasiotak mazur y wenzao na mtu akiambiw atunge haezi Bure kabisa.MUCH LOVE ZANZIBAR HEROES FROM KENYA

  • @rafiaathumani
    @rafiaathumani Рік тому +2

    😅Jaman hongereni mna kipaji sana ❤

  • @ramahaj1311
    @ramahaj1311 2 роки тому +3

    MashaAllah kaswida nzuri, Allah awaongoze

  • @MkubwaYussuf
    @MkubwaYussuf 2 місяці тому

    Naipongeza Znz Heroes and l ❤

  • @raziahamisi2232
    @raziahamisi2232 2 роки тому +1

    Naipenda Sana hii qaswida....mashaallah

  • @SiwileMohamedMohamed
    @SiwileMohamedMohamed 3 місяці тому

    Kaswida hii nzuri sans jaman.hongereni

  • @aishayunusy7689
    @aishayunusy7689 3 роки тому +1

    mm mtanzania sis sote ni ndugu nawapenda sana wazanzibar

  • @shekhamohd8567
    @shekhamohd8567 6 років тому +4

    Imetuliaaaa mpaka naitamani kuichukua duh simpenzi wa mpira ila hii Qasida nimeipenda

  • @AllyLambada
    @AllyLambada 5 років тому +9

    Mimi ni mkenya nawala sioni U baya na wimbo hawajamsifu mwanamke..wamesifu ni nchi na vipaji kwa hio msizime ndoto za hawa waimbaji ..

    • @gunnergideon7919
      @gunnergideon7919 3 роки тому

      I know it is kinda randomly asking but do anybody know of a good site to stream new series online?

    • @charliegunnar789
      @charliegunnar789 3 роки тому

      @Gunner Gideon lately I have been using flixzone. Just google for it :)

    • @gunnarvance4385
      @gunnarvance4385 3 роки тому

      @Charlie Gunnar yea, I have been using Flixzone for since march myself :D

    • @gunnergideon7919
      @gunnergideon7919 3 роки тому

      @Charlie Gunnar Thank you, I went there and it seems like they got a lot of movies there :D I really appreciate it !!

    • @charliegunnar789
      @charliegunnar789 3 роки тому

      @Gunner Gideon No problem :)

  • @salthom2885
    @salthom2885 6 років тому +2

    Ebwanaaeee hii kasida iko vizuri hafidh huna mpizani

  • @maliamjuma9376
    @maliamjuma9376 Рік тому

    Jmn kaswida nzuri ongeeen sana🙏💞

  • @maryamhamdan5353
    @maryamhamdan5353 4 роки тому

    yaa Rab wasaidie zanzibar heroes warudi na kombe la ushindi this time insha-Allah🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @seraphetid
    @seraphetid 5 років тому +7

    Mashaallah SHEIKH Hafidh 😍❤💝🙏👌🏽💕

  • @zahrayusuf4432
    @zahrayusuf4432 4 роки тому

    Kweli kabisaa wa2 si wa0 mashaalah nzuri kweli😚😚😚😚😚😚

  • @hakibamuhamed4115
    @hakibamuhamed4115 5 років тому

    Hii daaa pakaleo twaikubali hiikaswida hongereni watunzi wakaswida

  • @SamiaBakari-bo7rg
    @SamiaBakari-bo7rg Рік тому

    Mashaallah mungu awape kila la kher

  • @abdoolshakuruswalehe546
    @abdoolshakuruswalehe546 5 років тому +1

    mashaallah. muendlee na kazi zenu zoooote ni %100..wenye imani potofu waendlee kupootooa.

  • @madinagamaha9348
    @madinagamaha9348 4 роки тому +3

    Mashaallah Zanzibar heroes

  • @hajitabaki2836
    @hajitabaki2836 5 років тому +3

    maashaallah

  • @saadaibrahim3431
    @saadaibrahim3431 6 років тому +4

    Zanzibar heroes oyeee🙌🙌

  • @mariamhassani6767
    @mariamhassani6767 2 роки тому +1

    Masha allah

  • @faridaally2165
    @faridaally2165 3 роки тому +1

    Mashalwa

  • @ridhaaselenda7182
    @ridhaaselenda7182 2 роки тому

    Mashallah nimeipenda

  • @hassanally7643
    @hassanally7643 4 роки тому

    Allah Awajaliee hapa dunian mpaka akheraa

  • @diddahidrissa1978
    @diddahidrissa1978 6 років тому +2

    Masha Allah iko vizr

  • @mpemba8730
    @mpemba8730 6 років тому +1

    Nyny mmefika mbali hiio sio sawa si mjiunge tu na WCB mkaimbe mnautia mdaa uislam

  • @mwanamisimwavidzo4594
    @mwanamisimwavidzo4594 3 роки тому

    Mm in mkenya mashaallah kaswida tamu

  • @SUBU-SCRIBE
    @SUBU-SCRIBE 3 роки тому

    Mashallah kazi nzuri sheikhe hafidh

  • @mariammganga7737
    @mariammganga7737 6 років тому +2

    Mashallah and inshallah

  • @khamisabdalla7709
    @khamisabdalla7709 6 років тому +3

    Ahhhhhh mara nyingi napenda kazi zenu ahlul madina lkn hapa mumebugi ila najua ni kwa sbb ya njaaaa tuuu poleni sana

  • @user-sl2lu5rk2f
    @user-sl2lu5rk2f 2 місяці тому

    Mashallah

  • @shukrathhamza3152
    @shukrathhamza3152 3 роки тому

    Mashaallah sheikh Afidhu vzr mnoo

  • @user-zx4rg5gi5q
    @user-zx4rg5gi5q 27 днів тому

    ❤❤❤❤❤

  • @abubakarayubu8938
    @abubakarayubu8938 6 років тому +1

    Jamaniiiii mhhhhh hataryyyy

  • @abdulally4990
    @abdulally4990 3 роки тому

    Qaswada nzuli sana

  • @user-kc8sk8yx3e
    @user-kc8sk8yx3e Місяць тому

    🎉

  • @naimaabuu2330
    @naimaabuu2330 6 років тому +1

    Heee kaswida za kuelimisha tena basi mpka mipira ss daa dumia hii

  • @halimamamuma7314
    @halimamamuma7314 6 років тому +2

    penda sana mm zenji juu zaidi asanteni sana hom ni hom tu

  • @GharibOfficiall-kz7ct
    @GharibOfficiall-kz7ct 9 місяців тому

    Happy

  • @salehali8103
    @salehali8103 3 роки тому

    Kadiriaaa jmn 😭😭😭😭😭😭

  • @fatumayusuph5861
    @fatumayusuph5861 4 роки тому +1

    mashaaaaAllah

  • @taabohosain3849
    @taabohosain3849 6 років тому +3

    Mashaallah

  • @haidarkhamis2019
    @haidarkhamis2019 6 років тому +1

    kadiria bora wangane na ali kiba na hadija kopa wangependeza zaidi

  • @ahmadamohd4147
    @ahmadamohd4147 3 роки тому +1

    Nice

  • @parisz
    @parisz 6 років тому +1

    Unguja rahaaa 7amdulillah

  • @nassourally197
    @nassourally197 5 років тому

    Dah! 2takmbuka mbali sana

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 3 роки тому

    Hayaaa

  • @rahmaomary339
    @rahmaomary339 4 роки тому +1

    Nice❤

  • @khadijamohamedi2912
    @khadijamohamedi2912 Рік тому

    Mashallah 🔥🔥🙏🤲

  • @haidarkhamis2019
    @haidarkhamis2019 6 років тому +2

    nawashauri waungane na dada yao hadija kopa wangependeza zaidi

  • @ashuraali3099
    @ashuraali3099 6 років тому

    Mhh ni shida kwelikweli

    • @jumahasan7512
      @jumahasan7512 6 років тому

      mufty muna laaanyinyi ii ndo qaswda au

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 6 років тому +2

    Bora wabara tuwaonea sana wazanzibar hii ni nchi hamtaki meina sasa ndio tukome tumeitawala duu miaka 64 tukawauwa tumejifanya mapinduzi kumbe Kuwauwa warabu ujanja ujanja sasa watanganyika roho mkononi na magu ndio anatumaliza duu uti fimbo tunauwana Sasa wabongo kwenye viloba mkapa aliuwa 2001 wapemba nae mpaka Leo wapemba wako somari wamemsomea madua guuu anaburuta kkkkk

  • @SantiagoGregory-k6n
    @SantiagoGregory-k6n 3 дні тому

    Sven Burg

  • @tatumuddy1709
    @tatumuddy1709 5 років тому

    Nc cna♥️♥️

  • @dilaihaji9159
    @dilaihaji9159 6 років тому +3

    Duh aisee nyie mzidi sasa kwanini msijiunge na wcb mtihani mashekh someni kwanza muijue dini musikurupuke

  • @hawahamad9628
    @hawahamad9628 6 років тому

    Hii kaswida au nyimbo mbona hatuwaelewi mashekheeee

  • @mudmohamed6911
    @mudmohamed6911 3 роки тому

    Tanzania bara tucomenti wapi naombeni majibu tafadhari

  • @fatmahamed3285
    @fatmahamed3285 5 років тому

    Nzur san

  • @fatmaissa5081
    @fatmaissa5081 5 років тому +1

    dah ndugu zangu hamtofautiani na bongo fleva bora tu na nyie mujiunge msituchafulie dini

  • @aloycemassawe900
    @aloycemassawe900 2 роки тому

    Feisal kumbe ulitabiliwa mbali

  • @FatmaMohamed-zl8lt
    @FatmaMohamed-zl8lt 2 роки тому

    l like vedeo

  • @omanlovemirbat7572
    @omanlovemirbat7572 Рік тому

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @azminakhamis6907
    @azminakhamis6907 6 років тому

    duhhhhh

  • @asiaa5196
    @asiaa5196 6 років тому +2

    Me sina neno napita tuuu

  • @othmanhassan8465
    @othmanhassan8465 5 років тому

    TUJI GOOD TIME

  • @mudmohamed6911
    @mudmohamed6911 3 роки тому

    Tanzania bara tucomenti wapi

  • @shakiruabasi1468
    @shakiruabasi1468 6 років тому +1

    unajua mbona sijaona kosa

  • @maulidsalim6505
    @maulidsalim6505 6 років тому

    Fikirien kwanza kablaya kutenda ,musituletee mambo ya ajabu.

    • @jumahasan7512
      @jumahasan7512 6 років тому

      mufty .munalaanaa nyinyi kswida inaaaka iv munataka pesa tu lkn hamunatofauty na diamond

    • @ramadhanshunda2258
      @ramadhanshunda2258 4 роки тому

      Jamani qaswida hakuna tena watuwapo kimaslai subhanalla

  • @mabenzimabenzi4348
    @mabenzimabenzi4348 4 роки тому

    Hii Qaswida ni nzuri ila video mlichemka vitu viwili
    1 mmeiedit kienyeji
    2 sjaipenda hii video imekuwa tofaut na mashairi ya Qaswida

  • @wcbtumewachokamitandaoni6014
    @wcbtumewachokamitandaoni6014 6 років тому

    Hapa sipo napita tuu mimi

  • @ramarseif9622
    @ramarseif9622 6 років тому

    duuuuh yamekua hayo jamani

  • @mabenzimabenzi4348
    @mabenzimabenzi4348 4 роки тому

    Huyu dogo anaitwa nani najaribu kutafuta Qaswida zake zingne sipati

  • @harunarashid6404
    @harunarashid6404 3 роки тому

    Manshaallah🤲🙏

  • @nasraalmazuory3237
    @nasraalmazuory3237 6 років тому +4

    Mbona kaka zetu sasa mwafanya mambo siyo vp nyinyi wanavyuuoni leo mwafurahiya mipira au mupo kipesa zaidi

    • @salehali8103
      @salehali8103 3 роки тому

      Kwan vibaya acha ujinga

    • @78y408
      @78y408 3 роки тому

      Hafidh akiwepo hakiharibiki kitu allah akujaalie babaa nakuaminia and never give up acha na maneno ya watu we songa mbele lov u dady

  • @mundhirmaharouk927
    @mundhirmaharouk927 6 років тому

    dah hiii aibu

  • @muhammadabdulhakam4848
    @muhammadabdulhakam4848 4 роки тому

    Congratulations

  • @ramarseif9622
    @ramarseif9622 6 років тому

    hii ni Qaaswida au

  • @khamisabdalla7709
    @khamisabdalla7709 6 років тому +3

    Dini ipo wapi tena waislam mnavaaaa kanzu na kofiA kisha mnaimba kina mukicheza munashangiria mpira dahhhh twenda wapi jamani hatuoni ?

    • @bintsalimalbimany9373
      @bintsalimalbimany9373 6 років тому

      Khamis Abdalla Allah atusahilishie lkn mtihan kwa kwel dunua ina nashak tel na haoan mwengine anaetia mashak zaid yakua ss wenyewe waislam ndio tubafsnya iv Ooo mola wet tusaidie waja wako Tunakwenda mbali naiz ngom xichezwazo mashak tu🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇

  • @AshirafuAbuda
    @AshirafuAbuda 5 місяців тому

    Shekhe naomb nije kusoma kwako

  • @shariffmasunay7193
    @shariffmasunay7193 6 років тому

    huu ni mtihani

  • @ashuraali3099
    @ashuraali3099 6 років тому

    Nasra almazuory naona km ni ivo wko kipesa zaid mana mm sijaona funzo lolote apo dahh

  • @shadraknjuga6125
    @shadraknjuga6125 5 років тому +2

    nyinyi wote mulio toa koment zakukosoa kaeni mukijua kwamba mpira sio haram kweny din yetu ila uharam wampira unaaingia pale inapo nadiwa swala halfu watu bado wanaendelea nampira ila kasid hii sijaona kama kusif mpir nimakosa ila sio makosa yenu angeimba diamond hapo wengi weni hata chakula musing kula kwasababu yy NDIO munae muona nibora zaid pumbavu zenu wanafki wakubwa nyie

  • @idrisamikidadi4125
    @idrisamikidadi4125 2 роки тому

    .kigomapigosaba

  • @rashidfakinassor7364
    @rashidfakinassor7364 6 років тому

    dah hatary badal ya kasid hawa wanaimba nyimb ety has si bor waungan na diamond 2

  • @rahmahassan9868
    @rahmahassan9868 5 років тому

    Mashaallah Kaka ang

  • @mabenzimabenzi4348
    @mabenzimabenzi4348 5 років тому

    Qaswida iko vzur ila video sjaipenda

  • @rahmamavura406
    @rahmamavura406 4 роки тому

    nyie ndio mlianzisha kucheza viduku.na dini inavyosema

  • @khadijamashaallahnzrmbassa9641
    @khadijamashaallahnzrmbassa9641 6 років тому

    duuh

    • @mzenjitz2242
      @mzenjitz2242 6 років тому

      nyimbo ni nyimbo tu maadamu wametia vinanda

  • @rahmaa1088
    @rahmaa1088 2 роки тому

    Asalam alaykum

    • @nassorahmed4672
      @nassorahmed4672  2 роки тому

      waalaikum salam

    • @rahmaa1088
      @rahmaa1088 2 роки тому

      @@nassorahmed4672 habar yako

    • @rahmaa1088
      @rahmaa1088 2 роки тому

      Dah npenda San qasweda lakin Sina uwezo wa kukuza kipaj changu

  • @shikamoobongochannel6997
    @shikamoobongochannel6997 6 років тому

    kwan uislam unarusu mziki?

  • @haditvswahili4045
    @haditvswahili4045 2 роки тому

    ua-cam.com/video/NYSACuXDseA/v-deo.html
    TIBA YA KIISLAMU SEHEMU YA (15) MADA : ATHARI YA DUA KATIKA KUTIBU MARADHI

  • @fatmanasornasor9047
    @fatmanasornasor9047 5 років тому

    Wee hafidh umeona unapata kumsifu mtume sasa unasifu mpira? Yaani unaona bora kuwabania pua so znz hiro wacha tamaa izoo kama VP kabane pua kwako uko

  • @fatumaam3540
    @fatumaam3540 3 роки тому

    Aswrwb

  • @zainabudaudi508
    @zainabudaudi508 6 років тому

    nyie wasenge kweli hii kaswida au bongo fleva mbona mnaharibu na kuizalilisha dini?mmelipwa sh ngapi ili muichafue dini kwa hiki alla atawaalani pumbavu nyie kumbe mpo kimaslahi zaidi

  • @mariamhassani6767
    @mariamhassani6767 2 роки тому

    Masha allah

  • @ruthabdallah-ec6ys
    @ruthabdallah-ec6ys 10 місяців тому +1

    Mashaallah

  • @fatumasaid1165
    @fatumasaid1165 2 роки тому +1

    Mashallah

  • @bisharsalum9779
    @bisharsalum9779 4 роки тому +1

    Mashaallah

  • @zainabadinan4457
    @zainabadinan4457 Рік тому

    Mashaallah

  • @rehemajuliusoman7372
    @rehemajuliusoman7372 6 років тому

    Mashallah

    • @vuaichakonde1959
      @vuaichakonde1959 5 років тому

      wanaopinga haya yanayofanyika sio wanzanzibar inawauma ndio maana yake