Kiwanda cha chuma cha Unique Steel Rolling chaanza kazi
Вставка
- Опубліковано 4 лют 2025
- Hatimaye a Unikiwanda cha chuma chque Steel Rolling kilichopo mkoani Tanga kimeanza kufanya uzalishaji baada ya kusua sua kwa kipindi kirefu.
Kiwanda hicho ambacho kimeanza uzalishaji tangu Decemba 3 mwaka huu kimeshazalisha tani 400 za Nondo.
Ajira VP jamani
Naomba mawasiliano
Nataka mawasiliano yao
Kipo wapi
Naomba namba zao