alafu unakut mtu anaendesha ist amtamba kinyama sikia izo bei za gali apo walah ukiingonga iyo gali wambie naenda nyumbani kuchukua hela twende geleji ukifika nyumbani kunywa sumu ufe kabisa😂😂
Ni gari kali sana! Ila huyo Diamond hajafkia kuinunua! Anajitahidi tu kujitangaza hewa! Huoni wanaofungua hilo contena ni wazungu? Mbona wanaonyesha vitu nusu nusu? Ingekuwa ni yenyewe walivyo na mapepe wangeionyesha yote nae akiwemo! Sasa wanamwonyesha akiwa kwenye wishi afu gari wanayo msemea iko ulaya! Wakiionyesha yote kama ilivyo nae akiwemo ndani anaendesha! Nitakunya kutoka mwanza hadi dar!
Sadiki lukungu tukumbuke kuna mungu, mali na anasa Zote zitapita ila mungu hatapita, heri wenye moyo safi watamwona bwana, siku ya mwisho Quran na Biblia ndo vitafunguliwa kukuhukumu wewe, you better respect the process, usitamani mali ya jirani yako, make Hujui kavipataje, ridhika na ulipo mwombee abarikiwe ili nawe ubarikiwe, cha msingi ni kuheshimu watu tu, sio kushindana, pesa zinaishaga jama... Trust me
H baba na mwaijuka ningekua dar huko ningewachapa vibao Leo na kuwavua nguo kama walivyo aidi alafu wanabahati naishi Zambia lkn nafwatilia sana watu wa home Tanzania
Haya sasa diamond, nikukumbushe tu usiwe na miungu mingine ila Mimi, mungu asema hivyo, wacha kuabudu MA rolls and Royce, mavi8. MA sijui Cadillac na ma Prado, make hivyo Utaviacha, imeandikwa ulikuja bila kitu, na utaondoka bila kitu, afu atavimiliki mtu mwingine ambaye hajui hata uchungu wake, nnachojaribu kukukumbusha, mrudie sasa mungu wako make umeshapata yale mahitaji yote ya moyo wako, kiburi cha mwanadamu kinanyamazishwaga na kifo, ni ushauri tu....
kwahiyo tz gari iwe left or right hand zote zinaruhusiwa sio? maana naona hiyo sheria haileweki niwekeni sawa.Hapa china tunaendeshea kushoto, kwahiyo it means nikitaka kuitumia tz hakuna tabu?
H. baba na mujwau zao kelele awajui awajui liziki ugawa mola na ata mchafue mtu Allah ashampatia katu atoshushwa bila ya mola kutaka sasa mjwau na H Dada nyie ongezeni wake 2 huyu jaa amumuwezi mtu was dunia
Woooow nimefurahi mno, utafkiria yangu ,, hongeraa zakeee hongera mno Simba GOD bless you nikiwa Kama shabiki wa damu Simba oyeeeee🦋
hakuna kitu kwanza anyeongea hajiamini hapo promo tyuu😁😁😁🤪
More blessing broth diamond umekamilisha ndoto
L
979
Diamond wanyooshe baba
Hongera kwake my brother
Ongera sana kwa kupiga atua mungu hamsimamie na hampe miaka ya kuweza kura madunda yake na amwepuxhe na hasidi za watu
Big up Rafael Logistics! Mabingwa wa heavy lifting East Africa.
Mwijakuuuuuuu namuita tena...... mwijakuuuuuuuuuuuuuuuu leo halali
😁😁😁😁😁😁
Big simba🦁 wakomeshe kenge hater's wote wakae kimya😄😄😄😄
Mwenyezi mungu azidi kumpa daimond maisha marefu yenye heri na baraka pamoja na familia yake amina
@@maryammagembe5553 usisahau kujiombea wewe na family yako
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Safee sana diamond platnumz baba lao...from kenya
Simba Ni Simba tu 💎
Baba lao fanya kazi uliyotumwa na mungu heshima kwako broo umetisha
Duuuh diamond platnumz ni hatari sana big up bro
Like za simba ziko wapi
WCB FOR LIFE 🦁🦁🔥😍
Blessing Daimond platinum
🔥🔥🔥🔥 hongera simbaaa 💪💪
Simbaaaa uyo love this guys
Simba 🙏🙏🙏 Kama Simba 🙏🔥🔥🔥🔥
Nice broo nakukubali sana
Uyo h mama na mwijako nyege zitawatoka mwaka huu dua LA kuku halimpat mwewe wataishia kupinga maendeleo ya mondi mwenzao kila Siku mungu anampa kibali
Simbaaa 🦁 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Woooooooh!🔥🔥🔥
hongera kaka
alafu unakut mtu anaendesha ist amtamba kinyama sikia izo bei za gali apo walah ukiingonga iyo gali wambie naenda nyumbani kuchukua hela twende geleji ukifika nyumbani kunywa sumu ufe kabisa😂😂
😂😂😂😂😂
Ni gari kali sana! Ila huyo Diamond hajafkia kuinunua! Anajitahidi tu kujitangaza hewa! Huoni wanaofungua hilo contena ni wazungu? Mbona wanaonyesha vitu nusu nusu? Ingekuwa ni yenyewe walivyo na mapepe wangeionyesha yote nae akiwemo! Sasa wanamwonyesha akiwa kwenye wishi afu gari wanayo msemea iko ulaya! Wakiionyesha yote kama ilivyo nae akiwemo ndani anaendesha! Nitakunya kutoka mwanza hadi dar!
@@danieljoseph1610 Hahaha yaani wajinga niwengi hapa Tz huo wote ni wivu tu ndugu yangu tafuta pesa ununue ht baiskel
Umenichekesha sn aisee
Sadiki lukungu tukumbuke kuna mungu, mali na anasa Zote zitapita ila mungu hatapita, heri wenye moyo safi watamwona bwana, siku ya mwisho Quran na Biblia ndo vitafunguliwa kukuhukumu wewe, you better respect the process, usitamani mali ya jirani yako, make Hujui kavipataje, ridhika na ulipo mwombee abarikiwe ili nawe ubarikiwe, cha msingi ni kuheshimu watu tu, sio kushindana, pesa zinaishaga jama... Trust me
Simbaaa🦁🦁🦁💎💎💎
Aliyemuona mama dangote akifungua contena ndinga itoke agonge like hapa
Mashaallah baba laaaaaaoooooo
Simbaaaaaaaaaaaa allah akulinde zidi ya maadui zako
Blessing brother
Huyu mwamba wamuwache tu 🔥🔥🔥🔥🔥👉💎💎💎🙌🙌🙌🙌
Alyepewa kapewa tayri
Babaaaaaaaas
Congratulations
Amazng san mond foreverup.
Hahaha me nafurahi jmn wapi mwijaaaaaa 🤣🤣🤣wapi h mamaaaaaa wamepata kiungulia 😂😂😂😂ukiwa team WCB rahaaaaa ✌️✌️🤣🤣wala hupati viungulia,hupati vihoma homa,hupati vichomi full rahaaa 🤣🤣🤣wasompenda leo wataumwa wataumwa sanaaaaa 🤣🤣✌️asanteeeee diamond
Mange kanyoosha mikono mapemaaaa
Kaamutangaza mafigo ili azimishe ila kashindwa
@@adijaniyonkuru9731 sija elewa
Upo juu kaka
kweli wasanii haujaongopa hapo.....
MashaAllah🙏
H baba na mwaijuka ningekua dar huko ningewachapa vibao Leo na kuwavua nguo kama walivyo aidi alafu wanabahati naishi Zambia lkn nafwatilia sana watu wa home Tanzania
Hatari Sana hiyo
Ww ndo msanii wakwanza kumilik rolls roys east afrika nakubali kak mungu akuweke miaka buku
AAA aah wapi aty wakwanza vera na mike sonko wako nazo
@@ibrahimtv6896 vera anihitoa wapi
@@ibrahimtv6896 huyo Mike sonko ndio nani na hiyo gari katoa wapi?
@@ibrahimtv6896 Hzo zao htujaziona nakama wanazo sio toleo la2021 kama yamondi ko mond babalao
Af nyie mafara acha kubshana na mungu aliepewa kapewa na katangulia pia Mond is #Biggest.
😀Wingeleza hii ila imepitia Dubai🙌🇹🇿
Simbaaaaaaa!!!!
Billion 2 yakitanzania sawa..Ila cyo dollar.isije kuwa Tu zakuunga
Noma
Haya sasa diamond, nikukumbushe tu usiwe na miungu mingine ila Mimi, mungu asema hivyo, wacha kuabudu MA rolls and Royce, mavi8. MA sijui Cadillac na ma Prado, make hivyo Utaviacha, imeandikwa ulikuja bila kitu, na utaondoka bila kitu, afu atavimiliki mtu mwingine ambaye hajui hata uchungu wake, nnachojaribu kukukumbusha, mrudie sasa mungu wako make umeshapata yale mahitaji yote ya moyo wako, kiburi cha mwanadamu kinanyamazishwaga na kifo, ni ushauri tu....
Ni kweli kabsa nataman aache mzki diamond afanye biashara zinazomfurahisha allah
Sasa nataka H-Baba atembee uchi alivyo sema basi😂😂
😂😂😂
Kabisa tunaongoja
Yupo mtaa muda huu nimemuona huku
Duu na limwili lile andaeni ambulance kabisa mana watu watazimia uko mitaani.
Mdomo tu hawez hata kukojoa live😂😂
Hongeraaa sana kwa tumbo lililomzaaaa maaana si mchezo haya H mama na mwajuma tokweni mapovu tena
Lkn anamjali na kumpa huduma au ndobas tena
H baba alisema mondi akilete rolls Roy's atatembea uchi mwambie atimize alichoahidi
@Remmy Mdzomba watuletee huku zanzibar mombasa mbali saana
Mombasa karibu sana
Kumbe na wewe unasubiri ilo km mmi ehee gonga like twenzetu
Aliepewa kapewa huyo Jamaa anatafuta kiki kwa Mond ila kiukweli Jamaa anajitahidi anapesa saana pia Mungu anamsaidia hana roho mbaya H baba hajielewi.
Weee Acha tuuuu,Sasa hivi wanasema feki yaani aibu yao
Dah shikamoo baba
Diamond ni moja kati ya wasani wenye magari ya kifahari Africa na he's the richest musician in east Africa, konde boy ni sugura nae diamond ni ndovu.
😬😬😬😬
😂😂😂
🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 Tushasoma Motocar ya SADALA ina Km 258,796 na ina Tairi Kipalaaaa.🙌🏻😁
Baba ako analo achawivu
@@amanibaraka1585 la nnsasa
Simbaaaa baba lao
Aisee tz washamba Sana,ndomana nyimbo zetu Zina views nyingiiii lakini top 30 hazipo afrika
Natamani niwe mmoja wa kumvua H bb nguo atembee uchi ,pumbf,
Pia mm nataka ku join wasafi
kwahiyo tz gari iwe left or right hand zote zinaruhusiwa sio? maana naona hiyo sheria haileweki niwekeni sawa.Hapa china tunaendeshea kushoto, kwahiyo it means nikitaka kuitumia tz hakuna tabu?
Nimesikia habari kwamba H Mama na Mwijaku wamezima simu zao maana kila chocho wanaambiwa wakatimize ahadi zao dude zao ziwe juuu kkkk
H BABA. sijui hata sema nini jamani...maana daah!! Hadi Sasa mpira mapumziko jamaa anaongoza 4 - 0... Sijui ukifika dk 90..
🤣🤣🤣🤣
Ni msanii anayemiliki magari ya kifahari Tanzania zima,
Nasubiria kusikia maneno ya haters 🤣🤣 Mange yy kanyoosha mikono tiyar 🤣🤣
Mpendwa love nakuonag tu kweny lavidavi ucku na uku upo jmn I like u
Mange amenyoosha mikono
@@davidfrank1644 nipo kotekote kaka 🤣🤣 and thanks for the appreciation 🙌🏽 tukutan badae kwenye davi. Insta kimeumana hk
Ajielewi sijui atasema Uber kigoma
Hapo kwenye sio kama karanga kama ma V8 kila mtu anachukua😀. Kwaio wenye Crown na IST ni vitu gan ili hali V8 ni Karanga??😆🤣
Ubuyu.
Bagadu
Mmh!!! nahisi vitumbua vya kwa mama winnie🤣🤣
Hiyo itakuwa nyongeza nahici
@@benjaminbassu5974 duuu kweli
Uyo akienda kwa RICK ROSS anakuwa mroto mdogo
Good daimond
H. baba na mujwau zao kelele awajui awajui liziki ugawa mola na ata mchafue mtu Allah ashampatia katu atoshushwa bila ya mola kutaka sasa mjwau na H Dada nyie ongezeni wake 2 huyu jaa amumuwezi mtu was dunia
Duhhh
.Diamond baba lao!! Ametimiza ndoto
Waonyesheeeee Simba,
Kilometer ngapi?
Hawajampanga vizur huyo jamaa😆😆😆
Jamaa anasema billion.moja na milion miatisa mpaka kufika nyumban mtangazaj anasema zaid ya billion mbili sijui tumwamini nan
Wew ndohuelew
Be blessed
H baba utafirwa kumanina wewe chuki zenu mondi ndiyo furaha yake
Ananihamasisha sana
Angejenga shule moja au zahanati akaita jina lake Taifa lingemkumbuka sana
Acheni uwongo bilioni 2,semeni ukweli
Kwa nn Dubai.
Na Mimi nataka niagize yangu Kama iyo iyo fanya nipe utaratibu wakutuma pesa
balaa sana
wataerewa sanatu
HALAFU KUNA PAKA MWINGINE ANAKUFANANISHA NA MSANII MWINGINE WA KIBONGO
UK left wheel🌚
Henry Braison clas met wangu bagamoyo sekondari
Huyo hdada yuko wapi sasa
Oyooo
Nimuongo balaaa maana hii gari hapo canada inauzwa canadian dolla elfu 44 ambayo ni sawa na milioni 70 duu wabongongo waongo
Kuna mashoga walisema watatembea uchi ,kama chibu akinunua R R,,tunawasubiri sasa ,
Mbona huku UK magari ni Right Hand Drive?
Point
Naomba mnitaftie mwinjaku
Kuna watu hawawez kubali diamond kawazid ndio hivyo aliepewa kapewa tu
Bado uskie harmonize amenunua Ferrari 😂😂😂😂
Kilaa mmojaa analingiaa alichopewaa.kamaa safali wotee tutafikaa.wotee hatuwezii kununuaa .yeye kajaliwaa kununua DUA
Yani hapa nilipo napigwa na baridi nikiangalia😂😂😂
HIZI KIKI TU...TUNATAKA TUIONE 2023
Jidanganye tu
Siilikua ROLLS-ROYCE PHANTOM ndio gari yake ya ndoto mbona nyengine ya bei ya chini?
Mbona hamkosi chokochoko
Kazi nzito ni watu wazito wanakaa vikao vyao..
Mmh B karibu mbili kunawatu wanamipesa Jmn domo amejua kunyoosha watu
Uyo aliomtaja BACKHRESA ana show room ya maana
Tatizo amjui kufanya kiki gari nyingi za kifahari aziji kwenye contena
Raphael logistics