MUME WANGU JOHN KOMBA KANIACHIA WATOTO 6 WA NJE YA NDOA NA ALISEMA NIWALEE KWA UPENDO WA HALI YA JUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • MUME WANGU JOHN KOMBA KANIACHIA WATOTO 6 WA NJE YA NDOA NA ALISEMA NIWALEE KWA UPENDO WA HALI YA JUU
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 53

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 6 місяців тому +8

    Mwalimu wangu Lugalo Primary School Darasa la 7 Miaka ya 93 Mungu Akupe Maisha Marefu Legend

  • @RoseMayige-gn9qb
    @RoseMayige-gn9qb 6 місяців тому +5

    Nakupenda Mwl wangu, Lugalo Pr. School, nakumbuka ulinifundisha geography enzi hizooo za 1981 ....! Mungu aendelee kukutunza.

  • @clarajoachim9658
    @clarajoachim9658 6 місяців тому +2

    My mama mwenye moyo wake ubarikiwe mama 🙌

  • @angelmashauri6961
    @angelmashauri6961 6 місяців тому +1

    Homgera sana mama kwa kuwa mama mwema na mwenye upendo kwa watoto wote…Mwenyez Mungu aendelee kukutunza mama…hakika wewe ni mama wa kuigwa❤

  • @abdulkaleemmbarak6670
    @abdulkaleemmbarak6670 6 місяців тому +1

    Madam Salome Ur no.1 in a million.

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 6 місяців тому +3

    Mwalimu wangu mama komba alinifundisha hesabati pale lugalo ps mwaka 90 mungu akujaalie mwalimu,,,,nimefurahi kukuona mwalimu wangu ntkuja mbezi sk moja

  • @user-fr7jj1bo7y
    @user-fr7jj1bo7y 6 місяців тому +3

    Mwl wangu shule ya msingi lugalo LY 1989 alikuwa mwalim mzuri sana wa hisabati

  • @marthagabriel3417
    @marthagabriel3417 6 місяців тому +6

    Aliempaka huyu mama wanja sijui alíkuwa na kusudi gani

  • @ngowibeatrice1701
    @ngowibeatrice1701 6 місяців тому +1

    Huyu mama mpole sana nampenda mno

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 6 місяців тому +2

    Mwalimu wangu wa Shule ya Msingi Lugalo

  • @RoseMayige-gn9qb
    @RoseMayige-gn9qb 6 місяців тому +2

    Jamani tuliomaliza Lugalo Pr. School 1983 tujuliane khali......

    • @aishafrancis7714
      @aishafrancis7714 6 місяців тому

      Hee mie hata mimba yangu aijafikiliwa hapo,hongera cn😂

  • @jamesmasome359
    @jamesmasome359 6 місяців тому +1

    Mwalimu wangu wa darasa la nne Lugalo

  • @DavisEnglishTv
    @DavisEnglishTv 6 місяців тому +10

    Wangoni ndo walivo. Mm hapa babangu mngoni tupo kama 20 hiv mama tofauti tofauti. Kwa mamangu tulizaliwa watatu. Hao 20 ni ambao mimi nawajua, nna uhakika kuna wengine nisiowajua kwahyo uskute tunafika 28 huko ama 30 kabisa. Ngoni noma.

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 6 місяців тому

      Hujakosea, umesema ukweli kabisa.😂😂😂😂 Wangoni wana watoto wa nje kama wote.

    • @Njeriii536
      @Njeriii536 6 місяців тому +2

      Duuu30

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc 6 місяців тому

      Mmh 😢

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 6 місяців тому

      😂😂😂😂😂jaman watan mko vizir japo Mme wangu ni mngon nae unaambiwa mngon muagize mzigo wa pesa utafika salama ila sio mwanamke atamzungusha mpaka amzagamue 😂😂😂😂😂nacheka tu ila

  • @user-yr6pp5tv6z
    @user-yr6pp5tv6z 6 місяців тому

    🎉hongera mama mfano mmoja mzuri jamani.tafakari Chukuwa hatua.mama aliukunjua Moyo,,,kabaki amestawi kama uwa la rose🌹

  • @MohamedMkota
    @MohamedMkota 6 місяців тому +2

    Mm nalea bila shida kbc

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 6 місяців тому +8

    Wanawake wa style hii hakuna tena.. subutu.. kizazi chetu cha tiktok na Snapchat.. wanawake wote mavideo vixen akulelee na watoto ulozaa nje ya ndoa?

    • @ikungetajohnluketa8601
      @ikungetajohnluketa8601 6 місяців тому

      Basi ni muhimu mwanaume kuacha kuzaa nje. Maana ME ya TZ wanaona kuchepuka ni sawa tuu.😢

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 6 місяців тому +3

    Keptani alikuwa mwanaume mngoni na mgoni

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 6 місяців тому +1

      😂😂😂hahahahaaa wangon hata kwenye kichaka haon shida

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 6 місяців тому

    Mmmh wangoni wajomba zanguu shikamonii

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 6 місяців тому +8

    Ukapteni hadi kwa pochi manyoya.. alikuwa kamanda hasa

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 6 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @fdizzo
      @fdizzo 6 місяців тому +1

      😂😂😂 kapteni katuwakilisha vzr

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 6 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂pochi manyoya 😂😂😂

  • @martinwangwe8966
    @martinwangwe8966 6 місяців тому +2

    huu ndo mfano wa mkristo

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 6 місяців тому

    Uhuni ni mbaya sana.

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 6 місяців тому +1

    Ni changamoto sana.

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 6 місяців тому +1

    Mzee alijua kuchepuka

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 6 місяців тому +1

    Simchezo

  • @MarthaHaule-ng9il
    @MarthaHaule-ng9il 6 місяців тому +2

    Baba yangu mngoni ndoa yake mke 1 Hana mtoto wa nje na hatuna mama mdogo mbaka Sasa anamiaka 70 nakupenda sn babaangu Mzee haule

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 6 місяців тому +3

      Mmmmhhh kajitahidi kuwakataa watoto,😂😂😂

    • @subiraibrahim8100
      @subiraibrahim8100 6 місяців тому

      Ila wew nimecheka😂😂😂😂😊​@@athumanfuko199

    • @teddyndungurusabnu4792
      @teddyndungurusabnu4792 6 місяців тому

      weee huyo c asili ya m'ngoni ,, hao ukifuata history akina haule ni wakuja songea so hako katabia ni haki yake asiwe nako,, lakini hawa akina KOMBA,, NGONYANI,,, MAPUNDA,, MATEMBO,, na wengine wanaofanana na hayo majina ni hatali asipo kufa kaacha watoto kumi nje ya ndoa bac ujue hata wawili tu 😂

    • @wilbatnyato4679
      @wilbatnyato4679 6 місяців тому

      Akina Haule sio wangoni OG ni wabena hao

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 6 місяців тому

      Mimi baba mkwe wangu ni haule na ana mke mmoja tu shughuli ni hawa watoto jaman tema mate😂😂😂😂😂

  • @votojoseph6178
    @votojoseph6178 6 місяців тому +3

    Kwani hao watoto 6 uliwazaa wewe.Kwa nini uwalee?

  • @Yomiyomi6897
    @Yomiyomi6897 6 місяців тому

    Basi na wewe umekuwa zuzu.

  • @user-ow7pl6tz2c
    @user-ow7pl6tz2c 6 місяців тому

    Mmh mke kama uyu ayupo tena kalne hii