EDNA PART 36 | WOTE WAKUBALI KUFUNDISHWA ILA, NANI ATABAHATIKA KUBEBA MIMBA?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 213

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 4 місяці тому +10

    Jamani niliimiss sana Edna 🇴🇲🇴🇲 woyoo shukran sana Anko Lucasi kwamwendelezo wetu wa Edna Love you somuch anko Lucasi 🇴🇲

  • @TumuhamzaHamza
    @TumuhamzaHamza 4 місяці тому +7

    Wa 4 wadau nawapnda san na kaka lucas mungu azd kukubrki na kukulnda kpnz na twakupnda san mungu aklnd kwa kla hatua maishn mwako🎉🎉🎉❤❤❤

  • @LeahIbrahim-ib4ss
    @LeahIbrahim-ib4ss 4 місяці тому +6

    Asante sana kaka Lucas

  • @mariamathman3572
    @mariamathman3572 4 місяці тому +7

    Asante kaka Lucas na pole kwa mtihani tunakupenda

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm 4 місяці тому +5

    Hatimae tupo pamoja tena wanafamilia,pole kwa changamoto na asanteee kwa kutuletea Edna 😊

  • @vailethmwakipesile6698
    @vailethmwakipesile6698 4 місяці тому +8

    Kha ila hii simulizi haichoshi kuisikiliza ila uwe na haikili sema luka bhan kingeleza hicho hadi raha😊😊❤

  • @munnahali7566
    @munnahali7566 4 місяці тому +7

    Finally your here we missed you welcome back dude

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 4 місяці тому +10

    Me natak wte wasifanikiwe afanikiwe edna pke yke mna uyo roma kazinguw kwel sas ndo nn kufundisha michepuko bdala amfundishe edina pke yke

    • @fatumakama8760
      @fatumakama8760 4 місяці тому +1

      😂😂😂😂 ata mm ananichukiza xana uyu Roma kwa kushirikisha michepuko yake kwenye mambo ya msingi

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 4 місяці тому

      Mimi naona hao michepuko watakuja kuuwawa mmoja bada ya mwingine mi yangu macho hapo mwenye atabakia ni Edna tu😂😂😂😂

    • @hdhjdh775
      @hdhjdh775 3 місяці тому +1

      😂😂😂😂 nabado michepuko inaogezeka

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 4 місяці тому +15

    Ooyoooo team Roma mpo poa jamani likes zenu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @Jennysolange8989
    @Jennysolange8989 4 місяці тому +6

    Wakwanza leo jaman❤❤🎉🎉

  • @jasminmohagthari3730
    @jasminmohagthari3730 4 місяці тому +4

    Oyoooooooo nyieeee njoeni kipenzi chetu lucas anatuita ukuu🎉🎉🎉

  • @bimkubwalangoni7639
    @bimkubwalangoni7639 4 місяці тому +3

    ❤❤❤ Asante kaka lucas

  • @BerthaMateru
    @BerthaMateru 4 місяці тому +1

    Asante kak Lucas na pole Kwa mtihani tunakupenda sana🎉❤❤

  • @JoyceNairaba
    @JoyceNairaba 4 місяці тому +6

    Kazi nzuri

  • @vailethvennance4651
    @vailethvennance4651 4 місяці тому +2

    Waoooo ubarikiwe sana tuliimisii sanaa

  • @melissaivanyi
    @melissaivanyi 4 місяці тому +5

    Kaka lucas asante ilibaki kidogo nikupigie simu kujuwa vpi EDNA

  • @FaithNdenge-k9i
    @FaithNdenge-k9i 4 місяці тому +2

    Thanks God hatimae imekua❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SelinahMakenz
    @SelinahMakenz 4 місяці тому +6

    Kunauwezekano wa wote kukosa iyo mimba na Edina akapata😅😅

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 4 місяці тому +2

    Waooooooo hatimay lohoziturie mana tunacunguria mpaka ikahisi tumeacwa kwenye35 ju madame wetu wanatuwacaga kama Gobol Lukas💐💐💐💐nashukran🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💚💛💚💛💚💛💚

  • @EuniceEunice-d4o
    @EuniceEunice-d4o 4 місяці тому +6

    Wakwanza 🎉

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 місяці тому +3

    Woow subira huvuta heri asant sana mdogo wangu wacha tuangukee nayoo coments badae

  • @AAa-it7nx
    @AAa-it7nx 4 місяці тому +3

    Doooh nilisubiri Hadi sikua na Raha aisai nilikua natazama kila mara kama kitu kiko taari 🎉❤

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 4 місяці тому +9

    Hatimae tumekutana tena kama familia ya lucas lumbas simulizi glory to God.tulieni nawape likes

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 4 місяці тому +17

    Finally tumefikiw jaman Kam ulikuw umemmic Roma vs lanlan gong like hap 🎉🎉🎉🎉

  • @ZaiZainabu-o4p
    @ZaiZainabu-o4p 4 місяці тому +8

    Msiwe wacoyo wa like wadau nimewai tafazali🎉

  • @YasintaHongela-j4s
    @YasintaHongela-j4s 4 місяці тому +2

    Ohoo kaka Lucas niliisubiri sana Asante

  • @Salma-id4yl
    @Salma-id4yl 4 місяці тому +2

    Eeeh.mungu.asante.kwa.wema.huu🙏🙏🙏🙏🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rosalienahimana6287
    @rosalienahimana6287 4 місяці тому +1

    Asante sana mungu akubariki papa ❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 4 місяці тому +3

    Nafurahishwa sana na aina ya maisha anayoishi Roma,yaani hahangaishwi na mambo ya duniani isipokuwa anaelewa kama anafanya nini kwaajili ya nini,kweli huyu mwamba namhusudu sana💪💪

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 4 місяці тому

      Najinsi alivyo wapanga hao michepuko yake sipati picha jinsi watauwana wao kwa wao kwawivu wao,sasa nawa china wameingia mkenge😂😂😂😂😂😂

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 4 місяці тому +1

      @@Evelynmoreen3655 😂😂michepuko ya mfalme haiwezi kuuana,siunaona anavyowapanga kwa busara na inaonekana kila mtu ataijua nafasi yake,nina hamu sana yakujua kama mfalme Pluto atakuwa na darasa lake,na hao wachina tusubiri vitu🤣🤣🤣

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 4 місяці тому

      @@avelinabaluhya2804 hakika 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 4 місяці тому +5

    Roma ameiharibu hii simulizi

  • @AïshaUwera-f3w
    @AïshaUwera-f3w 4 місяці тому +2

    Ahsante sana lucas hatimae Edna 36 imefika

  • @YusraBadru
    @YusraBadru 4 місяці тому +3

    Nimewah jmny🎉🎉🎉

  • @SaeedhSaeedh-f6i
    @SaeedhSaeedh-f6i 4 місяці тому +1

    Mmi namuombea edin awahi❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Salhah-v9h
    @Salhah-v9h 4 місяці тому +2

    Hatimae umetukumbuk daah sio kwakututia ugonjwa 😂😂😂🎉🎉❤asante kwamuenderezo

  • @aminah9557
    @aminah9557 4 місяці тому +3

    Dhaaa leo mimewahi jamani😢😢

  • @TyT-h5l
    @TyT-h5l 4 місяці тому +2

    Asante nawe pia

  • @janekipsang425
    @janekipsang425 4 місяці тому

    Hey, you have made my day. I glad you are bringing Edna uninterrupted!🎉

  • @BimukubuwaMusa-hd9np
    @BimukubuwaMusa-hd9np 4 місяці тому +2

    Kaka Lukas itabidi Utuletee Edina Kila Siku😊

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 4 місяці тому +2

    Roma ndaniiiii ya house🎉🎉

  • @mumbikibathi7036
    @mumbikibathi7036 4 місяці тому +4

    VIP Mumbi Wa Naivasha ako Ndani wapi likes

  • @lucywangesh4208
    @lucywangesh4208 4 місяці тому +1

    Thanx lucas kwa turudia follow wako tena na kuwajali bila kujali maneno ya vidomo vyio vivobu wasahame sana bro mungu endelea na kazi yako vila kujali maneno yao nakuwaelewa tuedelee na simulizi yetu be blessed 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @AïshaUwera-f3w
    @AïshaUwera-f3w 4 місяці тому +2

    Samahani sana muendelezo usichelewe sana

  • @MwanaishaSuleiman-g7t
    @MwanaishaSuleiman-g7t 4 місяці тому +1

    Asante sana,Mungu mkubwa 🎉

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 4 місяці тому

    Safi sana Edna naona sasa mambo unayanongesha, mpee mahaba huyo Roma mpaka akikutana na hao michepuko aone sura yako😊😊😊

  • @marykabuto
    @marykabuto 4 місяці тому +1

    Thanks for you lukas. Hatimae tunaskizana tena

  • @سيدا-ص1ز
    @سيدا-ص1ز 4 місяці тому +4

    Haka katoto nikazuri sana jamani wacha tuseme ukweli tu

  • @ibrahimummu5127
    @ibrahimummu5127 4 місяці тому +2

    Wawah atimae tunaendelea mc team roma and edina wote

  • @TinaPhiri-hq5ue
    @TinaPhiri-hq5ue 4 місяці тому +1

    Wooo I was waiting for it

  • @sakinapili1569
    @sakinapili1569 4 місяці тому

    Asante ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Roma iyo mimba abebe Edna tuu baba iyo michepuko iburudike yenyewe tuu muda wawo ukiisha watuliye chini wamuache mwenye ndowa yake aitumikiye maana apo nikuangaika kwa tamaa za mwili wa Roma juu mkee ajampa

  • @PerpetualWanyama
    @PerpetualWanyama 4 місяці тому

    Nashukuru sana kaka Lucas kwa hii simulizi mungu akulinde kesho utulete ingine ya Edina nikupe maua🎉🎉🎉

    • @PerpetualWanyama
      @PerpetualWanyama 4 місяці тому +1

      Jamn mnakubaliana na Mimi kua atakaye batik a kubeba mimba n Edna mnipe laiki zenu na.kamaua kisi nyi mashabiki wa Lucas plz🌾🌾😬

  • @ElizabethIsaya-io2bn
    @ElizabethIsaya-io2bn 4 місяці тому +5

    Nimewahii jamaniiii nipeni likes zangu

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 4 місяці тому +1

    I'm late but no worry 🎉❤❤❤

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 4 місяці тому +2

    Lucas umetupunguzia masaa mbna unatuonea jmn

  • @bentahmasiemo2742
    @bentahmasiemo2742 3 місяці тому

    Hata kama ntakuwa wa mwisho kuskiliza simulizi ya edina, lazima nijue hatima ya edina na roma, slow but sure ❤❤.

  • @TERESIAYOHANA
    @TERESIAYOHANA 4 місяці тому +1

    Asante sana kaka ❤❤❤❤🎉

  • @SalmaSalma-cb2pl
    @SalmaSalma-cb2pl 4 місяці тому +2

    Mpaka tumeisahau

  • @pilifarhani6049
    @pilifarhani6049 4 місяці тому +2

    Jamani dkk17 tu nimekuwa wa50 ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Yasminemuthoni
    @Yasminemuthoni 4 місяці тому +2

    🎉 ❤❤❤❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 4 місяці тому +2

    Waooo♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹💃

  • @rahimaomarybabu1808
    @rahimaomarybabu1808 4 місяці тому +1

    Kaka lucas lumbas inshallah kesho❤

  • @ashalwamba8286
    @ashalwamba8286 4 місяці тому +1

    Asante sana tena sana.

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 4 місяці тому +1

    Finally kaka yetu leo umetukumbuka ubarikiwe mnooo❤❤❤

  • @Mapenzisafari-lj1mo
    @Mapenzisafari-lj1mo 4 місяці тому +5

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤❤wow wakwanza

  • @SusanNeema-re3hr
    @SusanNeema-re3hr 4 місяці тому +2

    Uwe mbona tumesubiri kwa hamu kaka lucas thank so much❤❤🎉🎉 nimekua no1 like kama umesubiri kama mm🎉🎉🎉🎉

    • @TamaAbdulazizi
      @TamaAbdulazizi 4 місяці тому +1

      Kiranja mkuu: mm ndo mkusanyaji wa like zenu wote🎉

    • @SusanNeema-re3hr
      @SusanNeema-re3hr 4 місяці тому +1

      @@TamaAbdulazizi naona hivyo haya dear🥱

    • @TamaAbdulazizi
      @TamaAbdulazizi 4 місяці тому +1

      @@SusanNeema-re3hr nawakusanyie then mtagawana baada ya kumaliza kuskiliza simulizi

  • @OmariMbaraka
    @OmariMbaraka 4 місяці тому +1

    Hatimae tupo pamoja ashukuriwa mungu

  • @allykhatib8557
    @allykhatib8557 4 місяці тому +2

    Ukifikwa na shida gani ndugu

  • @BlessedMwajuma-x6l
    @BlessedMwajuma-x6l 4 місяці тому

    Good ❤

  • @neemamwachepha213
    @neemamwachepha213 4 місяці тому

    Yap lkuwa twasubir Haswaa asante sana Lucas lumbasss, chukua 🎉🎉🎉🎉

  • @lizzygabriel9601
    @lizzygabriel9601 4 місяці тому +2

    Sema leo umetupunja utamu lucas

  • @jasecsjasecs5775
    @jasecsjasecs5775 4 місяці тому +2

    Nimelaswa kiza sijamsikia roma siku roma akishindwa mahali popote nitakua ICU kusema ukweli sipendi roma ashindwe jamani 😂

    • @ReginaBenjamin-ij2ec
      @ReginaBenjamin-ij2ec 4 місяці тому +2

      🤣🤣🤣 tupo kwa ajili ya kukuangalia utakapo lazwa usijar tuko pamoj

    • @jasecsjasecs5775
      @jasecsjasecs5775 4 місяці тому

      @@ReginaBenjamin-ij2ec 🤣🤣🤣

  • @anthobarengeke3200
    @anthobarengeke3200 4 місяці тому

    Tuliingoja sana. Hongera kuendeleya .

  • @FalidaRahma
    @FalidaRahma 4 місяці тому +1

    😂😂 hatimaye tumefikiwa Jaman woyeeee edna

  • @FatimaRamadan-s4f
    @FatimaRamadan-s4f 4 місяці тому +2

    Anko Lukas nipe namba nikutumie pesa za ahadi ya juzi mm n mkenya nipe maelekezo

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 4 місяці тому +1

    Wow finally imeletwa waa❤❤❤❤🎉🎉

  • @BlessedMwajuma-x6l
    @BlessedMwajuma-x6l 4 місяці тому

    Is good ❤

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 4 місяці тому +1

    Hatimae imekuja aki Alafu lanlan nae na nyama aki😂😂

  • @hilydanguzo6969
    @hilydanguzo6969 4 місяці тому +10

    Mauwa kwa kaka lukasi ❤❤🎉❤ umetukumbuka Leo like kwa luca

  • @KhadijaKhadija-f7q
    @KhadijaKhadija-f7q 4 місяці тому

    Asante sana kaka lucas lumbas

  • @EdinaEdina-tn4go
    @EdinaEdina-tn4go 4 місяці тому +1

    Waooooo, hatimae imetoka

  • @jamilanahimana-wc4nd
    @jamilanahimana-wc4nd 4 місяці тому

    Asante san kaka lumbasi

  • @Nattyjay294
    @Nattyjay294 4 місяці тому +2

    🎉

  • @خديجه-و1خ
    @خديجه-و1خ 4 місяці тому

    Jamani na vyeny tumeimiss edna❤❤

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 4 місяці тому +1

    Bismillah❤❤ Mimi ndo baby minah wake Roma❤❤❤

  • @SofiaKhamis-o1k
    @SofiaKhamis-o1k 4 місяці тому +1

    Sijachelewa sana 😂❤❤❤❤

  • @SylviaBoisabi
    @SylviaBoisabi 4 місяці тому +1

    Wow kameingi🎉

  • @EstherMlai
    @EstherMlai 4 місяці тому

    Duuuh nimechelewa ila kidogo2 bt hakuna atakaeweza kupata mimba ya Roma km c Edna pekeake tuko hapa tuendelee kuskiza tujue msinisahau jmn like zenu pls

  • @AnnaLuhanjala
    @AnnaLuhanjala 4 місяці тому

    Tulio miss Edna gonga likes🎉🎉😊😊

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 4 місяці тому +1

    Asante lucas

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 4 місяці тому +2

    Watupe Abe shemej

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 4 місяці тому +1

    Acha nianze kwakicheko maana michepuko ya Roma iko na kiherehere cha kujifunza hizo nguvu za kijini na vikogwe kama wakina Neema Ruwazo hawataki kuzeheka loooooh ,ila mimi naona vifo vinawahusu hapo atakaye bakia ni Edna tuu yangu macho😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MishiMshihiri
    @MishiMshihiri 4 місяці тому +1

    Woooh nimewahi leo😂

  • @FestoMasunga
    @FestoMasunga 4 місяці тому +1

    Nilikuwa nimepooza jamani ila sasa nahic kuchangamka 😊😊

  • @FestoMasunga
    @FestoMasunga 4 місяці тому +1

    Jamani mpo moto mara hii tu mshajaa ❤❤❤

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 4 місяці тому +1

    Ila nimeipenda hiyo huyo Cindy kwamisifa sasa kakiona cha moto na Team Edna tunatamba utatwambia nini polepole ndio mwendo na harusi iko inapagwa kisiwani lazima tutafute sare 😂😂😂😂😂😂

    • @fatumakama8760
      @fatumakama8760 4 місяці тому

      😅😅😅😅😅 mambo na sare mwaya

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 4 місяці тому

      @@fatumakama8760 ndio kwa harusi ya Edna na Roma huko kisiwani kwani wewe hautaenda🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @fatumakama8760
      @fatumakama8760 4 місяці тому

      @@Evelynmoreen3655 nakosaje kwa mfano? hahaha!

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 4 місяці тому

      @@fatumakama8760 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @masokamsafiri8664
    @masokamsafiri8664 4 місяці тому +1

    Kwahote hapo atakaye beba mimba ya Roma ni Edna tu

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 4 місяці тому

    Tunakupenda Lucas jamani na uvumilivu wetu❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @mariegorethkanteyineza122
    @mariegorethkanteyineza122 4 місяці тому +1

    Bora umetukumbuka

  • @fatumakama8760
    @fatumakama8760 4 місяці тому

    Wasema kaka Lucas lalan misosi sindio

  • @furahangoty5059
    @furahangoty5059 4 місяці тому +1

    Hatimae 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊

  • @MwajumaToh
    @MwajumaToh 4 місяці тому

    Tulikumisi sana kaka hongela ubalikiwe hata kazi azeendi❤❤❤❤❤❤