Wimbo huu unanikumbusha kipindi ambacho njombe ilukumbwa na mauaji ya watoto Jimbo katoliki la njombe lilivoweka ibada ya kuombea janga hili kanisa lote waumini walidondosha macho ulipoimbwa wimbo huu!! Mungu awabariki waliotunga wimbo huu
Jullie zang - Ik ben ervan overtuigd dat jullie gebeden bij de zoon ontvangen zijn. Kuimba kwako - nina hakika kwamba maombi yako yalipokelewa kutoka kwa mwana. Jullie zijn mooi!
Years back I once heard this song in a rosary slide show and finally 6 years later I have found it 🤧🥺❤️ honour to Mary the ever blessed virgin 🥰
Ongeren sana wanakwaya kwa uinjirishaji mwema kwa kpitia nyimbo safiiii kama hiii mungu awabarikiii🙏🙏🙏
hongera Sana Mwl Mtinga. Nimebarikiwa sana na hihi nyimbo
Wonderful song.
Wimbo huu unanikumbusha kipindi ambacho njombe ilukumbwa na mauaji ya watoto Jimbo katoliki la njombe lilivoweka ibada ya kuombea janga hili kanisa lote waumini walidondosha macho ulipoimbwa wimbo huu!! Mungu awabariki waliotunga wimbo huu
MAMA MARIA kimpenzi chetu. Uzidi kutuombea kwa mwanao Yesu
Mungu awabariki wanakwaya wote wa St: August ARUSHA. Tutamuimbia Mungu mpaka uzeeni
Mungu awabariki kwa uinjilishaji mwema kwa njia ya kuimba
Hongeren kwa kazi nzurii
Asante sana kuifufua Kwaya Ya Mt. Augustino. Kwaya ya Mwl. F.A.N. Mwalimu Mwanzilishi . Hongera sana
Ninaupenda sana wimbo huu hongereni sana wana kwaya kwa wito wa uimbaji.
Mungu awabariki
May 2023🥰
I love the song it increases my morale to pray the rosary
❤❤
Jullie zang - Ik ben ervan overtuigd dat jullie gebeden bij de zoon ontvangen zijn. Kuimba kwako - nina hakika kwamba maombi yako yalipokelewa kutoka kwa mwana. Jullie zijn mooi!
Hakika dear
Very nice song
Tnx alot ndg
💓💓🌺🙌🏿
blessed you
mtinga 💓🔥
Ninabarikiwa sana kwa wimbo huu
best song for contemplation wonderful in deed thanks for the good work.
Wimbo mtamu. Mama Maria mama wa mkombozi
Maombi yetu mama uyasikilize na uyafikishe kwa mwanao Yesu🙏🙏🙏
kazi imefanyika vyema asee duuuuh!!!
Najivunia kuwa mkatoliki maana najisikia amani na furaha nikiwa nasikiliza nyimbo za katoliki.
❤🥰
Tnx alot
Making my day complete
Asante mwl. Mtinga
Asanteni,utume mwema