🔴LIVE:MOTO WA PASTOR PIUS MWIRU BABA WA KIROHO WA PASTOR EZEKIEL MWANZA CCM KIRUMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 150

  • @marykemunto3250
    @marykemunto3250 2 місяці тому +1

    I connect myself and my children to this high alter tonight wherever they are in Jesus might name

  • @DamianiKanuti
    @DamianiKanuti 2 місяці тому +6

    Amina pastor nendeni ulimwengu wote uwaambie ufalme mbinguni umekaribia

  • @SaidaNachiro
    @SaidaNachiro 2 місяці тому +1

    Mungu uliye hai naunganisha familia yangu na hii madhabau napuuuza madhibau yote mabaya yaliyo tumwa na kujituma katika maisha yngu pamoja na dada zngu na mama yetu amen 🙏🙏🙏🙏

  • @LilianBonareri-xy7jz
    @LilianBonareri-xy7jz 2 місяці тому +1

    🤲🤲🤲🤲blessing family true me .i believe in christ

  • @MuigaiLeahLeah
    @MuigaiLeahLeah 2 місяці тому

    Mungu ulie uhai napatanisha watoto wangu wote na wajukuu na bijukuu na haya mazahabu katika jina la yesu Amina

  • @lightnesssheghere5905
    @lightnesssheghere5905 2 місяці тому +2

    Ujumbe wowote unaokatisha tamaa maisha yangu nauuupuuza kwa jina la yesu

  • @iscaratieno1874
    @iscaratieno1874 2 місяці тому

    Amen pastor uniombe muguu ya upade ya right inaniuma ndani ya mfupa

  • @Purity-kq6yw
    @Purity-kq6yw 2 місяці тому +2

    Naomba kuongezewa kilakitu maishani mwangu

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 2 місяці тому

    Amen..nnapona kila engle kwa Jina la Yesu

  • @iscaratieno1874
    @iscaratieno1874 2 місяці тому

    Mungu mimi nilienda kazi kwake sikuja alibadilishe ungonjwa mungu rudisha kwake

  • @ivonowuor
    @ivonowuor 2 місяці тому

    I connect my family members Joyce, Rita, Ivon, Brian, Dolline, Maureen, Giana, Bosco, Magnus anayetutafuta kwa njia ya uchawi, uganga apigwe na upofu akose fahamu na akufe kifo ya uchungu, Mungu tupiganie hii vita naeka kwako Mungu wangu tuma malaika wako na roho mtakatifu atupiganie,atuongoze na atulinde kwa jina la Yesu christo 🙏

  • @nadzuwazidi
    @nadzuwazidi 2 місяці тому +3

    Amen in Jesus name🙏🙏🙏🙏🙏

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 2 місяці тому +1

    I received

  • @linetomache707
    @linetomache707 2 місяці тому +1

    Naomba kuongesewa kila kitu maishani pamoja na familia yangu kupitia huu unabii wa mtumishi pius mwiru

  • @gladnessmboya2171
    @gladnessmboya2171 2 місяці тому +2

    Ujumbe wowote unaokwamisha maisha yangu naupuuza kwa jina la Yesu

  • @jaliampinzire3822
    @jaliampinzire3822 2 місяці тому

    Mimi napokea baraka zote zilizoachiliwa kwa ajili yangu na famillia yangu. Katika jina la Yesu. Amen

  • @winnieondari7885
    @winnieondari7885 2 місяці тому +1

    Mungu niondolee madeni madeni za apps in Jesus mighty name Amen

  • @JanepherMakokha-uy6bo
    @JanepherMakokha-uy6bo 2 місяці тому

    Napokea afya nzuŕi nifanyike wa heshima kwetu katika jina la yesu kristo

  • @PhiniasAnjago
    @PhiniasAnjago 2 місяці тому +2

    Mungu naamin umefungua familia yetu

    • @billian1914
      @billian1914 2 місяці тому

      MUNGU niongeze BARAKA zamali nakibali yautajiri Kwa MAISHA Yangu nitenge nama dui zangu kama wacawi nama jini ZAO amin.

  • @gladnessmboya2171
    @gladnessmboya2171 2 місяці тому +1

    Sitakimbizwa na maisha, Sitakimbizwa na magonjwa,

  • @margaretmandia8867
    @margaretmandia8867 2 місяці тому

    Nimeongezewa kwenye kila eneo la maisha yangu na familia yangu

  • @SaidaNachiro
    @SaidaNachiro 2 місяці тому

    Napuuza ujumbe wa vifo vya mapema,umaskini ,magonjwa,utasa, na Ile roho iliyomuandama mamangu Mungu ampe uponyaji na ukombozi

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 2 місяці тому

    Nimepuuuza ujumbe mbaya wa mauti kwenye maisha yangu kila eneo kwa Jina la Yesu mimi nitajiri nitatajirika sana na kua kichwa daima kwa Jina la Yesu.Nitaishi miaka mingi ya mafanikio makuu kwenye kila eneo la maisha yangu kwa Jina la Yesu.Nitafika mbali sana nakutimiliza kusudi la Mungu kwa ubora,usahihi na ukamili kwa Jina la Yesu ...Ameeen

  • @GraceSambula
    @GraceSambula 2 місяці тому

    Mungu unisaitie unifungulie malango yangu yalio fungwa katika jina la yesu

  • @linetkemunto7821
    @linetkemunto7821 2 місяці тому

    Naomba mungu anipe kipaji kama jenu nifanye kazi ya mungu angari nko uhai

  • @JohnMakau-h4t
    @JohnMakau-h4t 2 місяці тому

    Thank you Jesus I love you.

  • @GraceSambula
    @GraceSambula 2 місяці тому

    Ninaongezewa katika jina la yesu

  • @NeemaMwita-zc9nt
    @NeemaMwita-zc9nt 2 місяці тому

    Mumgu bariki kazi ya mikono yangu. Umaskini si wangu

  • @mosesmaduhutv7985
    @mosesmaduhutv7985 2 місяці тому +1

    Hiki ni chombo Cha Yesu

  • @GraceSambula
    @GraceSambula 2 місяці тому

    Nimempuuza ujmbe wa kivo changu na chawatoto wa wangu na uchumbe wa kukosa maishakatika jina la yesu

  • @Roz-m2z
    @Roz-m2z 2 місяці тому

    Amen Marino ya deni na kushikwa naikata kwa jina la yesu ktisto

  • @NeemaMwita-zc9nt
    @NeemaMwita-zc9nt 2 місяці тому

    Tumebarikiwa sana

  • @FaustaDudu-mk3vf
    @FaustaDudu-mk3vf 2 місяці тому

    Amen napokea baraka

  • @carolinanyofu1386
    @carolinanyofu1386 2 місяці тому

    Amen, amen, mungu tetea Familia yang

  • @gladnessmboya2171
    @gladnessmboya2171 2 місяці тому +1

    Napuuza ujumbe wa kusema haiwezekani kurudi mission naupuuza kwa jina la Yesu

  • @apostlemagdalenakongera1238
    @apostlemagdalenakongera1238 2 місяці тому

    Asante yesu Kristo umeniongezea miaka na kila kilicho kizuri kwa sadaka yangu nfogo

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 2 місяці тому

    Thank you JESUS Christ Amen Ameen Amen 🙏🏽🙏🏽😇❤️❤️❤️😭👏👏

  • @NeemaMwita-zc9nt
    @NeemaMwita-zc9nt 2 місяці тому

    Familia yangu ifunguliwe kwa jina la yesu

  • @iscaratieno1874
    @iscaratieno1874 2 місяці тому

    Mungu boss wangu katan ananibadilishia ungonjwa ya mfupa mungu odowa

  • @omazkaingwa6898
    @omazkaingwa6898 2 місяці тому

    Kipitiq madhabahu haya mungu anipone maginjwa niskiayo

  • @elizabethmumo4923
    @elizabethmumo4923 2 місяці тому

    Amen in Jesus name

  • @buchumiefremu5830
    @buchumiefremu5830 2 місяці тому +1

    Na omba nifunguliwe ni lifugwa nawachawi nifunguliwe kwenye biashara zangu kwe family yangu

  • @NeemaMwita-zc9nt
    @NeemaMwita-zc9nt 2 місяці тому

    Aminaaaaa

  • @Dorka12-n7b
    @Dorka12-n7b 2 місяці тому

    Amen 🙏 glory be to God

  • @LucyMulwa-e8b
    @LucyMulwa-e8b 2 місяці тому

    Nimekamata unabii wote ulitabiriwa na babu yangu mwiru kwa utukufu wa jina la yesu sifa na utukufu zimrudie Kristo amen

  • @ChristinaChristina-y9p
    @ChristinaChristina-y9p 2 місяці тому

    Amen Amen Amen hallelujah

  • @winniembula392
    @winniembula392 2 місяці тому

    AMEN 👏👏👏👏

  • @josephinejafari5405
    @josephinejafari5405 2 місяці тому

    Naaaaaaaam msikilizaji❤❤❤

  • @ElidahSindani
    @ElidahSindani 2 місяці тому

    Nataka ndoa yangu na ndoa ya watoto wangu inawiri. Maana sina ndoa na watoto wangu pia hawana ndoa pia.tumeishi maisha ya kungangana kila wakati

  • @divinahkemuma6977
    @divinahkemuma6977 2 місяці тому

    Naomba huduma yangu inuke,mtoto wangu afunguliwe apokee nyota ya masomo, pia nipokee roho ya ufanisi,tufunguliwe kutoka na nguvu za wachawi

  • @Christabel-hr3kd
    @Christabel-hr3kd 2 місяці тому +1

    Amem

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 2 місяці тому

    Amen Amen 🙏🏽 ❤

  • @NeemaMwita-zc9nt
    @NeemaMwita-zc9nt 2 місяці тому

    Nimepuuza yote kwa jina la yesu

  • @LinetSiriba
    @LinetSiriba 2 місяці тому

    Ameeen 🙏🙏🙏

  • @JuliaShilachiru-iq7rq
    @JuliaShilachiru-iq7rq 2 місяці тому +1

    Amen 🙏

  • @LevocatusDeus
    @LevocatusDeus 2 місяці тому +1

    Amna

  • @elizabethmumo4923
    @elizabethmumo4923 2 місяці тому

    Amen, Amen and Amen

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 2 місяці тому

    Ameeeeen🙏🏽❤️

  • @mosessitima9237
    @mosessitima9237 2 місяці тому

    Amen amen amen 🙏🙏🙏

  • @shantelgatumo6049
    @shantelgatumo6049 2 місяці тому

    Amin

  • @annejacobilkiuyoni2971
    @annejacobilkiuyoni2971 2 місяці тому

    AMEN and AMEN

  • @EstherKabasinguzi-hb6or
    @EstherKabasinguzi-hb6or 2 місяці тому

    👏👏👏👏👏👏👏👏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @labancharles8453
    @labancharles8453 2 місяці тому

    Amen amen

  • @RehemaAmon-d6m
    @RehemaAmon-d6m 2 місяці тому

    Pus mwiru ubarikiwe na neno litaendelea

  • @EuniceKerubo-n6d
    @EuniceKerubo-n6d 2 місяці тому

    Ameeeen

  • @Faith-nd3ht
    @Faith-nd3ht 2 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @CarolMueni-tb6lb
    @CarolMueni-tb6lb 2 місяці тому

    Ameen,Ameen,ooh halelujah

  • @carolinanyofu1386
    @carolinanyofu1386 2 місяці тому

    Asant yesu

  • @EstherKabasinguzi-hb6or
    @EstherKabasinguzi-hb6or 2 місяці тому

    AMEEEEEEN 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 2 місяці тому

    👏🇰🇪👏👏❤️❤️

  • @monicamanasseh4395
    @monicamanasseh4395 2 місяці тому

    Ameeeeeeeen.!

  • @kenyaoundo
    @kenyaoundo 2 місяці тому +1

    Ninakata ndoto nbaya

  • @IbuGang
    @IbuGang 2 місяці тому

    Ameen

  • @iscaratieno1874
    @iscaratieno1874 2 місяці тому

    Mungu badilisha hii ungonjwa irudi kwake

  • @beatricendossi7732
    @beatricendossi7732 2 місяці тому

    Naomba urudi tena Arusha.

  • @sabinamahenge5142
    @sabinamahenge5142 2 місяці тому

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @gladnessmboya2171
    @gladnessmboya2171 2 місяці тому

    Nakataa sauti inayozuia uhamisho wa mume wangu, kifo hakitatajwa kwenye familia yangu

  • @lebaijeremiah4540
    @lebaijeremiah4540 2 місяці тому

    Nimepokea baraka zote zilizotolewa kwenye madhabahu hii.

  • @daudjohnndele1454
    @daudjohnndele1454 2 місяці тому

    Nlitaka nimwone pius mwiru nlimsikia redio zaman saa2 ucku miaka ya 95

  • @FaustaDudu-mk3vf
    @FaustaDudu-mk3vf 2 місяці тому

    Jizaz jiazazi

  • @winnieondari7885
    @winnieondari7885 2 місяці тому

    Jesus

  • @iscaratieno1874
    @iscaratieno1874 2 місяці тому

    Nuombe naona boss wangu ananibadilishe hiyo ungonjwa hiyo .b

  • @apostlemagdalenakongera1238
    @apostlemagdalenakongera1238 2 місяці тому

    Nimechoka kung,ang,ana mwisho

  • @AgnesMule
    @AgnesMule 2 місяці тому

    Ameen🙏🙏🙏🇦🇪

  • @apostlemagdalenakongera1238
    @apostlemagdalenakongera1238 2 місяці тому

    Baba mpatie mwanangu scholarship za ulaya

  • @JaneMune
    @JaneMune 2 місяці тому

    Mike akombolewe ulevi ingolewee Kwa uchungu

  • @gladnessmboya2171
    @gladnessmboya2171 2 місяці тому

    Ujumbe kwamba sickle cell haiponi napuuza huo Ujumbe kwa jina la Yesu

  • @iscaratieno1874
    @iscaratieno1874 2 місяці тому

    Pastor uniombe nipone boss wangu Jina yake anaitwa katan

  • @FaustaDudu-mk3vf
    @FaustaDudu-mk3vf 2 місяці тому

    Pesa pesa pesa

  • @FaustaDudu-mk3vf
    @FaustaDudu-mk3vf 2 місяці тому

    Nakamata mali ya kudumu kwa jina la yesu

  • @FaustaDudu-mk3vf
    @FaustaDudu-mk3vf 2 місяці тому

    Nyota yangu ingae kama jua

  • @lebaijeremiah4540
    @lebaijeremiah4540 2 місяці тому

    Kitu chochote kinachokwamisha huduma yangu,nakipuuza

  • @kerubolydiah8486
    @kerubolydiah8486 2 місяці тому

    Aunt yangu Alice puzaa utaza kwa ajili ya neno la mungu kupitia mimi utazaa mapaja kwa imani yangu na hata zina sadaka ya kujitolea lakini ninaamini mungu atatenda

  • @KERUBOMERCYLINE
    @KERUBOMERCYLINE 2 місяці тому

    Amen in Jesus name🙏🙏🙏

  • @NeemaMwita-zc9nt
    @NeemaMwita-zc9nt 2 місяці тому

    Aminaaaa

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 2 місяці тому

    I received

  • @catrhine93
    @catrhine93 2 місяці тому

    Amen 🙏

  • @apostleelisha254
    @apostleelisha254 2 місяці тому +1

    Amen

  • @IreneWangechi-gw7bb
    @IreneWangechi-gw7bb 2 місяці тому

    AMEN AMEN AMEN

  • @damariskemuntho6909
    @damariskemuntho6909 2 місяці тому

    Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏