Napokea nikiwa mombasa,nami pia mtuzi naomba utawale maisha yangu siku xote popote natembea pia family yangu ipate nyota ya kufanikiwa shuleni ndoto mbaya spiritual woman iniachilie na umasikini iishe kwangu na watoto wangu wafunguliwe wapate nyota ya kufanikiwa shuleni ndoto mbaya spiritual woman iniachilie na umasikini iishe kwangu na naomba ukae ndani yangu baba,
Achilia neema na kibali juu ya maisha yangu, baraka ,rehema na fadhili zako zitue juu yangu, niponye kifua,mifupa,tumbo ,sehemu zote za maisha yangu in Jesus's name
Pastor nikiona biashara zangu zinaendelea vizuri nitakuwa kila mwezi natoa shukruni alafu pia unikumbuke nipate nyota yangu ,nikona mtoi moja bwanangu ako job coast utuombee mimi na bwanangu boma yangu iwe na furaha , mapenzi ,amani ...dowry ipelekwe mpaka majirani wamsifu mungu ....ya mwisho babangu alinichukia mahali ako anipende nipate kibali kwake na anipe baraka since he is only my parent alive .
Hata Mimi sitski kionea haya injili yà Yesu. Amina.
Pastor pray for mbithe to pass her nursing exam 😊
Amen sitaionea haya injili ya Bwana hata maadui wanicheke niko na Yesu ❤❤
Yesu.naomba uponyaji wa ndoa za watoto wangu kupitia haya madhabahu haya waoleke ndoa za heshima kwa jina la yesu kristo
Amin sana mtumishi wa MUNGU akubariki sana mtumishi
Bwana yesu asifiwe tunabarikiwa
AMEN. Ninaomba Nyota yangu iregeshwe
Pray for me pastor to get star of success
Naomba pastor anirejeshee nyota ya
ndoa yangu
Baba ezekiel niombee nitokekwenye ufukala Sina uwezo wa kufika kwenye mkutano wako amina
Naomba MUNGU anifanikishe katika matamanio yote ya MOYO wangu yaliyoyahaki mbele za YESU!!AMINA!
Amen Amen naomba nyota yangu ya ndoa ya uchumi ujenzi mtaji irudishwe Kwa mamlaka ya jina la yesu
Pastor you really touch my heart may the Almighty God add you more years of your life Amen
Mungu naomba nami unikumbuke kwa huruma zako....amen.
Pray for Sophia's family to have good health body,mind soul and blood
Heri mtu ajisifu kwamba anamjua Mungu...hapa ni salama.barikiwa!
Amen mungu nilinde na ulinde familia yangu na unilinde apa kazini
Naomba nyota ya masomo kwa watoto wangu wafunguliwe ktk jina la yesu
Rita amen amen God bless you amen pastor Sarah amen amen God bless you amen pastor
Mungu niwezeshe nifanikishe mambo yangu mungu fungua njia zangu
Ndoa yangu ipone Leo na ifunguliwe leo katika jina la yesu amen
This is a good paster
Amen nahitaji nyota ya Yesu kristu mnazareth mungu aliye hai ❤
Pray for my family
Oh yes,, pastor Ezekiel you're so amazing
Amina nabarikiwa sana na mafundisho yako Mtumishi wa MUNGU
Amen 🙏 🙏 🙏, Mungu nakuomba uniponye na mm hizi magonjwa ninazo zipitia in Jesus name AMEN 🙏 🙌
Mtumishi wa Mungu naomba uniombee na mume wangu na uzao wetu
Naomba nyota yangu ingaee katika jina la yesu amen
Mm pastor Ezekiel naomba Nyota ya ndoa
Naomba nyota ya ndoa na nipate biashara,,.
I want my master to lift me up so that I can worship him in truth
Mungu Ezekiel naomba uniguse na Mimi bless me God remember me Lord I will follow you always Mungu wangu
Ukiomba jipatanishe na madhabau yake mara Saba,,,utapokea nguvu Kila wakati ukiomba.
May the lord always reveals true friends in you pastor
Leokadia A pasta kalibu Tanzania kwetu naomba mungu aikumbuke tz familia yangu mungu Atutokee Amen
Amen Amen, ehee mwenyezi mungu unapobariki watu wako NAMI unibariki, usinipite mokozi
Ndoto mbaya ondoka kwangu leo leo kwa jina la Yesu Kristu mnazareth mungu aliye hai ❤❤❤❤❤❤❤
Napokea nikiwa mombasa,nami pia mtuzi naomba utawale maisha yangu siku xote popote natembea pia family yangu ipate nyota ya kufanikiwa shuleni ndoto mbaya spiritual woman iniachilie na umasikini iishe kwangu na watoto wangu wafunguliwe wapate nyota ya kufanikiwa shuleni ndoto mbaya spiritual woman iniachilie na umasikini iishe kwangu na naomba ukae ndani yangu baba,
Napokea hiyo baraka.amen
Amen 🙏🙏🙏🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Ee baba mungu wa pasta Ezekiel najua baraka zako ni zakweli..Nahitaji ndoa, na utajiri wako. Amina.
Achilia neema na kibali juu ya maisha yangu, baraka ,rehema na fadhili zako zitue juu yangu, niponye kifua,mifupa,tumbo ,sehemu zote za maisha yangu in Jesus's name
Maisha yangu n ngumu naomba maombi Nyota ya ndoa pastor.bwana yangu Arudi nyumbani
Mungu naomba Nyota ya kazi na ya maisha marefu na afya nzuri leo
Amen Wacha injili ya Mungu iendelea
Amen napokea upako na miujiza Kwa jina la yesu
Amen pastor nakufatilia sana 🙏 🙌
Mungu naomba family yangu ikombolewe katika madhabahu haya umaskini utowekee kwetu na tufanikiwe kwa kila jambo katika jina la Yesu kristo
Hallelujah
Amina🙏🙏🙏🙏
Amen talaka pia iniondokee kupitia Kwa huyo Dada
Pst.mungu aendeleekukupa nguvu watu wafunguliwe.Unayaweza kwayule akupayenguvu.
Pastor naomba uniombee mm kitu ya Kwanza Nico na mpango wakando naishi yeye plz pastor
Eee mungu unapowagusa wengine kwenye ibaada hii nami uniguse Amen
Pastor nikiona biashara zangu zinaendelea vizuri nitakuwa kila mwezi natoa shukruni alafu pia unikumbuke nipate nyota yangu ,nikona mtoi moja bwanangu ako job coast utuombee mimi na bwanangu boma yangu iwe na furaha , mapenzi ,amani ...dowry ipelekwe mpaka majirani wamsifu mungu ....ya mwisho babangu alinichukia mahali ako anipende nipate kibali kwake na anipe baraka since he is only my parent alive .
GOD IS GREAT
Naomba Mungu anipiganie katika katika kubadili maisha yangu, anipiganie katika kazi yangu
Nifungulie leo mungu wangu
Naomba nyota ya kuishi vizuri Kwa inch ya wenyewe nifanye kazi na amani wanipe heshima mpaka nitakapo rudi pastor ubarikiwe sana
Ee Mungu naomba nipate mume Amen
Amina 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amen Amen Amen
Ameen
Thk you Jesus
Naomba kupitia hii crusade nyota yangu ingaeee kungaa in mighty GOD AMEN AMEN AMEN 🇰🇪🇸🇦
Nimepokea na pastor ubarikiwa na familia yako pia
thank you God for today
Pastor niombee sana ndoto zangu zitimie
Amen Amen
Thnk u postor, may the Almighty God protect u , am Benard from Awasi.
Amen mungu wa mbinguni aniponye mm na familiya yangu
Amen past pia naomba nimetawalwa na pombe naomba unikubuke niashe pombe
AMEN AMEN
Hakika sitamwonea haya Yesu wangu, napokea Nyota ya Yesu watoto wangu mume wangu,wazazi wangu na jamii,tuwe huru Adui ashuke chini .
Pastor mm mungu amenitoa mbali natamani nimtumikie km Asante yangu niombee nipate Kibali chake
Napokea leo nyota yangu amen
Aimeen pasta niombee nirudi kwenye biashara yangu ya.dhahabu
Pastor Ezekiel ,mungu hakuongezee miaka mingi na Mimi nipalikiwe kama wewe.
Ameeni baba 🥰🥰🙏🏽🙏🏽
Naomba Mungu anipiganie anipe uhai Na nyumba yangu awachilie pesa nimengojea for more than 6years
Amen
Amen Amen injili iendeleembele
Ameeeeeeen.magonjwa yanauo nitesa kwa mwili wanhu yapone leeeeeeeo in Jesus's name
AMEN
Ameeeeeeen 🔥 i receive it in the name of Jesus pophert is not my potion
Amina hakika sitawahi ionea Aya njili ya baba
Napokea nikiwa 🇳🇦 Namibia.Bwana yesu nakushukuru kw uponyaji wa mgogo .Asante yesu.
Amen
Ee yesu wangu nikombo pia nami nipe nyota ya watoto wangu
Naomba kupitia kwa hio madhabahu nirejeshewe nyota yangu ya kupata kazi kubwa kubwa kwa jina la Yesu,
Amen pastor
Naomba nyota yangu ingae katika jina la yesu
Ee Mungu usinipite katika haya maombi unibariki
Amen amen
Amen Amen 🙏
Nifunguliwe Leo Kwa jina la Yesu aliye hai .Naitaji nyota ya Yesu kristo
More grace servant of God
Niombee baba nibadilike katika maisha yangu..
Amen 🙏
Amen Amen 🙏 🙌 👏
Hallelujah,,,Mungu nakupenda
Rita amen amen God bless you
Napokea katika jina la Yesu
Amen 🙏 🙏