Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

LEMA AMPA TAARIFA MAKONDA WAZIWAZI, Arusha Tutaingia Barabarani baada ya mkutano wa kesho

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 116

  • @mkuryatv4077
    @mkuryatv4077 Місяць тому +4

    Ongea mwamba mko vizuri sana

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 Місяць тому +4

    Makonda ndo mtu wa kazi...Mi Namkubali Sana...Maneno Mengi Atutaki..mshirikiane kujenga Nchi...Vyama sio Uhadui..kaeni pamoja mjenge Nchi.

  • @ellynkya7216
    @ellynkya7216 Місяць тому +2

    Mungu akulinde

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k Місяць тому +1

    Tumwelewe Lema

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky Місяць тому +6

    Nyie watu mkimuacha lema mmeumbuka

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 Місяць тому

      Hapo hakuna chochote kwani naye anasaka tonge

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 Місяць тому

      ​@@yugemasanza1008kama umeajiriwa kikotoo kitakukokotolea mbali kama unawadharau watetezi wako?

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 Місяць тому +1

      @@marcokaroje8980 Hao ni wasaka tonge kama mimi hata Kama ningekuwa nimeajiriwa wasingekuwa na msaada kwangu brother

  • @EbenezerMagari
    @EbenezerMagari Місяць тому +1

    Alooo lema umetishaaaa
    Nondo juu ya ndonoo

  • @BorySaronge
    @BorySaronge Місяць тому +2

    Profesa wa kusema uongo umesahau kuwa makonda ni jeshi la mtu mmoja makonda haumuwezi hata kidogo utakimbia tena muda si mrefu

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому +2

    Tunaitaji KATIBA MPYA NDIYO KUTATUA MATATIZO. MAKONDA ANAFANYA USANII. NAULIZA HAYO MATATIZO AU KERO WANAVYO ITA NANI AZISABABISHA NI SERIKALI YA CCM. KAMA CCM IMESHINDWA KUTATUA KWA MIAKA ZAIDI YA 60 KWELI MAKONDA ATAWEZA?

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 25 днів тому

    Mfano mzuri wa wizi ni chadema. Pesa yote ya chama wanakula wachache sana.

  • @husseinamassanza50
    @husseinamassanza50 Місяць тому +3

    Lema uko sahihi sana tatizo ni sisi wananchi wenyew hatuna umoja.

  • @gasperaroni5751
    @gasperaroni5751 Місяць тому +6

    Wewe nenda kwa wazungu huko wanaokuunga mkono hawana akili ulikaa miaka kumi ulifanya nini

    • @user-wj6zj1ly4e
      @user-wj6zj1ly4e Місяць тому

      Duh jmn lin alikaa miaka kumi?

    • @thomasmallya2972
      @thomasmallya2972 Місяць тому

      Lema na tass yao wameshindwa kujijenga nnchi ndio wataiwezaa wanafk tuu awa

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Місяць тому

      Nyie machawa wa ccm na maccm wenu mmekaa miaka 60 mmefanya nini

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Місяць тому

      ​@@user-wj6zj1ly4ealikaa miaka 10 akaenda maendeleo nyie maccm mmekaa miaka 60 mmefanya nini

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Місяць тому

      ​@@thomasmallya2972wanaiweza weka tume huru na katiba mpya uone wanaweza au hawawezi tatizo la ccm ni waoga hamtaki katiba mpya kwasababu mnajua mkiruhusu tu mnagalagazwa na chadema

  • @stevesungura6789
    @stevesungura6789 Місяць тому +1

    Ukweli nyie watu mmejitoa kafara ya kutosha kwa ajil😅 ya hii nchi. Siku moja tutawaelewa tu kama hatutawalewa leo

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e Місяць тому +2

    Lema unamipango mizuri kbx, tukikupa uwazr wa tamisemi au uwazr mkuu utafanya hayo unayoyaongea? Ilove lema na maono yako. Lema, heche, mbowe, lisu, luhaga mpina, dotto biteko, mbarawa, nyie ni hazina kwa dunia hii ya leo. Mungu awalinde

    • @hamidkololeki5009
      @hamidkololeki5009 Місяць тому

      Kakojoe

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 Місяць тому

      Alishindwa kufanya kitu akiwa mbunge ataeza wapi akiwa waziri...acha kuota mchana!!!!!

    • @user-wj6zj1ly4e
      @user-wj6zj1ly4e Місяць тому

      @@mamboshepea8888 mm naongera fkra zake na maneno yake ukiyafanyia vitendo.kuna mbuge bashe aliamini ktk BBT kwamba itaondoa njaa tz na kuanza na vjana kadhaa huko dodoma nae ni mawazo yake. (Mbunge ni kutoa hoja, kuijenga hoja na kuiwasilisha hoja lkn yaweza kukataliwa tu na wabunge wenzako

  • @user-rx8uf5ov5q
    @user-rx8uf5ov5q Місяць тому +1

    Arusha mnawezaje kuzidiwa na mbeya? Msimkubalie huyo msukuma ameshindwa kubadilisha misungwi atabadilisha Arusha?

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Місяць тому +1

    Mwanafisiem awaye yoyote hawezi kubeba jimbo la mjini labda ijijini tena huko tanga vijiji vingine vyote tanganyika wameachana na undondocha wa kushabikia lificiem

  • @nabimanyafesto5014
    @nabimanyafesto5014 Місяць тому +1

    Nimekuelewa bro

  • @maruhe1958
    @maruhe1958 Місяць тому +6

    Lema huna kitu we ni mwongo ulipokuwa mbunge ulifanya nini hapo.... Huna lolote

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 Місяць тому

      Nakuunga mkono. Hana lolote. Kaisha

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 Місяць тому

      Wewe umeshafanya nini unaembeza Lema au wewe chawa (parasite) yaani hujitambui na huyo mwenzio uliyemuunga mkono​@@yugemasanza1008

    • @nicodemashaggite8429
      @nicodemashaggite8429 Місяць тому

      Lema huna akili wala staha

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 Місяць тому

    Chadema zindabad

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Місяць тому +2

    Arusha mkilala nchi nzima inalala😂😂😂😂 Lema unaota Njozi za mchana , mnajidanganya saaana , mna mipango mizuri lakini hamna kiswahili fasaha Watu wa Chadema , yaani mkaongea mkaeleweka mnataka nini , ninachoona ni taharuki, mihemko , makasiriko , husda na chuki tu

  • @anaabsaid3544
    @anaabsaid3544 Місяць тому +1

    Lema wakati ulikuwa mbunge ulifanya nini kwa nchi hii.... Bro nenda canada

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 Місяць тому +1

    Ajira ganii mnataka!???! Uajiriwe ulipwe laki mbili sibora ujiajir ujikipe elfu mbili usokua na maneno

    • @gilliardgodfriend5745
      @gilliardgodfriend5745 Місяць тому

      Huo mtaji wa kujiajiri unatoawapi na mzazi wako hata laki hana bank?

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 Місяць тому +3

    Hakuna kitu hapo maneno tupu makonda kaisha ibeba arusha

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Місяць тому

    Misukule iliyovuta moshi wa mwenge inakuzodoa wenye. Akili timamu tunakuelewa

  • @selegioelias9076
    @selegioelias9076 Місяць тому

    Watoto mbona hawapo hata hapo

  • @JosephLukumay-wh8sc
    @JosephLukumay-wh8sc Місяць тому

    Makonda usiruhusu watufuruge sisi wananchi tuko pamoja na amani ili tupate maendeleo.

  • @jomba6514
    @jomba6514 Місяць тому +1

    Lema lia lia

  • @Laizer3
    @Laizer3 Місяць тому

    ARUSHA NI YA PIPOZZZZZZZZ

  • @Commentsplus
    @Commentsplus Місяць тому

    30%ya watu waliopo mkutanoni wanamuunga mkono lema 20%wanasubili waone amekuja kuongea nini 50%wanaona kama anajifurahisha 🔎Cuba

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 Місяць тому

      Una akili brother. Umetazama mbali. Maana hata mimi nimepoteza bundle

  • @husnmjuba4978
    @husnmjuba4978 27 днів тому

    Kwani mama ntilie sio ajira?

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Місяць тому

    Jamani ereee mafici em tumewachoka acheni tusikilize akili kubwa nyie kakojoeni mlale hamtaweza. Watu hawataki ujinga

  • @user-wl3it6sh1v
    @user-wl3it6sh1v Місяць тому

    Tumia luga nzr tutakuelewa.kuwaita wenzio boya si liga nzur

    • @AyoubAbdullrahmanAmir
      @AyoubAbdullrahmanAmir Місяць тому

      Kama mtu boya lazima aitwe boya , hakuna kumung'unya maneno, ila kama wewe upendi aitwe boya, sijui wewe tukwite nan kwa lugha faswaha.

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb Місяць тому

    Hâta chadema inanza vurugu na roho mbaa Zao sasa hivi Arusha inanza kua shuari Tangu mh makonda alivokuja Arusha wananchi wanapata haki Zao basi lazima chadema wanaleta ubaa nauharibu wawo ili vurugu zianze hapo Arusha nyinyi wananchi wa Arusha inafaa mjue kua chadema ndo adui mkubwa wanchi ya tz pamoja nawafuasi wake ikiwa Bado hamja yelewa

  • @shabanikimpinga6769
    @shabanikimpinga6769 Місяць тому +1

    Wewe.kumbe.bado.unaujinga.wazamani.muulize.marehemu.mrema.hao.niwanaccm.wamkudanganya.katox.haikatai.utajuta

  • @asiabaruani280
    @asiabaruani280 Місяць тому

    Lema wewe ni boya,hakuna maendeleo bila kufanya kazi

  • @user-bz5ti6op6z
    @user-bz5ti6op6z Місяць тому +1

    Sasa makonda amekufanya nini we fala

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 Місяць тому

      Acha ulimbukeni fala wewe msifie baba yako siyo Makonda

    • @noelyhaule5695
      @noelyhaule5695 Місяць тому

      We n mwanaume au jike😢

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Місяць тому +1

    Arusha watu hawataki vurugu!!hakuna cha ngome yetu Arusha,Arusha MAKONDA TOSHA!!

  • @dativachuwa3566
    @dativachuwa3566 Місяць тому

    Acha uboya wewe usione watu wengi ukajjipa kichwa itakula kwako tumechoka wana arusha tuachen tupambane na kazi zetu na familia zetu ukiona watu wanakusaport kwa sasa jua na wewe akili moja

  • @dizzosukariyaoSukariyao
    @dizzosukariyaoSukariyao Місяць тому

    Huyo mbunge wenu wasasaiv kafanya nn

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6d Місяць тому

    Tupe ushahidi wa hayo unayoyasema kuwa mawaziri ni wezi na nyie mnaomsikiliza huyo mjinga akili za kuambiwa changanya na zako hiyo ni njaa inauomsumbua sasa wewe andamana ujunjwe Miguu halafu uone Kama atakusaidiaboya huyo😊

    • @user-xd9kw6nt8w
      @user-xd9kw6nt8w Місяць тому

      Hivi ukaandamane uwawe halafu uende moto au uvunjwe hata miguu kisa nn lo 😂😂😂😂

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6d Місяць тому

    Wewe unamuogopa makomnda ndio maana unamtaja Taja

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 Місяць тому +2

    Ninyi mnaye mpinga lema na chadema ni punguani na akiri zenu chafu

  • @MohammedAwadh-gq9si
    @MohammedAwadh-gq9si Місяць тому

    Mbona picha mchanganyiko ? Mnachanganya picha za miaka miwili ilyopita, ,

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Hizo kero zinasababishwa na WANACCM sasa Makonda ni mwanaccm ajifanya kuzitatua. Huo ni usanii mtupu. Nyani anaeeza kutatua kesi ya ngedere? Wanauza ifadhi kwa warabu

  • @SmilingApron-zw6ne
    @SmilingApron-zw6ne Місяць тому

    WALIOMCHOMA MOTO MWIZI NA KUMCHO HEA NINATANGAZA RASMI KWAMBA JEHANAM IPO WAZI WATAKOMA MOTONI NA HALUNA MSAMAHA , ILA KAMA HAMJAWAHI KUISKIA INJIRI HAPO MUNGU ATAWASMEHE ILA KAMA MMEWAHI KUISKIA INJILI MKAJITOA UFAHAMU KUMCHOMA MWENZENU MOTO NAWAAMBOA JEHANAM YENU

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb Місяць тому

    Hakuna zamana au mkuu wachama cha chadema alio Saidia mtz yeyote kupata haki zake iwe unyanganifu wa nyumba ?? au shule au hospital ?? au barabara ?? hakuna maendeleo yeyote ambao mbunge au meya au DC aliochangia chochote chilio Saidia mwanchi hakuna msikubali kuingia barabarani fikirieni mna akili namacho mnaona yanavofanyikana kwenye mkua wa Arusha Tangu mh makonda alivokuja huko

    • @coolruler6820
      @coolruler6820 Місяць тому

      Mbumbumbu wewe, hiyo migogoro wanatatua ni nani aliifuga? Wao ndio wapo madarakani tangu uhuru, haya wanafanya ni maigizo tuu, kero wamelea wao, leo wanajidai wanazitatua, nchi hii wajinga ni wengi ndio maana akili zetu zinachezewa sana na viongozi. Hizo mahakama na taasisi zote zinazodhulumu haki za watu, zote zimeunda na hao hao wanaojidai wanazitatuz leo, hawana jipya ndiyo maana sasa wameamua kutatua kero walizozilea wao, jamani tuamke watu wa MUNGU viongozi waache kucheza na Jodi zetu

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 Місяць тому

    CHADEMA ni saccos ya mbowe mlamba asali ya Samia Suluhu, angalia wakina Msigwa, Halima mdee na wenzake wako wapi?? Wananchi fungueni macho hakuna chama hapoo

  • @athumanyusuph1099
    @athumanyusuph1099 Місяць тому

    Endeleen kuckiliza nakwamba nakwamba....mtachelew xan nyie jamaa...hao wapo job kupitia matatzo yetu...jaman tupigen kaz hivyo vingine ni vipaj vyao tuh

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Місяць тому

    HATA MSIGWA ALIKUWA ANAONGEA HIV HIV ILA LEO KIKOWAP SIMUAMIN MWANASIASA YEYOTE MIM NYOTE MNA AKIR MOJA

  • @anaabsaid3544
    @anaabsaid3544 Місяць тому

    At kama kenya ? Kiongozi mwenye kuomba wananchi wafanye vurugu kweli sio kiongozi shame on you

  • @JosephLukumay-wh8sc
    @JosephLukumay-wh8sc Місяць тому

    Huyu ni hatari sana wananchi tuwe makini na viongozi wa namna hii tutarudi nyuma sana tufanye KAZI kama Mungu anavyotaka tuachane naye.

  • @user-wu2du6jy5c
    @user-wu2du6jy5c Місяць тому +2

    Akuna kitu bira kupiga kazi

  • @anaabsaid3544
    @anaabsaid3544 Місяць тому

    Umeenda magereza kwasababu wewe ni mhalifu-------Maneno unayo yazungumza ni uchochezi mtupu eti fanyeni kama kenya? Watanzania hawalali njaa bwana lema kila mtanzania ana luku ya umeme mpaka wamama wauza mboga wana luku ya umeme wana gesi ya kupikia chakula huoni mtanzania ana njaa ni inchi safi sa TZ Mungu ibariki Tanzania

  • @yugemasanza1008
    @yugemasanza1008 Місяць тому

    Tukikosa bodaboda tutaishije mjini wewe Lema?

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k Місяць тому +1

    Kuwaondoa ccm siyo vibaya lakini wa kuwapa nchi hii watu wa aina ya lema? Sipati jibu.

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 Місяць тому

    Sasa makonda anaingiaje hapo

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 Місяць тому

    Kurudi kwako ulisema ulimpigia cm kikwete ili urejee nchin ,bado Nina mashaka

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 Місяць тому +2

    Wewe mjinga sana wewe

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 Місяць тому +2

    Mjinga huyu alifanya nini pindi mbunge

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 Місяць тому

    Lema ni mwehu mkubwa .yote unayosema ni uchochezi wakati umeacha familia yako ipo nje mhuni tu wewe hao wajinga wenzako wanaokuunga mkono niwajinga mwizi ni mwizi tu

  • @user-cz5sd6ys8i
    @user-cz5sd6ys8i Місяць тому +3

    Wewe nunaye mtukana lema hauna akili lema,angwa mkono na watazani sio wazungu,akili yako ndogo San chawa mkubwa wewe

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 Місяць тому

      Yeye sindio anae watukana boda boda anasema ni laana vipi hapo Arusha boda boda hawapo? Au nyani haoni kundule. Amshukuru mama Samia Suluhu Hassan kumrudisha mkimbizi wa nchi.

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 Місяць тому

      Uko sawa Mungu akuzidishie busara

    • @hamidkololeki5009
      @hamidkololeki5009 Місяць тому

      Kenge ww

  • @user-ur7pw9ek6s
    @user-ur7pw9ek6s Місяць тому

    Kumekucha kumekuchaaaa hukooo.

  • @thomasmallya2972
    @thomasmallya2972 Місяць тому +1

    Chama cha kuiyoa ccm madarakani cjakiona nyie wooote mamluki kwenda uko

  • @philemonimassawe6597
    @philemonimassawe6597 Місяць тому

    Hizo ni hezabu zako kichwani mchumba ww

  • @philemonimassawe6597
    @philemonimassawe6597 Місяць тому

    Lema ww wakike tuu Yani mchumba sana

  • @SupiraMagina
    @SupiraMagina Місяць тому

    Hizo kelele tu hazikusaidii.