JANUARY MNAUTAKA URAIS 2025..? NAPE Tutawapiga Buti kiatu Hadi Tuheshimiane, mimi najua nitateuliwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @edwardkimaro2103
    @edwardkimaro2103 22 дні тому +2

    Utu na ubinadamu wa KWELI wa mzee Yusufu Rajabu Makamba unawafanya Vijana January na Nape kuwa wote wawili ni watoto wa mzee Makamba,Moses Nauye kabla afariki alipoanguka na ndege Jeshini alimwomba Makamba Amlelee mwanae Nape kakiwa kadogo na Akalea vyema👏👏👏🙏🌺🌺

  • @noelmusa3502
    @noelmusa3502 23 дні тому +8

    Akipewa urais makamba niite mbwa😢😢

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 22 дні тому

      Maarifa ya nini kitatokea kitamba au sekunde chache mbele si uwezo wa mtu au binadamu yeyeto

    • @godfreyfrugence4176
      @godfreyfrugence4176 18 днів тому

      Hawez kuwa rais hata nape sahau

  • @fadhilimoshi5754
    @fadhilimoshi5754 23 дні тому +4

    Shida moja nchi hii ni ya wahuni wananchi hawana lolote wamebaki yatima kwa viongozi wasio na huruma matajiri waliopindukia wapigiwe mahesabu tujue wamepata wapi huo ukwasi

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 4 дні тому

    Kauli za kiongozi mwenye maono lazima awe na busara. Kauli za nape si za kuigwa na vijana wa taifa la leo hadi la kesho.

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 16 днів тому +2

    Kujiuzuku kwa Kinana ni kwasababu ya kutumbuliwa kwa Nape na Makamba hakuna jengine hawa ni wabaya sn ndani ya ccm na nchi kwa ujumla

    • @jacktonetiibuza9970
      @jacktonetiibuza9970 15 днів тому

      CCM wote wabaya msitaje Hawa wawil

    • @AGM19697
      @AGM19697 8 днів тому

      Ahh inaelekea wanamikakati yao mibaya. Ukute hakujiuzuru kwa kupenda bali kwa kulazimika kwakuwa hao wawili ni vijana wao yeye na yuleee

    • @luogaphilowin5923
      @luogaphilowin5923 6 днів тому

      Uzuri tumewajua, hivyo nguvu moja kwa mama mi5 tena hlf wao wakaisome namba kwa bao la mkono

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 6 днів тому

    Huyu akiwa raishi tunaenda upande nchi itabaki na madeni na njaa hafai kabisa

  • @mohamedimiraji5495
    @mohamedimiraji5495 14 днів тому +1

    Hii tabia ya kutawala nchi kwa kurithishana inatakiwa ifike mwisho. Hatupo kwenye zama za utawala wa kichifu. Hopeless

  • @JacobMbosalee
    @JacobMbosalee 16 днів тому +1

    Kwani wewe ni nani??? NAPE bwana hiii siyo nchi yako.basi kama unajua utateuliwa basi kaa kimya!!!!!

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 22 дні тому

    Mm hatuchagui watu kama viongozi kama zawadi kwa yale waliofanua bali tunachagua kwa kuwapima kama bado wanapumzi na uwezo wa kutumikia. Kuchagua viongozi kama zawadi kwao ni kikwazo kimojawapo cha maendeleo

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 18 днів тому +1

    Kikwete na lowasa watarajiwa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 22 дні тому

    Haloooooooo ya Ccm hapa kazi tu

  • @MsafiriAmosi-g6b
    @MsafiriAmosi-g6b 18 днів тому

    Mtauwana warafi wa madaraka nyie hamridhi na mlizoiba

  • @abasiachimika541
    @abasiachimika541 16 днів тому

    Ww mjinga2 tunajuw wwe mwehu

  • @UdakuWangu-pn4op
    @UdakuWangu-pn4op 22 дні тому

    hahahahaaa
    huyu nape

  • @lucasmombo-di4zr
    @lucasmombo-di4zr 22 дні тому +1

    Hawafai acha watoke!😢

  • @UdakuWangu-pn4op
    @UdakuWangu-pn4op 22 дні тому

    nape anaimani atateuliwa tena

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 11 днів тому

    Hawa nishida ktk uongozi

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 20 днів тому

    Chama Cha Mapinduzi ndicho maarufu. Uzuri wa chama hiki ni kuwa na lundo LA wanachama maarufu kwa jina LA makada. Mtu Kujipa umaarufu ni hiari yake na wala hakatazwi.

  • @FadhilyOthman
    @FadhilyOthman 20 днів тому +1

    Wajinga tu wote hawa

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 22 дні тому

    Hao walibebwa na majina ya baba zao which is BS kubwa

  • @enocepaulkumba9362
    @enocepaulkumba9362 22 дні тому

    Mjinga huyo