KUZIM YA TIKISA KANISA WAMETUMWA KUHARIBU UKRSTO EV PASCHAL CASSIAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • #0788871769 #0766998994 #call0688199370 #

КОМЕНТАРІ • 231

  • @gastondofra9151
    @gastondofra9151 Рік тому +12

    Ubarikiwe sana mtumishi. Alie na sikio na asikie jinsi Roho wa Bwana Yesu ayambia makanisa.
    Mungu atusaidie kweli

  • @simonlaizer6261
    @simonlaizer6261 Рік тому +12

    Lait watu wangeskiliza mahubiri haya na kusoma neno la mungu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @bintmwambapa7734
    @bintmwambapa7734 Рік тому +28

    Yaani natamani mda wote niwe nasikiliza Neno la MUNGU tu , YESU niokoe na jehanamu, Mtumishi MUNGU azidi kukutunza

  • @stellakutta6513
    @stellakutta6513 Рік тому +6

    Asante sana Mtumishi wa Mungu. Somo la Leo ni langu. NAMI nimepata fundisho la kuniweka sawa. Katika tatizo langu la matatizo yangu yote na hata magonjwa yangu yote. Yesu atanishindia tu. Sitakuwa kama hivi nilivyo. Kwa kuwa Bwana wetu Yesu aliyashinda haya. NAMI atanishindia tu. Raha iko mbele yangu. Alipo Yesu NAMI nipo. Atanishindia tu. Ee Yesu naomba nisaidiye. Asante Yesu. Amen.

  • @SafiAkinyi8361
    @SafiAkinyi8361 Рік тому +10

    NIMEKUELEWA SANAA BROTHER MUNGU ATUHURUMIE 😭😭😭 NIMEKUPATA SANA KABISAA TUGEUKIE MUNGU WATU WA MUNGU

  • @FrankwasafiJustin-fn6pm
    @FrankwasafiJustin-fn6pm Рік тому +4

    Mungu ni mwema, na hakika ni tegemeo letu
    Kabla siaona hii video nilisikia msukumo mkubwa wakunihamasisha niweze kufuta nyimbo za dunia yaani bongo forever
    Sasa baada ya kutazama video hii nikawa nimegundua
    Kumbe Mungu anaweza kuongea na mtu kwa namna ya tofauti sana
    Mungu akubarik sana mtumishi AMEN

    • @IsayaOsome
      @IsayaOsome Рік тому

      Amen hubarikiwe sana Pascal

  • @andrewmmassy5204
    @andrewmmassy5204 Рік тому +7

    Nimefunguka sana mambo haya yasiri sikuyajua mana niliona ni kawaida.
    Ahsante mungu uliembinguni umetufundisha na tumeelewa na tumepokea neno lako.

    • @angiringalyimo365
      @angiringalyimo365 Рік тому +1

      leo kwenye makanisa mengi waimbaji wanakatika viuno km wanenguaji

    • @andrewmmassy5204
      @andrewmmassy5204 Рік тому

      @@angiringalyimo365 ni kweli kabisa!!!???

  • @mercymwasha3993
    @mercymwasha3993 Рік тому +4

    Inatisha sana kwa kweli!! Eee Mungu shusha rehema zako kwa Kanisa.

  • @faidafaida5038
    @faidafaida5038 3 місяці тому +1

    Yesu tukumbuke yesu turehemu Sisi nawatoto wetu,amina

  • @Erishaernest-ik3kk
    @Erishaernest-ik3kk 10 місяців тому +1

    Mtumishi wa mungu ubarikiwe na bwana wetu yesu kiristo kwa jumbe zako nzuri akika nabarikiwa nazo mungu awe pamoja nawe kama yoshua amina

    • @user-nm3bg7li9m
      @user-nm3bg7li9m 9 місяців тому

      Zingatia harama za huandishi akikisha ukiwa una andika jina Kama Yesu ,Mungu andika kwa erufi kubwa barikiwa mtumishi

  • @paulmkoi8086
    @paulmkoi8086 9 місяців тому

    Ubarikiwe Sana Mtumishi wa MUNGU kweli tupo nyakati za Mwisho tuzidi kuombeana na kuonyana endelea kusema ukweli na MUNGU hatakuacha.Amen

  • @user-tc9ng4vo5z
    @user-tc9ng4vo5z 8 місяців тому

    Ujumbe wa muhimu sana, naona ni neema tu na mimi kusikia, ninakushukuru Mungu wangu,ninaomba uwajalie watu wengi zaidi wasikie na ninaomba umtie nguvu na umlinde

  • @lydiabenjaminmgalula6189
    @lydiabenjaminmgalula6189 2 дні тому

    Ubarkiwe mtumishi wa Mungu kutufumbua masikio yetu🙏😔🤝🤝

  • @mwanaidiabdullah8173
    @mwanaidiabdullah8173 Рік тому +3

    Unatoa neno ila tunafurahi sana kazi ya Mungu iende mbele ameeen

  • @eliajumaamwazaro3153
    @eliajumaamwazaro3153 Рік тому +5

    Amen ubarikiwe mtumishi wa MUNGU

  • @jdsanty4304
    @jdsanty4304 Рік тому +1

    Sipendi kucomment lkn hii Kali 😅😅😅😅 nafurahia KAZI yako mtumshi mungu azidi kukutumia na akutienguvu zaidi uzidi kutuambia ukweli

  • @jeanbosco7866
    @jeanbosco7866 Рік тому +6

    Ubarikiwe mtushi wa Mungu na asante kwa ujumbe mzuri

    • @agnesyjoseph3906
      @agnesyjoseph3906 Рік тому

      Mungu atusaidie atuponye na vizazi vyetu, Asante mtimishi

    • @user-sl4vj1mk1j
      @user-sl4vj1mk1j 17 днів тому

      Asante sana muchungaji,Mungu Atunusuru

  • @kizandume3015
    @kizandume3015 Рік тому +4

    Àsante Sana mtumishi wa mungu hizonyimbo za kidunia ziko namashabiki wengi Sana Wana zisikiya na kucheza

  • @maryeer6392
    @maryeer6392 Рік тому +6

    Sichoki kukuskiza 🇰🇪🇰🇪.

  • @dhahabubola7290
    @dhahabubola7290 Рік тому +1

    Mungu nimwema rroho wabwana naomba uzid kutufungua masikio yetu tukasikie kwel yko👏👏

  • @Roseokongo355
    @Roseokongo355 Рік тому +6

    Amen,God bless you brother for this encouraging sermon.

  • @Crabtree1844
    @Crabtree1844 Рік тому

    Eti suruali ya kuvaa watu wawili. mutu amevaa suruali ya kuvaa watu wawili? Waaah! Umewagundua kweli. Oh merciful LORD and Savior save me from the corruptions of this world. Help me to know You, show me Thy glory that I may do Your will, I pray Thee. Amen

  • @salimaechessa8933
    @salimaechessa8933 Рік тому +1

    Unahubiri ukweli mtupu,barikiwa mtumishi wa Mungu aliye hai.

  • @joannembaja6053
    @joannembaja6053 Рік тому +8

    Yesu tuhurumie watoto wako duniani

  • @user-lf6ti3ie7l
    @user-lf6ti3ie7l 9 місяців тому

    Mungu atupiganie dhidi ya mawakala hawa. Nawe mtumishi Mungu akulinde huduma iendelee

  • @sifuelylyamuya9698
    @sifuelylyamuya9698 Рік тому +1

    Aisee Hatari Sana. Mungu atusaidie hivi kuna haya mambo makanisani ...kama hapo Kwa Mwingira aisee watu waamke...Pascal endelea kusema kweli tunakuombea. Watch and Pray!!

  • @dainesykalinga7133
    @dainesykalinga7133 Рік тому +6

    Ee Mungu uturehemu hali inatisha sana duniani 😭😭😭😭😭

  • @johnmushi5836
    @johnmushi5836 Рік тому

    Munguu Akubarki sana Mtumish Wa Munguu.. Mafundisho Yako Yana nisaidiaa sanaa

  • @samwelimwanja4105
    @samwelimwanja4105 Рік тому +4

    Ameni brother unatusaidia sana

  • @lizjoro8902
    @lizjoro8902 Рік тому +4

    Tell them the truth , only God will heal the world ,the one who's in God side, will be the child of God, God bless you Man of God and God will lift you to preach the Gospel to the whole world this is the end time.

    • @Crabtree1844
      @Crabtree1844 Рік тому

      I would say, tell us NOT "tell them." The snare is like a creeping slithering snake.

  • @user-bu8we7yp7x
    @user-bu8we7yp7x 9 місяців тому

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa kuliambia kanisa ukweli

  • @germainndayishimiye8684
    @germainndayishimiye8684 Рік тому +3

    Sema baba mungu tu pamoja nawe

  • @medsonsanga4813
    @medsonsanga4813 Рік тому +1

    Hakika Mungu Yuko pamoja nawe Pascal casian Mungu. Akulinde Zaid maana Kanisa la leo linapindisha ukweli na kujenga misingi ya kidunia na ya kipepo. Ila Mungu ameachilia Nuru iwake juu wako 🔥🔥🔥🔥

  • @emeraudewani7935
    @emeraudewani7935 Рік тому +1

    Mimi kweli nakupenda mtumishi Wa babangu Mungu akulinde akuchunge nakukuficha sababu wata kutafuta wakuuwe sababu ukweli usijulikane tena

  • @agnessbulegu996
    @agnessbulegu996 Рік тому

    Kwakweli kaka neema hii ya MUNGU MKUU isikupungukie kamwe katika WITO na kazi hii AMBAYO kwaajili ya haya uliumbwa. Asante sana ubarikiwe, ninapokea uponyaji juu ya seduction spirit behind songs/ singing in Jesus'name. Amen

  • @olengonelson7453
    @olengonelson7453 Рік тому +1

    Yani ndugu Paschal, unayoyasema nibkweli asilimia mia kwa mia. Mungu akubariki sana.

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 Рік тому +2

    Yani nimekuelewa sawa sawa Asante Yesu Kwa hili somo ameeen

  • @Roym97
    @Roym97 Рік тому +1

    Uthubutu huu ndio uthubutu mwema, nimebarikiwa ❤

  • @dainesjoseph3065
    @dainesjoseph3065 Рік тому +1

    Mungu akubariki sana baba na akulinde uzidi kuihubiri injili utukomboe wengi

  • @marybwire1949
    @marybwire1949 Рік тому +1

    Amen..ubarikiwe milele na daima mtumishi Wa Mungu🙏🏽

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 Рік тому +2

    Mungu atusaidie tumjue zaidi.
    Nimekuelewa mtumishi

  • @zamdakimbunga5544
    @zamdakimbunga5544 Рік тому +3

    Mungu akubariki Mtumishi ❤

  • @isackeliya-hi9td
    @isackeliya-hi9td Рік тому +1

    Well done pastor it's true if you don't have god inside you when these songs played you will be in that situation of devil

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 Рік тому +1

    Maandiko yameeleza waziwazi kuhusu habari za nyakati za mwisho. Kuhusu ishara namambo yatakayotokea hivyo nasihi kila mmoja awe na maandalizi ya maisha yake kuishi maisha yanayompendeza Mungu. Tujiweke tayari wakati wote maana mambo hayo hayana budi kutokea.

  • @kapusitv
    @kapusitv Рік тому +3

    Mwanzoni nikawa nasema huyuu jamaa anazungumzia NN kumbe.. Kuna ujumbe mzito ... Angalia mpk mwisho

  • @fainessndone7254
    @fainessndone7254 Рік тому +3

    😭😭😭oooohh God tuokoe sasa,,, maana Mambo Ni magumu bila wewe hatuwezi kabisa

  • @rukiymbarak7087
    @rukiymbarak7087 Рік тому

    Asante mutumishi kwa kutuonyesha kweli ya mungu kutuokowa na ngadhabu ya jehenamu mungu akulinde uendelee kujuza dunia ukweli wa mungu

  • @AdrianaSepapha-fn8sy
    @AdrianaSepapha-fn8sy Рік тому

    Du!asee mungu atufiche bila hivo hatutapenya

  • @user-ik8fg3ri4s
    @user-ik8fg3ri4s Рік тому

    Nimekuelewa naMungu akuzidishie maisha marefu.

  • @paulnovatus4920
    @paulnovatus4920 Рік тому

    Sina chakukupa kwa kuokoa Hamillion ya watu nakuombea mungu akupiganie amina.

  • @iradukundadavid5917
    @iradukundadavid5917 Рік тому +1

    Ubarikiwe Mutumishi wa mungu

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 Рік тому

    Mutumishi Wa MUNGU ishi myaka mingi papa kwa kweli ume tafsiri kwa uongozi wa roho ya kweli MUNGU akuweke milele mimi naomba MUNGU aweke watumishi wake wa kweli aishi milele bwana MUNGU nisikie n'a Mudogo wangu nakuomba watumishi wako wa kweli wawe n'a maisha marefu ili kizazi hiki tupone wengi amina

  • @doricemrema2177
    @doricemrema2177 Рік тому +1

    Amen, BWANA YESU KRISTO Turehemu. Hakika MACHUKIZO yamezidi mbele za Bwana, ni HURUMA.

  • @FaithMueni-tu8hg
    @FaithMueni-tu8hg 11 місяців тому

    Yes devil was a great musician in heaven he is a hero,only those who allowed holy spirit to guide,to be a teacher etc to there souls to understand the secrets of hidden things in the world of spirit,only them can understand what devil is trying to do,he is a thief he steal minds and souls of many,and many youths will perish ,my heart is worring for life of youths may lord hv mercy with us to send a seivour to redeem life's of many pole🙏🙏

  • @furahinikusimwa
    @furahinikusimwa Рік тому

    Mungu akulinde usiku na mchana .

  • @mouldykomba1852
    @mouldykomba1852 Рік тому +1

    Yesu utusamehe endelea kutufunulia yaliyo sirini na utufungue katika Jina lako

  • @user-wj7qc3kd2e
    @user-wj7qc3kd2e Рік тому

    Nice message ev

  • @marthacharles3872
    @marthacharles3872 Рік тому +2

    Pascal umenichekesha kuigiza yesu anaweza ,ni hatari walokole tubadilike

  • @AmidoJeni
    @AmidoJeni 10 місяців тому

    Kaka Mungu yupo pamoja nasi wapenzi wa Mungu

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 Рік тому

    Amen Amen ubarikiwe sana Pascal hiki ni kipindi cha kumgeukia Mungu

  • @joashlusije6550
    @joashlusije6550 Рік тому

    Amen pst wambie ukweli baba mungu anapenda kweli ni joash Niko Kenya napenda sana neno

  • @abdimohamed3953
    @abdimohamed3953 Рік тому +1

    Chamoto sana alaf point yao yakujitetea wanakwambia Kwa Yesu kuna vyote, kiukweli makanisa ya nyimbo zanamna hio hunikuta sijisikii amani niwapo ibadani mpaka naondoka

  • @anthonymwita2709
    @anthonymwita2709 Рік тому

    Hapo uko sawa ujasema uongo ata tone,Mungu aendelee kukutumia siku zote amina.

  • @gabrieljemawo7828
    @gabrieljemawo7828 Рік тому

    Amen nimepewa umarufu

  • @ekiliangoliga644
    @ekiliangoliga644 5 місяців тому

    Mwenyezi Mungu tuhurumie

  • @jacoboboniface9996
    @jacoboboniface9996 Рік тому +2

    YESU endelea kumlinda mtumishi wako

  • @shukuluelliass
    @shukuluelliass Рік тому +1

    Cassian MUNGU wambinguni akubaliki sana na azidi kukutunza katika maisha yako ya utumishi. nausije uka vunjika moyo hata kwa maneno yoyote yale.kuwa mwaminifu hata kufa YESU ame ahidi kutoa uzima wamilele usiache kuhubiri usiache. Usiache mtumishi.

    • @leonardmbilinyi6336
      @leonardmbilinyi6336 Рік тому

      Kabisa katu asirudi nyuma Mungu wetu ni mkuu mno hatokuacha

    • @demetriamulenge1786
      @demetriamulenge1786 Рік тому

      Mungy aturehemu sana maana ni wachungaji wachache wanaosimamia mambo haya yasiwepo makanisani mwao. ila mengi yamekamatwa Mungu turehemu tu.

    • @mamertarweyemamu3438
      @mamertarweyemamu3438 Рік тому

      Mimi huyu kijana diamond huwa anankera Sana. Ana mambo ya kishetani tu. Nyimbo zake ni za kishetani. Asante mchungaji. Aombe Sana na amrudie mungu aliye juu.

  • @farajakwilasa471
    @farajakwilasa471 Рік тому +3

    Tunaangamia kwa kuwa maarifa yetu yamekoa hapo tubadilikeni AMKENI ndugu zangu wa africa

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Рік тому +1

    Kanisa lipo juu ndio maana wachawi hawalali .mtasumbuka sana kanisa lina damu ya Yesu.

  • @makerpasyenvetcul
    @makerpasyenvetcul Рік тому

    Mungu akubariki sana ili uimarishe huduma ya Mwenyezi Mungu na akupe maasha marefu ili wengine wa pate iyi huduma.

  • @user-eb1rg3mp4u
    @user-eb1rg3mp4u 11 місяців тому

    Mungu atusaidie na aturehemu

  • @agnessbulegu996
    @agnessbulegu996 Рік тому

    Amen,, MUNGU AKUBARIKI SANA KAKA CASSIAN NA ASANTE SANA..

  • @estonmnthali3719
    @estonmnthali3719 Рік тому +6

    That's true Man of God 100%
    Amen 🙏

  • @danielfrank303
    @danielfrank303 Рік тому

    Mungu azid kukuwekea wigo wa Moto ili uzid kuwaokoa watu wake aman

  • @geofreynazaretilwesha8215
    @geofreynazaretilwesha8215 Рік тому +1

    Asante Mtumishi nimejifunza sana

  • @leonardmbilinyi6336
    @leonardmbilinyi6336 Рік тому +1

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 Рік тому +1

    Sasa ndio naelewa maana ya "usihukumu"mtu anaweza kujituma sana dhambini akigeuka anawazidi waongofu original. Mungu tusaidie.

  • @AmidoJeni
    @AmidoJeni 10 місяців тому

    Mungu ni mwema kaka

  • @isihakasamwel4399
    @isihakasamwel4399 Рік тому +1

    Nakukubali sana mdogoangu mungu akubaliki

  • @devothakawogo6458
    @devothakawogo6458 Рік тому

    Mungu uturehemu

  • @MagrethMagawa-co5xe
    @MagrethMagawa-co5xe Рік тому

    Pascal ubarikiwe sana, me ngu azidi kukuinua kti kazi yake

  • @luganomwanjotile7575
    @luganomwanjotile7575 Рік тому +2

    I understand you man of God

  • @user-fq2ut9ep8r
    @user-fq2ut9ep8r Рік тому

    Tunabarikiwa mtumish wamungu,endeleea kutuelemisha

  • @hildandeda3348
    @hildandeda3348 Рік тому +5

    May Lord have mercy on us😭😳

  • @ruthkhalayi5097
    @ruthkhalayi5097 Рік тому

    Amen 🙏 i wish one day i will come to your church, but for all i want to be your member here online Mungu akubariki sana kwa good news

  • @issabella1455
    @issabella1455 Рік тому +1

    Mungu akubariki

  • @simonsimolo9576
    @simonsimolo9576 Рік тому +1

    True

  • @yusuphpetro-fire
    @yusuphpetro-fire Рік тому

    mtumishi wa Mungu, Mungu akubaliki sana kwakazi njema

  • @apollokidakule-vg3lz
    @apollokidakule-vg3lz Рік тому +1

    Nakuelewa sana mtumishi

  • @mussamkalawa2101
    @mussamkalawa2101 Рік тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @maryfonga2200
    @maryfonga2200 Рік тому +2

    Mtumishi wa Mungu Pascal Cassian, Bwana Yesu Kristo asifiwe, hiyo picha ya huyo mtu mwenye mapembe ndiye niliyoiona kwenye ile tv ya mchungaji kwenye ile ndoto niliyoiota kipindi nimeacha kwenda kanisa la efatha

    • @neemalucas495
      @neemalucas495 Рік тому +1

      YESU bado anatupenda anatuongoza hata ukienda tofauti anakurudisha kwake kutumia watumish wake
      Mungu akubariki na aendelee kukutetea

    • @maryfonga2200
      @maryfonga2200 Рік тому +1

      @@neemalucas495 Amen mtumishi wa Mungu

    • @mamertarweyemamu3438
      @mamertarweyemamu3438 Рік тому

      Shetani Angela's na funguo hizo. Sijui ingekuwaje. Si angekuwa anakuja humu duniani.

  • @mouldykomba1852
    @mouldykomba1852 Рік тому

    Mungu aendelee kukutunza na kukulinda Ili neno lake liendelee kuenea duniani kote

  • @chany9950
    @chany9950 Рік тому

    Imana ikumpere umugisha 🙏🏾🙏🏾🙌🙌

  • @sofiaarianaayeba9947
    @sofiaarianaayeba9947 Рік тому +1

    Asante kwa neno la leo🙏😭

  • @kizandume3015
    @kizandume3015 Рік тому +1

    Zidi kuwahibiriya watu wasikiye aliyo nasikiyo na asikiyeninyakati za mwisho zidi kupaza sahuti Kwa watu WA mgehukiye mungu

  • @robertempire9542
    @robertempire9542 Рік тому +1

    Amen

  • @noelashabani6263
    @noelashabani6263 Рік тому

    Mungu atusaidiye kweli mutumishi wabwana

  • @furahinikusimwa
    @furahinikusimwa Рік тому

    Amen amen .

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому +1

    Nyimbo upewa mashairi kuzimu, mfano umbrella ya rihanna alipewa huo wimbo na li pepo liliingia kichwani mwake likampa mashairi. Na umbrella maana yake ni shetani

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 Рік тому

    Mtumishi Paschal Cassian yupo sahihi hata Chidi Beenz ameongelea hilo suala