WAFANYA MAPENZI KWENYE NDOTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 72

  • @TamariDusenge-oo5ig
    @TamariDusenge-oo5ig Рік тому +3

    Amena,mchungaji Mungu akubaliki sana

  • @felisterligazio7151
    @felisterligazio7151 Рік тому +2

    Asante sana kwa somo zuri mtumish, kiukweli sikujua lolote kuhusu mapambo

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 Рік тому +4

    Mungu nisaidie nifunguke kwa ajili yako. Nisije nikakukosea kwa kukukosoa vile ulivyoniumba. Vyombo vya uzuri visije pata kibali kwa mwili wangu. Niliona neno lako pekee.

  • @eliyammari6382
    @eliyammari6382 Рік тому +1

    Amina ubarkiwe mtu wa Mungu kwa kutufundisha habari njema. Mwenyenzi Mungu kipitia Mwanawe Yesu kristo atuondolee hayo malango ili adui shetani asitupate

  • @furahag3098
    @furahag3098 Рік тому +2

    Hallelujah barikiwa sana mtumishi wa mungu 🙏

  • @tesco112
    @tesco112 Рік тому +4

    Amen 🙏🙏🙏

  • @irenemuia2718
    @irenemuia2718 Рік тому +1

    Amina Amina Amina ,😭😭😭😭Nani awaonye wanawake na Maeleni na mapambo YOTE ,mda ni mchache sana tunao HAPA duniani ,eee YESU tufungue macho ya ROHONI Amina

  • @hasanygodda9242
    @hasanygodda9242 Рік тому +2

    Barikiwa Sana mtumishi ,,,amen

  • @didasdelphin
    @didasdelphin Рік тому

    Mungu akubariki sana akuzidishiye Maisha mema good job

  • @naomiadam9570
    @naomiadam9570 Рік тому +1

    Barikiwa Mwana wa Mungu maana nlikuwa najiuliza n wap tapata majibu ya maswali yangu ,,, Mungu akuongeze Imani usonge mbele

  • @beatricekannonyele9167
    @beatricekannonyele9167 Рік тому +3

    Asante kwa ujumbe mzuri mtumishi wa Mungu. Je, kusuka nywele za kawaida ( za asili) bila kuongeza pambo lolote kama rasta, weaving , wigi nk je ni machukizo mbele za Mungu? Maana ninasuka nywele za kawaida ( nywele zangu za asili bila kuongeza) . Naomba nifafanulie hapo ili nipone mtumishi wa Mungu.

  • @fannyfamily-hf7bv
    @fannyfamily-hf7bv Рік тому +1

    Amina MUNGU WA UMOJA akusaidie uzid kufanya kazi yake mtumish

  • @MaricelDelamino-mu6cm
    @MaricelDelamino-mu6cm 5 місяців тому

    Nashukuru sana kwa hio somo mimi hizo ndoto zimenisubua sana tena miaka mingi.

  • @prophetferuzi7520
    @prophetferuzi7520 Рік тому

    Barikiwa saaana man of God

  • @leontinebinlydi9459
    @leontinebinlydi9459 Рік тому +2

    Usemayo nikweli mtumishi wa BWANA ubarikiwe sana 🙏🤝

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula Рік тому +7

    Nani awaonye hao mi mwenyewe Niko na wife wangu Lkn ukianza Tu kusimulia mambo ya mapambo hutosikizwa KBS na wanaume pia wameingilia hayo mambo ya mapambo makanisani wanayaangalia Tu haya mambo wanaogopa kuwambia watu ukweli manake wanajua Kua watabakia na viti bila watu mungu aturehemu asanti sana Kwa mafundisho yako mazuri mwenye hekima Tu ndie anaeza kukuelewa

  • @brigidbakhoya-bc6jb
    @brigidbakhoya-bc6jb День тому

    Kweli kabisaa poster 🙏🙏

  • @marymalfarsi-vx9dr
    @marymalfarsi-vx9dr Рік тому +1

    Amina mtumishi ubalikiwe sana ❤

  • @vivianalute644
    @vivianalute644 2 місяці тому

    Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU

  • @fatumaaybu8648
    @fatumaaybu8648 Рік тому +1

    Mungu anisaidie😢😢nisije nikaukosa ufalme wambinguni kwaajili yakuendekeza milango ya Tamara😭😭😭

  • @roselynemutimba8191
    @roselynemutimba8191 Рік тому +2

    Amen be blessed mtumishi wa Mungu 🙏

  • @JasminJillo
    @JasminJillo 5 місяців тому

    Amen mungu akubariki

  • @eliajames-mf6rx
    @eliajames-mf6rx Рік тому +3

    Pamoja san mchungaji ❤❤

  • @maglindaanyango
    @maglindaanyango Рік тому +1

    Amen amen

  • @patriciachangawa1754
    @patriciachangawa1754 Рік тому

    Hizo don't zote ulizo zitaja Mutumishi mm zote zishanipitia naomba mungu anisaidie zaidi katika toto hizi

  • @leonardernest8528
    @leonardernest8528 Рік тому +1

    Amen

  • @jennysabina8696
    @jennysabina8696 Рік тому +1

    Mungu atusaindiye bila yeye sisi atutaweza Eee Mungu wangu nisaidiye🙏🙏😭😭

  • @nananailla7723
    @nananailla7723 Рік тому +1

    😢😢😢😢😢 mungu wangu mtumishi wa mungu balikiwa waongea kweli

  • @didasdelphin
    @didasdelphin Рік тому

    Good job

  • @veronicaleonard5246
    @veronicaleonard5246 Рік тому +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏

  • @Muthonimk
    @Muthonimk Рік тому

    Mungu Akubariki

  • @SafiAkinyi8361
    @SafiAkinyi8361 Рік тому +1

    Amina 🙏 🙏 MUNGU AKUBARIKI 🙏

  • @AloniShalom-iz8dl
    @AloniShalom-iz8dl Рік тому

    Amen naamin ni kweli

  • @KhadijaG-yk1bf
    @KhadijaG-yk1bf Рік тому

    Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @helbalchota9417
    @helbalchota9417 Рік тому

    Mungu akubaliki sana cassian kwa kutufungua macho

  • @patiencehumbled3519
    @patiencehumbled3519 Рік тому +1

    Kama nashukuru Mungu kwa hili fundisho mtumishi nakuomba kila wakati uwe unaliweka uku youtube,

  • @elizabethnyambura9427
    @elizabethnyambura9427 Рік тому

    Mungu atunusuru,, ila mimi situmii mapambo walakutoboa skio au sehemu nyingine, sioti na tendo la ndoa Bali ni miaka 9 Sasa tangia nimalize shule ya msingi ila siku zote mimi huota tu na shule ile na maramingi twakimbizwa tunapotokea shule au wanafunzi wote wameondoka na nimebakia pekee mule,, nini chazo cha hayo na maana yake nini sioti na shule ya upili au chuo kikuu

  • @chausikumhozya1849
    @chausikumhozya1849 Рік тому

    Ahsante sana mtumish Mungu akubarik

  • @bonyakal2713
    @bonyakal2713 Рік тому +1

    je ukiwa kwenye kanisa ambao wanawake wanajipodoa na kuweka mawigi na hawaonywi ni kanisa takatifu la mungu ? nisaidieni tafadhali

    • @user-kc3rp6vj1d
      @user-kc3rp6vj1d Рік тому

      Kanisa nzuri ni ile inakemea dhambi na kuishi kitakatifu.

  • @naomiadam9570
    @naomiadam9570 Рік тому +1

    Bwana akutumie pia je Kwa hao ambayo hawatumii mapambo Lakini wanakumbana na ndoto hizo je n sababu zipi??

    • @frankkulwa4619
      @frankkulwa4619 Рік тому

      Pepo wachachafu wanapitia kwenye vitu vingi hata vitu unavyotizama

  • @scimarctv10
    @scimarctv10 Рік тому +2

    Cheki Hawa Vijana Walivyotekwa angalia hii ua-cam.com/users/shortsgwTZbsWsWvs?feature=share

  • @clarisbanza6066
    @clarisbanza6066 Рік тому +1

    Kweli kabisa wanawake wa pagani awataki injili ya kweli kama hii 😢

  • @EliaCastoly-wf3wb
    @EliaCastoly-wf3wb 10 місяців тому

    mungu tu ponye

  • @diana56-lorient
    @diana56-lorient Рік тому +2

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @cypriansambagi
    @cypriansambagi Рік тому +2

    ❤❤😢😢

  • @eliasmatalamototv2850
    @eliasmatalamototv2850 10 місяців тому

    Ubiri kuhusu kanisa la Kweli Pia maana maandiko yako waz juu ya ilo

  • @happykapinga
    @happykapinga Рік тому

    0:27 usimpe shetani nafasi, Kweli kabisa yaani, kwa jicho la kawaida huwezi kuelewa, kuna watumishi wa shetani kazi yao ni hiyo wanalala na watu kutimiza kafara zao mwisho wa siku unakosa mke au mume, na kuishi maisha yasiyoeleweka😢, Asante mtumishi

  • @WemaBeatrice-yi2gt
    @WemaBeatrice-yi2gt Рік тому +1

    bwana yesu asifiwe mchungaji ,mimi nimeota jozi hiyo lakini mimi situmiagi mapambo yoyote yaleya uzuri ,nilikuwa nataka unisaidie kwenye kunifafanulia vizuri ,nifanye Nini ?

    • @paulinakiswaga7505
      @paulinakiswaga7505 Рік тому

      Vitu vya shetan anavyo vitumia kama milango ya kuingilia kwetu ni vingi,mfon kupaka rangi za kucha,nguo fupi,uvaaji wa suruali,nguo za kubana nguo zenye mipasuo,hata baadh ya vyakula au manukato tunayo tumia hata kupendelea movies za kutisha kama za mazombia au za kichawi kuna maroho hua yanatuingia kupitia vitu kama hiv cjui kama nimekusaidia au laa kikubwa nikumwomba Mungu atupe roho mtakatifu ili atuongoze kwa kila kitu kama tutakua na roho mtakatifu atatuonyesha mambo mengi sana pia atatukataza hata kama hata sema mtu mwingine utakuta anasema na ww hichi kitu sio acha

    • @jacksonlucas2064
      @jacksonlucas2064 11 місяців тому

      Omba kwa bidii na utumie damu ya Yesu kujitakasa na kujikomboa kutoka kwenye huo unahisi wa hizondoto chafu.
      Wakati mwingine shetani anaweza kumvamia mkristo hata kama hajafungua mlango wowote, hii hutokea kama hatambui wajibu wake kwa Mugu, pengine hajui hata maombi au hana nguvu kubwa ya Mugu, anaweza kuonewa na shetani

  • @chausikumhozya1849
    @chausikumhozya1849 Рік тому

    Mungu yupo pamoj naw

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 Рік тому

    Mtumishi wa MUNGU na kuna majini ulala na mtu tengu utoto hiyo pia uletwa na nini

  • @Jasminemilima-lo9ep
    @Jasminemilima-lo9ep Рік тому

    Ameen yoote nikweli kabisa

  • @kassebo
    @kassebo Рік тому

    Ameeeee

  • @alicensabimana2137
    @alicensabimana2137 Рік тому

    Sasa shetani njo mwenye ma mpaka kuliko YESU ? Neno Lina Sema YESU harari wala kusinziya ajiri ya ukingo
    Sasa ure malaika mlinzi anatenda lini? Satani satani satani njo ana mamlaka njo alikuya ku pinganisha YESU ushindi wa Golgota hauna faida? Kumpokeya YESU CHRISTU wa NAZARETI kun1 faida kupitiya mtumishi wa Mungu ? Ni mengi kuandika siwezi.

    • @RehemaMuya-zk7ld
      @RehemaMuya-zk7ld Рік тому

      Bwana Yesu Kristo Asifiwe Amina.Mtumishi Ubarikiwe sana kwa Mafundisho yako yaliyo sahihi mbele za Mungu.Mimi Napenda sana MAFUNDISHO YA KIROHO ZAIDI. Barikiwa sn Mtumishi Amina.

  • @michaeljm-dz7nh
    @michaeljm-dz7nh 10 місяців тому +1

    Amen 🙏

  • @YefthaKornelio
    @YefthaKornelio 8 місяців тому

    Amen❤

  • @FurahaExpress
    @FurahaExpress Рік тому +1

    Mungu akubariki

  • @Jonathankaghese
    @Jonathankaghese Рік тому +2

    Mungu akubariki

    • @beatricekannonyele9167
      @beatricekannonyele9167 Рік тому

      Asante kwa ujumbe mzuri mtumishi wa Mungu. Naomba kuuliza, je kusuka nywele za asili ( nilizozaliwanazo) bila kuongeza rasta na vitu vingine ni dhambi?

  • @user-kc3rp6vj1d
    @user-kc3rp6vj1d Рік тому

    Amen.