KUBWA KULIKO-AICT BUJORA CHOIR-(official video)
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Shalom Mpendwa Katika Bwana!
Tumekuletea baraka nyingine tena kwako (neno kwa njia ya uimbaji). KUBWA KULIKO ni wimbo unaoeleza mambo makubwa yanayoweza kutendeka tukimwamini Mungu kwa imani thabiti.
Ubarikiwe na wimbo huu kutoka AICT Bujora Choir .
#kubwakuliko #AIC BUJORA #AICT
Karibu kua nasi:
INSTAGRAM: @aicbujora_choir_official
www.instagram....
FACEBOOK: AICT BUJIRA CHOIR
m.facebook.com...
Kubwa kuliko yote,,,, Mungu awabariki sana kwa kaz njema
Danilod
Danilod
Amen
Wale wa Bujora tujuane....gonga like Moja hapo
Hongereni sana nyimbo zenu nzuri na mungu awawezeshe zaidi.
Amina
❤❤❤❤❤❤nazidi kubarikiwa sana nikiwaona ninyi fanye kazi ya bwana kwa moyo wote
Mpo vizur sana mungu azidi kuwabariki pia nimefurah kumuona young sister ❤❤
Amina Sanaa asante mno ubarikiwe
Amen
Mji vizuri sana kwaya yetu 🎉🎉
Je kama si wa Bujora?ilaa na mimi ninabarikiwa nna uimbaji wa hii kwaya inamaana siwezi kugonga like?😂😂😂❤❤❤
Safi.sana bujora
Nabalikiwa na nyimbo zenu nawapenda sana mungu awazidishie bidiy🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mtuwekee na nyimbo zingine
Amina tutaweka zote mtaziona
Amina tunaweka zote mpendwa
@@aictbujorachoir9563,jambo
Kubwa kuliko yote....watching from Kenya
Thank you
AUDIO MMEFANYIAAAA WAP ???
Nawetamkaneno mojatu kwa YESU kazinzur sana
Amina barikiwa sana
Hongereni sana watumishi,HII NI KUBWA KULIKO
Asante kaka
Kazi zuri sana ❤❤❤
Barikiweni sana
Matthew 8:5-13
Healing of the centurion servant.
Mungu awabaliki san pia awainue zaidi na zaidi kazi nzuri sana watu tunabalikia na uimbaji wenu hakika nikubwa kuliko kweli
Hongereni sana watumishi nimebarikiwa sana.
Huyo mtoto kakuwa sana ,Mungu amtunze
Kwakweli mungu amlinde
Mungu azidi kuwatunzia vipaji vyenu,mzidi kuliinua jina lake!!!
Asante sana hii nikubwa kuriko yote naamini na mimi 👏👏👏🙏
Kitu napenda sana ,,kwaya ❤
Amina endelea kubarikiwa
Hakika nimefarijika na kupendezwa na wimbo mzuri kiukweli mbarikiwe sana watumishishi niko Tabora
Amen mpendwa karibu endelea kuisambaza kazi hiii
Amina mpendwa
Mbarikiwe kwa sauti nzuri za kumwimbia Mungu, nimebarikiwa sana
Hii ni kubwa kuliko
Mbarikiwe sana watumishi kwa huduma hii nimebaliwa na mùngu awabaliki
Amina mungu awabaliki
Nyumban za watu Zina mambo mengi jaman polen lakini neno la mungu linasema usimtegemee mwanadamu kuwa Kinga yako na moyon mwako umemuacha mungu hivyo nakushaur Rudi kwa Toba mbele za mungu atakurehem na kukuondolea tatizo Hilo maana mbele za mungu Hilo ni dogo sana
Juma pili njema watumishi wa MUNGU
Amina mtumishi
Kazi nzuri Sana mungu ashukuriwe
Hizo ndiyo Nyimbo za Kumtukuza Mungu ,siyo mipasho
Kubwa kuliko mbarikiwe
Ni kuuuubwa ,kuliko yote
Mungu awabariki sana kwa kutuinjilisha
Asante mtumishi
Kioko from Kenya Nasema Ni kubwa ata zaidi huuu kubwa sana
Amina sana
Nimebarikiwa sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera sana nawafuatilia kutoka nchi jirani ya Kenya.
Mbarikiwe watumishi
Mungu awabariki kwauimbaji
Mungu awabariki nipo babati Mungu awabariki
Amakwer wimbo mzur napia unaujumbe can hongeren
Mubarikiwe Sana kwakazi hi ❤
Choir ahadi inawapenda sana
Be blessed with ths song
Barikiwa sans kwa wimbo mzr sana
Bila shaka ni mwanza nawapenda❤
Nko vizur kazi yenu nzur sana
Hii ni kubwa mbarikiwe
Mko vizur mungu awatie nguvu
Santenisana wap 2ipatikanapo❤❤❤❤❤
BUJORA kisesa
AICT BUJORA
Very smooth voices, hizo niza kutoa Shetani mafishoni na kutorokea jehanamu . I love you all❤❤🎉
Asante mpendwa
Ame
Amen
Those choir lyrics are blessing me alot nikiwa LungaLunga bourder- Kenya
Amina mpendwa
Mitindo mnzuri ya magauni ya watoto
Nawapata tokea dar ❤❤❤
Hongera sana
Asante sana
Same hakikisheni Kila mmoja asibaki bila wokovu, mhubili injili Mboyi
Wimbo mzuri sana.Barikiweni watumishi
Amina sana asante
Barikiweni sana Kwa kuinjlisha neno la Mungu Kwa uimbaji
Amina
Lovely❤
nimeipenda iko vzul xana xana Mungu awpandxhe viwango vngne
Amina mtumishi
Congratulations nice♥️🙏👍
Nawapenda Sana nyie watu
Karibu davina
Ni kwel kabsaa kubwa kuliko 🙏🙏🙏🙏🙏
Mko sawa endeleeni hivo, hope nyimbo zigine kama iyo zinakuja
Amina kweli zipo Kali zaja. Mpendwa
Mbarikiwe sana na Bwana.
My home choir,,,,,much love forever I .c .T Bujora
Amen
Hongereni
Thanks
Hii kweli ni kubwa kuliko.
My choir here in Kenya. Mbarikiwe zaidi
Asante sana mpendwa
MUNGU awatangulie
Amina mpendwa
Kazi yenu ni njema utukufu Kwa bwana yesu
Asante mpendwa
❤nimewapenda nurse mungu awabariki
Asante sana
Mungu awabariki
Mungu awapandishe viwango vingine🙏🙏
Amina mpendwa
Tamu sana.
I like their lyrics and message. God bless you
Kazi nzuri sana
Asante sana
Kazi yenu ni njema
Asante mpendwa
Ni kweli kubwa kuliko
Kazi nzuri sana. Wakati ujao mtafute wenye camera nzuri zaidi. Maana, nilitamani muonekane vzr zaidi, maana, kazi yenu ni njema
All singers be blessed
Mbarikiwe
😊God bless you in a big way with those beautful voices
Thank you.
Thank you
Huduma yenu ni njema san
Amen Sambaza link yetu tafadhari
Mbalikiwe
Asante
Jamani nawependa hawa wanakwaya mawasiliano kama nikiwahitaji kihuduma
100%
Amina tupo tayar Kwa huduma
Good job
Thank you.
Saf watumishi mwanza Moja Kwa location nzur ya stend
good song
Mumbarikiwe 2:18
Nyimbo mpya
Nice song ❤❤
Safiiii😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Smart
Amina
kubwa kuliko wabeja
Mungu awainue sana Naomba namba ya mwalmu wa kwaya namhitaji kanisan kwangu
Amina 0744 204 260
Kwaya yangu pedal,nina cd zenu zote aise.Mungu awatunze
Amen
Haya
Saf hap
AIC
Ndio barikiwa kwa kazi.
Nawapendasana kazigenuninema 1:44 😂
✋
Si mtuombee atakwetu tufike hapo
Amina Mungu ni mwema mtafika na kuwa juu zaid
Donlod