- 18
- 973 946
AICT BUJORA CHOIR
Tanzania
Приєднався 14 кві 2020
Channel hii ni channel rasmi ya kwaya ya AIC(T) BUJORA
Diocese ya Mwanza. Pastorate ya BUJORA
Mahali: KISESA (18km kutoka MWANZA MJINI)
Diocese ya Mwanza. Pastorate ya BUJORA
Mahali: KISESA (18km kutoka MWANZA MJINI)
Відео
TATIZO NINI-AICT BUJORA CHOIR.
Переглядів 21 тис.Рік тому
Bwana Yesu asifiwe wapendwa. Tumewaletea neno la Mungu kwa njia ya uimbaji jina la wimbo TATIZO NINI. Wimbo huu utakupa faraja pale utakapousiliza na kukuongezea Imani ya kumjua Mungu wetu na hasa pale unapopitia kwenye changamoto tambua yupo Mungu awezae kuiondoa hiyo changamoto. Mtegemeee Yesu kwa Kila gumu linalokupata nae atalitondoa na Mungu akutie nguvu unaposikiliza wimbo huu wa TATIZO N...
KIBAO CHA SHULE-AICT BUJORA CHOIR-(official video)
Переглядів 42 тис.Рік тому
Shalom wapendwa katika Bwana. Tumekuletea baraka nyingine Tena ya neno la Mungu Kwa njia ya uimbaji. KIBAO CHA SHULE ni wimbo unaotukumbusha kuijua kweli ya Mungu na kuyafahamu maandiko yake viziri Ili tusipotoshwe na mafundisho ya uongo ambayo Kwa Sasa yametapakaa ulimwenguni kote na mengi yakilenga kujipatia fedha na si kuitangaza kweli ya Mungu. Ubarikiwe na wimbo huu kutoka AICT bujora choi...
KUBWA KULIKO-AICT BUJORA CHOIR-(official video)
Переглядів 441 тис.Рік тому
Shalom Mpendwa Katika Bwana! Tumekuletea baraka nyingine tena kwako (neno kwa njia ya uimbaji). KUBWA KULIKO ni wimbo unaoeleza mambo makubwa yanayoweza kutendeka tukimwamini Mungu kwa imani thabiti. Ubarikiwe na wimbo huu kutoka AICT Bujora Choir . #kubwakuliko #AIC BUJORA #AICT Karibu kua nasi: INSTAGRAM: @aicbujora_choir_official reelCuy8Qv6OeRj/?igshid=MzRlODBiNWFlZA FACEBOOK...
SOGEA UVAE-AICT BUJORA CHOIR-(official video)
Переглядів 42 тис.Рік тому
Shalom Mpendwa Katika Bwana! Tumekuletea baraka nyingine tena kwako (neno kwa njia ya uimbaji). SOGEA UVAE ni wimbo unaotukumbusha kumrudia Mungu na kuvaa nira yake laini. Ubarikiwe na wimbo huu kutoka AICT BUJORA CHOIR . #kubwakuliko #AIC BUJORA #AICT Karibu kua nasi: INSTAGRAM: @aicbujora_choir_official reelCuy8Qv6OeRj/?igshid=MzRlODBiNWFlZA FACEBOOK: AICT BUJIRA CHOIR m.facebo...
LIVE VIDEO #SOGEA KWA BWANA IBADA YA PASAKA KANISA LA AICT BUJORA MWANZA 2023
Переглядів 15 тис.Рік тому
LIVE VIDEO #SOGEA KWA BWANA IBADA YA PASAKA KANISA LA AICT BUJORA MWANZA 2023
AMIRI JESHI MKUU - AIC Bujora Choir
Переглядів 162 тис.4 роки тому
AMIRI JESHI MKUU - AIC Bujora Choir
So awesome
Nawapenda sana by leah mdogo
Amin🎉🎉🎉🎉😢😢
❤😢🎉jamani nimefalijika mno
Nimebarikiwa sana kazi yenu njema
Je kama si wa Bujora?ilaa na mimi ninabarikiwa nna uimbaji wa hii kwaya inamaana siwezi kugonga like?😂😂😂❤❤❤
Mmenigusa
❤❤❤❤❤❤nazidi kubarikiwa sana nikiwaona ninyi fanye kazi ya bwana kwa moyo wote
Safi sanaaaaa mmenigusa me ni mmja wa watu nawfatilia sanaaaaa
Aminaaaa❤
Lovely❤
Lakini mi si June iyi Wimbo ina arms nini Language
Nyumban za watu Zina mambo mengi jaman polen lakini neno la mungu linasema usimtegemee mwanadamu kuwa Kinga yako na moyon mwako umemuacha mungu hivyo nakushaur Rudi kwa Toba mbele za mungu atakurehem na kukuondolea tatizo Hilo maana mbele za mungu Hilo ni dogo sana
Hongeren kwa huduma nzur na njema
Bwana awaited nguvu kwa kumtikia
Which language is that ?
Audio aliyefanya kafanya vizur
🔥🔥🔥🔥🔥
Kubwa kuliko mbarikiwe
Jaman naomba namba ya mwenyekiti wa kwaya niwatembelee mwezi wa kumi na mbili
Hongereni sana watumishi nimebarikiwa sana.
Huu wimbo umenigusa sana na huu ndo wimbo wangu pendwa katika album ya sogea sichoki kuusikiliza mbwarikiwe watumishi kwa nyimbo nzuri🙏
0:15 0:18 in 0:27 0:28
Same hakikisheni Kila mmoja asibaki bila wokovu, mhubili injili Mboyi
Saf hap
Amina mungu awabaliki
Kaka bigapu sana unasauti nzur😊❤
Sawa
Amina
Incredible. Wonderful massage. Don't waste time.
Mungu awazidishie mzidi kumtumikia Mungu katika rock na kweli. Munarikiwe sana Bundle.
Mungu awabariki kwauimbaji
Hongereni sana mimi nimebarikiwa sana na nyimbo zenu mnaimba vizuri sana kazi yenu ni nzuri.Bujora Mungu awainue tena kwa viwango vya juu zaidi.
Hii ni kubwa mbarikiwe
Wonderful song
Amen Ndio kbs runaway Penda sana apa Rwanda (ahadi choir
Bujora ahaaaaa hongera sana yesu wetu apewe Sifa Amena (ahadi choir Rwanda rubavu
Mmbarikiwe sana .
Mungu aibariki huduma hii njema
Kwa mara nyingine tena ni shimron hapa from Kenya....I am really blessed with your songs...
Safi kabisaa
Mwalimu Alie Tunga hi nyimbo mungu aendelee kutumia
Nyimbo zuri sana natamani kuwaona. Live
Choir ahadi inawapenda sana
Unapo utafakari ukuu wa Mungu Katika maisha ttunayoyapitia wanadamu huwa hawependi kuona unafanikiwa Adui hupenda kuweka walinzi wakila aina ili usivu.Lakini unapo mtanguliza Mungu mbele yake utaonà maadui wanaanguka tu wewe unaendele Wapendwa Bujora choir Mungu awabariki wimbo huu hauchoki kusìkiiliza ❤❤❤
Nice Song with a very thrilling message. Here in in our church in Kenya we have we have a guy from there bujora who is doing goog in training our Choir . We are proud of you guys from TZ. An example of of his work www.youtube.com/@AICIKOLENIMAINCHOIR
Solo nampa salute 🙌🔥
Mungu awabaliki sanaa
Bila shaka ni mwanza nawapenda❤
Nice songs