Ba ende mu Kuzimu lote Kua Jina Bwana wangu Mesiya Yesu muana wa Mungu a liyo Hii Amen amen amen Mungu wa Israel a mibarikie Sana wa takatifu wa Mungu Shalom ❤
Wimbo ni mzuriii sana jmn lkn shida iko hapo kwenye miili ya wanawake, wamepaka rangi midomoni, kosa kubwa iko hapo, pamoja na nywele za bandia jmn kanisa limeasi!!! Bwana Yesu hapendi hizo vitu jmn wanawake acheni kabisa!!! Ni hatari sana katika siku ya mwisho, siku ya hukumu. Chochote kinachomtukuza Yezebeli, haiwezi kuingia katika ufalme wa Mungu!!; soma 2Wafalme9:30-36. 1Timotheo2:9, 1Petro 3:3-5. Biblia imekataa mapambo katika mwili wa mtu yeyote!! Amen.
😢 huoni hii kwaya Ina shida? Angalia nguo mbele zimepasuliwa kucha zimepakwa rangi vichwa vya wanawake vimenyolewa sawa, lakini vifunikwa angalia mtindo wa kucheza huoni hii ni kuzimu inaimba ikijifunika vazi la kondoo
@@mutiembingi-le6kz Santidade não é aparência, é separação. E as mulheres da Bíblia se enfeitavam, meu querido, e muito. Ou você pensa que as mulheres dos patriarcas e dos reis da Bíblia não se ataviavam? Estude um pouco mais. Não confunda costumes com doutrinas.Isso nunca deu certo.
Wewe unasema wabarikiwe kitu gani acheni kupaka rangi kwa nidomo kucha wanawake funikeni vichwa.acheni mipasuko kwa marinda.ata yesebeli uimba. Ni kwaya ni kuzimu?
Kwani wewe unataka waimbie mwenyezi mungu wakiwa wamejipaka uchafu? Hapana mungu hapendi uchafu kabisa wacha wangare wamuimbie wakiwa wasafi ama unaangalia mavazi Yao ama unasikiza ujumbe uko ndani mwa nyimbo Yao?
@@HakizimanaJeanmarie-zd8lihapana wewe wewe ujumbe wa mungu utoka Kwa mwana wa mungu ujumbe wa shetani utoka Kwa mwana wa shetani io bibilia wanayoisoma ni maandiko TU hamna neno ndani yake
@erastusmutinda5048 wewe mtoto ujui kitu hizi kwaya nyingi ni ajenda za kuzimu wakubwa wanajua mnafungwa macho kunengua viuno mkiambiwa ni mungu.mungu gani huongo
More blessings,,from Kenya,
Wimbo unaofundisha injili.. nimeupenda sana na mbarikiwe sana sana.. Psalms 35:1_. Jesee mwiti from Kenya
AMEN
Wako smart wanaimba vizuri nainafundisha juu ya uwepo wa Mungu kwa kila mtu
Amen mtumishii
Ba na shindwa mu Jina y’a YESU ba rudie mu Kuzimu Mu GEHANAMU Kabisa tu n’a Ba Choka Acsenti Baarikiwe Sana Mupendwa na nyie Wote Amen Shalom ❤❤❤
Amen 🙏
Well talented ❤
Amen
Uhakika sana nimeupenda wimbo huu uko vizuri sana
AMEN
Barikiweni sana watumishi wa Mungu
AMEN
Mubalikiwe saaana
Amen mtu wa MUNGU
Vizuri sana mubarikiwe
amen
Ba ende mu Kuzimu lote Kua Jina Bwana wangu Mesiya Yesu muana wa Mungu a liyo Hii Amen amen amen Mungu wa Israel a mibarikie Sana wa takatifu wa Mungu Shalom ❤
Amen 🙏🙏
@@kkktvijanamachimbo3923 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu Awabariki Sana. Mungu awalinde. Endeleeni kuhubiri vema❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwa uweza wa Mungu. AMEN 🙏
Machimbo ya wapi? Ni vizuri mkiandika!
Amen, the words encourages me
Amen to that
wimbo mtamu sana we love it and God bless you
Amen 🙏
Solo msikubali sana sana na wimbo upo mle mlevmzuri na upenda
AMEN
Wimbo ni mzuriii sana jmn lkn shida iko hapo kwenye miili ya wanawake, wamepaka rangi midomoni, kosa kubwa iko hapo, pamoja na nywele za bandia jmn kanisa limeasi!!! Bwana Yesu hapendi hizo vitu jmn wanawake acheni kabisa!!! Ni hatari sana katika siku ya mwisho, siku ya hukumu. Chochote kinachomtukuza Yezebeli, haiwezi kuingia katika ufalme wa Mungu!!; soma 2Wafalme9:30-36. 1Timotheo2:9, 1Petro 3:3-5. Biblia imekataa mapambo katika mwili wa mtu yeyote!! Amen.
Nice song ❤ psalms 35
AMEN
Ilove the song,,uyo madam Ako sawa na sauti iyo aky,.....
Amen amen 🙏
Eu sou do Brasil 🇧🇷 e já ouvi essa música várias vezes. Pela legenda, eu vi que tem uma letra linda. Que Deus continue abençoando!
amém, elevamos ao alto o Nome do DEUS VIVO 🙏🙏
😢 huoni hii kwaya Ina shida? Angalia nguo mbele zimepasuliwa kucha zimepakwa rangi vichwa vya wanawake vimenyolewa sawa, lakini vifunikwa angalia mtindo wa kucheza huoni hii ni kuzimu inaimba ikijifunika vazi la kondoo
@@mutiembingi-le6kz Santidade não é aparência, é separação. E as mulheres da Bíblia se enfeitavam, meu querido, e muito. Ou você pensa que as mulheres dos patriarcas e dos reis da Bíblia não se ataviavam? Estude um pouco mais. Não confunda costumes com doutrinas.Isso nunca deu certo.
@@aleksandro3753 ACHA ujinga ongea kiswahili
Moto sana🔥✅✅✅
AMEN
Mungu awainue viwango vingine Amina Sana ❤
Amen 🙏
Kazi nzuri sana 🙌
AMEN
Amen 🙏 Mungu awabariki Kwa ujumbe mzuri!
Amen mtumishi
Haleluya vijana kazi njema sana 🎉🎉🎉🎉🎉
Amen
Amina🎉❤
AMEN
Bwana simama sasa upugane na maadui wa Injili huduma yangu inasimama kwa jina la Yesu
Amen 🙏
Wimbo mzuri Mungu apokee sifa
Amen mtumishi
Shalom Shalom thanks amen Ba Chiawi Wa na Kona Kua Jina La Yesu Mokonzi. Wetu ❤
Amen
wowwwww atete nao aswaaaaa
Amen
Amen, mbarikiwe sana. ❤
Kwaniaba ya kkkko / RDC uvira mubarikiwe kwahuduma ,
AMEN
Mungu apewe safa Siku sote,mnafanya kazi nzuri sana wana wa Mungu mbarikiwe sana
Amen mtumishi wa Bwana 👏
❤ The enemy cannot win any battle in my life because I am firmly in the Lord. God bless you
Amen amen
Good 👍 work guys.... keep it up always
Thank you so much 😀
Yesu ni mwema kazi yenu si bure. Mbarikiwe
Amen
Amen
Wooow🎉🎉🎉❤❤
AMEN
Wimbo huu nauenzi sana,ubarikiwe
Amen
BAENDE MU KUZIMU AMEN ❤
Amen AMEN
CVC media All the way kazi nzri
HAKIKA MTUMISHI
Vp
Poa
@@rayrichadi5660 hi how are you
Nice song, may the Lord bless this genation
Amen 🙏
Utafika mbali kwa mafanikio zaidi 2019 mwaka wenu.
Amen
Nawapenda sana,mujazwe nguvu za kiroho!!!
Amen 🙏🙏🙏
Barikiweni Sana Mungu awatendee mwaka 2021 uwe Mwaka wamafanikio makumbwa zaidi
Amen 🙏 🙏
Wimbo wa kubariki naupenda sana
Amen mtumishi, barikiwa sana
Naupenda huu wimbo sana! Mungu awainue
Amen
utukufu kwa mungu
AMEN
Hallelujah ameeeeeen
Amen
Kazi njema
Amen Mtumishi wa Mungu
MUNGU awabariki
Amen 🙏
Safi sana
Amen mtumishi
Mungu awtie nguvu
Amen
Blessed all singer
Amen
kwa niaba ya kKKCO tanganyika nina wapongeza kwa injili munayo fundisha
AMEN MTUMISHI
Mmenibariki Sana barikiweni
Amen
Wimbo mzuli
Amen Mtumishi 🙏❤️
Kwa miaba yangu hongereni Sana
Amen 🙏
Nyimbo za rc
Amen
Dah!! Huyu solo nimemkubali saut yake atar sana inatetemesha vyombo atar!!!
Amen
Mungu awabariki
🙏🙏
Amen amen 🙏🙏
MUNGU NISAAINDIYE 🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏
Amina sana
Amen
🤩🤩🤩🤩
AMEN
,💥💥💥
Amen
Ex😊 huu uko poa 😊p
Amen 🙌🙏
Wimbo mzuri
Amen
This lady can sing
By the Grace of the LORD 🙏
Mungu awabariki wote jamani
AMEN MTUMISHI
Teta nao bwana wapige kabisa
🙏🙏
Good
Thanks
🔥🔥🔥
❤
Amen
Munaimba taratibu
AMEN
teta nao wnao teta nami
Amen mtumishi
Mmenibariki🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Carmelo Field
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤😢
AMEN
❤❤❤❤
Zelma Plaza
22k viewers 🙏🙏🙏
10k viewers 🙏🙏🙏
:)
Naupenda sana huu wimbo nikitaka kulala lazima niuckilize kwanza MUNGU awainue mzid kumtumikia daima na nyimbo nzur sana kama hii
🙏 🙏 🙏 SANA
kazi zuli
Amen mtumishi
Wewe unasema wabarikiwe kitu gani acheni kupaka rangi kwa nidomo kucha wanawake funikeni vichwa.acheni mipasuko kwa marinda.ata yesebeli uimba. Ni kwaya ni kuzimu?
Kwani wewe unataka waimbie mwenyezi mungu wakiwa wamejipaka uchafu? Hapana mungu hapendi uchafu kabisa wacha wangare wamuimbie wakiwa wasafi ama unaangalia mavazi Yao ama unasikiza ujumbe uko ndani mwa nyimbo Yao?
@@HakizimanaJeanmarie-zd8lihapana wewe wewe ujumbe wa mungu utoka Kwa mwana wa mungu ujumbe wa shetani utoka Kwa mwana wa shetani io bibilia wanayoisoma ni maandiko TU hamna neno ndani yake
Stop judging wewe sio mungu, cleanliness is next to Godliness.They have passed the message stop judging.Kuvaa na kujirebesha ni poa
@erastusmutinda5048 wewe mtoto ujui kitu hizi kwaya nyingi ni ajenda za kuzimu wakubwa wanajua mnafungwa macho kunengua viuno mkiambiwa ni mungu.mungu gani huongo
@@mutiembingi-le6kz mwanoo kethwa ndwinaa vetanga munuka ainini nundu vaikindu wisi.Aa matumitwe ni Ngai manyaiikye ndeto yake na kethwa we nduenda kwiwa ekana nala meenda ithukiisye wasya wa Ngai mewe
AMEN
,💥💥💥
Amen
Mungu asifiwe
Amen
Good
Wimbo mvuri
Mzuri