Wanduzangu wenye kuomba like tuwe tunatowa maoni wapi wamekosea na wapi wamepatia mambo yakuomba like ayapendezi .Mungu akubariki kua kazi yako unayo ifanya
@@mwalimuhassani2901ndio, ukipata like 50 UA-cam wanakutumia dola dola 150 kwenye account yako ya UA-cam. Na kila zikizidi unapata hela zaidi. ila like zikifika milioni, wanatuma gari jipya bandarini, unaenda bandarini unawaonyesha jina lako la UA-cam, wanakupa gari.
Huyu ndio mfalme wa comedy kama una bisha tubishane kwa hoja😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Majemeni mbona nyie mnapata likes me sipati 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Unachembe cheme za kufirwa ww mwanamme uko na mambo ya kike like za nn ww punga
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa tupia like zangu apo
Ha ha haha haha ha tangu nizaliwe hii style ya kutaili na chensoo nmeiyona mwaka huu dah!! Hatarii kwa kwel
Aweeeeeeeeeeee kama unamkubali joti na govi lake sema awotreeeeeeeeeeee🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅
@@hassankhamisi4857😂😂😂😂
Wanduzangu wenye kuomba like tuwe tunatowa maoni wapi wamekosea na wapi wamepatia mambo yakuomba like ayapendezi .Mungu akubariki kua kazi yako unayo ifanya
Waomba like wanakera Kama nini 😊
Yani Mi wananikera kweli kweli.. Hafu hadi wanaume et wanaomba likes
Hv likes wanazpelekag wap?
Wanazila
AJABU
From goma DRC ❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Never disappoint jotiii😂😂😂😂
Dogo mwehu kaka mwehu....."nilikuachia ziwa,ziwa Victoria,ziwa nyasa'
😂😂😂😂😂😂
Anaishi Kwa Kulibenjua 😂😂😂 Ila Joti 🙌🙌
Vp
Nimecheka sana😂😂😂alafu baba na mama joti uwa wananifurahisha zaidi nikiwaona😅
Sasa😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩nichai iyi team naipenda sana
Nishaii ntombangile 😂😂 nakubali sanaa
Nimeiwahi yamoto moto kabisa...😂❤
Joti huna mpinzani Aseee 🔥
Duuuuh ndo mpaka Chesooo kwelii govi limekomaaa😂😂
😂😂😂😂😂😂
Kanyinyi nimekuachia ziwa😂😂😂😂😂
mi n wahi lkin sjawai kupewa hata like moja jamn 🎉
Nichakula kwani
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@innocentchaz7495😂😂😂😂
Safi sana joti:fundisho kwa walikuwa bado❤❤❤❤❤🎉🎉
Wa kwanza Leo naombeni liké zangu 🙏😂😂
Chainsaw was necessary 😂😂😂😂😂
Timu joti onyesha upendo wenu hapa❤❤
Leo nimekuwa wa 106😂😂😂 watu kuwahii tuuu kuomba LIKE AAAAH😂😂😂😂😂
Hahaaha leo joti hujapewa upenyo wakuenda mbiooo...😅😅😅😅😅
Dah😅😅 Una olewa unakutana na hilo balaa😂😂😂😂 Dah
Kwa chain saw daaah ... mecheka kifala sana. Govi lilikomaa au 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂 we ndo king uliepaki Tz J
Toka drc kalemie wa kwanza ❤❤❤❤❤
Kalemie fasi gani kaka kudave?
Nipe namba yako ya Whatsapp kwani huko ni nyumbani Kaka
Tim jot tujuane Kwa like ❤❤
❤😂🎉😢😮😅😊😊 umetisha mwambaaaas jotii88iiiiii babaaaaaas
😂😂😂😂 ubaya ubwela umemkuta 😅😅gomvi joti
Kitu shwiiiiii...shaaaaaaa😂😂
😂😂😂😂😂 joti mkali kabisa. Never disappoint. Love from China ❤❤
😂😂😂😂Hilo govi mbona limekua Gogo 😂😂😂, chainsaw na panga juu😂😂🙌🏽
Naishi kwa kulibenjuaa.😂😂😂😂 ila joti hatari sana mamaeeeeee
Wa kwanza leo 👌👌😇
😂😂😂lol 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂pole daaahaaaa pole wametoa ngozi 😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
Kitu kidogo ni shwiii shwiiii chaaaaaa 😂😂😂
Et si napenjuaa 😂😂😂😂 Joti mwehu kweli
Kitu chenyewe ni shwiii😂😂😂
NALIBENJUA....🤣🤣🤣🤣.. mtoto joti maku mjue...🤣🤣🤣🤣
😂😂😂naishi kwa kulibenjua😂
Comedian ⭐ MKUBWA Nairobi yetu hii ni Joti Tu 🇰🇪🙏
Naishi kwa kulibenjua😂😂😂
Naombeni nijue kwa nn watu wanapenda likes nafanya utafiti na mm mnipe like nione 😅
Ilo govi la joti kiboko mpaka machine y kukata mbao ndio limefanya kazi.....kweli govi sugu
zina faida sana kwake anae omba like akifika levo flan zinamnufasha
Daa sio poa unaweza jot
From Japan Kuma moto I love u YANGA bingwa 25/26
Eti naishi kwa kulibenjua😂😂😂
Leo hujàfanikiwa kukimbia😂😂
Pis kali ni shwii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jamani huo ni uonevu 😂na ukiukaji wa kibinadamu mjulus wake mwenyewe nyinyi inawauma😂😂😂😂😂 hamjamtendea haki😅
😂😂les congolais manifestez-vous 🇨🇩🇨🇩😂😂😂
Du huyo Dr wa GOVI,ni mwendo wa chemisoo tu
Nakubali joti fan wako kutoka Kenya
Mana umenizaa,unashindwa nambia 💯💯💯😂
watching from Qatar🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwamba kaingia na chainsaw 😂😂😂
Kaaah!!eti kwa kutumia mashine ya kukata miti 😂😂😂😂
You are very creative bro am from kenya keep it up bro
Duuu!!🤔 Ni Shwaaaaaaa 😂😂😂🙌🙌
The top comedian in Tanzania
Leo wa kwanza nipeni like🎉
Wakwanza leo, sitaki like hata moja!
😂😂😂😂😂
Jamni nishai tumemiss ukiwa kiboga 😊
Mama atari swiiiii😂😂😂😂❤❤
Big up sana washirika kazi ndzuri sana nawakubali nyote 🎉🎉naombeni likes nami zakutosha plz
Ila joti😂😂😂😂😂jamani nalibenjua naishi kwa kulibenjua 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂daaah ila Joti
😂😂😂😂Jamaa anatembea na ngozi ya ziada 😂😂😂🙌
Kaka ushauli wa bureee badirisha vazi !!tunajuw unatuburudisha miaka sasa
maisha ni maamuzi
Duh ndio mkatie chainsaw kweli 😂😂😂
Wallai huyo mama ana chekesha snaaa😂
😂😂😂😂😂😂😂😂nimekuachia ziwa Victoria 😂😂
Joti he is the one of the best ever
leo mimi was kwanza kala unamkubsli nishai wrka like nyingi sanaaa🔥🔥🔥
Ivi tukilike unalipwa na UA-cam nataka nijue na Mimi Ili niwe naomba like mna Hali ngumu mtaani😢
@@mwalimuhassani2901ndio, ukipata like 50 UA-cam wanakutumia dola dola 150 kwenye account yako ya UA-cam. Na kila zikizidi unapata hela zaidi.
ila like zikifika milioni, wanatuma gari jipya bandarini, unaenda bandarini unawaonyesha jina lako la UA-cam, wanakupa gari.
Kwahiyo ndio Wakuchanje na Chainsaw 😀😀
Sasa ndio tutumie chenso jamani afu bila ganzi😂😂😂
😂😅😂😅😅😂code imezua kizaa zahaah.
Joti akifanya mambo yake😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mtombangile leo umetwango na chensooo 😂😂😂😂😂😂
Nakubali sana master 🎉🎉🎉😂😢😮😅😊
Ongeza wasanii joti nakushauri ila Kazi nzuri
Eti naishi kwa kulibenjua hahahahhaa 😂😂😂
Kuomba like tu ku comments aaaaaaahh
😂😂😂walikuwa wanakata mti au
😂😂😂 joti bhana
😂😂😂 unyama umekatwa na chein saw 😂😂 kweli huo ulikuwa mkono mkono wa jinzi
Ila joti 😅😅😅😅 ko ndio utumie chenso 😂😂
Nalibenjua😂😂
Ila Joti chizi kweli😂😂😂😂🙌
Kwani like Zina maana gani?. Ilituwe na sisi tunaziomba
Asalaaaaala😂😂😂😂😂😂😂😂nomasana
Nishwiiiiii😂😂
😂😂😂😂😂mbona wanaweza kuikata yote maana iyo mashine sio poa
Si hua nalibenjuaaa
Sema ninii Nishai unazinguaaa😂😂😂
Nalibenjua😂😂😂😂😂😂😂
Nalibenjua😂😂😂😂😂😂
Haaaaaa kkkkkkkkk niatari 😂😂😂😂😂😂😂
Nalibenjua😂😂
Naishi kwa kulibenjua 😂😂😂😂😂