ALADIN"Episode 10 Starling: Tinwhite Kilangaso

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 436

  • @prriya507
    @prriya507 2 роки тому +114

    😂😂😂😂Leo WA kwanza Kuangalia Naomba Like zenu wapenzi Tunaofatilia hiii film Bomba ya Aladini🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💋💋💋😋👋🤗

    • @shedracknnko4890
      @shedracknnko4890 2 роки тому +1

      Wee sauti umepatia wapi mbn umefurah sana

    • @priscageff1835
      @priscageff1835 2 роки тому +1

      Ninzuli sana aise mwendo wa kuvunja mbavu

    • @OmanOman-ik9sp
      @OmanOman-ik9sp 2 роки тому +1

      @@priscageff1835 🤣🤣🤣🤣🤣masihara hayo

    • @bukuruasina427
      @bukuruasina427 2 роки тому +1

      @@priscageff1835 na zinavunjika kwel ap stress zang za warab zinatiwek ni mwend wa mbav tu 🤣🤣🤣

  • @alexanderjoseph8644
    @alexanderjoseph8644 2 роки тому +8

    Kajini kadogo kameondoka na tiny white duh🤣🤣🤣🤣 naomben like jmn

  • @perisbeib2126
    @perisbeib2126 2 роки тому +15

    From Saudi Arabia Nawapenda sana Tin na Wenzako 💥💥💥💥💥💥

  • @eng.sultan4333
    @eng.sultan4333 2 роки тому +25

    Mayelee kaletaaa tabuuu😁😁had jinii sasa🤣🤣😁aladin u made my day🤣🤣

  • @aliabdallah8908
    @aliabdallah8908 2 роки тому +55

    First like kwang jmni

    • @Award247
      @Award247 2 роки тому

      No sound, that could have been the most important thing you could have done

    • @alhmdulilah1187
      @alhmdulilah1187 2 роки тому

      Atutaki😂😂

    • @irenesamwel3131
      @irenesamwel3131 2 роки тому

      Kwa kipi sasa 🤣🤣🤣

    • @aliabdallah8908
      @aliabdallah8908 2 роки тому

      @@alhmdulilah1187 we kam utaki si ukaushe tu

  • @leeabd9057
    @leeabd9057 2 роки тому +10

    Aladini leo kazi unayo umempiga mtoto wa mayele 😂🤣😂🤣😂🤣

  • @avidiuselias4126
    @avidiuselias4126 2 роки тому +6

    Wa kwanza kuview. Yaan ndo nilikuwa nmeitafta sjaipata af naiona hyoo.

  • @ignasnamaduvah4681
    @ignasnamaduvah4681 2 роки тому +5

    Mnasem hakun saut mnatumia tecno au mbn saut iko poa tu

  • @bravoabdul8201
    @bravoabdul8201 2 роки тому +18

    No one minute ila watu wameshaiyona🤣🤣🤣🤣

  • @andersongunat2872
    @andersongunat2872 2 роки тому +10

    Woyoooooo o Leo nime iwai wakuuuuuuuu lungwaaaa

  • @allykhamisally9077
    @allykhamisally9077 2 роки тому +9

    Dah ivo alivyovutwa kilangaso 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @suleimansuleiman1127
    @suleimansuleiman1127 2 роки тому +3

    Kajini kadogo dogo kanakula vitumbua vyetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AboyFromKigoma
    @AboyFromKigoma 2 роки тому +3

    First

  • @drmachecheo696
    @drmachecheo696 2 роки тому +4

    Hello Iam the first one

  • @aminamussah2589
    @aminamussah2589 2 роки тому +2

    Bongoo bwan jini kapigwa🤣🤣🤣🤣

  • @abdallaali2926
    @abdallaali2926 2 роки тому +5

    oyaa wa kwanza mm oyoooo

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 2 роки тому +6

    Jmn hivi ni sim yangu au wote team #TinwhitAladin sauti haisikiki me naona kama sanam tu jmn 😥😥

  • @wakusinitv
    @wakusinitv 2 роки тому +2

    Tin fanyaa mapango serious hiii irushweeee SINEMAA ZETU itakuongezeaa credit

    • @rehemaathuman6669
      @rehemaathuman6669 2 роки тому

      Kila kinacholushwa sinema zetu ujue bas iyo movu imenunuliwa ,,hii Bado aijanunuliwa na azam

  • @enockmwilongo5771
    @enockmwilongo5771 2 роки тому +2

    Hahaha hili movie la kwenda watu wameupiga mwingi sana like kwa wanaolikubali hili movie jmn

  • @ashibby5647
    @ashibby5647 2 роки тому +3

    Duu nikajua wa kwanza mm

  • @abdulmalkawadh5900
    @abdulmalkawadh5900 2 роки тому +5

    Leo tumewahi aladini

  • @shedracknnko4890
    @shedracknnko4890 2 роки тому +5

    Jamn Mie mbn sickii sauti Amna

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 2 роки тому

    Tinwhite kilangaso 😀😀😀 movie hiko sawa good job sauti hiko sawa kabisa

  • @mguliproperty9469
    @mguliproperty9469 2 роки тому +5

    Aladini anakiwashaa

  • @joycesamwel5645
    @joycesamwel5645 2 роки тому +5

    Kazi zuri sana tin

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 2 роки тому +11

    Afadhali dah! Nilikuwa naisubiria sana hii.

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 роки тому +7

    Sipati picha kama angekuwepo na ringo a.k.a mkweche 🤣🤣🤣

    • @bexy.
      @bexy. 2 роки тому

      Aseee natamani awemo humu

  • @officialsdominikecomedy664
    @officialsdominikecomedy664 2 роки тому +2

    Tuma ya sauti eee wew tin white atuna raha uku eeeee mbona hivyo mzee

  • @lolamaduru5717
    @lolamaduru5717 2 роки тому +17

    Like nyingi Kama umeikubali aladini

  • @pandesubukypande94
    @pandesubukypande94 2 роки тому +2

    Naon kwang haina saut wenzang munaipongeza

    • @pandesubukypande94
      @pandesubukypande94 2 роки тому

      Lkn kwenye vidmate inasauti tayr nimeion iko vzur sana

  • @jacksonmwadime4962
    @jacksonmwadime4962 2 роки тому +4

    Mbona sauti hakuna jamani

  • @japharjuma3504
    @japharjuma3504 2 роки тому +4

    Mbona saut hakuna

  • @matawachakasonlinetv6342
    @matawachakasonlinetv6342 2 роки тому +3

    Sauuti VP mbona mnatunyima raha🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @shedracknnko4890
    @shedracknnko4890 2 роки тому +14

    From Meru Tanzania 💚💛

  • @biniwackmussa3919
    @biniwackmussa3919 2 роки тому +1

    Kubwa kuliko kwenye vitumbuaa😁😁make kwanza hapo nicheke

  • @chingasounds4428
    @chingasounds4428 2 роки тому +2

    Uhondo unapungua kila siku kamoja tu
    Wekeni hata tuwili et

  • @glorymtui6497
    @glorymtui6497 2 роки тому +9

    🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂Aladin kampiga mtoto wa mayelee😂😂

  • @amrirubeni8574
    @amrirubeni8574 2 роки тому +3

    Wa pili jmn

  • @maryammwinyi932
    @maryammwinyi932 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kajini mtoto kachezea makof leo

  • @ahmedmselem5823
    @ahmedmselem5823 2 роки тому +2

    Mbn inagoma kufunguka inakata

  • @zainabamiry1594
    @zainabamiry1594 2 роки тому +6

    Aladin kiranga kimekuponzaaa😂😂😂😂😂😂

  • @thraiyasaid1340
    @thraiyasaid1340 2 роки тому +3

    Wapili leo

  • @ignasnamaduvah4681
    @ignasnamaduvah4681 2 роки тому +2

    Aladini fala san kampa migumi jini jmn

  • @saidsimon7543
    @saidsimon7543 2 роки тому +6

    Nimeidaka ya 🔥🔥

  • @OmanOman-ik9sp
    @OmanOman-ik9sp 2 роки тому +6

    Jamani irudiwe sauti hakuna au bas acha tu😂😂😂😂😂😂

  • @wakusinitv
    @wakusinitv 2 роки тому +3

    KWA WOOTE MNAOLALAMIKAA HAKUNAA SAUTI NENDENI MKAANGALIEEE KWAKUTUMIAA VIDMATE AU UPDATE UA-cam YAKO 🙏

  • @djhboytz3993
    @djhboytz3993 2 роки тому +1

    Utakuja kutuua we jamaa na vicheko jamani

  • @lucypaulo6912
    @lucypaulo6912 2 роки тому +3

    Mbona kwangu Haina sauti

  • @mwarabuhassan8254
    @mwarabuhassan8254 2 роки тому +10

    😂😂😂😂🤣🤣ebwanaeeee

  • @dorjay8898
    @dorjay8898 2 роки тому +2

    Mbona kwangu haitoi sauti jamani

  • @farlykunga8599
    @farlykunga8599 2 роки тому +7

    Kila saa naingia u tube 7b ya Aladin,,,an nishakuwa Addicted tayar!!😂

  • @officialsdominikecomedy664
    @officialsdominikecomedy664 2 роки тому +2

    Aza kutuma tena bana maana hii akuna raha tunahitaji sauti eeee

  • @zainabamiry1594
    @zainabamiry1594 2 роки тому +1

    Jmn uyo shekh anaefung kilemb napenda anavyoongea mm

  • @jovinusbuberwa641
    @jovinusbuberwa641 2 роки тому

    Kumbe kajini kadogo dogo ndo kanakula vitumbua vyetu😀😀😀😀 aladini bwana

  • @purityneema218
    @purityneema218 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kilangaso umeshuka vizuri kitandani 🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥

  • @dogoochunaombailudiwenasau8121
    @dogoochunaombailudiwenasau8121 2 роки тому +2

    Tini umetuwangusha sauti hakuna bana

  • @pascokibesa918
    @pascokibesa918 2 роки тому +1

    Daah izi ndoto nyingine 🛌

  • @kelvinmchunguzi6718
    @kelvinmchunguzi6718 Рік тому

    mtatuua kwaivi vituko nilushie namba yasim tuweze kuwasiliana Mimi nimdau wenu kuazialeo nimewakubari hiii ebu niachenicheke eee😃😃😃😃🌹😁😆😋😛😝😜

  • @yahyaibrahim6546
    @yahyaibrahim6546 2 роки тому +1

    Apo unajua unaendeleza vipi yani tini huonekani na mtuh yeyote ila unajifanya kumpigia cm jamaa apo yani mnaongea kwa cm oyaa wameniziba ukuh sionekani nakupata kwa cm tuh

  • @jamalmbuvi3383
    @jamalmbuvi3383 2 роки тому +4

    Wooow nimengoja kw hamu na gamu

  • @jasminmohamednasour2754
    @jasminmohamednasour2754 2 роки тому +1

    Leo vipi jamani mbonaa sauti hakuna au bwana mzungu kasababisha msituwekee sauti

  • @kapufikizo6436
    @kapufikizo6436 8 місяців тому

    Ni nzuri kwakweli natunazipenda

  • @kakaself5321
    @kakaself5321 2 роки тому +1

    Mbna mm sauti hakuna

  • @winnieondungaterrylynencoo8617
    @winnieondungaterrylynencoo8617 2 роки тому +1

    Aladin unampatia kajini adabu 😆😆😆🤣🤣🤣Aya ushayayeyuka

  • @neemajohn4007
    @neemajohn4007 2 роки тому +2

    Nimekapenda kajini kadogodogo kamekula vitumbua vya watu

  • @digethedondigelile8487
    @digethedondigelile8487 2 роки тому +2

    Aladini kapiga mtoto wa mayere 😁😁

  • @aminamussah2589
    @aminamussah2589 2 роки тому +1

    Mayere kibonge🤣🤣🤣

  • @abubakarmshamu8035
    @abubakarmshamu8035 Рік тому

    Mash Allah mnajua bwana

  • @benethemanuel9277
    @benethemanuel9277 2 роки тому

    😀😀😀😀😀😀😀😀😁😁😁😁😁😁😁😁😁ila nyie jamaa nyie duuuhhhh

  • @alexapolinaly4755
    @alexapolinaly4755 2 роки тому +1

    Mbona ya leo Haina sauti Hadi inaboa yaani

  • @kingamydee5909
    @kingamydee5909 2 роки тому +3

    Big up sanaaa sauti imerudi🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mhehejrtv9637
    @mhehejrtv9637 2 роки тому +3

    Nikajua haipatikani leo maana naifatilia A to Z

  • @judithhaule2399
    @judithhaule2399 2 роки тому +11

    Amazing thanks 😊🙏☺👍🙌 wait for another episode

  • @zainabali870
    @zainabali870 2 роки тому +1

    Hii kiboko yao... Tuongezeni episode kwa cku ziw 2 hii moja mnatuacha na mshawasha 🥰🥰🥰🥰 Big up kwa ALADINI🥀🥀😘🥰

  • @chakubanga8053
    @chakubanga8053 2 роки тому

    Sitaki kufananisha lakini binadamu ya kitale haifiki kwenye hii kitu jmn mweupe umeweza baba😀😀😀😀😀

  • @joshuanoni3032
    @joshuanoni3032 2 роки тому

    Oya tini mnachelewa sana kutoa toen kwa intarval nzuri bc kila cku asubuh au jion inatoka epsod

  • @rashidali-ir5cz
    @rashidali-ir5cz 2 роки тому +1

    Leo masharti hakuna kula

  • @ericnimpojeje9432
    @ericnimpojeje9432 2 роки тому +1

    Nirikuwa nimeisubiri kwahamu Ila ninawapenda sana

  • @godfreygodwin7413
    @godfreygodwin7413 2 роки тому

    Kaz nzuri thine white

  • @godfreymarco629
    @godfreymarco629 2 роки тому +3

    Woyooooooooo

  • @muhsinihassan8245
    @muhsinihassan8245 2 роки тому

    From Saudi Arabia RIYADH 🇸🇦

  • @sheddyclevertz2738
    @sheddyclevertz2738 2 роки тому +2

    Mbona Sasa Haina sauti

  • @hamidasira4543
    @hamidasira4543 2 роки тому +2

    Jaman Haina sauti

  • @alihassankijazi8603
    @alihassankijazi8603 2 роки тому +2

    Duuuh tin kapaa nalo....had alipwe vitumbua vyake😀

  • @hassanimtengeneka5012
    @hassanimtengeneka5012 2 роки тому

    Naomba munisaidie naitaji kuigiza hassani mie

  • @AngelMohammed-vv9hr
    @AngelMohammed-vv9hr Рік тому

    Hahahaha apana tinny utatuvunja mbavu kuna mayele bonge jaman

  • @mwajumakaisi2033
    @mwajumakaisi2033 2 роки тому

    Nawapata vizuri ssna nikiwa mozambique

  • @irakozekurusum8116
    @irakozekurusum8116 2 роки тому

    Vitumbuwa vimempoteza aladini

  • @sheddyclevertz2738
    @sheddyclevertz2738 2 роки тому +1

    Sauti jamani au ni kwangu2

  • @juliethylukindo2132
    @juliethylukindo2132 2 роки тому

    Mvumilivu hulambivu hatimae mmepata nyumbayable 😄😄😄😄😄👏👏👏👏💋💋💋🔥🔥🔥

  • @ummycheedy2809
    @ummycheedy2809 2 роки тому +1

    Nyie mtaniua jamn kilangaso alivyovutwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @jasminmohamednasour2754
    @jasminmohamednasour2754 2 роки тому +1

    Jini mapoda ruhusuu basi tupatee sautii

  • @jumawhity2947
    @jumawhity2947 2 роки тому

    Brother tin mayel bongeeeee ataendelea Hadi mwisho kwel

  • @yusrashabani2983
    @yusrashabani2983 2 роки тому +1

    Imekuwaje tena mbona hatuwezi tena kuona au ni sim zetu jamani dah 🥲🥲nimekosa kitu kitam kweli

  • @fredychazzy8788
    @fredychazzy8788 2 роки тому +3

    Il tin anazingua tin dixh akimung😂😂😂😂😂

  • @Kalalaadelade-qg6pn
    @Kalalaadelade-qg6pn 11 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 duuuh mbav zang jmn

  • @godfreyromanus2456
    @godfreyromanus2456 2 роки тому +1

    Yaan tin white anavo shtukaga nacheka kinoma 😂😂😂😂

  • @dorryshao5083
    @dorryshao5083 2 роки тому

    Hapa hivi tuu kicheko mpk majiran wanastuka angekuwepo na na ringo aaah mbv zangu mie

  • @chriseliaa2254
    @chriseliaa2254 2 роки тому +2

    leo nimkuwa wa kwanza kcoment an😜😜😜😜😜woyoooooooooo

  • @loicekarima1662
    @loicekarima1662 2 роки тому

    Wapi like za tin white jmn