MTAKATIFU BY PAUL MWANGOSI [OFFICIAL VIDEO]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • MOYO WA IBADA VOL 1
    ALBUM: NIMESOGEA

КОМЕНТАРІ • 142

  • @aidanlazaro7818
    @aidanlazaro7818 4 роки тому +15

    Hakika Mungu ni Mtakatifu nimeona nguvu zake Bwana kupitia wimbo huu asante Jehovah kwa uweza wako fungua vyote vilivyo fungwa kwa namna zote vikapate kufunguliwa ni katika Jina lako Yesu Ameen

  • @leahndekuka9719
    @leahndekuka9719 2 роки тому +6

    Amina. Sijapata ona wimbo wenye upako na uwepo mkubwa wa MUNGU namna hii kama huu wimbo. Kila ninapousikiliza nauona uwepo wa MUNGU kabisa. Ukiisikiliza wimbo huu hakika ni ibada tosha, MUNGU awabariki sana. Above all ni huyo mpiga saxophone kwakweli ananibariki mnooo

  • @michaelpatrick9137
    @michaelpatrick9137 2 роки тому +3

    Mtakatifu Sana utufunuliaye yaliofichika, utaonae sirini utusame makosa yetu tupe mwisho uliomwema hakika

  • @gracekasege7777
    @gracekasege7777 Рік тому +2

    Hivi kuna Mtakatifu kama Mungu wa miungu ona anatuvusha 2023...wengi walihofu itakuaje....
    We ndio Mtakatifu BABA

  • @salomemgaya1244
    @salomemgaya1244 3 роки тому +5

    Hakika MTAKATIFU NI WEWE MUNGU ,unastahili utukufu wote .

  • @scayoscayo3998
    @scayoscayo3998 Місяць тому

    4.1.2025 beacon of Greatness-kwakeli ukuu wa Mungu umeonekana hata Leo-hakika nimebarikiwa na wimbo huu kupita kiasi Mungu azidi kukuinua Kwa sadaka hii kuu.

  • @yusufetabo2412
    @yusufetabo2412 3 роки тому +14

    The power in this worship made me cry when listening.. Jesus you are Holy, righteous is you Lord... Papa more grace... You are a blessing to this generation

  • @sarahseleman2019
    @sarahseleman2019 3 роки тому +2

    Mtakatifu mtakatifu kwakwel wimbo huu unanifanya niwe Karibu na Mungu, ubarikiwe Sana kaka kwa wimbo huu,

  • @piussalama5485
    @piussalama5485 4 роки тому +4

    Mungu akubariki mno kwa kazi nzuri. Yesu mtakatifu

  • @ManagerCharles-cy1mz
    @ManagerCharles-cy1mz 3 місяці тому

    I testify that God is faithful. I got a new job after a long suffering..Glory to God

  • @elianifamakusarokimaro4697
    @elianifamakusarokimaro4697 2 місяці тому

    Hakika MUNGU ni Mtakatifu sana ❤

  • @kyanzaishara1506
    @kyanzaishara1506 3 роки тому +1

    Uu wimbo umenijaza sana

  • @DixonAndati
    @DixonAndati 7 місяців тому +1

    This song is so powerful until you are not able to control yourself........ thanks to it may the Lord give you strength to continue touching other people's life

  • @claudialimo2210
    @claudialimo2210 3 роки тому +8

    When the brother playing the saxophone came to our church to play, I knew I had seen him somewhere, brother you are blessed

  • @christophermgonja3755
    @christophermgonja3755 4 роки тому +9

    Nabarikiwa sana Nyimbo za ndgu yang mwangosi, Mungu akubariki sanaaa

    • @frolahamia1196
      @frolahamia1196 3 роки тому

      Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu huwa nakukubali sana

    • @neemashoo5629
      @neemashoo5629 2 роки тому

      Yaaani abarikiwe sana

  • @ndabhitimwamasangula1182
    @ndabhitimwamasangula1182 Рік тому

    Kweli ni MUNGU pekee wa kuabudiwa kwa ukuu wake, kwa uweza wake, na kwa utakatifu wake, ubarikiwe mtumishi Paul Mwangosi

  • @richardnicodemusjoshua-ot5ys

    Hakika wimbo huu umeimbwa ktk Hali ya kiroho Zaid. Mungu akubariki sana

  • @ongitoabel1597
    @ongitoabel1597 Рік тому

    Yaani huu wimbo unanifanya nisikie Amani kimwili,roho na nafsi .
    Wimbo huu umejaa nguvu za Roho Mtakatifu.
    Mungu muumbaji wetu awabariki wote maana mmeimba Kwa ajili ya utukufu wake.

  • @mathewmassawe5982
    @mathewmassawe5982 4 роки тому +1

    MTAKATIFU NI WEWE MUNGU WETU. barikiwa sana mtumishi wa KRISTO, MUNGU aendelee kukulinda kwenye utumishi huu wa uimbaji.

  • @chrissmichaelmashouda1726
    @chrissmichaelmashouda1726 3 роки тому +6

    Hivi mbinguni itakuaje Sasa Kama duniani watu mnaabudu vizuri namna hiivi jamaniiiii itakua njma Sana maana mchanganyiko wa watakatifu, malaika, wazee 24 na wenye uhai wanne jaman sikosi mbinguni kwa Neema yake

  • @linuschenkula6686
    @linuschenkula6686 4 роки тому +2

    MUNGU MTAKATIFU AKUBARIKI sana Mtumishi wa MUNGU Paul Mwagosi kwa nyimbo ambazo zinatusogeza mbele ya Mzee wa siku, Ukazidi Kuinuliwa kiwango hadi kiwango, Neema hadi Neema na Baraka hadi Baraka katika Jina la YESU KRISTO.

    • @jecyneema3896
      @jecyneema3896 3 роки тому

      Am blessed 🙏🙏🙏🙏

    • @jecyneema3896
      @jecyneema3896 3 роки тому

      I love worship,natamani siku moja mungu anipandishe hivi viwango,i tap that annoitting in jesus name,barikiwa mtumishi wa mungu

    • @abelkasekwa4715
      @abelkasekwa4715 3 роки тому +1

      Amina baba ubarikiwe kwa wimbo mzuri mungu anahitaji kusifiwa na kupewa heshima ,,,,kama unaamin sema ameen

  • @neemaglorykisoli2605
    @neemaglorykisoli2605 3 роки тому +1

    MUNGU Azidi kukulinda Mtumishi.Nyimbo zako huwa zinanipa kutubu na kumwamini MUNGU tu.

  • @lynelee5846
    @lynelee5846 4 роки тому +16

    Always in love with your songs its not just uplifting but inspiring.. much love from Kenya ♥️🇰🇪🤞

  • @brendayator178
    @brendayator178 3 роки тому +3

    Powerful ministration...I love this...more grace mtumishi Wa Mungu

  • @neemakiria4416
    @neemakiria4416 2 роки тому

    My brother nabarikiwa sana kwa hinyimbo Mungu wa mbinguni akubariki sana sana kaka,,

  • @dafmsizy2324
    @dafmsizy2324 4 роки тому +2

    Be blessed leo mekuwa wa kwanza kuview nyimbo yako ##Nyimbo zako zinaupako na mguso wa Roho wa Bwana

  • @samuelezra9634
    @samuelezra9634 4 роки тому +9

    Noooooo this is too much man of God this son is anointed I always pray that all the nation hear you

    • @rydershane6126
      @rydershane6126 3 роки тому

      Dont know if you guys gives a damn but if you guys are stoned like me during the covid times you can watch pretty much all the new series on instaflixxer. Been streaming with my gf for the last few days :)

    • @karsonconor904
      @karsonconor904 3 роки тому

      @Ryder Shane yup, have been watching on InstaFlixxer for months myself =)

  • @ruthwilliam6856
    @ruthwilliam6856 4 роки тому +4

    Mtakatifu mtakatifu ni wewe Mungu 🙌🙌🙌🙌 God bless you father

  • @lucyngwale4365
    @lucyngwale4365 Рік тому

    Hakika Bwana Wewe ni mtakatifu huhuhuhu nakuabudu Yesu Wewe ni mtakatifu

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 4 роки тому +6

    Tunao comment kabla ya kuangalia videos na sauti tujuane hapa kwa like.

  • @alberthakoka4701
    @alberthakoka4701 4 роки тому +1

    Mungu akubariki yaani nyimbo zako uwa zinanipa viwango vingine

  • @fullgospelchurchvoi1423
    @fullgospelchurchvoi1423 3 роки тому +6

    The atmosphere is charged. God bless you servants of God.. This is just a test of how heaven would be. Oooh Glory be to God.

  • @ministerHappyAllan
    @ministerHappyAllan 2 роки тому +2

    ASANTE YESU 2022 OCTOBER NIMEONA NGUVU ZAKO YESU

  • @stellaramadhan4699
    @stellaramadhan4699 2 роки тому

    Napenda sana nyimbo zako nabarikiwa

  • @edwardgodfrey8656
    @edwardgodfrey8656 4 роки тому +2

    Niliusubiri Sana Wimbo Huu..

  • @JohnMtui-cd2lm
    @JohnMtui-cd2lm 4 місяці тому

    Mungu ni Mwema

  • @beatricekassanga8129
    @beatricekassanga8129 2 роки тому

    Hakika wimbo huu unanifanya nimtafakari sana MUNGU nabubujika rohoni.Asante sana mwimbaji Paul Mwangosi hakika una karama ya ajabu,endelea kuitunza karama hiyo.Amen

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 4 роки тому +2

    Kumbe ulikuwa bado,duh niliutafuta sana!
    Glory be to God!

  • @CharlesMwandusa
    @CharlesMwandusa Рік тому

    Yaani we acha tu.mungu atusaidie tufike huko

  • @lameckmmbaga7605
    @lameckmmbaga7605 2 роки тому

    Mungu akutunze kaka

  • @geophreyjoseph8738
    @geophreyjoseph8738 4 роки тому +3

    🇹🇿Mtakatifu ni wewe Mungu Bwana wa majeshi🙏🙏🙏

  • @INNOCENTMWANGA
    @INNOCENTMWANGA Рік тому

    Nyimbo nzuri sana na ninapenda nyimbo kama hiz❤❤

  • @elidachaula6903
    @elidachaula6903 Рік тому

    Amen hakika wewe ni mtakatifu hakika Yesu wewe ni mtakatifu

  • @benkungu2993
    @benkungu2993 2 роки тому

    Kazi njema,God bless you

  • @batildamahundiofficial9400
    @batildamahundiofficial9400 3 роки тому +1

    Mtakatifu ni MUNGU tu

  • @hellenelisha4160
    @hellenelisha4160 3 роки тому +1

    Nyimbo zako zinanibariki sana, ubarikiwe

  • @peterlyimo6696
    @peterlyimo6696 2 роки тому

    Nimekuwa nikisikiliza nyimbo hizi hizi za Mwangosi miaka minne sasa lakini kila siku utafikiri nasikiliza nyimbo mpya. Nabarikiwa sana sana. Mungu akubariki sana Mwangosi and the team.

  • @agathamwakaje3723
    @agathamwakaje3723 2 роки тому

    Mtakatifu ni wewe Mungu wetu uliye hai

  • @sammymakau2986
    @sammymakau2986 6 місяців тому

    Hakika mungu ni mtakatifu....

  • @marcknkembo7600
    @marcknkembo7600 2 роки тому

    Ubalikiwe mtumishii

  • @Churchofecclesia
    @Churchofecclesia 4 роки тому

    mtakatifu,mtakatifu,mtakatifu, mtakatifu BWANA, MUNGU MWENYE NGUVU, ALIEKO, ALIEKUWAKO NA ANAEKUJA MWENYEZI

  • @baybeshayo18
    @baybeshayo18 2 роки тому

    Ameeeeeen huu wimbo unainua Imani yangu Sana. Barikiwa mtumishi wa MUNGU.

  • @emilydavidmdoe3552
    @emilydavidmdoe3552 3 роки тому

    Ni kweli Mungu pekee ni Mtakatifu. Barikiwa sana Mtumishi wa Bwana.Nyimbo zako zote Zina nguvu ya Mungu ndani yake

  • @peternthei7765
    @peternthei7765 4 роки тому +1

    Wow unanibariki kwa Sana

  • @beatricenyalusi5937
    @beatricenyalusi5937 Рік тому

    Ameen Holy Holy Holy,is your name Lord Abba,Aleluya

  • @humphreyndiwa5642
    @humphreyndiwa5642 2 роки тому

    Naparikiwa sana na sana

  • @martinamayala4865
    @martinamayala4865 3 роки тому +1

    Mtakatifu Mtakatifu ni wewe Mungu🙏🙏

  • @neemashoo5629
    @neemashoo5629 2 роки тому

    Nimeona uwepo wa mungu kwa huu wimbo

  • @franceenmunasiah3153
    @franceenmunasiah3153 3 роки тому +2

    Mtakatifu ni wewe Mungu wetu hallelujah 🙏❤️

  • @scolakalindu8077
    @scolakalindu8077 3 роки тому

    Utukufu apewe Bwana

  • @janelunanilo162
    @janelunanilo162 Рік тому

    Your holy my Lord....

  • @ChrispineBlessed
    @ChrispineBlessed 2 роки тому

    For sure am really blessed.🙏🙏Mtakatifu ni wewe Mungu.

  • @emilymdoe619
    @emilymdoe619 2 роки тому

    Ni kweli kabisa,peke yake Mungu ni mtakatifu sana, Asante sana ubarikiwe kwa wimbo huu wenye nguvu, Ameeen. Sifa kwa Mungu wetu alie mkuu sana

  • @MCEGIDENETWORK
    @MCEGIDENETWORK 3 роки тому

    Baba unanibarki na Huduma Mungu akuinue juu zaidi

  • @Oduor07
    @Oduor07 2 роки тому

    amen amen,Mtakatifu ni wewe Bwana

  • @captainlevispowers
    @captainlevispowers Рік тому

    Praise be the name of the Lord,,,Am so so so so blessed❤️🙏🇬🇦🤝🇹🇿

  • @lightnessgamasa6039
    @lightnessgamasa6039 Рік тому

    Aminaaa aminaaa

  • @barakamwamaso6911
    @barakamwamaso6911 4 роки тому

    Asante Yesu maana nimeusubiria huu wimbo youtb mda mrefu tangu ilipotoka albam hii

  • @stellakarambu7210
    @stellakarambu7210 Рік тому

    Halleluya ❤

  • @antonyomwenga6682
    @antonyomwenga6682 3 роки тому

    Mungu aendelee kukupaka mafuta

  • @sharonmutiso3669
    @sharonmutiso3669 3 роки тому

    Barikiwa mtumiji wamungu

  • @godwindishon77
    @godwindishon77 4 роки тому +3

    Ameen

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 2 роки тому

    Asante Yesu

  • @scholasticaallan7409
    @scholasticaallan7409 4 роки тому +1

    To God be Glory 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 umebarikiwa umebarikiwa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌my all time favourite worshipper

  • @alexomozuwa84
    @alexomozuwa84 3 роки тому +7

    More of God's grace to you sir. I love your worship songs, though I don't understand swahili or your language but your worships are very powerful. Once again, more of God's grace and strength to you sir. Much love from Nigeria.

  • @sylvestermariko726
    @sylvestermariko726 3 роки тому

    Great man of God.Nimebarikiwa sana na wimbo huu wa kukiri Mungu wetu ni Mtakatifu.Mungu akuinue viwango hadi viwango kwa kumimbia.Kwa kweli ni🔥🔥🔥🔥

  • @WilliamLema-c2o
    @WilliamLema-c2o Рік тому

    Ameni

  • @mercyimbuka
    @mercyimbuka 2 роки тому

    Amen and amen..thank you for the good news ..im free today in Jesus name..

  • @rachealmugoh725
    @rachealmugoh725 3 роки тому +1

    What a worship

  • @totallysalvationtv
    @totallysalvationtv 2 роки тому

    Hallelujah the blessing song, because our Jesus is Holly

  • @geniahumbo5128
    @geniahumbo5128 3 роки тому

    Nabarikiwa Sana

  • @echymbozi1927
    @echymbozi1927 3 роки тому

    Mtakatifu MUNGU uliye juu!!!nampenda sana pastor Safari!!!🙌🙏🙏

  • @jonesnjoroh7942
    @jonesnjoroh7942 3 роки тому +1

    your stle of worship uplifts my soul sir. your are blessed indeed. i wish i can meet you some day

  • @neemambunda2004
    @neemambunda2004 2 роки тому

    Amen 🙏

  • @noelmadalla8660
    @noelmadalla8660 4 роки тому

    Mungu akazidi kukunyanyua

  • @jeremiahmasuke8375
    @jeremiahmasuke8375 Рік тому

    Powerful 🔥🔥

  • @johndenis8768
    @johndenis8768 4 роки тому +2

    Amen

  • @magdalenabenard6693
    @magdalenabenard6693 3 роки тому

    Nice one

  • @victoryworshipteamnairobi9663
    @victoryworshipteamnairobi9663 3 роки тому +1

    Wat a great song

  • @ezekielwamoyo
    @ezekielwamoyo 3 роки тому

    Am just blessed cz if people, may the almighty my God fulfill your will

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 3 роки тому

    Mtakatifu ni wewe Mungu wangu

  • @julianashuma6326
    @julianashuma6326 3 роки тому

    Mtakatifu ni wewe Mungu

  • @BarakaSamwel-m8p
    @BarakaSamwel-m8p 2 місяці тому

  • @mrjigrow2304
    @mrjigrow2304 3 роки тому

    Its powerful

  • @STEVEKASINAOfficial
    @STEVEKASINAOfficial 3 роки тому

    Alleluia 🌧️🥰

  • @bensonmwanyefa5173
    @bensonmwanyefa5173 3 роки тому

    Very nice songs be blessed

  • @vincentyohanachakupewa2219
    @vincentyohanachakupewa2219 3 роки тому

    Amen amen amen

  • @neemambunda2004
    @neemambunda2004 2 роки тому

    You are Holy, You Holy Lord Jesus

  • @jameskorg7559
    @jameskorg7559 4 роки тому +2

    🙏🙌🙌

  • @hgpctv
    @hgpctv 3 роки тому +1

    Oooh my God, my Spirit is lifted