Moyo wa Ibada - Ni wewe Yesu Paul Mwangosi Feat Cassian Kambole
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Yesu ni wewe wa kuabudiwa Utukufu na Heshima zote ni zako
Umezungukwa na Utukufu wako
Heshima zote zina wewe uliye mwaminifu
Enzi yako ni ya milele daima.
Nipende Kumshukuru Mungu kwa Uaminifu wake wa kuachilia Neema hii ya kumuabudu.
Pia nawashukuru wote walio tumika pamoja na Huduma hii ya Moyo wa Ibada kwa njia ya Uimbaji Sadaka Maombi na Kila kilichofanikisha Ibada hii
NI WEWE YESU WA KUABUDIWA
UTUKUF NA HESIMA ZINA WEWE YESU
NI WEWE YESU WA KUABUDIWA..
Nasari mungu azidi kukubariki jinsi ulivyo pata ufunuo wa huo wimbo ulinibariki sana pale kijitonyama kkkt
Yesu mwenyewe keshafurahia huo wimbo na kanisa lake takatifu
Huyo zumaridi na waumini wake mapepo
Utukufu heshima tunamrudishia Bwana wa majeshi kupitia mtumishi wake wake Nasari
So powerful 😊😊
Barikiwa # iwapo nawaitaji
Mmmmh Moyo Wa Ibada Tamu sana hii🎉🎉🎉
Ni Yesu tu wakuheshimiwa, hallelujah!
Ustahili.heshima na mamlaka Zina wewe yesu
Barikiwa mno Baba
Awwwwww🔥🔥🔥
Utukufu ni kwa Mungu aliye hai.BARIKIWA SANA MTUMISHI
Haleluya
Mungu azidi kukuinua zaidi maana utumishi wako umetukuka
Glory to God
Wimbo unabariki sana asante mtumishi Paul mungu akubsriki
Glory to Jesus🙏