NIKUJUE ZAIDI - AIC (T) Mbezi Beach Choir ft Julius Mwombeki

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • #NIKUJUE ZAIDI, ni wimbo wetu wa sita kati ya nyimbo 7 tulizoimba kwa kumsifu na kumtukuza Mungu kwenye ibada ya USIKU WA SIFA, ( THE NIGHT OF PRAISE ), 13 oct 2023, katika ukumbi wa JC Hall, Rafia Mbezi Beach - Dar es Salaam.
    Tunaamini wimbo huu # NIKUJUE kama ulivyo imbwa katika kitabu cha sifa 159 na Tenzi 92, utakuwa baraka katika maisha yako na familia yako kwa kutafakari na kutathmini mahusiano yako na Mungu.
    SHUKRANI
    * Kwa waumini wote wa AICT Mbezi Beach
    * Mtunzi wa wimbo - "NATAKA NIMJUE YESU"
    * Mwalimu wa kwaya - Thobias Dominick
    * Audio Producer - Quillian Kilago
    * Video Production - GLC Media
    * video Director - Pascal Sumuni
    * Wanakwaya wote wa AICT Mbezi Beach
    subscribe, share, comment

КОМЕНТАРІ • 108