bonge la wimbo mkari sana ...nilikuwa nausubili kwa hamu sana ,,,niliiona clip yake miaka ya nyuma sana kaa mwaka jana hivi ukiwa unaipiga mwenyewe kwenye kinanda ,,,,,,,nimefurai sana kupita kawaida kaka...
Asher mdogoangu,wewe Ni chombo endelea kutumika kwa ajili ya kuwainua wengine,kumjua Mungu zaidi,kweli uko vizuri hata mwanangu wa Miaka mitatu anapenda sana wimbo wako wa Yesu wewe waweza
I can't get enough of this song since I discovered it a few days ago.This song is filled with God's presence which sets the prayer mode everytime it is played.
Waoooooo hii ni nzur sanaaaa ❤❤❤❤ mungu aendelee kukutumia kwa viwango vingine
❤❤ Mungu akubariki sana brother huu ni wimbo wa nyakati zote
Barikiwa mtumishi 🙏 Mungu aendelee kukutumia
Amen barikiwa sana mtumishi 🙌🙏
bonge la wimbo mkari sana ...nilikuwa nausubili kwa hamu sana ,,,niliiona clip yake miaka ya nyuma sana kaa mwaka jana hivi ukiwa unaipiga mwenyewe kwenye kinanda ,,,,,,,nimefurai sana kupita kawaida kaka...
Waoooo so powerful song, God bless you much
Atar kaka
Ongera Sana broo wangu mungu azidi kukupigania ufike mbali na kipaji chako.
Naam. Kijana uzidi kunyenyekea sana. Roho Mtakatifu atakupa mafunuo makubwa zaidi.
Hizi ndizo nyimbo ambazo Mungu anataka kuabudu.❤
Bro unaenda mbali zaidi ni suala la muda tu ❤
Barikiwa Sana Kwa wimbo huu mzuriiiii unaovuta uwepo wa MUNGU Kwa kiwango kikubwa
Oooooh yes I have a Convenant keeping God 🙏🙏🙏
Nimeujua huu wimbo kupitia mtumishi wa Mungu kuhani musa Richard mwacha wa kimara temboni naupenda sana barikiwa nasarry
Tupo wote aseee
Mpendwa katika kristo Yesu ❤
Indeed ngomeni ya Yesu Kristo ❤
Hata mimi🥹
balikiwe sana sana kwa neema kubwa uliyo pewa ya uimbaji
Asher mdogoangu,wewe Ni chombo endelea kutumika kwa ajili ya kuwainua wengine,kumjua Mungu zaidi,kweli uko vizuri hata mwanangu wa Miaka mitatu anapenda sana wimbo wako wa Yesu wewe waweza
Waoooo glory to God
Neema zaidi mtumishi wa Yesu.
Umebarikiwa ,na umepakwa mafuta
Yesu akutunze zaidi
Very powerful
🔥 🔥 🔥 🔥
Ni Mungu asiye sahau kabisaaaa maagano
Be blessed kaka wimbo mzuri sana uu❤
Hakika wewe usiye badilika !!!Hunakigeugeu Mtunza Maagano
@Ashley nassary tunakuomba utuwekee UA-cam instrumental,Mungu akubariki sana
Mungu mwema Kwakweli azidi kukuinua Mtumishii wa Mungu
MUNGU akuinue zaidi na zaidi
Barikiwa sana nakufwata toka congo
Wimbo huu unanipa nguvu😭
Yesu-Mtunza Maagano🙌🏽
Nabarikiwa sana mungu akubariki🙏
Ubarikiwe sana Mtumishi endelea kusonga mbele Mungu wetu yuko macho
Hallelujah 🙏
So powerful
Barikiwa mtumishi wa mungu🙌🙌
Mtunza maagano 🙌🏽🙌🏽🔥
Nyimbo zako zote zinanibariki Sana🙏 Mungu aendelee kukutunza
NIME BARIKIWA NA HUU WIMBO WA AGANO,MUNGU AZIDI KUKUINUA .
🙌🙌🙌ninatazama Agano lako kwangu Mungu wa wokovu wangu
Ni kukuabudu,Ww YESU mtunza maagano.
Mungu akubariki Sanaa kaka yangu✍️✍️
Hata nipite kwenye moto nataza agano lako ❤❤
POWERFUL POWER THAN POWERFUL
Wewe ni baraka Sana mtumishi ❤
Wow Yesu pokea utukufu
Ooooh nabarikiwa sanaa God bless u💓❤️💓
Amen amen
Agano langu ni kukukwabudu
Nakupenda ashery🎉
Woow
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu akubariki bto
MUNGU azidi kukutumia kaka Ashley🎉🎉.... Mtunza maagano❤
Barikiwa sana mtumishi. Wito wako mkuu sana
Agano langu , wimbo wa baraka sana
Really God is a covenant keeping God.Nimependa sana huu Wimbo.more grace
MUNGU AKUBARIK WIMBO MZURI MTUMISHI AGANO LAKE LISIONDOKE KINYWANI MWAKO
Kazi nzuri sana kaka
Barikiwa MOG🙌🙌🙌
Wimbo nzuri sanaaa Mungu akubariki sanaaaa
Mungu akuinue Zaid Mtumish wa Mungu
Powerfull 🙌🙌🥲😭
Chana miamba Jembe la YESU, nyimbo hii ni nzuri sana
Natazama agano langu Tena litatimia tu, aliliniambia BWANA lzm litimie😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hii song imenibeba bro Ashley
🔥🔥🔥 Amen
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu🎉🎉
Mungu akubariki kwa wimbo mzuri
Kazi nzuri cna Ubarikiwe cna
Mungu azid kukutumia mtumishi wa mungu
Woooow! Ubarikiwe kaka nabarikiwe na nyimbo zako.
😢😢😢😢😢😢 Mungu akupake mafuta mabichi mtumishi Mungu anasikia maombi
I can't get enough of this song since I discovered it a few days ago.This song is filled with God's presence which sets the prayer mode everytime it is played.
JUST NASHINDWA NISEME NAMNA GANI LAKINI MUNGU AKUBARILI SANAAAAA NA SANAAA
Huu wimbo naupenda sana, It has the move of the Spirit in it,
Powerful worship Moments keep it up bro
Nitakwabudu tu ❤
Big up bro, keep moving ahead 💪
Wimbo ni mzuri sana. Mungu azifi kukuinua kwa viwango vya juu mtumishi
Haleleeeeeeeeeluya haleleeeeeeeeeluya MTUMISH WA MUNGU nabarikiwa isivyokawaida uhuhuhuhuhuhuhuu 🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏
WIMBO umesheheni mafutaaaaaaaaa ayayayayyayaayyaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🥲🥲🥲🥲🥲🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nimjmj. MWINJILIST WASHAWASHA NEEMA AKARO LEMA 🧎🧎🧎🙌
Ameen more blessed
Mtunza maagano ni Mungu peke yake tuu hallelujah Mtumishi Barikiwa kwa wimbo huu
Mtunza maagano nakwabudu 🙏🙏.
Such powerful 🙌
Worship atmosphere 🔥
Powerful song🥺nisaidie Yesu🙌
Agano langu Mimi na wewe nikukuabudu BWANA ,hata nipite kwenye moto.. Mungu aliyehai akubariki sana
Agano langu mimi na wewe ni kukuabudu🙏🏼😭😭😭 omg nimebarikiwa kwa viwango vya juu sanaaa
Mungu akubariki sana bro na aendelee kukukuza
Much love from Kenya 🇰🇪 ❤️ BE blessed Mtumishi wa Mungu
Power of praise: agano langu Mimi na wewe ni kukuabudu Yesu mtunza maagano
Nice song 💯 bless up 🙏
Nipigie brother
God Over Everythings❤
Hiio nayo inapendeza sana . Huyu Mungu ni mtunza maagano
MTUNZA MAAGANO YESU🙏🙏
Hallelujah 🙏, Yesu mtunza maagano.
The anointed song God bless you brother 🙌🙌🙌🙌🙏🙏 keep it up
Keep going man of God🙌🙌🙌
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Congratulations ❤❤
Powerful song
Blessed brother 🙏
now you stay at your position that God want’s you ❤❤❤❤🔥🔥🔥
Be blessed Man of Gog always I appreciate what you do For heaven God❤ AGano langu
Ooooooh wooow what a timely song......Indeed our heavenly father is a Covenant keeper ....His promises are Us and Amen 🙏🙏.
Blessings worshippers ❤
Big up man of God, this song is very great, amazing, be Blessed 🙏🎤🇹🇿
My full package powerful song 🙌😭🔥may God preserve you man of God