Nimekukimbilia - AIC(T) Mbezi beach choir (Official live music video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • #Nimekukimbilia Ni wimbo wetu wa tano kati ya nyimbo saba tulizoimba kwa kumsifu na kumtukuza Mungu kwenye ibada ya USIKU WA SIFA ( THE NIGHT OF PRAISE) 13 Oct 2023 katika ukumbi wa JC hall Rafia Mbezi beach Dar es salaam.
    Tunaamini wimbo huu #NIMEKUKIMBILIA kama ulivyoimbwa na Mfalme Daudi katika Zaburi ya 31:1 utakuwa baraka katika maisha yako wewe na familia yako hasa unapokumbuka kuwa Mungu hawezi kukuacha uaibike maana yeye ni nggome yako.
    SHUKRANI
    * Shukrani za dhati kwa uongozi wa kanisa na waumini wote wa AIC T Mbezi beach
    * Mwalimu wa kwaya - Tobias Dominick
    * Producer wa Audio - Quillian Kilago
    * Video production - Kampuni ya GLC MEDIA
    * Director

КОМЕНТАРІ • 46