HII NDIYO TOFAUTI KATI YA NDOA NA HARUSI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 вер 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 23

  • @JumaKasimusuleiman-pr9bj
    @JumaKasimusuleiman-pr9bj Рік тому +9

    Asanteni kwa masomo ila shekh nakuomba umubie mwalm astir vizur mapambo yake soory

  • @FaizaAlly-t7v
    @FaizaAlly-t7v 18 днів тому

    Shukraaaan sanaaa somo mtoto nahitaj no yko

  • @user-xy9yz9lq9o
    @user-xy9yz9lq9o Рік тому

    Somo mtoto: angalia mwenyezi mungu anasemaje kuhusu mapambo ndani ya qur'un.sitiri mapambo yako mbele ya wanaume.

  • @user-xx8jx6tb7d
    @user-xx8jx6tb7d 4 місяці тому

    Hahahaaa hapa imenibd tu nicheke duuu

  • @omanmuscatmus2155
    @omanmuscatmus2155 Рік тому

    Kipindi kizuri💖💖

  • @maryammohamed5312
    @maryammohamed5312 Рік тому

    Kipindi kizuri mashallah

  • @user-gy3lu9lu6u
    @user-gy3lu9lu6u Рік тому

    Shukrani

  • @muniraahmed8794
    @muniraahmed8794 Рік тому +1

    Shekh shukran kipindi kizuri .❤ Inaelimisha
    Lakini mbona kama tunazalilishwa sie wanawake maana kwa kufanya hivi tunaonekana ndio hatujui kitu somo mtoto tunashkuru anatuuzia bidhaa zake na masomo pia ila mie huwa napenda kusoma sehemu tofauti . Lakini mie mbona naona haya mambo ni vizuri akapata mwanamke mwenziwe ni bora zaid. Soory nimetoa fikra yangu tu❤

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 Рік тому +1

      Kwambaali haujaona kitu?

    • @fayeezabdallah2217
      @fayeezabdallah2217 Рік тому

      waz zur lkn huend ni mdg wak wa dam

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 Рік тому

      @@fayeezabdallah2217 mtazamo wangu kama ni mkewake kama nimekosea Allag anisamehe pamoja na wao

  • @jacklinemrema6671
    @jacklinemrema6671 Рік тому

    Daaaa nlikuwa wapi maneno kuntu

  • @zainabuali9915
    @zainabuali9915 Рік тому

    Dada tunaomba no zakoo tweze kujiung

  • @GhaniyeHaji-hv3je
    @GhaniyeHaji-hv3je 6 місяців тому

    Asnten sn lkn munato mafunzo muda mdogo

  • @othmankhamis5915
    @othmankhamis5915 Рік тому

    Mwambie atafute duka lolote anywe mirinda nyeusi nakuja kulipa mm

  • @khamissule7145
    @khamissule7145 Рік тому

    Kungwi heshim mapambo yako nikharaam kuona kila mwanaume jee wanakuona wanaume wangapii tafuta elimu ikufunze

    • @user-bg5sg6kh9q
      @user-bg5sg6kh9q Рік тому

      Oya ww tumia luhga nzur umeskia

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le Рік тому

      Mm nahs baadh ya watu hamjaelewa hichi kipindi huyu somo mtoto hajaja kujiuza kweny camera vo, huyu kaja kuelimisha jamii mambo ya ndoa Kwa upande woote Kwa wanawake na wanaume na ndio maana wakaeka jinsia zoye mbili hapa, lkn sjui mna nn nyinyi waja, baada kuskiliza maneno yanayozungumzwa mnaangalia mapambo aaaka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 10 місяців тому

      ​@@nahlahassan-fd6lendio lengo kuelimisha lakini Allah sw amewataka wanawake wasidhihirishe mapambo yao, aya ipo katika Quran.

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 10 місяців тому

      @@mohdkhatib223 nikweli lkn hakuna alotumia kuanzia utosini mpak mwisho wa vidole, kla mmoj Dunia hii anakasoro zake.

  • @user-xy9yz9lq9o
    @user-xy9yz9lq9o Рік тому

    Na wewe mumeo ataulizwa kwa Nini unatembea mahina wazi na unayaonyosha kwenye mtandao.