Shamrashamra za ACT Nungwi zavunja rikodi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2020

КОМЕНТАРІ • 143

  • @selwanmohmmed8792
    @selwanmohmmed8792 3 роки тому +13

    Allah tusaidie wazanzibar huu umma umechoshwa na madhila ya wadhulimati

  • @mchafakih5078
    @mchafakih5078 3 роки тому +10

    Weyan mupo vzuri Allah awape ujasiri zaid

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 роки тому +4

    Nduguzangu hongeren ishalla Mungu atatufanyiya wepetu marahi mpaka IKULU ishalla kwauwezo wake Allah Amina Yarab alamin

  • @sidekomb3448
    @sidekomb3448 3 роки тому +9

    Masha allah mpaka kieleweke

  • @khamisdaima1455
    @khamisdaima1455 3 роки тому +14

    Duh, kweli ccm hawana ushind znz

  • @tatuali1464
    @tatuali1464 3 роки тому +13

    Nimemisi nakosa mwaka huu nakupenda malim sefu💜💜💜💜💜

    • @sgfdhaikuhusu6086
      @sgfdhaikuhusu6086 3 роки тому +1

      Mwenzako mm omani twasuguwa vyooo

    • @sgfdhaikuhusu6086
      @sgfdhaikuhusu6086 3 роки тому +1

      @Rashid Juma tutamaliza mkatapa kwanza ndo turudi maendeleo hayaji kwa mwenzi mmoja haiwi mbuyu ulianza km mchicha😂😂ila in shaa allah mungu afanye kheri

    • @sgfdhaikuhusu6086
      @sgfdhaikuhusu6086 3 роки тому +1

      @Rashid Juma Zanzibar hakukaliki kila mtu na pande yake looh maiaha ya zanzibar yanaumiza

    • @abdullahhaji8779
      @abdullahhaji8779 3 роки тому +1

      @@sgfdhaikuhusu6086 musijali mutarudi

    • @vanynadymhamad1996
      @vanynadymhamad1996 3 роки тому +1

      Tatu Ali sio pekeako hata mm nimemis mikutano ya zanzibar nakumbuka 2015 sikuwcha mkutano hata mmoja wa kampeni za cuf tokea bdo haijakufa cuf

  • @mgeniali941
    @mgeniali941 3 роки тому +5

    Tuko Oman tunapitwa act oyeeee muko vzr

  • @mlapikauma7660
    @mlapikauma7660 3 роки тому +14

    Tutokeni kupiga kura 27

  • @ismameki7355
    @ismameki7355 3 роки тому +5

    Tunakuomba mungu marahii tupe tunachokitaka sisi .

  • @ima_tamymy3972
    @ima_tamymy3972 3 роки тому +6

    Vibe letu Wazanzibari 🔥💜💜Maalim Shkamooooo

  • @ahmedbalouch922
    @ahmedbalouch922 3 роки тому +7

    Hata iambiwe dunia haimaliziki hakuna kiama
    ccm haishindi zanzibar . Mwenye nguvu tu lakini kwenye sanduku 25% na hilo wanalijua

  • @paulnathan58
    @paulnathan58 3 роки тому +12

    Uungwana ni kitu cha bure, ccm wakubali yaishe tu!
    Kwa mazingira haya ni wazi Nyakati zimewakataa!
    Wasilazimishane na Nyakati.

  • @allykassim8941
    @allykassim8941 3 роки тому +7

    Ulipo tupo maalim seif. Nimefurahi sana lakini 27. Sote

  • @yussufkhamis9600
    @yussufkhamis9600 3 роки тому +13

    Sasa bas dhulma tumechka

  • @abdulmalikhamadi8634
    @abdulmalikhamadi8634 3 роки тому +3

    Mzaha kando Masha Allah seifu yuwapendwa jaman mola amjaalie mara hii apate Ameen yarabil alamin 🙏🙏🙏

  • @rudahhakem2668
    @rudahhakem2668 3 роки тому +7

    waumie tu tenaaaa mashallah tunapitwa tulokuwa oman

  • @brownenas603
    @brownenas603 3 роки тому +4

    Mtoto wa mwinyi naona kayaona maji kina kirefu hayawez wanamponza tu,Bora atulie cjamuona

  • @zuleikhambarouk4282
    @zuleikhambarouk4282 3 роки тому +5

    Mikono juu

  • @fatmabakari6624
    @fatmabakari6624 3 роки тому +5

    Piga kelele kwa act yke

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 роки тому +7

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kassimugulumu5460
    @kassimugulumu5460 3 роки тому +5

    Inadhihirisha kwamba hawawatu wameamua jambo lao.

  • @swafiyyasuleyman3924
    @swafiyyasuleyman3924 3 роки тому +2

    Jaman raha km zote Act nawapenda sana 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💪💪💪

  • @musitemusite4316
    @musitemusite4316 3 роки тому +1

    Jamani Mimi sijuii vyamavingapi vinagombea duu

  • @rastafare878
    @rastafare878 3 роки тому

    Mimi Huwa sina chama , lakini kinachonifurahisha kwenu Huwa hamuvai uchi , hongereni Kwa kujisitiri

  • @saidvoali6586
    @saidvoali6586 3 роки тому +1

    Daah mambo ni moto

  • @zuheraaziz9343
    @zuheraaziz9343 3 роки тому +7

    rahaaaa💜💜💜💜💜💜

  • @issaamirishenkarwa3391
    @issaamirishenkarwa3391 3 роки тому +3

    Zanzibar awamu hii hawataki mchezo kabisa ase act wazalendo kila heri mkapige kura kwa wingi mkomboe nchi yenu

  • @adammwaihojo1671
    @adammwaihojo1671 3 роки тому +2

    Duuh hii nyomi ni noma seif ikulu hiyo Kama Mandela arafu unastaafu

  • @hamadsobo304
    @hamadsobo304 3 роки тому +19

    Hakuna diamond hapo ni wazanzibar tu

    • @sgfdhaikuhusu6086
      @sgfdhaikuhusu6086 3 роки тому +5

      Hatufatilii wasanii tunataka sera na ushundi chezea zenji wee haya na wafanye dhulma tuu

    • @Oman-tt1hn
      @Oman-tt1hn 3 роки тому +2

      Ccm kwishwa kwisha kabisa nyang'a nyang'a kifo cha mende

    • @brownenas603
      @brownenas603 3 роки тому

      Cjamuona mgombea urais wa Zanzibar au ndio keshakubal yaishe???heee ccm kazi wanayo uchaguz huu mtamu kwelikwel

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 3 роки тому

      Zanzibar huaga hawana shobo na wasanii

  • @JJ-fb9jp
    @JJ-fb9jp 3 роки тому +1

    Nice

  • @mlapikauma7660
    @mlapikauma7660 3 роки тому +5

    Subiri ufungiwe WEYANI

  • @FatmaMohamed-zl8lt
    @FatmaMohamed-zl8lt Рік тому

    Hii nyimbo nikiiskia nakosa raha kwan nipale maliim seif akicheza

  • @sihabasihaba9366
    @sihabasihaba9366 3 роки тому +2

    Pambe pambeeeeeeeeee

  • @hasanihsmadi
    @hasanihsmadi Рік тому

    Act

  • @abdullahsultani4377
    @abdullahsultani4377 3 роки тому +1

    Tusitegemeane kuona frani ataenda nakuona inatosha tujitokeze tukampigie kura zakimbunga kumbuka kura yako nimuhimu sana kwa maalim sefu na tundu lissu tusikose pia tulinde kura zetu

  • @abdullahsultani4377
    @abdullahsultani4377 3 роки тому +1

    Kila mmoja siku hiyo amuamasishe mwenzake hata kwa kufoward sms au kupigiana simu kuhakikisha tunapiga kura zakimbunga kwa maalim sefu na tundu lissu pia tulinde kura zetu

  • @sihabasihaba9366
    @sihabasihaba9366 3 роки тому +2

    Pambeeeeeee3

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 роки тому +4

    💜💜💜💜💜💜💜💜

    • @kidjhdf7568
      @kidjhdf7568 3 роки тому +2

      Wambie ss wapemba tulio nje tunamiss hiz kazi

  • @rukiasalum631
    @rukiasalum631 3 роки тому +3

    Leo iyo maukhti na masheikh imekuwaje

    • @abdullahhaji8779
      @abdullahhaji8779 3 роки тому

      Bibi ww upo

    • @rukiasalum631
      @rukiasalum631 3 роки тому

      @@abdullahhaji8779 Nipoo harakati tu za hapa na pale

    • @henrymushi8340
      @henrymushi8340 3 роки тому

      Corona ilikuja kutujulisha kuwa kuna nyakati mpya za mabadiliko kwaiyo watu wajiandae kisaikolojia, watu wakishindana na nyakati mpya watakutana na Adhabu kubwa sana ya Mungu, kwa sasa tupo nyakati mpya ya Uongozi Tanzania.Mungu Tubariki......

    • @abdullahhaji8779
      @abdullahhaji8779 3 роки тому

      @@rukiasalum631 ok

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 3 роки тому +1

    APA ccm wajipange siyo siri tena

  • @roselugendo6943
    @roselugendo6943 3 роки тому +2

    Yani huyu maalim hachuji, yaani hayo mahaba, zanzibar waweke serikali mseto, ili hawa wananchi watulie. Serikali ya ccm na act. Tulinde amani.

  • @ramadhanmussa673
    @ramadhanmussa673 Рік тому

    Ba hamadi aje aombe radhi

  • @masturamansoor7497
    @masturamansoor7497 3 роки тому +1

    Full shangwe

  • @francomwalutende7864
    @francomwalutende7864 3 роки тому +1

    Du Hata bara hakuna aliyewahi kufanya mkutano kama huu

  • @Oman-tt1hn
    @Oman-tt1hn 3 роки тому +1

    Kitu kipo ufukweni hicho karibu na soko la nungwi lakuuzia samaki daa maalim seifu namara hii ushindi niwako kuliko mwaka 2015 inshallah

  • @sihabasihaba9366
    @sihabasihaba9366 3 роки тому +1

    Pambeeeeeeeeeee

  • @talibally8743
    @talibally8743 3 роки тому

    Jamani amani kitu muhimu itkuwa hain haja kumchagua kiongoz ikiwa amni hmna n vixur tuelewa kun maisha baada y uchaguzi

  • @aliissahongerababanazenjit6824
    @aliissahongerababanazenjit6824 3 роки тому

    Kumbe na nyinyi masjangingi yamejaa

  • @gilbertcaptain6884
    @gilbertcaptain6884 3 роки тому +4

    Kumenoga znzbar wakizingua muandamane nchi nzima

    • @bintyussuph4979
      @bintyussuph4979 3 роки тому

      Usituchonganishe.

    • @topaviator
      @topaviator 3 роки тому

      @@bintyussuph4979 huchnganishwi unaambiwa ukweli

  • @mmangakombo2410
    @mmangakombo2410 3 роки тому +6

    Tumeshashinda wana act tunasubir kuapishwa tu panapomajaaliwa

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 3 роки тому

      Tunaomba iwe hivo lakini ikiwa wizi ikikithiri basi hamna mpango

    • @mamymamy7938
      @mamymamy7938 3 роки тому

      @@ahmedalbalooshi8518 na waibe tu

  • @mack_vita_onyango8409
    @mack_vita_onyango8409 3 роки тому +5

    Tuna waomba mtunze Amani ndungu zetu, siasa isitupeleke watoto wetu washidwe kusoma Mama zetu washindwe kujitafutia lizki na vijana tushinde kuijenga Zanzibar, Nina Imani ipo siku mwenyezimungu ata sikia kilio chenu
    Ila Jambo la msingi ni Amani, na wana wa Zanzibar wengi niwaumini wa dini ya Islam, na waislam wanatakiwa kupigania jihadi Dini tu, wala sio jambo lengine siasa zisiwagawe
    Baba zetu mama zetu, wajomba, mashangazi, viongozi wa dini, vijana wenzangu kuanzia leo mkiwa makwenu himizaneni Amani, kwani shali na mikosi ni njia ya sheitwani
    Kwani hata hizi siasa ni mambo ya magharibi uko uraya, kwakuwa tunaishi katika umati Mohamad, kuna mitihani mingi tunaiyona moja wapo hujitokeza kwenye siasa
    Na kwenye siasa hakuna kumswalia mtume, wala kusoma Qur'an Ajabah hivyo siasa ninjia za ibirisi kwani kuna mambo ya hovyo mengi sana ndio mana Nawaomba atakae soma hii comments naomba ikariri insha'Allah

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 3 роки тому +3

      Hakki kwanza then amani

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 3 роки тому +5

      Sio Jihadi Dini tu ila hata Haki inapiganiwa

    • @mack_vita_onyango8409
      @mack_vita_onyango8409 3 роки тому +1

      @@aishamuhammad7785 Duniani katika mambo ya kisheitwa hakuna haki nisikuongopee, Haki inapatikana katika uislamu pekee na umriy qiyama na nchi inayo ongozwa katika misingi ya dini ya uislam, sasa Zanzibar hakuna Dolla ya uislam.
      Hivyo katika maswala ya umaghalibi haya kutoka uraya haki ni asilimia 50, na ukitaka kuitafuta haki utalazimika, kijitoa kafara kwa Damu, umasikini ulemavu, dhiki, njaa, ukame, umauti,magojwa ndio madaam upate haki kwani Siasa ni njia za ibirisi

    • @zuheraaziz9343
      @zuheraaziz9343 3 роки тому +2

      @@mack_vita_onyango8409 kama haki haipiganiwi kwann walipinduwa🤗

    • @mwadinimwadini4068
      @mwadinimwadini4068 3 роки тому +5

      Amani Na Haki Ni Watoto Pacha Hakuna Haki Hakuna Amani. Na Hapo Hakuna Kurudi Nyuma

  • @masturamansoor7497
    @masturamansoor7497 3 роки тому +1

    Full shangwe