#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • #LIVE 🔴: MKUTANO WA HADHARA WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO CHAKE CHAKE OLE KIPANGANI #JUSSA #OMO #ACT

КОМЕНТАРІ • 8

  • @arafasalim679
    @arafasalim679 Місяць тому +2

    Hongereni sana mapambano yaendelee hadi kieleweke. Omo endelea kusafisha

  • @user-hu4sd7bg8n
    @user-hu4sd7bg8n Місяць тому +1

    ❤❤❤❤❤

  • @FeisalDoctor-wr8ws
    @FeisalDoctor-wr8ws Місяць тому

    Allah atujaalie tupate zanzibar yeny mamlaka yake nachukia sana nikion mzanzibar anaikubali ccm na anaona yanayofanyika kw ndug zake kila anaeipamba ccm na hali anajua haifany haki sio mzanzibar ni mwanaharam

  • @SudiKhamisi
    @SudiKhamisi Місяць тому +2

    Gawa doz bab tupo pamoj nanyinyi

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 Місяць тому +1

    Mpaka kieleweke tukijaaliwa

  • @user-rg1wy6ft5l
    @user-rg1wy6ft5l Місяць тому

    Hichi chama cha Act usikichukulie poa kwa miaka kilio anzishwa ni kidogo sana kulinganisha na nguvu kilio nayo hata hivyo vyama viwili ulivo vitaja vikubwa viko na tumbo joto kwa Act uelewe hata mbuyu ulianza kama mchicha kwaio uelewe time yoyote hich chama cha act kinaweza kubadilisha upepo wa Tanzanian maana ni chama kinacho kua kwa kasi kulinganisha miaka kilicho anzishwa kwaio ccm chadema wajitathmini kwa hichi chama cha act tuambianeni ukweli

  • @user-bf9xj3nf1o
    @user-bf9xj3nf1o Місяць тому

    Waachieni chadema nguvu yenu kigoma na zanzibar basi

    • @user-rg1wy6ft5l
      @user-rg1wy6ft5l Місяць тому

      Hata mbuyu ulianza kama mchicha kwaio uelewe hichi chama cha act usikichukulie poa poa ni chama kimeanzishwa karibuni tu na unaona kinavo kua kwa kasi hivo vyama vinajihis ni vikubwa vishaanza kuingia tumbo joto kwa act kwaio kwa miaka ilionayo act na kilivo usikichukulie poa uelewe time yoyote chama hichi kinaweza kubadilisha upepo wa Tanzania vyama vilioko juu ukaona vipo chini