Uislamu, Kipi kitabu cha kweli sehemu ya 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 62

  • @najatsalum2122
    @najatsalum2122 3 роки тому +9

    Allah akurehem almarhum Amani petrol akulipe Fildauss. Na mie pia.Amin

  • @guwileguwileyasini758
    @guwileguwileyasini758 3 роки тому +3

    Allahu Akbr Allah amlaze mahala pema peponi Amiiina

  • @talhiyaibrahim7951
    @talhiyaibrahim7951 3 роки тому +4

    Allah atawalipeni walimu wetu Wa kiislam haki uislam ni dini ya kweli Allah anijalie nice nikiwa muislam

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 2 роки тому +4

    Allah akuperehema na amani uko ulipo amin

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ 7 місяців тому +1

    Ma shaa allah mungu akurehemu imani petro

  • @maryammo-gd3me
    @maryammo-gd3me 10 місяців тому +1

    Imani petro Allah akurehemu akupe pepo ya firdows

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 2 роки тому +3

    mungu amrehemu ameeeen

  • @hamisimkima117
    @hamisimkima117 2 роки тому +3

    Kaziyake Mola haina Makosa umeenda sheikh wetu Allah akurehemu Sheikh

  • @saidamur5747
    @saidamur5747 Рік тому +2

    Mashaallah

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 Рік тому +1

    Allah akulipe kila laheri amina

  • @kutailadifi2854
    @kutailadifi2854 4 роки тому +2

    Alhamdulillah Allah anifishe ktk dini y hakh din Islam Allahumma Aamiin

  • @talhiyaibrahim7951
    @talhiyaibrahim7951 3 роки тому +3

    Hakuna dini ya haki mbele ya Allah ni uislam na issa ni nabii tuu kam mtume Muhammad saw wala sio mungu

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 роки тому +5

    Toboa Imani petro takbir mpaka ahera Mutume amepigwa mawe pakashuka aya inatuusu sisi tulitoka ukafirini takibiri Imani petro

  • @rashidjumamohamed3437
    @rashidjumamohamed3437 2 роки тому +2

    Tatizo mnakata mada
    Hii ni dhambi dhimaaaa

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 4 роки тому +3

    Allah atupe pepo inshallah tena ya wafirdausi amin sote waislam amin

  • @hamisimuhammad6225
    @hamisimuhammad6225 2 роки тому +2

    Uislam raha jaman

  • @allykeita704
    @allykeita704 3 роки тому +4

    Mmmmmh shikamo waislam napenda watu ambao ni logic tuache uongo waislam wanalogic Sana🙌🙌🙌🙏🙏🙏📿📿📿

  • @istambuliahmedi8203
    @istambuliahmedi8203 2 роки тому +2

    اللهم اغفر له ورحمه واسكنه فى الجنة يارب العالمين انك سميع الدعاء

  • @nassoropongwa8022
    @nassoropongwa8022 4 місяці тому

    Allah akupe Pepo

  • @HusseinAli-fx1ld
    @HusseinAli-fx1ld Рік тому

    Imani Petro Pale ulipo Mungu akurehemu akututie dhambi akuingize peponi

  • @saidamur5747
    @saidamur5747 Рік тому

    Subuhana.kwakweli.nimefurahi.sana.avochambua.bibilia.na.coran.alakuweke.peponi.kaaribu.na.mitume

  • @EmanuelMutunga-wb9nc
    @EmanuelMutunga-wb9nc 4 місяці тому

    Allah amrehemu

  • @NtakirutimanaAlly-v6o
    @NtakirutimanaAlly-v6o 9 місяців тому

    Rahmahullah

  • @nasserm.nasser5087
    @nasserm.nasser5087 2 роки тому +1

    Dini pekee ambayo kitabu chake hakipo ktk lugha ya muanzilishi ni ukristo peke yake. Uislamu umeshushwa arabuni na quran origin ni kiarabu. Kiyahudi ipo ktk lugh yao ya kiyahudi. Uhindu upo kihindi lakini ukristo umeshushwa kwa Yesu ambaye aliongea lafudhi ya kiyahudi lakini vitabu wameviandika kigiriki

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 роки тому +2

    Atamimi nimetoka ukafiri takibiri InshaAllah allah atujaliye pepo waumini

  • @lukmanmfnanga2336
    @lukmanmfnanga2336 2 роки тому +1

    Ufunuo amapewa nabii wa zama za mwisho

  • @jeanmusamba3253
    @jeanmusamba3253 Рік тому +1

    misri wakati huo ahikuwa ya waarabu ilikuwa ni watu weusi sana ikkitwa kemet,anaglaia ushahidi wa kisayansi nje ya pyramid kuna sanamu za watu weusi wanapua pana na ni weusi hii ilipelekea alexander the great alipofika alichukia sana kuona watu weusi wana sayansi kubwa sana aliamuru sanamu hizo zipigwe risasi pua kupoteza ushahidi.kemet maana yake nchi ya watu weusi misri kia asili ni ya waafrika sio waarabu

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 роки тому +1

    Awo makirisu wanapenda maagizoyawanadamu yesu akija watuwatasali kiisilamu wanduguzetuwamoja watakua wameshatanguliyatangua nimusiba misarabayote yesu ataikana itaangushwa cini nimusiba Mungu mwenyewe kasibitisha katika coroan duniya itaisha ikija uisilamu

    • @millionairejeffreysunofbez3766
      @millionairejeffreysunofbez3766 4 роки тому

      Please ..km huwez kuandika usicomment, ...kidogo quran huite corona..🙄🙄😄😄

    • @jeanmuzaliwa9023
      @jeanmuzaliwa9023 Рік тому

      nyie waislamu ndio munafuata maagizo ya wanadamu hushaidi qu'ran 6-101 ayo ni maagizo ya Muhammad si Mungu kasema!

  • @chenzhenlee7633
    @chenzhenlee7633 4 роки тому +4

    Matayo 2:10 uongo Sasa hapa wanawambia Yesu hakuuwawa ndio hawakubahatika Sasa alipotoka Egypt aliuwwa au la?

  • @lukmanmfnanga2336
    @lukmanmfnanga2336 2 роки тому +1

    Ukristo sio dini ni misheni ya wazungu au mpango au dili au tafsiri ya misheni embu tukafanye mishen tupate pesa ndio tafsiri ya ukristo ili tupewe mvinjo msahao dini ya muumbaa

  • @cirimwamibusane8713
    @cirimwamibusane8713 8 місяців тому

    ivio vitabu vyote munasema waislam je munavipata ndani ya kuroan ama ndani ya bibiliya.

  • @chenzhenlee7633
    @chenzhenlee7633 4 роки тому +1

    Ukimsikiriza kwa makini anahubiri Biblia tuu injili itasonga mbele tuu na sio watu wengine Hao Hao ndio wanaiendesha kwa moto kkkk ubarikiwe

    • @Lky589
      @Lky589 3 роки тому

      Tatizo linakuja ktk kufanyia kazi unajikuta unatenda uislamu,,,ndo maana wakristo wengi wanasikiliza maneno ya midomoni mwa wachungaji nakujikuta wanapingana na maandiko yao.

    • @Lky589
      @Lky589 3 роки тому

      Injili yakweli yakwenye BBLIA inafuatwa na WAISLAMU ya maandiko,,,,,wakristo munafuata porojo.

    • @isaacmafole2136
      @isaacmafole2136 3 роки тому

      Sahihi waislamu wanajitekenya na kuchekecha wenyewe

  • @lukmanmfnanga2336
    @lukmanmfnanga2336 2 роки тому +1

    Ufunuo nikitabu cha mwisho kwenye bibilia maana ya ufunuo kwa lugha ya kiarabu ndio Quran

    • @mwassamwassa7264
      @mwassamwassa7264 2 роки тому

      Je maandiko ya ufunuo wa kwenye biblia na ufunuo wa kwenye Koran vinafanana?

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 Рік тому +1

    ua-cam.com/video/5UXoluZxSac/v-deo.html MUINGILIANO KATI YA UISLAM NA UKATOLIKI

  • @chenzhenlee7633
    @chenzhenlee7633 5 років тому +1

    Wa Islam na hakiri kama ya Nguruwe kwa zia 1AL-FAATIH'A mpaka 114 ANNA'S Kuna INJILI au TORATI au ZABURI? 😡 😡 😡 😡 Lakini open The Holy Bible hivi vitabu utavikuta Humo wa Islam okokeni JESUS IS THE WAY, TRUTH AND LIFE njoni nyote kwake

    • @danielmahela2436
      @danielmahela2436 4 роки тому

      Hahaha huyu jamaa anaongea pumba kwa wanaoelewa.anataka kuona neno biblia ndani ya biblia ajui cc tunaamini injili.labda angeomba aoneshwe neno injili ambayo cc wakristo wote duniani ndio mboni yetu ya jicho. biblia sasa ni baada ya injiri zabur na taurati kuwekwa mahali pamoja maana kila kitabu kilikuwa kivyake sasa hivyo vitabu vingine vyote vinasapoti hiv vitabu vitatu Mama ambavyo ni injir zabur na taurati kwa kutoa historia mbali mbali za mitume na manabii hao walio vipokea kwa hiyo vikishawekwa mahali pamoja lazima kiwe na jina hakiwezi baki nyutro sasa ndo kina itwa biblia minafikiri arud tena darasani

    • @yusarjunkhanna4100
      @yusarjunkhanna4100 4 роки тому

      Nyinyi wakristoo mumepotea, wapii yesu akitaka kusaidiwa na nyinyi mukusanye vitabu na museme bibilia

    • @saidsuleiman9018
      @saidsuleiman9018 2 роки тому

      Kwa iyo icho kifo cha yesu kina hisu nini kwetu

  • @chenzhenlee7633
    @chenzhenlee7633 4 роки тому +1

    Zaburi, Taurati, injili vyote utavikuta kwe Biblia kkk Sasa hapa uislamu una nini?

    • @yusarjunkhanna4100
      @yusarjunkhanna4100 4 роки тому

      Kwahivyoo ww ndio uliandika bibilia sio, si uulize hiyo bibilia haihitaji uisaidie, ndio maana bibilia si kitabu cha Mungu

    • @hassannamtyakabacar.309
      @hassannamtyakabacar.309 3 роки тому

      Ndugu hujaelewa swali. Swali ni hili, Biblia ni kitabu cha MUNGU gani na mtume wake nani?

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 роки тому

    So you finish talking giving biblia lakini si qur'una na Jina la yesu Christo apewe sifa kwa kuweka muhuri kuwa MUNGU alitupa Bible.

    • @yusarjunkhanna4100
      @yusarjunkhanna4100 4 роки тому

      Huyo anawaonyesha upotevu wa bibilia ilii mupate kuokoka

    • @janetkahada5206
      @janetkahada5206 4 роки тому

      @@yusarjunkhanna4100 2:43 wala msichanganye kweli na uwongo na mkaificha kweli nanyi manjua. So ukiona wakipiga si eti siyo hawajuwi ukweli. 2:62,Hakika walio Amina, na mayahaudi na wakiristo, na wasabai, yoyote atakaye muamini mwenyewe Mungu na siku ya mwisho na akatenda mema Basi watapata malipwa yao kwa Mola wao mlezi wala hita kuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 роки тому

    Hakuna siku mutatoa andiko kwa qur'una lakini hamujuwi Bible, mara Bible ni ya Israeli lakini kwa kwa kujibu ni hiyo Bible ya Israeli mbona musitumia qur'una kwa kujivunia Bible na hali munakata Bible.

    • @francinensavyimana5601
      @francinensavyimana5601 4 роки тому

      Waisilamu wametumwa kuwaambiya kama mumegeuza maneno mukaondoa ili nakuongeza lile lashetani

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 Рік тому

    ua-cam.com/video/5UXoluZxSac/v-deo.html MUINGILIANO KATI YA UISLAM NA UKATOLIKI