Mdahalo Bibilia maneno ya nani 1 9

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 56

  • @omarjuma5627
    @omarjuma5627 7 років тому +5

    naomba mwenyezimungu asinifishe ilhali nife nikiwa muislam yaa Rabil Alamin

  • @ramamohammed4334
    @ramamohammed4334 6 років тому +3

    yesu si mungu

  • @jabirjeby1757
    @jabirjeby1757 9 років тому +3

    uislam ndo dini ya kwli jaman mkubali mkatae

  • @mr.bokobokofamily6730
    @mr.bokobokofamily6730 8 років тому

    max shimba
    vizuri sana uwende ukasome vizuri...coz bado hujui kitu kabisa
    please usijiite minster
    i think even the bible you don't know well....

  • @maxshimba2075
    @maxshimba2075 9 років тому +1

    QURAN IMEJAA SHAKA NA MASWALI YA KUTATANISHA
    Waislamu wamekuwa na kawaida ya kufanya kila juhudi kuonyesha kwamba Biblia imepotoshwa, ingawaje jambo hilo si kweli hata kidogo.
    Na juhudi hizi zote zinafanywa ili kutaka kuonyesha kwamba Quran ni neno la Mungu la kweli ambalo halijapotoshwa hata kidogo. Basi mimi naomba mnisaidie majibu ya maswali haya machache kati ya mengi:
    1. Sura 54:19 inasema kuwa mji wa Aad uliharibiwa kwa siku moja na sura 69:6,7 inasema kuwa uliharibiwa kwa 'usiku' sita na siku nane (seven nights and eight days). Hapo kuna mkanganyiko au la?
    2. Sura 19:17 inaonyesha kuwa malaika alimtokea Mariamu lakini sura 3:42 inasema walikuwa malaika wengi.
    3. Sura 28:40 inasema kuwa farao alizama na kufia kwenye maji lakini sura 10:92 inasema kuwa farao huyo alipona.
    4. Sura 18:86 inasema kuwa jua huzama kwenye chemchemi ya maji yenye tope. Unadhani hii ni sahihi. Jua lina joto la zaidi ya nyuzijoto 6000 kwenye uso wake. Lakini maji yakifika nyuzijoto 100 yanageuka mvuke. Je, maji yanayotajwa kwenye sura hii ni maji gani? Unadhani ni Mungu aliyeumba jua na maji ndiye anayesema haya?
    5. Sura 15:19 inasema kuwa dunia ni bapa kama meza (flat). Kama Mungu ndiye aliumba dunia na ndiye alileta Quran, anaweza kusema jambo kama hili?
    6. Sura 86:6,7 inasema kuwa manii ya mwanamume hutokea kati ya uti wa mgongo na mbavu. Hii ni sayansi ya wapi? Ni kutoka kwa Mungu aliyeumba wa mbingu na nchi na uti wa mgongo na mbavu kweli? Kama haitoki kwa Mungu basi hata kitabu chenyewe nacho hakitoki kwa Mungu, au siyo?
    7. Sura 19:27,28 inasema kuwa Mariamu alikuwa ni dada wa Haruni. Lakini tangu Haruni aishi ilipita miaka 1300 ndipo alipozaliwa Mariamu. Ni Mungu gani basi anayeweza kusema maneno kama haya?
    8. Sura 28:8 inasema kuwa farao na Hamani waliishi wakati mmoja na mahali pamoja. Lakini historia iko wazi kwamba kuna tofauti ya miaka takribani 1000 kati ya watu hawa. Vilevile, farao aliishi Misri wakati Hamani aliishi Uajemi kwenye ngome iliyoitwa Shushani.
    Huu ni Msiba Mkubwa sana katika Uislam
    Max Shimba Ministries Org

    • @mr.bokobokofamily6730
      @mr.bokobokofamily6730 8 років тому

      try again

    • @masseanadir2904
      @masseanadir2904 7 років тому

      kafir huna unachokijua we subiri moto tu.

    • @rugemarashid3019
      @rugemarashid3019 6 років тому

      sijaona utofauti kati ya aya ulizo toa sana tu elimu yako inashaka ukizisoma aya ulizo toa vizuri na mafuumu yake utajua Ila ongozwa na 2:2quran

    • @user-gn3cx2fq1q
      @user-gn3cx2fq1q 6 років тому

      Copy and pesti

    • @zachariabin5400
      @zachariabin5400 5 років тому

      Huuu msiba we max simba hujasoma hata kidogo Mimi nimepitia comment zako zote zinaonesha ww ni mshndani tu kwa ubishi ila mi nitakusaidia kwa sura ya 86:6,7 hii inaonesha uvivu kusoma au hukusoma kabsa na ndio maana Quran aya za mwanzo kuteremshwa zinasisitiza kusoma....Quran iliposema maji hayo yanatoka baina ya uti wa mgongo kwa mwanaume na mbavu kwa mwanamke ungeuliza kweny uti wa ugongo kuna nini rudi shule brother kwnye uti wa mgongo kuna Nevers system zote 12 ambazo ugumo wa hisia hufloo humo..pia kuna cerebral spinal fluid special fluid ambyo huzui brain from knock ...na ndio maana huwezi kuta tahira(chizi) wa kiume anaweza kuzalisha kwann kwa kuwa kuna abnormal floor of this fluid tuulize sisi madaktar sio kutoa kwa maoni yako...na kwani Allah akasema mbavu kwa mwanamke coz kuna special muscles zilizo unda ovary asili yange mi muscles(misuli) ya mbavu ni darasa pana sana muda hautoshi ila jua hvyo asilalamike hapa kasome vizur au waulize wanaojua

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 8 років тому

    omari mohamedi .hawa watu biblia yao imesema ni kuni za motoni. achana nao .hawana hoja hata mmoja.waache wampe binaadam mwenzao uungu.wataenda kukiona cha mtema kuni.ndo maana 56:10yeremia na kuendelea imewaeleza vizuri sana mimi binafs sina shaka nao.

  • @umayrasaid7808
    @umayrasaid7808 11 років тому +2

    hoja yako haina mashiko.ktk uislamu tunahimizwa kusoma na kulingania watu kutoka katika upotovu na kuwapeleka katika uongofu. Njia moja ya kuwaongoa waliopetea ni kusoma na kujua wapi wamekosea na ndio maana waislamu wengi wanasoma biblia na vitabu vyengine ili kuwasaidia walipotea kwa kujua udhaifu wao uko wapi na kuwadhirishia ukweli...sasa na nyinyi wakristo kwanini hamsomi vitabu vyengine mkaujua ukweli au kujua udhaifu wa vitabu vyengine na muwavute waumini wake ktk ukristo?

  • @kipchumbanicolus5931
    @kipchumbanicolus5931 6 років тому

    Matendo ya Mitume 19:37 soma kuanzia nyuma mstari wa 30 upate kujua anyeongelewa ni Diana aliyekuwa kiungu wa Efeso wala si Mungu muumba was mbingu na nchi. Tafadhali someni kuelewa si tu kuongozwa na upumbavu

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 років тому

    Dunia inakashangaa haka kamjamaa maana kanawapinga mitume wote na kutukuza mtume wa lusifa

  • @gacewa
    @gacewa 11 років тому

    kusudi lenu kuchambua bibilia ni kutafuta ukweli uko wapi. yaonekana mnashuku imani yenu ndio sababu mnageukia bibilia. naomba Yesu Kristo awaangazie nyie ndugu na dada zetu waislamu

    • @samakimwenyekiundaniyamaji8885
      @samakimwenyekiundaniyamaji8885 7 років тому +1

      wemjinga kweli

    • @mathiasmichael9929
      @mathiasmichael9929 6 років тому

      kama nyie mnajifanya mnamtumikia mungu ni kwanini nchi nyingi za kiislamu haziishi vita. je ? munamtumikia mungu gani kwa kuona kwamba ukimuua mtu utairidhi mbingu. hakika mpaka dakika ya mwisho ndo mtahuona ukweli ulipo.

    • @rskiabdala4868
      @rskiabdala4868 6 років тому

      mathias michael Zanzibar ni nchi ya kiislam vp kuna Vita?

    • @wacmber2131
      @wacmber2131 5 років тому

      @@mathiasmichael9929 vita vyao havituhusu wala havihusiani na dini so unachokiongelea hapa wala hakuna mshiko

    • @wacmber2131
      @wacmber2131 5 років тому +1

      Tunawahurumia maana mnapotea hakuna mwenye shauku na chochote maana uislam unaudhibitisho wa kila kitu so hakuna swali ndani ya uislam linakosa jibu na mfano pia ukitaka utapata na ndio maana MTU kutoka kwenye uislam ni ngumu coz yuajua kile anachokiabudu

  • @jacksonshem4787
    @jacksonshem4787 5 років тому

    aminaaaa kumbe waislam wanajua kua torat injili ndo vitab vya kwanza sasa mbona hawavitumii wao bwana yesu asiwe kweli

    • @wacmber2131
      @wacmber2131 5 років тому

      Hivyo vitabu ni sawa na katiba hivyo basi katiba ya Tanzania haiwezi tumika Kenya wala Uganda hope umenielewa

    • @mukrimmohd8954
      @mukrimmohd8954 2 роки тому

      Tunafata latest version

    • @mukrimmohd8954
      @mukrimmohd8954 2 роки тому

      Half ni taurat na injili sio bibilia

  • @gacewa
    @gacewa 11 років тому +1

    Mark 4:12 so that, "'they may be ever seeing but never perceiving, and ever hearing but never understanding; otherwise they might turn and be forgiven!'"

    • @kassimkhamis2988
      @kassimkhamis2988 7 років тому

      Cjapata kuona wagonjwa waakili kama wakristo

    • @sokakilumbi9293
      @sokakilumbi9293 7 років тому

      Kweli hawa wa kiristo baadhi yao wagonjwa maana hata waambiwe nini hawa amini na hii inatokana nawao kuwa mashabiki wa dini ndio mana wagumu kuelewa.

    • @officialsaddmfalme5381
      @officialsaddmfalme5381 3 роки тому

      Nyinyi wagonjwa sanah wakristo

  • @hadijashafiimohamed4749
    @hadijashafiimohamed4749 6 років тому

    Hata hvyo wote wakiijua kwel jehanamu nan ataenda

  • @mahreztz7515
    @mahreztz7515 4 роки тому

    Bibilia ni sawa na kitab km kitab cha physics,chemistry,history Form one

  • @fredymyco9359
    @fredymyco9359 7 років тому

    jaman huwa napata wakati mgumu kumvumilia MTU anayesema habar za biblia na huku hajui biblia tafsr zitolewazo ni za kipumbavu kabsa,

  • @fredymyco9359
    @fredymyco9359 7 років тому

    cha ajabu ni kwamba biblia zilichomwa moto ktk hzo nyakati za biblia, ktk zama za giza 300-1700 utawala wa rumi na kanisa lake roman Catholic RC biblia nyingi zilichomwa pia na wale ote waliokuwa wanakataa mafundisho ya Kanisa LA RC waliangamizwa,, ktk makumbusho israel utakuta magombo ya biblia yaliyogundulika yakiwa ktk bahar ya chumvi,, Biblia imebaki vilevile tangu zama za nabii musa mpaka leo, changamoto ake ni tafsr toka kihebrania kwenda lugha nyingne,, wakati fulan huwa kunatokea makosa,, biblia ni ile ile toka zaman mpaka Leo,, tafadhar msipotoshe umma

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 роки тому

      Sawa kama bibilia ilikuju kwa lugha ya kiibrania alipew nabii gani muibrania kuwaletea wakristo na yesu akawambia muitumie ili I we muongozo wenu

  • @ramamohammed4334
    @ramamohammed4334 6 років тому

    ukiristo c dini ni ukafiri

  • @nancywamalwa6180
    @nancywamalwa6180 9 років тому

    The greatest enemy of islam is knowledge while the biggest friend of islam is ignorance,yani fahamu au pata ukweli lakni puuza,its ok for 'ur own regrets,siku yaja ambayo mtadhibitisha mambo haya kweli,lakni muda utakuwa umekwisha ole wenu,surely many wil gnash their teeth,Lord have mercy on mankind.

    • @mustaphamtombo5270
      @mustaphamtombo5270 9 років тому +1

      Usiwe mshabik ktk dn usitumie kingereza kijfanya msom kwan wapo maprofesa walio ukiri uislam na kusilim.tafit mengi,utajua ukweli dada.mm nahc ww n shabk wa dn si mtaft.

    • @wacmber2131
      @wacmber2131 5 років тому

      I assure you huyo yesu mwenyewe mnaemsubiri akija atawakana maana mnayoyafanya siyo alowafundisha

  • @westonmbuba6421
    @westonmbuba6421 5 років тому

    haka kajitu kaongo sijapata kuona. hakaijui Biblia kabisa. kanapindisha vifungu vya Bublia ni hatari.

  • @ubarikiwenabwanawamajeshiq5861
    @ubarikiwenabwanawamajeshiq5861 6 років тому

    hii ndio roho ya mpinga kirsto

  • @mahsenmohammed4234
    @mahsenmohammed4234 8 років тому +1

    wewe Max shimba mnafiik mkubwaa...huwezi kuelewa Quran si maneno ya porojo kama Bibulous

    • @evalineakuku590
      @evalineakuku590 5 років тому

      Quran si kitabu cha mungu kinatumiwa nawaganga

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 8 років тому

    yaani nikisikia Allah anatukanwa nahisi kupasuka .nyie makafiri nyie Wallah mtaenda kujuta

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 8 років тому +1

    wewe nancy wamalwa ,, huna lolote unamlalamikia nani aliyekutuma uwe mkiristo.sasa sikia nikwambie kwa taarifa yako yesu wewe hakujui wala hakutambui.yesu ni kiumbe aliyeumbwa na Allah Subhanah wataala. alimleta duniani kama Mtume .sasa nyie naupofu wenu kama ilivyowaeleza biblia yenu ndo mnampa yesu Uungu.mnajidanganya.

  • @omarjuma5627
    @omarjuma5627 7 років тому +2

    naomba mwenyezimungu asinifishe ilhali nife nikiwa muislam yaa Rabil Alamin