Quick Rocka Feat Joh Makini - BEMBELEZA (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 359

  • @AnnmarieCoacher-zx9lr
    @AnnmarieCoacher-zx9lr 6 місяців тому +12

    Hii nyimbo angeimba kama Diamond au kiba au ingetoka kipindi hiki ingekuwa balaa asee WIMBO mtamu huu ❤❤❤🙌🙌

  • @merytimothy5389
    @merytimothy5389 4 роки тому +30

    Daahh....ii ngoma uwe chumbani AF Kuna mvua ya wastan kwene sabufa daaah... Hatar quick rock

  • @kassammwalo5663
    @kassammwalo5663 4 роки тому +92

    All the way from 254 pls ndugu zangu Wa Tanzania 🇹🇿 nipeni likes za goma kali twende sawa nawapenda sana ndugu zangu Wa tz ❤❤❤

  • @getrudeelibarik1739
    @getrudeelibarik1739 4 роки тому +25

    Switcher baba...umejua kuniweza na haka kawimbo...asante kwa kichupa nimesubiri muda mrefu sana aisee...

  • @sixbertkigomakwetu7742
    @sixbertkigomakwetu7742 4 роки тому +56

    Nipeni like za switcher baba

  • @keziamdem9780
    @keziamdem9780 4 роки тому +10

    Mwenzenu nasisinzia nyimbo tamu .....ohhh nasikia raha nikiwa nawee......😘😘💋 Inanifanya nim mc mpenz wangu

  • @saidikambitz9127
    @saidikambitz9127 4 роки тому +12

    Nyimbo nzuri Sana hii
    Makini yupo Makini siku zote

  • @jadalovedagold3149
    @jadalovedagold3149 4 роки тому +59

    this song makes me feel like am resting in Paradise💓💗💖

  • @deboradaniel6365
    @deboradaniel6365 4 роки тому +11

    Jmn me uyu Kaka quick nampenda Sana daaaah sijui ata nitamwonaga lini jmn mwenzenu nateseka mie😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @scholarmsaki6028
    @scholarmsaki6028 3 роки тому +2

    Nitakupenda Leo kesho baby even more Nani kaisikia hiyo

  • @ismailjohn6108
    @ismailjohn6108 4 роки тому +13

    Ngomaa kalii asee tuache music unene na masikioo

  • @balolamasala2736
    @balolamasala2736 4 роки тому +8

    Alivo gentleman then na sauti ya nibembeleze tena😍😍

  • @saurysaury7746
    @saurysaury7746 4 роки тому +9

    we proud of yu nasma kaz nzur
    babati to the next level

  • @halimajabiri6187
    @halimajabiri6187 4 роки тому +5

    💋Am so proud kwako quick jomon maana nyimbo inanifanyaa nifikilie mbali Sana 💓💓💓💓💓

  • @pendondossy4181
    @pendondossy4181 3 роки тому +1

    Wimbo autumiii nguvu kucheza ooooohhhh tqmu

  • @dicksonmadembwemadembwe6753
    @dicksonmadembwemadembwe6753 4 роки тому +9

    Aisee switcher utatoa nyimbo kali za mapenzi nyingi ila mi My baby ft mgwair itabaki kileleni juu kama mawingu

  • @salumjumah5648
    @salumjumah5648 4 роки тому +7

    Switch baba nyimbo ya kikubwa hii yakuchukulia jiko

  • @malvinsmario
    @malvinsmario 4 роки тому +16

    IPROUND YU ROCKA @MYLOVE IS SPECIAL MY LOVE ........PURE IWLL LOVE
    &BEMBELEZE ALWAYS FROM JORDAN THS TUNE IS.....

  • @allyabdallah692
    @allyabdallah692 4 роки тому +1

    Yaan hawa jamaa sijui kwanini wamekutana maaana washafanya balaa sasa huku mtaani kila nyumba wanabembelezana hata nyumba wanayokaa wanaume tupu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @DirHassan
    @DirHassan 4 роки тому +26

    254 this tune izza boom killer !! Like za mkongwe na rocka wapi jamani

  • @AidanSaimon
    @AidanSaimon 5 місяців тому +1

    Haiwezi pita cku cijaskliza hii ngoma ❤👊👊

  • @eliapendaizack2362
    @eliapendaizack2362 4 роки тому +30

    King joh respect broow

  • @izackchristopher3118
    @izackchristopher3118 4 роки тому +2

    Mzee sasa hizi si ndo nyimbo za level za dunia ila swtchr we ni level nyingine ani zaidi ya rapa

  • @calvinmalulu6935
    @calvinmalulu6935 4 роки тому +17

    quick the switcher.
    . respect

  • @deboradaniel6365
    @deboradaniel6365 4 роки тому +2

    Nakupenda 😘 😘 na nitakupenda daimaaaaaaaaaa😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @abdulkarim242
    @abdulkarim242 4 роки тому +2

    Joh makin anajua kubadilika kimziki

  • @janethraymond6031
    @janethraymond6031 4 роки тому +6

    Wakina rasi juuuu...
    . like kwao jamani

  • @mademamasano8734
    @mademamasano8734 2 роки тому +2

    Nasikia raha nikiwa nawe you are my specia

  • @sirlystar
    @sirlystar 4 роки тому +7

    Wow!!
    That's how we complete de Valentine

  • @felisterselis5115
    @felisterselis5115 4 роки тому +1

    Much love Rocka nice song kweli unabembeleza

  • @abdulshamte
    @abdulshamte 4 роки тому +10

    Chorus is so amazing

  • @ahmedtwalib2365
    @ahmedtwalib2365 3 роки тому +1

    Bonge la ngoma daaaah

  • @dazedconfused5594
    @dazedconfused5594 4 роки тому +7

    "MPAKA SIKU YA MWISHO, MAYBE EVEN MORE"

  • @xtreemtoto9383
    @xtreemtoto9383 4 роки тому +1

    Nitakupenda leo kesho mpaka pumzi yangu ya mwisho😍

  • @faustinefrancisco3014
    @faustinefrancisco3014 4 роки тому

    Daaa hii ngoma imenipa dem... mkali kishenz.... big up muhun

  • @wardamwarami4789
    @wardamwarami4789 4 роки тому +44

    Sasa hapo utoe remix moja matata ndani mwana Fa, mimi mars, young lunya, ww mwenyewe, warawara na joh asee🙌🏾 gonga like kama umekubali

  • @dazedconfused5594
    @dazedconfused5594 4 роки тому +16

    that intro by Joh 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mocomoco1836
    @mocomoco1836 4 роки тому +1

    Hiii ngoma angechana ingependeza saana imepooza baada ya kuimba

    • @danielsifael7493
      @danielsifael7493 4 роки тому

      Kweli... Apo kati na mwisho wangachana tena... Ingekua kali sana

  • @ndeumc3189
    @ndeumc3189 3 роки тому

    Hii ngoma mmeuaaa,,Kali xanaaa its ndeu johmakini fans

  • @khassanallybashary1612
    @khassanallybashary1612 4 роки тому +4

    Ivi wanao dislike goma Kama ili wanakuwaga na reason gan wooow this jam is crazy 🏝️🏝️🏝️🏝️

  • @vsigncoolman3062
    @vsigncoolman3062 4 роки тому +3

    Asante Bro Quick kwa dedication haaaaaahhhh Upendo!/

  • @joycemlata3882
    @joycemlata3882 4 роки тому

    Nasikia raha nikiwa nawe ,daaa love this song so so much

  • @swalehemkwango9518
    @swalehemkwango9518 4 роки тому

    Number one Tanzania nzima kiakili kimzki kimuonekano wataelewa tuu

  • @michaelemanuel2528
    @michaelemanuel2528 4 роки тому +1

    Switch nakubal #mbeya boy

  • @bonifacejuma8248
    @bonifacejuma8248 4 роки тому +1

    Ngoma 🔥🔥🔥🔥ya kuskiliza ukiwa mageton

  • @EdithaShany
    @EdithaShany Рік тому

    Nyimbo tamu sanaa❤❤❤❤❤❤

  • @vjmtv1311
    @vjmtv1311 4 роки тому +13

    Legends all time

  • @fatmafetty4117
    @fatmafetty4117 4 роки тому +1

    😍😍😍😍 🤗🤗🤗🤗Nyimbo tamu Jamani hii ❤️❤️

  • @tenten921
    @tenten921 4 роки тому

    Niko IRAN naskiliza
    Slow song,hii nyimbo ni kali kinomaaa

  • @hafswahussein6584
    @hafswahussein6584 3 роки тому

    nimekupenda Robat wa kapuni sauti yaku ni meipenda san 💞💞💞

  • @bevanny9389
    @bevanny9389 4 роки тому

    Bro hiii ngoma umeua sana YAANI NI fire fire,,,kaka NAOMBA unisaidie NAMBA yako nataka tuwasilisne KUNA kitu nataka niongee nawe kaka nakuomba

  • @kidunapoletano3118
    @kidunapoletano3118 4 роки тому

    Quick weeeeeee ni nomaaa mzee babaaa ngoma imetulia xana

  • @ajayejingakweliiwwwimbe5903
    @ajayejingakweliiwwwimbe5903 4 роки тому

    Asantee kwa wimbo mzuri quick racka

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 4 роки тому +4

    U guys did great .. thatz superior sounds

  • @deboraelias1212
    @deboraelias1212 3 роки тому

    Nackia raah nikiwe na ww😚😚🙌🙌👴💓💓💖

  • @abdizboss127
    @abdizboss127 4 роки тому

    Ngoma kaliii sana haichoshi kuskiliza..SWITCHER

  • @greysonsimba5366
    @greysonsimba5366 3 роки тому

    Aaah namkubali sana huyo video vixen Nana dolls

  • @Mariamstanly-rp2th
    @Mariamstanly-rp2th 9 місяців тому +1

    Nasikiliza 2024

  • @emmanuelsabuhoro3265
    @emmanuelsabuhoro3265 4 роки тому +1

    Kiukweli hili li kideo nimelisubiri sana mazee

  • @jussesalum287
    @jussesalum287 4 роки тому +1

    Switch baba nakubali

  • @reallygreat1505
    @reallygreat1505 4 роки тому +5

    This song is underrated ❤️ this is a Beautiful song

  • @Prettyloner_Z
    @Prettyloner_Z 4 роки тому +1

    Unakuta hits kali kaa hizi azipewi airtime ya kutosha buh all in all we keep the good music alive🔥💪

  • @kedyjohn1848
    @kedyjohn1848 4 роки тому +10

    This so great... perfect one.

  • @castooscarsanga5866
    @castooscarsanga5866 4 роки тому +1

    Yaaah John nimekubali

  • @davidjoseph9776
    @davidjoseph9776 4 роки тому +3

    Switch / quick Rocka u killed it bro🙌🏻🙌🏻

  • @sandykimmaster7977
    @sandykimmaster7977 Рік тому

    I can sing word to word to this one 🤩😍🥰🥰🥰 love love love

  • @mdundotv4501
    @mdundotv4501 Рік тому

    Switcher Ungekua unatoa mawe ya hivi utatupata matajiri saaana. Achana na Hip Hop

  • @matswelopelemphela9676
    @matswelopelemphela9676 3 роки тому

    Yehaaaa nikiwa nawe

  • @jacksonmtambila8063
    @jacksonmtambila8063 4 роки тому +1

    Eeeeh!! bhana weeee!!! umetisha Sanaa Yan Kma 2po Mawingun Nkubali bro!!!

  • @HusnaHaji-r2q
    @HusnaHaji-r2q 7 місяців тому +1

    The song is so sweet 😍😍😍 ❤️‍🔥👍

  • @raychai2621
    @raychai2621 Рік тому

    Wale tuko uku sai tujuane in love with song❤

  • @hatibuathuman1178
    @hatibuathuman1178 4 роки тому

    Legend nakubali sana weee ndingiii unajua mpka unaboa

  • @maulidyomary7104
    @maulidyomary7104 4 роки тому +1

    Ngoma kali sana bro umerudi kivingine 🔥🔥

  • @NabilMohamed-fb1fv
    @NabilMohamed-fb1fv Рік тому

    Mann alotta works.....maaaann this a banger....

  • @mkongwemwasi4581
    @mkongwemwasi4581 4 роки тому +1

    Oyi joo ikitu ni dawa yao wambie watapona,tulimiss sana izi mambo bhana.

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 2 роки тому +1

    Here today

  • @hezronngulwa9250
    @hezronngulwa9250 Рік тому

    Oh my gosh this is so amazing i cant hold my tears

  • @Pandumasoftware
    @Pandumasoftware 4 роки тому

    #switch_baba quick rackka noma sana hii ngoma ilishawahi nipatia demu baada ya kumtumia hili song mzee! Sitakaa nilisahau mzee Kali sana.

  • @Jizams
    @Jizams 4 роки тому

    Video ya kikubwa sana,
    I like it

  • @franceya9345
    @franceya9345 4 роки тому

    meeeeen! I'm hear yooo broo# switch babaa#joh#sweet melody#sweet vocal#Gud music.....definitely u catch ma attention..bad boy kill it.

  • @mamaeliamam2629
    @mamaeliamam2629 4 роки тому +1

    SMG respect much. SWITCHER BABA

  • @zachariamhere2031
    @zachariamhere2031 3 роки тому +1

    Big up broo 💪

  • @jeromegerald5524
    @jeromegerald5524 3 роки тому

    Isee Ngoma Qall Kinomaaa

  • @aishayahya7687
    @aishayahya7687 4 роки тому +1

    Iseee kali sana

  • @joshuamweta6551
    @joshuamweta6551 4 роки тому +1

    Muhuni akiimba goma la mapenzi ulikuwa balaaa

  • @savagelil3249
    @savagelil3249 4 роки тому

    Nakubali sana brother quick rocker

  • @magrethchale1688
    @magrethchale1688 4 роки тому +1

    Aweweee kichupa matata dad!

  • @fhafidh
    @fhafidh 4 роки тому

    Mpaka Pumzi ya Mwisho 🔥🔥🔥This kitu ni banger ya kusikiliza ukiwa alone alone...

  • @daudgodfrey6676
    @daudgodfrey6676 4 роки тому

    Sawa kabisa

  • @MurkellTV
    @MurkellTV 3 роки тому +4

    Fall in love with song each time I play it ❣❣❣

  • @ismailiamblosi2681
    @ismailiamblosi2681 2 роки тому

    Dah kilanikisikiriza hi ngoma namkumbuka roida wangu popote alipo coz tulikua tunaimbiana memmic sana wimbo balaa💥💥💥🔥🔥👊

  • @pendondossy4181
    @pendondossy4181 3 роки тому +1

    Kawimbo katamuuu

  • @consolathmamuku2414
    @consolathmamuku2414 3 роки тому

    Oh oh naskia raha nikiwa nawe

  • @sophiasamson5841
    @sophiasamson5841 3 роки тому

    Jaman nyimbo tamu adi nimemkumbuka mpenzi wangu

  • @salmahamiss9223
    @salmahamiss9223 2 роки тому +1

    Nana dols punguza mwili jaman

  • @jescangabo3175
    @jescangabo3175 4 роки тому

    Quick Rocka hukoseagi❤️❤️❤️❤️💕💕💕💕💕💕💕

  • @nyakarunguluka9279
    @nyakarunguluka9279 4 роки тому +3

    Waiting so long nice🤗🤗🤗🎵🎵🎵

  • @SalehAhmed-ic3pf
    @SalehAhmed-ic3pf 4 роки тому

    Nyimbo nzuri sana

  • @omaryntagala3740
    @omaryntagala3740 4 роки тому

    Nyimbo Kali ilistahili kuwa hata ya mwaka ya mapenzi maana daar

  • @esperanceanzuruni1037
    @esperanceanzuruni1037 3 роки тому +1

    Rock belle music ✊✊