Mzee wa Upako Akitishia Kumuua Jirani yake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2016

КОМЕНТАРІ • 160

  • @neemandowo1503
    @neemandowo1503 7 років тому +5

    Wote tumepungukiwa na Utukufu wa Mungu Kristo Yesu mrehemu mtumishi wako wala adui asipate nafasi katika hili katika jina la Yesu Amen

  • @johnyty498
    @johnyty498 7 років тому +5

    Baba ungeuwa tu, mimi nakusapoti haiwezekan sadaka tunapata za kutosha afu tunanywea pombe tunalewa vizuri afu tusiue watu, mwaka huu lazima tuue na wengine zaidi sisi sio fremason ila waua watu, haleluyaaaaaaa......

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 років тому +2

    hahahahahaha mzee wa upako ndo huyu anashambulia kweli loo!. pole baba wa upako yesu anakuona.

  • @barakamatovu823
    @barakamatovu823 7 років тому

    Aise kazi tunayo kwa kweli. Mchungaji km huyo mwenye jina kubwa Tanzania kumbe anafanya Upuuzi?

  • @aibonkinya2817
    @aibonkinya2817 6 років тому

    Huyo sio mtumishi wa mungu angalia sai ame muanza alkiba

  • @heaven.love.foundation
    @heaven.love.foundation 7 років тому

    Tangulini mchungaji ukawa unaishi maisha ya ucelebrity kama msanii..... wachungaji wengi wanaenenda kwa mfano wa dunia hii kutafuta umaarufu.... sijawahi kusoma andiko Yesu akitoa pepo au akiponya wagonjwa kwa kupiga story na majini , lakini Leo hii makanisa mengi wanapuga (kuyauliza mashetani ili watu wasikie story) pepo ambacho ni kinyume na maandiko, hapo ndugu yangu unatengenezewa kuwa na imani kwa mwanadamu kwa ushuhuda wa pepo wachafu... simple lesson ni hivi ukishaona mashetani yameongea ukaona yamesema ukweli inakupelekea MTU kuamini kuwa mchungaji ananguvu za Mungu wakati kimsing sio neno la Mungu limekufanya kumuamini Mungu... yaani Mungu atupe Maarifa. Yesu alikuwa akiwanyamazisha mapepo machafu yaani hayaruhusiwi kuongea hata kidogo ni yanapewa amri ya kutawanyika tu no stories

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 2 роки тому

    Huyu mzee anataka kufa ameshamdanganya mungu na watu wengi laana sinamrudia.

  • @williamkishiva8163
    @williamkishiva8163 7 років тому +2

    Analewea hela za masikini alizozibeba kutoka mifukoni mwa masikini wakidhani wanamtolea Mungu

  • @mako331
    @mako331 7 років тому +12

    kwani leo ndio mnawajua hawa wachungaji wanajipatia majina makubwa makubwa ni wahuni kabisa, mtawajua kwa matendo yao, shida siku hizi tunaangalia miujiza na mingi hiyo ni maigizo, hata shetani anafanya miujiza kwa kutumia jina la Yesu, wakristo amkeni turudi kwenye maandiko matapeli ni wengi

  • @tinajoe4
    @tinajoe4 7 років тому +1

    unajua huyo nae ni binadamu Na aweza Fanya kitu chochote kile make yy sio malaika,ulevi sio dhambi ila matokeo yake ndo dhambi

  • @janewacera7812
    @janewacera7812 7 років тому +3

    Kweli Siku za mwisho ndizo hizi

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 роки тому

    Kutoka uokoaji/uokozi Hadi uuaji !!!!😎😎😎😎😎

  • @neemamwanga7300
    @neemamwanga7300 7 років тому

    we mungu tusaidie

  • @frankdickson9880
    @frankdickson9880 7 років тому +4

    JEOVA endelea kuwafichua mbwa mwitu kat ya kund la kondoo Amen

  • @musalucas3201
    @musalucas3201 7 років тому +1

    Mimi nina wasiwasi juu ya ndugu yangu aliyeandaa taarifa hii ambapo hajaongea jambo lolote kuhusu upande wa pili. Hapa anaongea kuhusu mchungaji peke yake, jambo ambalo linaonekana dhahili kuwa story yake inaegemea upande mmoja. Jambo lingine ni kwamba, mtumishi wa Mungu ni binadamu naye anazo hisia za kibinadamu; kama vile uchungu, maumivu, hasira nk. Na mwisho, hata watummishi wa Mungu waliotangulia, kama Musa, Daudi nk walishawahi kuonyesha hasira zao dhahili juu watu waliowaudhi; hata Yesu alishacharaza watu kwa viboko kwa maudhi ya kibinadamu. Hivyo Mtumishi wa Mungu akikasirika kuna jambo baya katendewa, na hilo ndilo linalopaswa kushughulikiwa.

  • @onesmomwacha1592
    @onesmomwacha1592 7 років тому +1

    Msikurupuke maana hamjui huyo jirani amekuwa kero kiasi gani kwake kuna watu wanashombo huwezi kuwavumilia hata ungekuwa malaika

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 7 років тому +2

    Me siwezi kushangaa cause najua hana muongozo wa Mungu wa haki. Allah

  • @advelahezroni1613
    @advelahezroni1613 5 років тому

    ukiona mambo hayo yanatokea kazana kumtumikia mungu na kutubu yesu anakuja karibuni hao ni manabii Wa uongo na wamesha teka wengi

  • @youngfrava7308
    @youngfrava7308 7 років тому +6

    ukiona mambo kamahaya yanatokea ujue mwana wa mungu yu njiani kuja

    • @sharounkhamis7128
      @sharounkhamis7128 7 років тому +1

      young frava ! yupo Chalinze au😂😂😂😂

    • @youngfrava7308
      @youngfrava7308 7 років тому

      +Sharoun Khamis yupo kimara kashapita chalinze muda tu

  • @vedamamas7684
    @vedamamas7684 7 років тому

    jaman tukumbuke yeye pia ni mwanadamu hvyo kukosea ni kitu cha kawaida cha msing ni kumuombea tu!!jiulizien juu ya Saudi MTU Wa Mungu aliye lala na make Wa MTU!!lakn bado Mungu akawa nae

  • @aagdf1420
    @aagdf1420 7 років тому +1

    mkamilifu.ni.mungu.peke yake

  • @fafi9092
    @fafi9092 7 років тому +2

    Ukiwa mnafk lazma ipo cku tu utazalilika kabda ujafa

  • @miriamabinery2085
    @miriamabinery2085 7 років тому

    mungu baba atusamehe na kutuhurumia sana,ni wanadamu tunamapungufu.

  • @waziriselemani5773
    @waziriselemani5773 7 років тому

    tatizo sio wachungaji tatizo ni nyie waumini wake hamjitambui. wachungaji wanajua wanachokifanya na wanaujua ukweli. wanachoangalia ni dunia lkn Mbele ya mungu wanajua kua hawana chao.

  • @janinnekaneza8780
    @janinnekaneza8780 7 років тому

    Eee mungu baba dusayidie

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому

    Mlevi haswa huyo kvant kwa wingi

  • @salimatuyahhaya5772
    @salimatuyahhaya5772 7 років тому +3

    Mimi sishangai hata kidunchuuu

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 6 років тому

    Mnamkumbuka Yule Mwanadada Mwandishi Aliyevujisha Habari Hii? Kiuhalisi Ni Mwanafunzi wa Kike aliyekuwa na Lusekelo Usiku Kucha! Lakini Akamruka Baada ya Kuona Mlevi wa Upako atamwaibisha hivyo akawahi Kutoa her Narative! Leo huyu Ndio wa Kumkosoa Kakobe kwa Kupinga Utawala wa Hila na Kihalifu? ajabu sana!

  • @hatibumussa3168
    @hatibumussa3168 7 років тому +1

    Pesa hainaadabu laana za mungu rudini kwa mungu wenu kaani chini mfikir niwapi mmkosea

  • @emmanuelfwillo6721
    @emmanuelfwillo6721 7 років тому +1

    ndio maana mimi nina dini yangu ya mababu. hawa wachungaji waongo tu. wanatumia njia ya kututia hofu, kutuogofya, kutudanganya ili kutuibia hela zetu. wao wanakuwa matajiri huku sisi tukijazwa matumaini ya uongo

  • @thedextazlab
    @thedextazlab 7 років тому +2

    Huyu mzugaji anayejiita mchungaji sishangai sana kuhusu pombe maana miaka mingi nyuma akiwa ndio ameanza kuvuma nimeshawahi kumuona mara kadhaa Coco beach akiwa amevalia kofia kubwa kama ya cowboy, amekaa akinywa chupa yake ya wine huku akishangaa uumbaji.

  • @juniourmwaisumo8315
    @juniourmwaisumo8315 7 років тому

    hakuna kilichobora kwa Mungu chini ya jua kila mwanadamu na siku yake eidha ya kusimama au kuanguka. na kila mtu atafakari matendo yake na Mungu wake, kwasababu hakuna dini iliyobora isipokuwa matendo yako binafsi. mchungaji au kiongozi yeyote wa dini ni lifti tu ya kukunyanyua kiroho

  • @judithemanuel4272
    @judithemanuel4272 7 років тому +1

    Hivi.watu sijui hawaonagi.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 роки тому

    Kwamnaodhani hii ni ajabu someni Wakorinto wa Kwanza 6-9 ...... Sanamu sio issue ktk imani .

  • @josemkongwe4609
    @josemkongwe4609 7 років тому +1

    Duh! hawa ndo mafirimasoni wenyewe.

  • @allyomari3089
    @allyomari3089 7 років тому

    kauli mbiu yamzee waupako ilikua hivi haleluya watashindana lkn hawatashinda tutashinda haleluya jamani swali langu ni kati yawaloshindana nazee waupoko nani kashindwa? jamani nieleweke hapo mzee waupako,na walioshindana nani kashindwa

  • @uledi.mahanga7124
    @uledi.mahanga7124 7 років тому +1

    Kweli ya Mungu mengi.Ndo upako huo

  • @onesmomwacha1592
    @onesmomwacha1592 7 років тому

    Muda wako mwingi unaoutumia kuhesabu maovu ya wengine haukufanyi wewe kuwa mtakatifu. Yamkini wakati wewe unamjadili yeye anaitumia muda huo kutubu. hivyo muhimu ni kutengeneza wewe na mungu wako.

  • @zuhurasalumu815
    @zuhurasalumu815 7 років тому

    ACHENI KUVUMISHA HABARI AMBAZO HAMNA UHAKIKA NAZO KWANGU MIMI NI MGUMU KUAMINI VITU AMBAVYO SIJATHIBITISHA.

  • @sudimazome8439
    @sudimazome8439 7 років тому +5

    Uchungaji kazi sio kila mtu anastahili kuwa mchungaji wengine wazugaji tu.

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 4 роки тому

      Ulitaka akae kimya huku kachokozwa

  • @DavisTibbz
    @DavisTibbz 7 років тому

    Global... wekeni link za social media zenu hapo kwenye description ... Kwa urahisi zaidi

  • @sophiayahya6889
    @sophiayahya6889 7 років тому

    Mchungaji gani Mlevi puuuuuuu

  • @bxlrona5533
    @bxlrona5533 7 років тому

    endelea kuwaongopea watu,mlevi mkubwa za mwizi arubaini kumbe ni mshenzi hv duu nomaa umeumbuka,huna upasta wala uplasta mwizi tuu kama wezi wengine;-)

  • @nankodyasteven2858
    @nankodyasteven2858 7 років тому

    That Why I don't trust ⛪ but I believe in God

  • @Jonathan95311
    @Jonathan95311 7 років тому

    Sijaona cha ajabu hapo!!!

  • @onesmomwacha1592
    @onesmomwacha1592 7 років тому

    Na imamu akifanya dhambi hatuuachi uislam. Wala mchungaji akifanya dhambi hatuuachi ukristo. hata wao wanahitaji msaada wenu wa maombi kujadili c dawa.

  • @joycemcharo936
    @joycemcharo936 7 років тому

    hiyi sio ajabu kwani neno liko wazi yakwamba ukitangaza umeokoka umetangaza vita na shetani atakutafuta na mitego mingi mpaka akunase ndio maana unatakiwa kuomba sana na kujua mipango ya shetani .anaanza kukuteka ufahamu hapo kwishinel huwez tena anakuwa anakutumia apendavyo so watu acheni midomo bali ombea kanisa na watumishi maana ni binadamu kama wengine.

  • @patrickmkallyah4744
    @patrickmkallyah4744 7 років тому +2

    ucmuukumu mwenZio angali ujajiukum mwenyewe xo amna aliyepewa kibali cha kumuukum mtu apa duniani

    • @luganomasebo6606
      @luganomasebo6606 6 років тому

      PATRICK MKALLYAH unajua maana ya kuhukumu kweli!!?

  • @titomathiastitomathias593
    @titomathiastitomathias593 7 років тому

    'I pray your faith will not fail '

  • @jescamwihava4480
    @jescamwihava4480 7 років тому

    hawa ndio wanawapoteza watoto wamungu hakika dunia imefika mwisho

  • @eliudijastin1597
    @eliudijastin1597 7 років тому

    haaaaaaa tusemenini. basi watuwanaangamia kwakukosa maarifa mungu tusaidie maana hakunahajuaye kujirikwako

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 6 років тому

    Jaman mm sizungumzi lakin inaumiza maana ukimwambia mtu soma biblia tu ndo msaada wako anasema mzee wa upako atatenda miujiza na ishara jaman kuweni makini

  • @zuhuramkuku6810
    @zuhuramkuku6810 7 років тому

    Kweli hili gharika

  • @mariamkombo5325
    @mariamkombo5325 7 років тому

    mungu tusaidie

  • @josephmichael2225
    @josephmichael2225 7 років тому

    MI kila siku na waambia Hawa ni wezi kubuhu

  • @ezraclauf2755
    @ezraclauf2755 7 років тому

    Nice

  • @georgesongo7578
    @georgesongo7578 7 років тому

    Mzee wa upako usijali kama hayo uliyofanya ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu ipo siku zitajulikana mbivu na mbichi

  • @shazlamadati9961
    @shazlamadati9961 4 роки тому

    mwisho wa ubaya aibu

  • @mkurangacnajemasabatochane4626
    @mkurangacnajemasabatochane4626 7 років тому +4

    imesalia rahaya sabato kwa watu wa MUNGU ebrania 3-9

    • @ithurttolovesomeone
      @ithurttolovesomeone 7 років тому +1

      Aminiel Yohana Tatizo la sabato na nyinyi MNA liheshimu agano la kale kuliko jipya yesu ni bwana wa sabato acheni mambo ya kusema sabato ina NGUVU kiasi hivyo kwanini yesu aliifunja sababto kwa sasa tuna okolewa kwa Amani siyo kwa kushika SIKU sefania asema sikuku zakonzime batilika ewe yerusalu

    • @mkurangacnajemasabatochane4626
      @mkurangacnajemasabatochane4626 7 років тому

      Kairuk una ushahd? Hebu soma hii 1wakornt 10-1-------------9

    • @ithurttolovesomeone
      @ithurttolovesomeone 7 років тому

      Aminiel Yohana nitafute tujadili 0677347345

  • @Dr.manyaunyau
    @Dr.manyaunyau 7 років тому +2

    du pole yake

  • @munirayusra91
    @munirayusra91 7 років тому

    Hawa ndio wachungaji matapeli Huna lolote najivunia kua Muislam

    • @georgekimasa7393
      @georgekimasa7393 5 років тому

      Huo nimtazamo wako Mchungaji aliye onekana amelewa na Shehe au Imam wa msikiti flani aliye fumaniwa na mke wa mtu nani zaidi? Pia unajuwa shehe mkuu wako wa dar amekufa na gonjwa gani?

  • @heaven.love.foundation
    @heaven.love.foundation 7 років тому

    kuna maandiko haya ukiyatafakali, inatupasa kusali kwa bidii na Mungu atakuoneaha kanisa la Kuabudu...
    1. chuma hunoa chuma
    2. nyoka huzaa nyoka
    3. mwanafunzi hampiti mwalimu wake yamfaa akihitimu awe kama mwalimu wake.
    4. kipofu hawez kumuongoza kipofu mwenzake maana wote watatumbukia shimoni.
    Hayo maandika hayajakosewa wala sio magumu kuyaelewa... kama mchungaji wako mbele za Mungu ni kipofu (mwenye dhambi) kanisa zima motoni simple mathematics....sasa hapa kunawalokole uchwara watapindisha herufi mpaka lionekane kwamba ni la mchungaji.... pia ikumbukwe no.2 nyoka huzaa nyoka yaani Mungu atupe uelewa usitegemee kushuhudiwa na mwenye dhambi ukidhani utazaliwa hauna dhambi.... kama baba yako ni nyoka (mdhambi) bhasi sinahaja kumalizia..... ukiangalia ya mwisho kama mchungaji wako anadhambi za siri utajikuta na ww unaupendwa wa machoni mwa watu lakini kimsingi aliyekuwa baba yako wa imani ni mwenye dhambi na wewe utajikuta huwez kuacha kutenda dhambi sirini

  • @juliusngonyani7653
    @juliusngonyani7653 7 років тому +1

    Siku za mwisho

  • @deboratanis543
    @deboratanis543 6 років тому

    Swapend xana Hawa wachungaji wauongo,, hawaend kwa sheria na ushuhuda,,.

  • @sifaelkissava2695
    @sifaelkissava2695 7 років тому

    Duu Mungu amrehemu naye ni binadamu

  • @ikrammanana4634
    @ikrammanana4634 7 років тому

    duh aibu jamn.mzee wa upako aibu duuuhh hana busara kabisa ...then kumbe n kwel mlevi

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 7 років тому

    wow this is so sad.

  • @aishaeliaslocalmusic8496
    @aishaeliaslocalmusic8496 7 років тому

    mlevi huyo ,a kwenda motoring au atubu

  • @eventelias278
    @eventelias278 7 років тому +2

    maandiko yanasema"tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote"yanaposema kwa bidii ina maana si jambo rahisi kupendwa na kila mtu sasa hili mtumishi wa Mungu hakulijua mpaka aende kubishana!!?

  • @geraldolelaizer4844
    @geraldolelaizer4844 7 років тому

    Ndio nyakati za mwisho

  • @saidasidiq1355
    @saidasidiq1355 7 років тому

    Just a pass hata so xhangai

  • @bernadinodnawe184
    @bernadinodnawe184 7 років тому

    AMRI YA TANO YA MUNGU INASEMA USIUE, LAKINI MCHUNGAJI WETU HAPO NAONA ANAMWAMBIA HUYO DADA "NIKIKUONA MAHALA POPOTE NAKU UA"...LOOH TABU KWELI KWELI..WACHUNGAJI WA UONGO ,MUNGU AMEAMUA SASA KUWA UMBUA.

  • @abelmirwatu19
    @abelmirwatu19 7 років тому +3

    Katoliki tu.

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 7 років тому +2

    Mzee waupako anamwambia akimuona mahala popote atamuuwa kisha anamuagiza kijana wake nakusema muangalie vzr huyu je? hawa wajakazi wake ndokazi yao???

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 7 років тому +1

    Mungu tusamee

  • @josephsimiyu5211
    @josephsimiyu5211 6 років тому

    Wewe pia utapima kiwango cha umri wako,

  • @fatumamasudi365
    @fatumamasudi365 7 років тому

    asante

  • @onesmomwacha1592
    @onesmomwacha1592 7 років тому +1

    Kufanya nini cha ajabu hapo. Nyie mnaokuza hizi habari ni maagent wa shetani. hakuna mtu ambae ni msafi fungeni mabakuli yenu

  • @ashahaji4936
    @ashahaji4936 7 років тому +1

    ukweli aujua Allah maana ulimwengu wa fisi

    • @elipokeakaaya5107
      @elipokeakaaya5107 7 років тому

      Jamani huyu siyo MCHUNGAJI ila alijiita mchungaji naamelitumia kanisa la mungu vibaya basi kweupe mungu ameweka hadharani kwani makaa matatu unskaa getting kwa mtu mikukosa hekima

  • @finazedon5882
    @finazedon5882 7 років тому

    uwiiii

  • @mjedengwapoizon8726
    @mjedengwapoizon8726 7 років тому

    lazima mbivu na mbichi zitajulikana tuu mkubwa super charge hapa umechemka @father

  • @boykaaledjoz9983
    @boykaaledjoz9983 7 років тому

    Akuna cha Uchungaji

  • @lilianwanga8561
    @lilianwanga8561 7 років тому

    ina mana ata MUNGU alikuwa amemchoka ndiakamuwa kumuweka wazi

  • @munirayusra91
    @munirayusra91 7 років тому

    Shida yako hiyo swa

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 7 років тому +1

    mambo vipi/ karibuni mtembelee channel yangu,Inaitwa Maish ya Ughaibuni

  • @kenedyochieng155
    @kenedyochieng155 7 років тому

    Usanii mpaka kwenye injili

  • @isaacsimon3580
    @isaacsimon3580 7 років тому

    Jambo kama hilo angefanya mtu wa kawaida ambaye sio maarufu lisingekuwa mtandaoni, lakini kwa vile ni m,tu maarufu ndiyo maana imekuwa story kubwa.

  • @abdulhalim5950
    @abdulhalim5950 7 років тому

    hahahaha

  • @cyrusmichael4080
    @cyrusmichael4080 7 років тому

    Izo ndo cku za mwisho wachungaj walioweng cwakwer

  • @boykaaledjoz9983
    @boykaaledjoz9983 7 років тому

    mchungaji Nimlevi

  • @emanuelmlowe9022
    @emanuelmlowe9022 7 років тому

    watatokea makristo wa uongo mathayo 24

  • @zawardfungo6421
    @zawardfungo6421 7 років тому

    du shida had mchungaji awa hiivi

  • @robertmahiri2983
    @robertmahiri2983 7 років тому

    mimi nimewahi enda kanisa lake kama huna elifu kumi hakushiki akuombee

  • @josephmtulo9385
    @josephmtulo9385 7 років тому +1

    Hata maandiko yanasema upole kiasi usiwe mpole mpaka ukawa zuzu na bwana yesu pia alipindua meza ktk sinagogi baada yakuona watu wanafanya upuuzi ktk nyumba ya baba yake ila kwa Habari ya Mtumishi kunywa pombe hapo Mimi nisiongee kitu lakini nahisi nyuma ya Pazia kuna kitu tu kati ya yeye najirani zake zaidi ya hicho nahisi tumeingilia gari kwa mbele ila tutapata ukweli zaidi

    • @theblackandrew4119
      @theblackandrew4119 7 років тому +1

      pole muumini una macho na huoni

    • @olivakatabaze1773
      @olivakatabaze1773 7 років тому

      jos alexlo

    • @Silumbe
      @Silumbe 7 років тому

      Unafanya utetezi wa kijinga tu,acha matando yake ya Mtetee,Yes,Biblia inazungumzia kuwa na hasira kiasi halafu jua likizama hasira hiyo isiendelee kuwaka!! Hata hivyo Yesu akiwa ana Hasira hakutenda dhambi kama Vile Matusi,kutishia kuuana Ulevi!!! Haijalishi ana mahusiano gani na hão jirani zake bado kwa mtu anaejitutumia kwamba ni Messenger wa Bwana wetu Yesu hapaswi kufanya Upuuzi anaoufanya hapo!!
      Hapo sijataka hata kuweka maagizo ya Bwana Yesu ya kuwapenda Jirani zetu kama nafsi zetu

  • @onesmomwacha1592
    @onesmomwacha1592 7 років тому +2

    Wewe unaemnyooshea kidole lusekelo wewe una maovu mangapi.?ingawa bado hatuna uhakika na hilo la ulevi wanalosema lkn usisahau nafsi yako pia itahukumiwa hukumu ile ile so punguza kuchonga

  • @titomathiastitomathias593
    @titomathiastitomathias593 7 років тому

    maybe alikua hajalewa

  • @relaxing-music-sleep9959
    @relaxing-music-sleep9959 7 років тому

    131 what? litter au meter ???
    Alcohol inapimwa kwenye promile.... watangaziji wengine wajinga kweli... wanatangaza upumbavu tuu

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi 7 років тому

    Huku ni kulitukana jina la BWANA

  • @mamatuishi-mamatuondoke8822
    @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 років тому

    Me kilio tu

    • @salamasaidi7363
      @salamasaidi7363 7 років тому

      wenzetu wa wakirstu kuweni makini wachungaji wengi wapo kibiashara makanisa ni frem za kibiashara wateja ni waumini pelekeni sadaka wanachuma wanasepa zao nje nyie mwahangaika kuwepelekea pesa zenu za jasho

  • @ngusagamaya8608
    @ngusagamaya8608 6 років тому

    wazandiki wakubwa nyie