servant victor,napendezwa namna unavyoeleza kuhusu ule undugu na ushiriakiano wenu kwa wale wanafanya kama muungano kwa ajili ya injili ni jambo ambalo limenigusa ,ni kweli Mungu hupenda umoja na bila shaka huachilia neema na kibali
Huyu mjamaaa niliwahi onana nae live hapa church kwetu kkkt kijitonyama ako very charmy and social Chaajabu ana vichekesho fulani fulani hivi. Kiukweli maestro ubarikiwe
Napenda sana hiki kikundi,,,nawaalika kanisani kwetu Redeemed Gospel Church,majaoni ,Shanzu,Mombasa...tutafurahia sana kuwaona mkiimba kanisani kwetu..karibuni
servant victor,napendezwa namna unavyoeleza kuhusu ule undugu na ushiriakiano wenu kwa wale wanafanya kama muungano kwa ajili ya injili ni jambo ambalo limenigusa ,ni kweli Mungu hupenda umoja na bila shaka huachilia neema na kibali
Neema ya mungu inatosha itawachunga
Huyu mjamaaa niliwahi onana nae live hapa church kwetu kkkt kijitonyama ako very charmy and social
Chaajabu ana vichekesho fulani fulani hivi.
Kiukweli maestro ubarikiwe
Anajibu kwa ufasaha na vizuri sana❤🎉
Napenda sana hiki kikundi,,,nawaalika kanisani kwetu Redeemed Gospel Church,majaoni ,Shanzu,Mombasa...tutafurahia sana kuwaona mkiimba kanisani kwetu..karibuni
Maestro maestro barikiwa Sana kwa hekima unayo nzambe ya Lola apambolayo Mingo powa tozo zela bino
Ila wewe victor mmm sijui niseme nn ila ubarikiwe nawenzako woote
❤