OutReach Worship Team - Mafuta (Live Music Video)
Вставка
- Опубліковано 31 гру 2024
- KARIBU KUFANYA BOOKING KWAAJILI YA IBAADA, SHEREHE, SENDOFF,LIVE RECORDING,
FEATURING, LIVE BAND, e.c.t
TUNAPATIKANA KWENYE MITANDAO YOTE YA KIJAMII
EMAIL. ELVISPROPHETSHUKRU@GMAIL.COM
IG. OUTREACH_WORSHIP_TEAM
TIKTOK. OUTREACH_WORSHIP_TEAM
CONTACT, 0652372759
0758283871.
KARIBU SANA NA MUNGU AKUBARIKI
MAFUTA MEDLEY
Njoni Muone Eeh..! Ninaishi Ii.!
Huyu Mungu Ameondoa Aibu, Messiah Yesu Amerejesha Heshima
Aaaa…! Alee.. Cheza, Cheza..
Wapi VIGEREGEREEEEE….!
Ooooo…! Ameondoa laana, amerejesha heshima amenipa ushindi,
YESU ni siri ya ushindi, mbali na YESU mimi si kitu.
Shuka x9 Twende wote.
Bina nayo wooo…!
Unachezeaga wapi..? ayayayayayayayayaa…!
Binakaa….! Bina nayo wooo…!
Blockeeeeeee……! Twendeee..!
VIGEREGEREEEEE….!
Hea.! Hea.! Aiiiiiiiiiiiiiiiii..! zigizigizigizigizigizigii..! Eeyayaa..!
Oooo…! Eee…! YESU yoyoyoyoyoyoo…! (KAMATA MAISHA)
Mwambie YESU akamate Maisha yako, achukue Maisha yako.
Nitakufata mpaka mwishoo..! (Nitakufata eee…..!)
Aaaaa..! mpaka mwisho ee..!
Blockeeeeeeeeeee..! On y vas…!
VIGEREGEREEEEE….!
Ooh…! Babe babe (baba, baba)
oo..! Umeondoa aibu ee…! (baba, baba)
Umeondoa laana (baba, baba)
Oo…! Umeondoa machozi ee..! (baba, baba)
Ee baba, baba (baba, baba)
Eee….! Ooo..! Anaetendamema jina lake nani..? (messiah),
Anaejibu maombi jina lake nani..? (messiah)
Anayefanya makubwa jina lake nani…? (messiah)
Anayefanya mengi jina lake nani…? (messiah)
Oooo…..! Namfata, namfata.
Ooooooooohii…!
Pi pi pi pi pi….! Abinaka.
Mfate YESU, On y vas..!
VIGEREGEREEEEE….!
Aiiiiii…! Oooo…..! Namfata, namfata.
Blockeeeeeeee…….! Cheza, cheza, cheza…
Oooo EYESU yoyoyoyoyoyo..! (Kamata Maisha)
VIGEREGEREEEEE….!
Twende wote..! 1 2
Binalisusu….! Twende wote..!
Iyo,iyo,iyolelaa.
Iyoolelaaa..! iyoo nzambe wa moyo.
Shuka kidogo.! Shuka kidogo! Shuka kidogo.
Iyo,iyo,iyolelaa.
Iyoolelaaa..! iyoo nzambe wa moyo
MAFUTAAAA….!, Eee mafuta yesu nipake mafuta.
YESU nipake mafutaee, mafutaee.
YESU nipake mafutaaee, mafutaeee.
Cheza, cheza…! Aiiiiii…! Bina na yoo…!
Oooo…! unacheza nanii eee…! (ninachezea YESU ee..!)
Sifa zote za nani ee…! (sifa zote za YESU ee)
Amefanya nini kwakoo ee…! (amefanya mengi kwangu ee…!)
Ooooo….! YESU kushoto, kulia, mbele na nyuma,
eee…! Pande zotee.(pande zotee YESU yupooo…!)
oooo…! kila konaa…! (kila kona YESU yupoo..!)
Eeee….! Mabina eningisaka ténèbre..!(ténèbre, ténèbre yooo…!)
Nyosha mkono juu, nyosha mkono juu, Aleee…! (chapa)
NI baraka, barakaa..! amenibariki YESU onasasa eee…!
(Ee..! amenibarikii…!) Ooo…! Amefanya nini…? (Ee..! ameniinua )
Amefanya nini..? (ee…! Amenibarikii)
Na leo…! (eee….!) baraka (eee…!) zaonekana (eee…!) nafurahia (eee….!)
TUNAPENDA KUWASHUKURU WOTE MLIOUSIKA KATIKA UANDAAJI WA NYIMBO HII YA MAFUTA MEDLEY ILIOFANYWA NA OUTREACH_WORSHIP_TEAM.
SHUKURANI ZA DHATI KABISA KWA,
@EMMANUELHOSANNACHURCH,
@PASTORELVISSHUKURU,
@hurudigital ,
NA WENGINE WENGI MUNGU AWABARIKI SANA.
.
Original version is Boya kotala by Henry papa Mulaja
Representing kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
No one is talking of drummer...he deserve a trophy
This song is just underrated 🎉❤
Am really appreciate with this song although i don't understand the language but spiritually i feel connected may Lord bless the team
Oyo eza dimenssion mosusu ya ndule eh nzambe azwa lokumu tokeya RDC
Wueeeeh!Tumefikiwa.Thank you so much Outreach Worship Team and glory to God. 🎉🎉🎉🎉 been here for 4 hours.
i’m no longer a slave of anxiety, depression, self harm, social standards, anorexia, suicidal thoughts, or invasive voices in my head. I AM A CHILD OF GOD
💃💃💃 nice song wote wamenikosha hasa wachezaji❤❤❤
❤❤❤❤🎉 Wow.!!! Muliweza jamaa... Apa Michel Bakenda na Henry papa mulaja na Deborah hawana usemi. Aki nmefurahia Tena sana. Mpka Agape nao mukawagusia. You did it well jamaa I salute you. May God bless you... nmebarikiwa mm binafsi😂😂❤❤❤🎉🎉
Salute kwenu watumishi Wa Mungu..🎉🎉 hongereni kwa kazi nzuri sana
Mungu ameondoa aibu kweli
Mafuta 💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽❤️❤️❤️❤️ Hongereni 👏🏽👏🏽👏🏽
Nitakufata eeeeeheee
njooni muone ninaishi..kwa kweli Mungu ameondoa aibu amerejjesha heshima...God bless this team..i cant get enough of this song...
I declare and decree that the joy of the lord shall dwell in the life of everyone who listen to this amazing praise medley.. AMEN 🙏🙏🙌
Hallelujah
Big amen ❤❤
Salut
Amen
The basist is doing some justice to this song. 🔥🔥
Fire Fire Mungu azidi kuwainua watumishi wa Mungu
Mungu aendelee kutupigania tufanye zaidi na zaidi but ni nomaaaa❤ imetisha sana hakuna kama hii🎉🎉
🙆maono kubwa iko hapa🔥🔥🔥pia na nyota kubwa🌟🌟🌟 nimeiona, mungu aibariki kazi ya mikono yenu watumishi wa mungu.
hii n wonder Yesu nipake mafuta
eeee nachezea nani eee Nachezea YESU ttt ttt ttt wow!🕺🏼
Waouuh nabarikiwa sana
Mungu awa bariki sana
OWT,hamna kazi mbovu,🔥🔥
❤❤❤❤eiish
Huyu Yesu anipake MAFUTA
❤❤❤❤yaaaaani hiii imeeenda
Aiseee ❤❤mbarikiwe sana....
Mbarikiwe sana msikike Dunia nzima mpate kibali Kwa kishindo 🎉❤❤
Akika mimi binafsi nimebarikiawa sanaaaa yesu kristo nipake mafuta
I begin to think that Congo-Tanzania-Kenya are just one people. The music, the anointing, the dances. All wonderful.
Wimbo utakao bariki mataifa🙏🔥🔥🔥🔥
You're not reading this by accident this is a confirmation that everything is going to be alright GOD is making a way for you right now at this moment!GOD is working on your behalf. He is orchestrating things in your favor. There are blessings lined up just for you!GOD is so Good all the time GOD is so good!Get some Rest!GOD isn't going wreck His reputation on you.He's going to come through. It Will all work out!
Amen
Amen
Hapa ni baraka tu🔥🔥🔥. Mziki wa aina yake, Mungu apewe sifa 🙏🙏
Courage ndugu
Kazi yenu ni njema kwa utukufu wa Mungu.
🎉 KAZI nzuri MUNGU awazidishie NEEMA mtumike zaidi
Mungu Awabariki Watumishi wa Mungu..🙏🏽🙏🏽
Nice! The person who did the translations from the original "Boya Kotala" deserves so much recognition ❤️❤️❤️🎉🎉
❤💃🤗🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🔥
Weweeeeeeee! Mmetisha sanaaa! ❤❤🔥🔥🔥🔥🙏 Mungu awafanyie makubwa zaidi
mnapatikana wap watumishi wa mungu
Emmanuel Hossana sinza legho
Mme nibariki saaaaana watumishi wa Bwana hii sebene hatari sana nawakubali 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌👐
😭😭 Mungu awazidishe , Nakosa maneno mazuri ya kusema LEADER AND BASSIST YOU KILL IT..❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥...YOU MADE HOT MUSIC.
Barikiwa Sana na huu wimbo be blessed OWT KAZI YENU HAKIKA NI NJEMA KEEEP IT UP 🎉🎉
💣🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥alooooooooo🙌
Mumeanzisha siku yangu na wiki yangu imeanza upya...band Mungu awabariki sana tena sana...team mumenichangamsha roho, mwili na nafsi.
Love from Kenya ❤️ 🎵 🥁
Haleluyaaaa Glory to God nawapenda my team kama niwameze vile❤❤❤❤❤
Njooni muoneeee
Ulkuu mungu
Hakika tumeona
The bassist 😢🦾🦾
Boya Kotala! 🔥
❤❤❤❤❤❤❤❤
Hili song limenitouch kwenye roho asee.......God bless you all
This is International
Drummer and Bassist 🙌🙌🙌🙌
Wonderful presentation ❤❤Mungu atukuke milele
💥💥💥
Good idea, borrowed from BOYA KOTALA BY HENRY PAPA MULAJA.....Thanks for the translation
Wow 😳😲😲 very amazing 💪🔥♥️♥️♥️♥️
❤❤❤❤❤❤
Wimbo hatari sana 🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥🙌
Yeeeeeees iblove from 🇨🇩 WE love 🇹🇿
Bassist and drummer 🎉🎉🎉🎉
Nyie this song ni faya 🔥🔥🔥
Hii ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
AMEEN AND AMEEN OUR GOD IS WONDERFUL
Seven inaniwuwa!!
Bassist made it 👊 Keep it up brother @allan bass🎸
Kwa Mungu kutamuuuu sana Amefanya mengi sana kwangu 👏
Good job, glory to God
The bassist is a talented❤
AMEN
Kazi nzuri sana watumishi wa Mungu
Hakika amerejesha heshima ninaishi tena ❤❤❤
Michel bakenda of Congo Rdc, glory to god
It's the love for me❤️ and the moves
good song🎉🎉🎉❤❤
Eieieiei, barikiweni❤
Wonderful. Am really blessed with thus praise. More grace upon you all 👏👏👏👏
Amen
I love the dances🎉🎉
🎉❤ *so powerful * 🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥
Wonderful my people...more grace
BOYA KOTALA -Hendry papa mulaja
Mumeifanyia Haki sanaa
Boya kotala
Great job❤ m,barikiwe sana
Eeeee Mafuta💃💃💃💃💃💃💃💃💃🇰🇪🔥🔥👏👏👏,I love this,you have made if simpler, Wow!!!!GLORY TO GOD
it s was amazing now keyboard was sound effect
Mziki msafi
Kawimbo katamu❤
Glory to God 🎉
Powerful
its just awesome really amazing guys🙏🙏🙏🙏🌹🌹🌹
Wow Wow power massage my brother may God bless you🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amazing job guys, congratulations
Hahahahahaha jaman ama kweli shetani Hana chake ivi Kwa fire hii anangoja nini kujihuzuru hakika mungu kawaoaka mafuta wapendwa nawapenda pia by meshack Charles from dodoma michese
I really like this...I am blessed...The name of the Lord be lifted ... Amen!!!!
Ameonda kweli aibu 😢
Blessed guys
🔥🔥
Miziki imelia aiseee!! Mbarikiwe sana watumishi.....🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Je savais pas que le swahili est aussi bon pour la roumba ...🇨🇩
Checking this channel I realized this is among the first videos. Be blessed guys!